NI UNABII WA YATAKAYOJIRI TZ KABLA YA UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 79

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +5

    Huwezi kuharibu kazi nzuri aliyofanya JPM kwa taifa hili kwa kutumia ndoto zako na mistari uliyochagua wewe use sababu nakuhakikishia kuna mistari mingi sana ya kumsifia kiongozi wetu jasiri shupavu namzalendo mkubwa kwa taifa lake. Huyo hakuja kwa makosa bali kwa mipango wa Mungu wetu ili atutoe tongotongo. Atuoneshe utajiri wetu wa asili Mungu aliotuumbia na namna ya kifaidika nao kiuchumi na kimaisha. Tunajiamini na kujua kuwa taifa letu ni tajiri kubwa sana hapa duniani. Nanii aliwahi kutufumbua macho na kutuaminisha hayo zaidi ya jpm?
    Keep on RIP Magu wetu kipenzi. We truly miss you baba. We love you a lot. The true son of Africa.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад +2

      Amen

    • @asbornkaduga6001
      @asbornkaduga6001 Месяц назад +2

      Ahahaaaa kwanini usionyeshwe watu wanao tekwa na kuuwawa?
      Awe Mungu wa uchaguzi tu?
      Hizi ndoto ni aibu Sana

    • @MarcoIsaya
      @MarcoIsaya Месяц назад

      You love marehemu atakusaidia nini sasa angalia yanayokuja yaliyopita hayata kusaidia yeye anazungumzia ya 2025 wee unamzungumzia Magu wa nini sasa???

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Месяц назад +1

      @@MarcoIsaya amemtaja yeye siyo mimi. Kama hakuweza kutabiri ya hao wengine waliokufa ambao nao wangeshinda wangefia madarakani basi na asitudanganye kuwa anaweza kujua yajayo wakati ya zamani yamemshinda kujua.
      Fake news

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

      ​@@MarcoIsayaamemsema Magufuli amuache huyu mtabiri ni mchaga ndugu yao na chadema

  • @WitoKevela-ex2bp
    @WitoKevela-ex2bp 18 дней назад

    Asante Bwana Yesu kwa kuwa una watu wengi! Dada,nimelengwa na machozi kwa jinsi Kristo anavyojishughulisha na mambo yetu! Barikiwa na Mungu akutunze mtumwa wa Bwana!

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +2

    Asante kwa kututabiria matatizo yajayo lakini tunaomba pia utabiti wa solutions au namna ya kutatua au kijinasua.
    Ile usiniambie ati magu alikufa kwa sababu hakuwa mtu mwema toka kwa Mungu kwa ajili ya taifa hili. Ametufundisha mengi sana ambayo hatungeyajua milele. Alituheshimisha kimataifa na alitukumbusha na kutupa confidence na kusisistiza kuwa taifa letu siyo masikini kama tunavyoaminishwa na kuwa mungu ametuumbia rasilimali nyingi mno naza kipekee zenye utajiri mkubwa.....sisi ni matajiri.
    Alikuwa mkweli, mnyoosha mambo asiyetaka unafiki, alitufumbua macho ya kimwili na kiroho kadri mungu alivyomwezesha. Kama mungu wako hayatambui hayo basi tunajiuliza mara mbili ni Mungu wa aina gani na wa kina nani.
    Kweli kabisa.
    Wanasrma mnyinge mnyongeni lakini sifa yake mpeni.
    Tutachukua miaka mingi sana kupata kiongozi kama yule. Shupavu jasiri asiyekuwa mwoga au kibaraka wa mataifa mengine.
    Aliyejitambua na kujivunia utajiti wa taifa lake. Hapo huwezi kututoa kirahisi. Wala huwezi kumchafua Magu wetu kwa kutumia mstari

    • @jeremiahakonaay1842
      @jeremiahakonaay1842 Месяц назад +1

      Ndugu huyu dada hajasema Magu hakufanya vizuri lakini kwenye suala la chaguzi za 2019 na 2020 aliminya na kupoka haki za wapiga kura na wapigiwa kura! Hivyo dada yuko sahihi kabisa!

