Kwa kusoma na kutangaza hii kweli ninaona ule wakati wa wakristo wa kweli kuitetea Imani kwa damu zao Bwana Wetu Yesu kristo atusimamie tutaisema kweli daima
AMEN MUNGU NI MWEMA KWELI BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA JINA LA YESU KRISTO MAANA YEYE NDIYE NJIA PEKEE YA UZIMA WA MILELE, NASHUKURU SANA KWA KUNIPA UKWELI MAANA NILIKUA SIKUI CHOCHOTE LAKINI LEO NIME CHUA ASANTE MUNGU AGULINDE NA KUKUPA NGUVU NA UZIMA NA PIA AENDELEE KUKUINUA NA AKUTAWALE NA KUONGOSA KATIKA KAZI YAKE UNAYO YIFANYA ILIUENDELEE KUOKOA WATU WAKE MAANA HAWA JUI UKWELI
Nashukuru nimebatizwa kwenye usabato ingawa sasa ivi nipo out of Tanzania nasari j2 lkn nilikua najiuliza nikiludi tz nitasari kanisa gani.?mungu akanitokea kwenye ndoto akanionyesha kitu kuusu sabato nikaamlishwa kanisa la kweli ni sabato namuomba mungu anibariki niludi tz salama na niludi ktk kanisa langu asante mungu kwa kujifungua kwangu maana nilikua najiuliza sana lkn mungu aliambia kupitia ndoto.mungu yu mwema
Umeanza vizuri sana na nimekuelewa sana usipokuwa umemalizia vibaya sana kwa kushindwa kujua ni kwa namna gani YESU ameweza kuitimiliza sabato kwa Sasa pia umeshindwa kusema kweli katika kitabu Cha mwanzo kinachosema kutakuwa na kusanyiko takatifu kwa siku ya Saba na siku ya Kwanza ya juma Bali umedili na rejea za wanahistoria na magazeti tu.
Hapo biblia haikusema siku ya kwanza ya juma, soma vizuri biblia inasema siku ya kwanza na siku ya saba maana yake siku waliyo ondoka misiri hadi siku ya saba inamaana kama waliondoka ijumaa wahesabu siku saba toka siku hiyo wafanye kusanyiko takatifu, na ninakushauri ndugu ukitaka kujifunza using'ang'anie kile ulicho aminishwa bila kuki hakiki katika biblia.
TUNAISHI KATIKA NYAKATI ZA MWISHO NYAKATI ZA UFALME HUO WA NNE TUWE NA TAHADHARI NA KUOMBA BILA KUCHOKA MAANA HIZI FALME NA HAYA MAANDIKO BAADHI YAMEKWISHA TIMIA TUPO NYAKATI ZA MWISHO GUYS BELIEVE ME OR NOT NA IKIWEZEKANA THIS GENERATION YA KWETU SAIVI IT THE LAST GENERATION ! Before the returning of our LORD AND SAVIOR JESUS CHRIST AMEN 🙏🏿 TUSALI JAMANI SOTE MENGI YANATOKEA SIKU HIZI MUNGU ATUFUMBUE MACHO MNIELEWE AMEN 🤗🤗😊😊😊😊😊
Luka 6:28 [28]wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi. Mungu akubariki Sana, nakuombea Bwana akufungue macho yako uone ukweli wa Biblia ambao upo wazi kabisa, akusaidie na akuepushe na laana ya milele kwa kuuacha ukweli wa neno la Mungu
Soma isaya9:6 For unto us a child is born,unto us a child is given;and the government eill be upon his shoulder.and his name will be called wounderful ,counselor,Might God,Evalasting Father,Prince of Peace.
Mwinjilisti asante kwa kutufungua nimeweza kupata uhakika halisi leo kwako ila nilishajifunza mengi kupitia channel inaitwa "bible flock box" hapa hapa youtube na nilikuwa nashauri ni vizuri ungetoa link ya vile vitabu vya historia na kateksim za roma hapo chini ili watu wakajipakulie wenyewe wasije wakapata cha kulalamika na kukosa uhakika wa kuvisoma wao wenyewe! UBARIKIWE SANA BIG BRO!
jeremiah 23:11-16 jeremiah 14:14 Jeremiah 27:15 Jeremiah 29:9 Ezekiel 13:6 Ezekiel 13:7 Jeremiah 28:15 Jeremiah 23:21 Nehemiah 6:10-13 Jeremiah 29:31 Ezekiel 22:28. Uzuri moja ulisema munyewe umesema kitu kinacho rudiwa kuna sababu . Sababu ni mungu hajawatuma hawa so called prophet's.
