TANZANIA NDANI YA BIBLIA TAKATIFU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 31

  • @mashakajuma7560
    @mashakajuma7560 Год назад

    Ostdh hamza umekua ukiongea mambo mengi huwa nakuelewa sana. God bless you. Lakn ushahid wa misri kuwa n tanzania hautoshi endelea kupokea. nabii mara nyingi haeleweki na wengi. Songa mbele.

  • @dulakess8928
    @dulakess8928 5 лет назад +5

    jinga kweli

  • @radjansonofficiel2396
    @radjansonofficiel2396 2 года назад

    wewe ni mwongo Saaaaaaaaaana aaaa

  • @frankschalion4939
    @frankschalion4939 Год назад

    Acha uongooooo 😂😂

  • @faridaltamimi7454
    @faridaltamimi7454 11 месяцев назад

    UNA ANZA KUCHANGANYIKIWA WEWE TANZANIA NDANI YA QUR-AN NA BIBLAA

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 лет назад

    Unashida Sana ndg

  • @maulidmohamed4494
    @maulidmohamed4494 5 лет назад

    Uongo wako hauna mashiko Allah akuongoe

  • @bekkalove6736
    @bekkalove6736 5 лет назад

    SHEHE HAMZA WE NOMA SAANA

  • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
    @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 лет назад +6

    Kama unakubaliana Nami kuwa huyu ni chizi gonga like twende

  • @mwinyijuma7000
    @mwinyijuma7000 5 лет назад

    Du!jamani ni kweli da!jamaa.kwa.kulamisha.nakuungaunga. anatisha

  • @johnmnonjela9809
    @johnmnonjela9809 5 лет назад +2

    Ndugu yangu hamza umepotea saaaaaana

    • @kihimbamushyaibrahim7284
      @kihimbamushyaibrahim7284 3 года назад

      Huyu ndugu naamini anakula madawa yakulevya tumuombee sana anaongea unaona kanae kitu kichwani

  • @wgsaempiretv864
    @wgsaempiretv864 5 лет назад

    Ni kweli,ila waislamu tofauti na wakristo,hivyo hawataabudu pamoja. 😄😅.

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 5 лет назад

    Duuh una mavunga wee

  • @wastabineliyah1363
    @wastabineliyah1363 5 лет назад

    Shekhe, umejaribu , ila biblia iachie wenyewe.

  • @mwinyijuma7000
    @mwinyijuma7000 5 лет назад

    Je.dokta magufuli ni freemason?alionekana kwenye akaunt ya instagram ya andrew chande pamoja na kina diamond

  • @joannehjnk312
    @joannehjnk312 5 лет назад

    Huyu jamaa ni kuma

  • @danmunesh6233
    @danmunesh6233 5 лет назад

    kwani hakuna madugu zako wakupeleke hos, naona akili imeruka

    • @ibrahimkipira1182
      @ibrahimkipira1182 5 лет назад

      we we sio muisla we we nimkilisto we mnafiki Sana utapata azabu apaapa we unaakili unauzalilisha uisilamu kwenda shetani wewe ulaniwe sana

    • @ibrahimkipira1182
      @ibrahimkipira1182 5 лет назад

      baada ya kusoma kolani unasoma biblia we

    • @fassmanasenga9647
      @fassmanasenga9647 5 лет назад

      Uko sahihi kabisa ndugu
      Na tayari hayo unayosema tayari yameshatokea
      Na tayari waisilamu wanaabudu na Uzao wa MUNGU BABA
      "KARIBU MNO KTK KANISA HALISI LA MUNGU BABA.

  • @stanleykathurima8062
    @stanleykathurima8062 5 лет назад

    Nabii eliasha in the book of prophet isayah 19 as u were reading you have mistaken , the land token about is a place in kenya known as meru shows land has been divided by the rivers even to mount zayuni which is mount kenya pls sacrifice ua time come to kenya we can arrange for a crusade of three days , u come and see the place where Isaiah wa saying about . Two no where has the bible said about Muslim the Egypt u are saying about are nt the denomination of Islam but the people of Africa they own the land who god calls them my people . Note this u are on the track but we have to show you pls come to kenya i am in USA but by march will b in kenya meru i am an Amerian so if u are interested let talk bible say dnt go on your own wisdom thanku

  • @joycedamian2833
    @joycedamian2833 3 года назад

    Katika vitabu vya unabii neno mwanamke limesimama badala yakanisa hilo neno uliolisoma hapo neno mwanamke limesimama badala yakanisa nasimwanadamu mwenye jinsia yakike naunabii huo ulishatimiaga zaman tafuta watu wanayoielewa vizuri biblia wakuelimishe hasa vitabu vya unabii vilivyomo ndani yablia muongo wewe

  • @abdallahmilaba5407
    @abdallahmilaba5407 4 года назад

    Wewe ni muongo mkubwa. Hata watoto wachekechea hawatokuamini.

  • @mohdkhamis9168
    @mohdkhamis9168 5 лет назад +2

    E bwana we mchungaji una pumba za hatari
    Hueleweki unasema kazi anayofanya maguli ni maandalizi ya ujio wa siku ya mwisho sasa magufuli ndio nabii au wewe?
    We endelea tu kuvuta bangi ndio inayokufanya ujiite mtume halafu unasingizia wahy
    Wahy upewe wewe hata Quran huijui!!!!!?????