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

      ​@@jeremiahakonaay1842 acheni propaganda yule baba alipita kila sehemu na tulimuelewa mfano yule furaha watu walijipendekeza kumchagua kule kwa Gwajima alimuengua kwamba hafai akampa Gwajima , na watu tulimkubari Magufuli na alipokuwa anawanadi watu wake tulimuelewa kauli mbiu yake ilikuwa nileteeni watu nitakao fanya nao kazi tatizo lenu wa Tanzania ni u vyama siyo uzalendo tutaifikia nchi ya ahadi tukiwa kama wana waisrael walivyomsumbua Musa walivyomsumbua mpaka wakashindwa kufika

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 15 дней назад

      @@jeremiahakonaay1842 sisiambo ya porojo za ksisasa kwa kweli hazisaidii kitu. Haijalishi nani kuchaguliwa wapi au vipi, Kikubwa kazi zinafanyike matokeo yanaonekana uchumi upande na nchi inatajitika kama inavyostahili.. hayo mengine kama yalifanyika kwa lengo jema kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya taifa na siyo porojoporojo basi na iwe hivyo. Kuna watu hawaridhiki na chochote hata iwe nini. Sasa za kibongo ni kupinga kila kitu kwa mbwembwe na maneno mazurimazuri.
      Tumechoka porojo hebu mtypishe jamani

  • @lulumatawalo7805
    @lulumatawalo7805 2 месяца назад +2

    Ufunuo una vyanzo vitatu tu.
    1.Mungu
    2.Shetani
    3.Nafsi ya mwanadamu.
    Mungu atusaidie watumishi!

  • @WitoKevela-ex2bp
    @WitoKevela-ex2bp 18 дней назад

    Kwa mavazi yako tu,yanakutambulisha kuwa u mtumishi wa Mungu yule aliyemtuma mwanae duniani kwa ajili ya wokovu!!!!

  • @cristinaruka9293
    @cristinaruka9293 Месяц назад

    Dada mungu akubariki sana nimemwelew mungu asante yesu kwa wema wako kwetu

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

    Weeeeeeeeeeeeee hapo kwa Magu siyo kweli unamihemuko na utabiri wako muache Magufuli, maana yule walimuuua Magufuli ametuheshimisha mpaka nje ya mipaka muulize vizuri Mungu labda hukumuelewa hapo kwa Magufuli au ni ujanja upo kisiasa zaidi rest in peace daddy JPM

  • @EdithShirima-y5k
    @EdithShirima-y5k 2 месяца назад +1

    Maovu yote yaliyopangwa na hao waovu hatafanikiwa kwa jina la Yesu

  • @asbornkaduga6001
    @asbornkaduga6001 Месяц назад +1

    MUNGU alikua anawachagua watawala kipindi hicho, Lakini sasa hivi wanadamu wanachaguana wenyewe kwa wenyewe unaweza kumweka binadamu mioyoni mwenu lakini si Mungu.
    Hapa Naona unaleta siasa za kijanja.
    MUNGU uruhusu kiongozi yeyote kuchaguliwa kwa kusudi lake mwenyewe.
    Kwasababu sio serikali ya kidini,
    Ninachojua Mungu ni mwema wakati wote, Toka lini MUNGU anaua watenda dhambi?
    Warumi 5:8
    Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.
    Na pia;-
    Luka 15:10
    Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Месяц назад +1

      Sahihi kabisa. Mungu haui watendadhambi. Kwani yule mgombea mwingine aliyekufa naye alikuwa na dhambi akauawa? Waache kutuchanganya hakuna kitu hapo

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

      Huyu aliwahi kutabiri Lowasa ndiyo atashinda huyu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +1

    Don't compare Magufuli with other leaders. He was different. He was a true leader a true son of Africa. He was withoutany doubt a real patriotic.
    He actions speaks for themselves

  • @eliezersifuel3304
    @eliezersifuel3304 2 месяца назад +1

    Natamani kuona utawala wa wadhalimu ukianguka ktk Taifa letu.
    Wamejawa na kiburi na dharau kubwa kwa wananchi kwakuwa wanajua watashinda hata kama hatutawapigia kura.
    MUNGU MWENYE ENZI ayakumbuke haya na kuyatakia kisasi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +2

    Ndoto zako haxieleweki. Kama unasema ati Magu hakuwa chaguo sahihi la tanzania au ati hakukubaluka kwa wananchi basi tulio wengi hatumwelewi hata huyo mungu wako. Maana kazi zake zinajitangaza zenyewe huhitaji darubini kuzimulika.
    Hapo mbona hujatutabiria? Sikuelewi kabisa hizo ndoto zako zinachagua upande lakini hazina ukweli.