Mapendo kuambudu jumapili wakatolikii hatujabadilisha Bali siku ya juma tunaanza na Mungu ndo maana tunasali jumapli mpendwa nazani kama unaijua sala nasadiki kanuni ya imani na baba yetu zitafakali sala hzo usiaminii kila Roho dini haimupeleki mtu mbinguni je kwann kanisa katoliki linapingwa na mazehebu mengine?
@@leminakasindi9232 sio madhebehu Inapinga katoriki,Bali Biblia inasema.kwani hauna maskio na macho uone maandiko??Baba mtakatifu ni nani kikatoriki?na Biblia?utafuata biblia ama Pope? Chaguo ni lako utasimama peke yako mbele za Mungu
Tumsifu Yesu Kristi !! Ndg waamini hasa wakatoriki hawa ndo wapinga kristo ni kw nn kulishmbulia kns la Mungu? Kuhusu siku ya kuabd Jp au Jmos soma Mk 16:9,' Ebr4:4-10,' kol 2:16-19,' Rum14.na ndo sbb wasabato hawasomi haya mandko ktk Bible why?
Soma:Ebr:4:4-10:siku ya Bwana, KOL2:16-19:Rum14', uone jinsi mtume Paul ameleza mabadiliko ya siku ya sabato na kuwa jp na inadhihlisha ulivy miongn mw manbii wa UONGO! Wainjilist someni haya mafungu na wala msiwadanye waamini.
Wapinga KRISTO walikuwepo tangu kipindi cha mitume wa YESU, na ndio waliliua kanisa la kwanza,wewe nawe ni mpinga KRISTO, jiufunze kwa mjumbe wa agano Duniani upate ukweli wa NENO la MUNGU.
Yohana 20:23 Nawavuvia Roho mtakatifu yoyote mtakaowaondolea dhambi wataondolewa na yoyote mtakaowafungia watafungiwa. Sio mapadre wanaosamehe bali Roho mtakatifu!! Ndio maana andiko linasema mtavuviwa Roho mtakatifu!!! Muwe makini na mtafakari kwa kina sio kila kisemamwacho ni kweli!!!
Mtumishi hawa wasioutaka ukweli usihangaike nao, la msingi ni kusema ukweli basi, anayesadiki na asadiki na wa kukataa na akate tu maana Yohana 4;1-6 imeshamaliza kila kitu
Mnaweka mambo ya UONGO katika roho hiyo hiyo ya mpinga kristo, mpinga kristo ni dini na madhehebu yasiyofikia cheo cha ukamilifu wa kristo, jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
ubatizo wa yesu ni kumwamini tu unapokea Roho yake na anakufanya upya kwa kukuza kwa Mara yapili kwa kumpokea Roho yake kwa Imani katika kazi aliyo fanya yesu ya kufa na kufuka na matokeo yake ni kuondolewa dhambi kwa wote watakao mwamini
Mm nilikuli huko katoliki Iakin kuisoma na kuijua biblia nilijua baada yalitoka na kusali katika TAG Ndo nikaanza kujua biblia kule KWA wakatoliki ufundishaji wa biblia ni mdogo Sana KWA kua kilakitu wannacho fanya hupangwa kutoka juu na nimamlaka ya juu hata nfundishaji was biblia unapangiwa leo usome kifungu flani na ni dunia nzima wanafundisha hicho hicho
Mung u Wetu Wa Utatu( Mungu Baba Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu )Pekee Aishiaye Juu Mbingu Azidi kuinuliwa Milele na hata Milele Amina
Ubarikiwe mtumishi, uyu ni Roho wa Baba wa mbinguni anatenda kazi ndani yako sio akili za kibinadamu , mwenye masikio asikie ,,Ameeen
Barikiwa Sana na usikome Elimu hii inatembea sana na kubadilisha pakubwa ndani ya wengi endele zaidi utabarikiwa
Mwinjilisti machota Mungu akuinue zaidi uko vzr
Kwa kusoma na kutangaza hii kweli ninaona ule wakati wa wakristo wa kweli kuitetea Imani kwa damu zao Bwana Wetu Yesu kristo atusimamie tutaisema kweli daima
Mwinjilisti machota
Mungu wa Mbinguni,Mungu Muumbaji Akubariki mnooooo
Nabarikiwa sana na mahubiri haya
I agree believe and receive in the name of our Lord Jesus Christ ..chacha from KURIA WEST KENYA God bless you man
AMEN MUNGU NI MWEMA KWELI BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA JINA LA YESU KRISTO MAANA YEYE NDIYE NJIA PEKEE YA UZIMA WA MILELE, NASHUKURU SANA KWA KUNIPA UKWELI MAANA NILIKUA SIKUI CHOCHOTE LAKINI LEO NIME CHUA ASANTE MUNGU AGULINDE NA KUKUPA NGUVU NA UZIMA NA PIA AENDELEE KUKUINUA NA AKUTAWALE NA KUONGOSA KATIKA KAZI YAKE UNAYO YIFANYA ILIUENDELEE KUOKOA WATU WAKE MAANA HAWA JUI UKWELI
Kweli Bwana anavyombo vinavyo m2mikia, nimebarikiwa Sanaa Bwana Yesu akubariki.
