Ustadh mazinge masha allah Allah akulipe kher na akujaalie umri mrefu wenye kher na akuzidishie maarifa katika dinu na akujaalie khatma njema❤ tunakupenda sana ustadh wetu❤
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Pamoja na kuwepo Canada tukajua kidogo utaleta kitu tofauti ku laa ! Pole sana Allah kaumba dunia 1 na yeye ni mmoja na dini ni moja ,,Why alete dini nyingi ? Kuanzia Adam had Muhammad wote walimtangaza Mungu mmoja na hakuna mtume alie mtangaza Allah makanisani tafakari hilo.
Bas waislam mmechanganyikiwa mmekuwa na mdai kuwa biblia si kitabu cha MUNGU na kimechakachuliwa karamu ya waandishi cjui kwamba hamjui hata bilbia amepewa mtume gan alafu mnakitumia kutoa ushahid kwamba Muhammad alitabiliwa na biblia hyo hyo
Badala ya haya yote mwaijua biblia kutoka mwanzo mpaka ufunuo, si mngekuwa mwaiyangaza ule ufalme wa mbinguni watu waskie wabadilike. Nyinyi ni story tu na kuchambua biblia wakristo wakipambana na injili. Hole wenu nawaurumia sana
Tukiacha kukosoana,,, tutafanya yaliyo mema , acheni mambo hayo watoto wenu kila leo wanachanganyana na din mbalimbali fundusheni mema acha kukosoa dini.
Kwanza hadithi za muhamadi zadhihirisha kuwa muhamadi alilala na mke WA kijana waKe,Pili akalala na. Housegal wake,tatu akasema mwanamke aingililiwe kutoka nyuma,na akasema yeye sio Baba WA yeyote,,,muhamadi mtume WA shetani
Nenda kasome vzr hata Google uliza utaambiwa uislam ni dini toka vitabu vya kale yangu enzi na enzi hizo dini zenu za upako kutoana mapepo hapa hakuna kasome vzr ukristo umeanzishwa ugiriki!!
Qurani 2:97 sema aliyekua adui wa jiblili basi huyo ndiye aliyeitelemsha Qurani moyoni mwako, Waislam mnageuza aya 2:97 haisemi kama alivyoisoma msomaji Waislam na mtume wao woote ni waongo
Asilimia 75% ya maneno ya Bible yameandkwaa na wazungu tu ila injili ya kweli hamuifaute ndio mana Bible ina maneno mengi ya hovyo hyo n ishara maneno hayo yameandkwa na watu hayakutoka kwa mungu moja kwa moja ndio mana kuna makosa yakiubnadam kweny bibble ukisoma kitabu cha taurati ndio maneno yakwel injili imechakachuliwa na mabeparii na kanisani mnafundishwa sura za upotovu tu maneno ya kweli hampewi njoo kweny uislamu upate kheri za Allah upatee uzma wa milele
Wewe Kafiri huna akili Mungu hafi hasizii halali hazaliwi hali wala hanywi wala hali hindi haja Yesu katahiriwa na sifa zote za kua mwanaadamu anazo vipi awe Mungu
@@charlesjoseph2092BIBLIA. MUNGU AMETOKA TEMENI NA NGUVU ZAKE NI KAMA NGUVU ZA NYATI. yaani ati Mungu wa wakiristo akikutana na simba tu keshaa maana ngu zake ni zanyati 😂😂😂. Au weye unaamini Mungu ananguvu za nyati?.
Ustadh mazinge masha allah Allah akulipe kher na akujaalie umri mrefu wenye kher na akuzidishie maarifa katika dinu na akujaalie khatma njema❤ tunakupenda sana ustadh wetu❤
Mashallhaaa shekhewetu mazinge allha akuweke inshallhaaa
Mm ningekuwa mkristo ningesilimu
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother
Mashaa Allah mazinge mungu azidi kukupa umri mrefu zaifi6
Allahuma ayyidil islama wal muslimiin
MashaAllah
MashaAllah Allahu Akbar
Mwenyenzi mugu amjalie
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Pamoja na kuwepo Canada tukajua kidogo utaleta kitu tofauti ku laa ! Pole sana Allah kaumba dunia 1 na yeye ni mmoja na dini ni moja ,,Why alete dini nyingi ? Kuanzia Adam had Muhammad wote walimtangaza Mungu mmoja na hakuna mtume alie mtangaza Allah makanisani tafakari hilo.