  • @israellotas3655
    @israellotas3655 Месяц назад

    Mungu bi was Baku Amina

  • @warchie3127
    @warchie3127 2 месяца назад +1

    Mtumishi Bwana akupe kujua upande wa pili utujuze tufanyeje jambo hili libatilike kabla ya kutokea.

    • @eliezersifuel3304
      @eliezersifuel3304 2 месяца назад +1

      Huu ni unabii wa kuwatia moyo wale wanaoonewa na pia ni unabii wa kuwaonya wale wadhalimu ambao wamezoea kupora uchaguzi.
      Hata MUNGU alipotaka Ahabu akaanguke kule Ramoth Gileadi alimuacha atabiriwe uongo na manabii wake , na Mikaya alipomtahadharisha hakutaka kwasababu MUNGU alikusudia anguko kwa Ahabu.

  • @Shalom803
    @Shalom803 2 месяца назад +3

    Siku zao ziwe chache wezi wote wa kura. Zab 109:8 tuisome usiku na mchana😮

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +1

    Hebu tunaomba tupe unabii wa muhimu zaidi kwetu unaoambatana na uchumi, ufisadi, ujambazi, uhujumu uchumi, umasikini wetu, mali asili zetu, usalama wetu, uhakika wa kula milo mitatu kwa siku, uhakika wa matibabu, nk na namna sahihi ya kutoka humo. Tunaomba unabii wa kisiasa unaoambatana na mambo hayo. Tuelimishe kuwa mungu wako anataka tufanyeje ili tuvuke hapo salama typate viongozi wazalendo na wapenda haki na kujali watu wadogo. Tupe inabii wa namna ya kufanya tuwe salama maana kuna utekaji na mauaji. Mungu wako anasemaje kuhusu hapo?
    Hapo ntakuelewa.

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 3 месяца назад +2

    Ni Jambo LA Hatari sana Na lakutisha

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад +1

      Ila kifo cha magu haukuw a mipango wa Mungu Bali SHETANI. Ile mungu alirihusu ili tujifunze na kweli tumejifunza

  • @chrispineacademicus5784
    @chrispineacademicus5784 5 дней назад

    Nilishaga acha kupiga kura siku hizi kiukweli!Uchaguzi Tz ni maigizo!

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

    Wewe nakumbuka uliwahi kusema lowasa atashinda sasa ni kwambie lowasa alipoona maendeleo ya Magufuli alirudi ccm na kama hujui Magufuli alikuwa ccm jina ila yule ndiyo alikuwa Musa wa Tanzania 🇹🇿 ila walimdhurumu uhai wake

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Месяц назад

    Kweli mtumishi,Hawa watu wanafanya dhambi ya kupoka haki ya uchaguzi wa wanchi,,

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Месяц назад

    Nabii wa kweli huwa anatoa solution ya nn kifanyike
    I mean ,Mungu anapoleya taarif aanatoa na maelekezo pia ya nn kifnyike!
    Sip suala la kutabiri no sul l akuombe mifumo,Mungu aingie kwenye hiyo mifumo

  • @asbornkaduga6001
    @asbornkaduga6001 Месяц назад

    MUNGU wake tayari ana uchaguzi

  • @DoraJohn-p7s
    @DoraJohn-p7s 2 месяца назад

    Mungu tusaidie

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 месяца назад

    Hata waislam wanaye mungu tena ni mmoja tu

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 2 месяца назад

    Wee zariadunia bila kumkiri yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako sahau kabisa mungu kujifunua kwako. Giza haliwezi kuwa sawa na nuru. You knw nothing coz u still in huge darkness

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +2

    Sasa wale wagombea wengine wa mwaka uliotaja wa 2015 waliokwisha fariki hadi leo nao ni mapenzi ya Mungu? Maana hao hujawataja hapo leo.
    Au hukupata unabii wao?
    Unatuchanganya. Tupe ndoto zao nao