kwa kweli hapo umeweka ukweli wazi MUNGU nimwema kutupa ukweli wote.na ubalikiwe sana.
nikitu marthinne amen
Nashukuru nimebatizwa kwenye usabato ingawa sasa ivi nipo out of Tanzania nasari j2 lkn nilikua najiuliza nikiludi tz nitasari kanisa gani.?mungu akanitokea kwenye ndoto akanionyesha kitu kuusu sabato nikaamlishwa kanisa la kweli ni sabato namuomba mungu anibariki niludi tz salama na niludi ktk kanisa langu asante mungu kwa kujifungua kwangu maana nilikua najiuliza sana lkn mungu aliambia kupitia ndoto.mungu yu mwema
Mungu awabariki Sana ndugu
Sasa kwani ukisali sabato ndo tikeeeti ya kwenda mbinguni hata usali wapi mungu atakupa hukumu si kwa kutumia dhehebu lako bali amali yako
Mungu tufunguwe macho ya rohoni. Tuweze kuielewa kitabu chako kitakatifu
Very true servant of God, indeed you preach the reality about Bible, never be discouraged by those who hate the truth,
Nbarikiwa sana naunabii endelea hivyo hivyo Mtumishi wa Bwana
Amen Mtumishi, nataamani kujua kwa nini wanawake wa zamani katika kanisa la sabato walikua hawavai mapambo ...Ubarikiwe sana
A louder amen to that a faithful servant of the living God, i will share this to others
Amen, barikiwa sana Peter Haule
Why can't we wait till the next episode so we can be clear with everything as it were
@@MwinjilistiMachota )?
@@MwinjilistiMachota mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana umenisaidiya vyakutosha. Uko msabato ao kkt ?
Umeanza vizuri sana na nimekuelewa sana usipokuwa umemalizia vibaya sana kwa kushindwa kujua ni kwa namna gani YESU ameweza kuitimiliza sabato kwa Sasa pia umeshindwa kusema kweli katika kitabu Cha mwanzo kinachosema kutakuwa na kusanyiko takatifu kwa siku ya Saba na siku ya Kwanza ya juma Bali umedili na rejea za wanahistoria na magazeti tu.
Hapo biblia haikusema siku ya kwanza ya juma, soma vizuri biblia inasema siku ya kwanza na siku ya saba maana yake siku waliyo ondoka misiri hadi siku ya saba inamaana kama waliondoka ijumaa wahesabu siku saba toka siku hiyo wafanye kusanyiko takatifu, na ninakushauri ndugu ukitaka kujifunza using'ang'anie kile ulicho aminishwa bila kuki hakiki katika biblia.
Hii ni Kweli Kweli Kweli mtupu!! Nimekupenda Kaka kwa jinsi ulivyo deep in truth!!
Mtumishi Mungu akubariki na akutumie sawasawa na mapenzi yake...umenena iliyokweli.
Amen
ubarikiwe sana mwijilisti machoka kufichua siri mingi sana,,,,,,,,,the spirit of prophecy am florah kenya
ubarikiwe sana Mtumishii endelea kutuelimisha....nimejifunza mengi sana..naomba uendelee kusema nasi wakati mwingine tena..
