HISTORIA YA WANEFILI, Watu wenye maumbo makubwa kuwahi kutokea Duniani. By Mwl Vincent Mwakisyala.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 31

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 10 дней назад +1

    vizuri Kwa helimu ndani ya biblia

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 10 дней назад +1

    Ubarikiw mwarimu

  • @SophyNyairo
    @SophyNyairo 11 дней назад +1

    Yeah walikuepo .musa alituma wajumbe kuiperereza nchi ya kanaani.wakakutana na wahiti ,na wanefili

  • @Ernestirene195
    @Ernestirene195 9 дней назад

    Hongera mwalimu ubarikiwe sana.Ila Wana wa Anaki bado wapo Gaza, Lebanoni , Ashdodi,na Ashkeloni walipokimbilia mabaki wakati wa Daudi. Waliendelea kuzaliana na wanadamu na wapo Duniani wameenea sasa hivi. HAMAS ni miongoni mwao

  • @josephmahona3006
    @josephmahona3006 11 дней назад +2

    Historia ya wazungu hiyo sio wa africa

  • @PATRICKKIPARA
    @PATRICKKIPARA 11 дней назад +1

    Ubarikiwe sana,, ulichosema kina usahihi kwa kiwango kikubwa,,
    Yaliyokupungukia BWANA ATAKUJAZI Ukiendelea kutafuta Uso wake,,

  • @BigwaKiii
    @BigwaKiii 11 дней назад +1

    Acha kupotosha tumia biblia vizuri.

  • @BigwaKiii
    @BigwaKiii 11 дней назад

    Acha kupotosha tumia biblia vizuri . Soma mwanzo.6.

  • @VictorSowa
    @VictorSowa 10 дней назад

    Unatuganya hapa

  • @josephkidima-nc3di
    @josephkidima-nc3di 12 дней назад +5

    Fanya utafiti WA kina hiyo ni historian ya wazungu kudhoofisha waasfrika ili watutawale.Unaendeleza utumwa WA kifikra na utazidi kuwa mnyonge Kwa watu weupe maisha yako yote.

    • @GabrielShoki
      @GabrielShoki 11 дней назад +2

      Hiyo ni Kwa mjibu wa biblia na Wala sio wazungu .

    • @bezaleliwilson2267
      @bezaleliwilson2267 7 дней назад

      Una AKILI kubwa sana hii sikutegemea aise Big up sana kaka wengine hawaezi elewa utapeli huu 💯👊🙏

    • @bezaleliwilson2267
      @bezaleliwilson2267 7 дней назад

      ​@@GabrielShoki😂😂😂 Bado Uko kwenye utumwa wa FIKRA za Wazungu sishangai

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 11 дней назад +1

    ACHA UONGO WEWE. HUJUI LOLOTE JUU YA WANEFILI.

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 10 дней назад

    Tangulini bibiliya ina maneno mengine yatolewa kuwanaukweli lazima wayachanganye
    wamama wamajitu walikuwa wakibinadamu mababazawo ni wale malaika walotumwa kuja duniyani kuwasaidiya wanadamu wawo malaika waliwatamani wanawake wakibinadamu ndiyo wakazaliwa kizazi yamajitu nakuendeleya mengineni kweli lakini mengine yamezunguswa kushoto nayakushoto yamepelekwa kuliya

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 11 дней назад

    Ndugu soma maandiko kwa kina, wale watu majitu zaidi ya wanefili; walizaliwa na malaika walioacha enzi yao na kujitwalia mabinti wa wana wa adamu;- soma haya maandiko - 2Petro 2: 4.5/ Yuda 1:6/ mwanzo 6:1-7 / 1Petro3:18-20 🙏

    • @ServantofGodNehemiahPDA
      @ServantofGodNehemiahPDA 11 дней назад +1

      Yesu aliyetoka mbinguni anasema: malaika Hawaoi wala kuolewa, maana yake sexless (Mathayo 22:30; Marko 12:25). Sasa hiyo hoja ya kusema ni malaika inatoka wapi? Ukisoma Mwanzo 6, haisemi malaika Bali wana wa Mungu. Lakini pia Waebrania sura y 1, Mungu anasema ni malaika yupi ambaye nimesema ni mwanangu? Hiyo, Petro na Yuda haisemi walipoacha enzi zao walienda wapi? Lakini pia unapaswa ujue kwamba mbinguni Kuna enzi nyingi....

  • @richardmjema8321
    @richardmjema8321 11 дней назад

    Hiv kalebu nae alikua muizieli?

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona 11 дней назад

    Eti ukuta ulifika mawinguni 😂, hivi uko juu walikuwa wanasavaivu vipi maana hewa ya oxygen uko juu ni shida pia wali imiri vip gravitational force ya huko juu(fiction)🙌✈️

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 11 дней назад +1

      Kwenye maghorofa mnatoa wapi oxygen? Acha ujinga jfunze

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 11 дней назад

    Ndugu yangu, soma maandiko vizuri uyaelewe; kabda ya gharika kulikuwepo watu majitu waliotokana uzao wa adamu ndio walioitwa wanefili; na baadae kundi kubwa la malaika lilishuka duniani na kijivika miili ya kibinadamu na kujitwalia wanawake waliowataka na ndio hapo sasa wakazaliwa watoto wakawa majitu yenye maumbile makubwa yenye kupendeza na kutisha, lakini waliangamizwa kwenye gharika pamoja na wale wa nefili, maana wanefili walizidiwa ukubwa wa maumbile (ujitu) na walewana waliozaliwa na malaika.

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 10 дней назад +1

    USIINGIZE BIBILIA HAPO ILI KUWAAMINISHA BIBILIA NI KITABU KIZURI SASA A WAKATI KINA MAPNGUFU MENGI NA KIMEBADILISHWA VITU VINGI

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 10 дней назад

      Tulia jifunze, Biblia ndio chanzo pekee Cha taarifa zote kamilifu

  • @johmangistics8507
    @johmangistics8507 8 дней назад

    Mbona ki biblical hamna habari hii?

  • @princemimi2090
    @princemimi2090 9 дней назад

    wali undergo mutation

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 11 дней назад

    Hivi unamjua unju bin unuk?

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 8 дней назад

    Hizo nihadithi si historia ktk hadithi. hata wanyama wakiwemo nahayawa wengine waliomgea kitu ambacho hakiwezekaniki hivyo hayo mafundisho ktk hadithi si uhallisia.

  • @SimonKefa-lz1kd
    @SimonKefa-lz1kd 12 дней назад +1

    Vip kizazi cha nuhu watokee majitu, maka nuhu nae hakuwa jitu!?