Powerful Powerful history and Revelations❤❤. Ila mara nyingi sauti ya mwasilishaji/mtangazaji dada yetu pamoja na Askofu Gamanya iko chini sana. Hata mara nyingi tunapofuailiaa na head phone tukiwa kwenye gari tunapata tabu sana. Ila ya Askofu mwingine sauti husikika vizuri sana. Sijui tatizo ni mice au setup. Ahsante sana
Israel ktk unabii ujumbe mzuri
Asante YESU kwajili ya watumishi wako
Powerful Powerful history and Revelations❤❤.
Ila mara nyingi sauti ya mwasilishaji/mtangazaji dada yetu pamoja na Askofu Gamanya iko chini sana. Hata mara nyingi tunapofuailiaa na head phone tukiwa kwenye gari tunapata tabu sana. Ila ya Askofu mwingine sauti husikika vizuri sana. Sijui tatizo ni mice au setup. Ahsante sana
Nabarikiwa sana na elimu ya mafunuo haya, MUNGU awabariki.
Nimefurahiswua na mafundisho ninapata from Kenya maasai mara
Pongezi askofu mkuu kwa kufafanua unabii na kuweka wazi kinachoendelea.napendabsana kufuatilia meza ya busara kutoka Kenya Garisa-isiolo
Nauliza eti waisrael walitoka misri wakiwa weusi. Alafu wamerudi ktoka utumwani wameuwa weupe. Naomba majibu
Kwahiyo Hawa Wana wa Israel eneo lao ni nikubwa mno
It's all lie's
Wewe kiswahili hujui unajua kiingereza sasa umejuaje uongo wao??