Mtumishi , Mungu Akubarriki saaana
Barikiwa umepiga vita nzuri
Barikiwa sana kwa elimu uliyotoa, ameen
Hakika nimibaraka telee
Amen Amen Amen ihumbiriwe injili ya yesu
Barikiwa sana mwinjilisiti Machota Mungu akupe uhai mrefu ili upeleke kazi yake mbele. Mwenye masikio amesikia. Mungu apewe sifa.
Amen
Upendo edward amina
Hii ndiyo Injili inayoishi🙏 Mungu atubariki na atusaidie sana katika kipindi hiki kigumu kinachotukabili
Mungu ni mwema kwetu anatufunulia na kutufafanulia kwa lugha nyepesi sana kama tukishindwa basi ni kwa uzembe wetu wenyewe
Amen, barikiwa sana
Kwamba ucpoelewa neno ni mzembe, usipoelekifungu hiki hata wewe ni mzembe......uf:13:18......
Mungu akubariki sanaaa Mtumishi ata Mimi nimejifunza mengi
uhuru peter barikiwaxan
Nimeipenda hii Mimi ni mzaliwa katika Imani ya kikatoliki lakini nimeuona ukweli muda mrefu na siwezi kufata mambo Yao kamwe
Aloyce Steven NITAFUTE 0718784580
Aminaaa barikiwa sana
Hongera sana
GREAT AMEN,God bless you
the book of Daniel provides all the insight together with revelation
Amen
@@MwinjilistiMachotaHujambo katika Kristo?
Napenda mafundisho Yako naomba email Yako Mtumishi ili ni kueleze nikiwazacho.Amina
john.ogoi@radiovuna.co.ke
@@Baloozi123 machota.spe@gmail.com
@@Baloozi123 machota.spe@gmail.com
Barikiwa sana mtumishi
Nimekujua leoo mtumishii your very powerful..
TUNAISHI KATIKA NYAKATI ZA MWISHO
NYAKATI ZA UFALME HUO WA NNE
TUWE NA TAHADHARI NA KUOMBA BILA KUCHOKA MAANA HIZI FALME NA HAYA MAANDIKO BAADHI YAMEKWISHA TIMIA
TUPO NYAKATI ZA MWISHO GUYS BELIEVE ME OR NOT
NA IKIWEZEKANA THIS GENERATION YA KWETU SAIVI IT THE LAST GENERATION !
Before the returning of our LORD AND SAVIOR JESUS CHRIST AMEN 🙏🏿 TUSALI JAMANI SOTE MENGI YANATOKEA SIKU HIZI MUNGU ATUFUMBUE MACHO MNIELEWE AMEN 🤗🤗😊😊😊😊😊
Ubarikiwe
acha kupotea kasome Biblia vizuri siku za mwisho ni kuja kwa Kristo na kumkumboa mwanadamu na ukimwamini unahesabiwa haki bure milele
Amina, Ubarikiwe Mwinjilist.
Amen
May God bless you pastor watching from kenya nice preachings
Amen
Mungu Akuongeze hekima na ujasili Pia ijuzi mwingi
Naitaji number ta WhatsApp Yako Niko na swali moja tu
Mwinjilisti Mashetani, una fundisha ama una hukumu
Tumacho twauongo, Mungu na akulani
Luka 6:28
[28]wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.
Mungu akubariki Sana, nakuombea Bwana akufungue macho yako uone ukweli wa Biblia ambao upo wazi kabisa, akusaidie na akuepushe na laana ya milele kwa kuuacha ukweli wa neno la Mungu
Afu acheni kujikuta nyie mpo perfect j.pil Mungu anaabudiwa wakati wote aina jpl wala jmoc
@@gadimula50gadi20 maamuzi ni mtu hukumu ni ya Mungu keeping the commandments is the whole duty of man
Bwana asifiwe mchungaji hivi vitabu vinapatika aje Niko Kenya Nairobi
Mafunzo mazuri, ila kufuru ni pale unasema Yesu ni Mungu. Yesu anasema ajiitae Mungu na alaaniwe duniani mpaka mbinguni
Soma isaya9:6
For unto us a child is born,unto us a child is given;and the government eill be upon his shoulder.and his name will be called wounderful ,counselor,Might God,Evalasting Father,Prince of Peace.