Bas waislam mmechanganyikiwa mmekuwa na mdai kuwa biblia si kitabu cha MUNGU na kimechakachuliwa karamu ya waandishi cjui kwamba hamjui hata bilbia amepewa mtume gan alafu mnakitumia kutoa ushahid kwamba Muhammad alitabiliwa na biblia hyo hyo
Wewe ndio huelewi ndani ya biblia yamo maneno ya kweli na ya uongo
Badala ya haya yote mwaijua biblia kutoka mwanzo mpaka ufunuo, si mngekuwa mwaiyangaza ule ufalme wa mbinguni watu waskie wabadilike. Nyinyi ni story tu na kuchambua biblia wakristo wakipambana na injili. Hole wenu nawaurumia sana
Ina maana unapingana na vitabu ambavyo koroani inavitambua,
Tukiacha kukosoana,,, tutafanya yaliyo mema , acheni mambo hayo watoto wenu kila leo wanachanganyana na din mbalimbali fundusheni mema acha kukosoa dini.
Stella Soma dini ili ukomenti ya maana bado unaukafiri kichwani
@@masala8099 kukosoa biblia au quran kunasaidia nini
Kwanza hadithi za muhamadi zadhihirisha kuwa muhamadi alilala na mke WA kijana waKe,Pili akalala na. Housegal wake,tatu akasema mwanamke aingililiwe kutoka nyuma,na akasema yeye sio Baba WA yeyote,,,muhamadi mtume WA shetani
Hui ni uwongo,bibilia haijataja muhamadi,dini ya kiisilamu imekuja nyuma lakini,,,Qur'an imewapa waisilamu ruhusa ya kutumia uwongo
Utaisoma namba
Tao andiko
Nenda kasome vzr hata Google uliza utaambiwa uislam ni dini toka vitabu vya kale yangu enzi na enzi hizo dini zenu za upako kutoana mapepo hapa hakuna kasome vzr ukristo umeanzishwa ugiriki!!
Qurani 2:97 sema aliyekua adui wa jiblili basi huyo ndiye aliyeitelemsha Qurani moyoni mwako,
Waislam mnageuza aya 2:97 haisemi kama alivyoisoma msomaji
Waislam na mtume wao woote ni waongo
Siku yesu akirudi na akawakana wakristo ndio mtajuaa kua Muhammad ni mtu wa mungu
we Charles hujaielewa 2 97 inamaanisha nini huwezikuielewa kor ani wewe acha kiherekire
😂😂😂. Neno JIBRILI hujui kuandika halafu unajitia kutafsiri quran. Mwehu we.
Muhamadi ninabii wa uongo na nj mtume wa uongo na wanaomfuata wote ni waongo
Asilimia 75% ya maneno ya Bible yameandkwaa na wazungu tu ila injili ya kweli hamuifaute ndio mana Bible ina maneno mengi ya hovyo hyo n ishara maneno hayo yameandkwa na watu hayakutoka kwa mungu moja kwa moja ndio mana kuna makosa yakiubnadam kweny bibble ukisoma kitabu cha taurati ndio maneno yakwel injili imechakachuliwa na mabeparii na kanisani mnafundishwa sura za upotovu tu maneno ya kweli hampewi njoo kweny uislamu upate kheri za Allah upatee uzma wa milele
@@hassanmohamedi7585 hebu nipe andiko moja ndani ya biblia ambalo nilauongo
Wewe Kafiri huna akili Mungu hafi hasizii halali hazaliwi hali wala hanywi wala hali hindi haja Yesu katahiriwa na sifa zote za kua mwanaadamu anazo vipi awe Mungu
@@ahmedzahor2975 Swaddakta, Umesema kweli