God bless you abundantly
May God enlarge and protect you in Jesus name
Amen
Amen amen nabalikiwa sana
Amen
Am a Catholic na nimependa hii mafundisho,
God bless you so much
Vip mtumisi
amen pastor machota
Bwana akpe maisha marefu na usimame katka kweliyake
Method Shimalo kabisa
Mtumishi ubarikiwe
Amen
Amina
Mwinjilisti asante kwa kutufungua nimeweza kupata uhakika halisi leo kwako ila nilishajifunza mengi kupitia channel inaitwa "bible flock box" hapa hapa youtube na nilikuwa nashauri ni vizuri ungetoa link ya vile vitabu vya historia na kateksim za roma hapo chini ili watu wakajipakulie wenyewe wasije wakapata cha kulalamika na kukosa uhakika wa kuvisoma wao wenyewe! UBARIKIWE SANA BIG BRO!
amen amen mchungaji
Barikiwa, share na wengine Habari hizi njema
Ansante man of God
Aaaaaaaaajamani......ivi yesu ni mungu, unajitahidi lakin bado hujui yesu siyo mungu weweeeeee......
Wisdom, usiwe mvivu wa kujifunza, soma Biblia yako vizuri na utajua kwamba Yesu ni nani. Maana hilo liko wazi.
Wisdom Nafsi inayomjua MUNGUBABA ,,ndg Yesu ni mungu maana aliyomwona yesu amemwona Mungu ,,yoh,14:1_12
Ndugu yangu Yesu ni mungu soma yohana 1:1pia yohana 1:14 utaamin
jiulize,kwa nini kuna mpinga kristo na cyo mpinga alah,coz Antichrist ni mpinga Mungu na anajifanya Mungu
Hawa akina wisdom ndo wapinga Kristo
Mungu akubariki
upo vzr mwinjilist
Mungu atukuzwe kwa hilo
Mungu akupe nguvu
Thank you Jesus
Ubarikiwe sana tena sana
Soma ebr4:4-10, na KOL 2:16-19.upate ukwel kuhusu sabato au jp
Napenda sana mtumishi uko sawa sana, MUNGU akubaliki, lakini je así walokole tunamwabudu Nani??
Mwenyesikio asikieeeeeee mwenye moyo wajiwe akae kusali lozali
Mungu akutiye nguvu
Amen
jeremiah 23:11-16
jeremiah 14:14
Jeremiah 27:15
Jeremiah 29:9
Ezekiel 13:6
Ezekiel 13:7
Jeremiah 28:15
Jeremiah 23:21
Nehemiah 6:10-13
Jeremiah 29:31
Ezekiel 22:28.
Uzuri moja ulisema munyewe umesema kitu kinacho rudiwa kuna sababu . Sababu ni mungu hajawatuma hawa so called prophet's.
Ubarikiwe
Amen Pastor
mm ni mkatorik ila leo nimeijua kwel nayo kwel itaniweka huru
Amen katika jina la Yesu uwe huru
Mapendo kuambudu jumapili wakatolikii hatujabadilisha Bali siku ya juma tunaanza na Mungu ndo maana tunasali jumapli mpendwa nazani kama unaijua sala nasadiki kanuni ya imani na baba yetu zitafakali sala hzo usiaminii kila Roho dini haimupeleki mtu mbinguni je kwann kanisa katoliki linapingwa na mazehebu mengine?
Mungu akubariki
@@leminakasindi9232 sio madhebehu Inapinga katoriki,Bali Biblia inasema.kwani hauna maskio na macho uone maandiko??Baba mtakatifu ni nani kikatoriki?na Biblia?utafuata biblia ama Pope? Chaguo ni lako utasimama peke yako mbele za Mungu
@@leminakasindi9232 wasema dini haipeleki MTU mahali.kwani katoriki si dini.
pope is the Antichrist....kazi nzuri mchungaji....maarifa unayo mchungaji....Mungu aendelee kukutumia na kukulinda siku zote za maisha yako
unatisha baba
Nimekupata Over!
ameni
Huruma Salyanda
hata Kristo haumjui , unafundishaje juu ya mpinga Kristo kasome Biblia yako vizuri umjue kwanza kristo
Hata wewe unakufuru mungu yesu sio mungu
Kasome Isaya 9:6
Amina mtumishi
Be blessed
Tumsifu Yesu Kristi !! Ndg waamini hasa wakatoriki hawa ndo wapinga kristo ni kw nn kulishmbulia kns la Mungu? Kuhusu siku ya kuabd Jp au Jmos soma Mk 16:9,' Ebr4:4-10,' kol 2:16-19,' Rum14.na ndo sbb wasabato hawasomi haya mandko ktk Bible why?
AMEN AMEN
Kilichonifurahisha ni reference zake za kisomi
Soma:Ebr:4:4-10:siku ya Bwana, KOL2:16-19:Rum14', uone jinsi mtume Paul ameleza mabadiliko ya siku ya sabato na kuwa jp na inadhihlisha ulivy miongn mw manbii wa UONGO! Wainjilist someni haya mafungu na wala msiwadanye waamini.
fatilia alivyo fundisha vizuri uelewe na Mungu akusamehe
umeongea point yote kweli kabisa
Kaka mungu akubariki.
Amen
Wapinga KRISTO walikuwepo tangu kipindi cha mitume wa YESU, na ndio waliliua kanisa la kwanza,wewe nawe ni mpinga KRISTO, jiufunze kwa mjumbe wa agano Duniani upate ukweli wa NENO la MUNGU.
Yohana 20:23
Nawavuvia Roho mtakatifu yoyote mtakaowaondolea dhambi wataondolewa na yoyote mtakaowafungia watafungiwa.
Sio mapadre wanaosamehe bali Roho mtakatifu!!
Ndio maana andiko linasema mtavuviwa Roho mtakatifu!!!
Muwe makini na mtafakari kwa kina sio kila kisemamwacho ni kweli!!!
We kwenda iyo maneno yako si mzuri
Maneno yangu au ya Biblia ndugu yangu?
Mtumishi hawa wasioutaka ukweli usihangaike nao, la msingi ni kusema ukweli basi, anayesadiki na asadiki na wa kukataa na akate tu maana Yohana 4;1-6 imeshamaliza kila kitu
Brighton washira auna akili
Uyu ni mwislamu tu
You are chosen don't listen agents of Satan commenting bad on you
Naomba kuuliza... Nini maana ya Vita ya Hermagedon...
Angalia katika list ya mahubiri yangu kuna hubiri nimeelezea habari hizo
Hakuna Cha unabii. Hapo mabo hayo unaliongezea kanisa umaaalufu tu.
Au mjuai yakuwa saivi tupo zama za mfumo kristo?
Amen
Wewe hujasoma Bibilia Acha kudanganya
Amesoma mamako
Hao waali walipinga mafundisho ya roma yapi?.
Aaaaaameen.
Amen
Pastor namuelewa vilivyo..waaah sa itakuaje??🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ameeeeen
Mnaweka mambo ya UONGO katika roho hiyo hiyo ya mpinga kristo, mpinga kristo ni dini na madhehebu yasiyofikia cheo cha ukamilifu wa kristo, jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
Uongo ebu niache
kweri kabisa point
Asante
Asielewa hata awezi kuelewa tena
Mafunzo mazuri.
Je,ninaweza pata email ya Mwinj.Machota?
Tatizo lako udini ndo unakusumbua Sana
Anaongea ukweli roma sio
umeniweka huru sasa bwana apewe sifa
Wonderful
Wewe ni kanisa gani? Mbona kwetu hayo hayapo?
Wachungaji wako wamekupoteza wana hubiri juu ya ubatizo WA watoto na kipaimara kinyume na bibilia soma yeremia 50:5
you dont read bible read daniel 7 verse 1 kuendelea na revelation
ubatizo wa yesu ni kumwamini tu unapokea Roho yake na anakufanya upya kwa kukuza kwa Mara yapili kwa kumpokea Roho yake kwa Imani katika kazi aliyo fanya yesu ya kufa na kufuka na matokeo yake ni kuondolewa dhambi kwa wote watakao mwamini
Ameeen
Mm nilikuli huko katoliki
Iakin kuisoma na kuijua biblia nilijua baada yalitoka na kusali katika TAG
Ndo nikaanza kujua biblia kule KWA wakatoliki ufundishaji wa biblia ni mdogo Sana KWA kua kilakitu wannacho fanya hupangwa kutoka juu na nimamlaka ya juu hata nfundishaji was biblia unapangiwa leo usome kifungu flani na ni dunia nzima wanafundisha hicho hicho