    • @RehemaMbeta
      @RehemaMbeta Месяц назад

      Ndugu yangu MUNGU alivyo ni tifaut na tunavyo waza sisi MUNGU ana sema na watu sana

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Месяц назад +1

      @@RehemaMbeta Yes najua Mungu bado anasema na watu lakini siyo kwa misemo hiyo ambayo doti haziungani. Kama kufa JPM ni adhabu ya mungu mbona hao wengine nao wamekufa? Si nao wangefia madarakani? Utabiri wako unasemaje hapo?
      Mtuache jamani tumechoka kudanganywa na unabii au utabiri usioeleweka. Wagombea wawili walioshindwa tayari wamesharudi mbele za haki.....hapo unasemaje? Au wangechaguliwa wangeishi?
      Jamani tumechoshwa mtuache

  • @billmike8441
    @billmike8441 27 дней назад

    Na wafe

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 2 месяца назад

    Bwana yesu ahsante kwa kutujulisha haya, ufanye ujumbe huu uwafikie watanzania wengi zaidi waliovunjika moyo na kukata tamaa

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад

      Kwa sababu tunaamini kifo cha jpm hakikupangwa na Mungu wetu tunayemjua bali shetani na wafuasi wake. Hao nao walaaniwe.

  • @stephenruth050
    @stephenruth050 2 месяца назад

    Haleluya....!

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 3 месяца назад +1

    Amen

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +2

    Kwa hiyo rais wetu kipenzi cha wanyonge aliyeleta naendeleo makubwa kiasi hiki kwa kipindi kifupi na "aliyedhulumiwa" uhai wake akiwa madarakani hakuwa chaguo halali la wananchi? Hakupata kibali cha Mungu? I don't trust you on that.
    Nani basi unadhani angefaa zaidi yake kwa manufaa ya taifa hili? Sijamwona bado, sorry.
    Na kama kifo ni adhabu mbona hata wale waliogombea naye toka ndani ya chama chake na toka upinzani mwaka uliotaja wa 2015 nao pia hawapo duniani? Ina maana hata kama wangeshinda uchaguzi kama ulivyotabiri wewe bado wangefia madarakani, si ndiyo? ......hilo nalo unatabiri vipi nabii? Au wangekwepa vifo? Nao ni adhabu au ni mapenzi ya Mungu?
    Jamani hebu tuacheni tumechoshwa na tabiri za kupotoshana. Binafsi sikuamini kabisa kutokana na kipendele hicho tu. I don't trust you at all.
    Acha bwana.
    Unatutonesha madonda ya moyo ya Magu wetu. Bado tumapenda sana

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA Месяц назад

    Akuna uwongozi ulio tabiriwa vbaya mara nyingi kma wa samia

  • @julietkiwelu
    @julietkiwelu 2 месяца назад

    Hallelujah

  • @SylvesterLuhamba-gi3bc
    @SylvesterLuhamba-gi3bc Месяц назад

    Kwayo tufanye nini?

  • @samjosh12
    @samjosh12 3 месяца назад

    Amen mtumishi wa Mungu 🙏🏿

  • @jumamnemo8383
    @jumamnemo8383 Месяц назад

    Wengine Mungu wenu ni Shetani.

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 2 месяца назад

    Amina

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 15 дней назад

    Kwanza wewe ni mchaga tumejua

  • @anitasita7153
    @anitasita7153 2 месяца назад

    Jpm
    ?????😮😮😮

  • @mariasalomelukosi6846
    @mariasalomelukosi6846 2 месяца назад

    Ameen

  • @AlkadoNkundwe-wb3of
    @AlkadoNkundwe-wb3of 3 месяца назад +1

    Ndio huo unabii ?

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 месяца назад

    Watabiri wa uchaguzi ni wa kristo tu😊😊😊😊

    • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
      @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 2 месяца назад +1

      Wakristo ndio walipewa vitabu sahihi kabla yenu na ukiristo ndio njia ya kweli

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад +1

      WENGINE ni waoga kusema na wengine hawana hiyo karama.
      Ile wengine nao ni manabii fake

    • @lucasathanas9554
      @lucasathanas9554 2 месяца назад +1

      majini hayana uwezo wakufunua mambo yajayo lakn YESU NDIE NURU huwafunulia watu wake

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 2 месяца назад

    CCM watafanya lolote..almradi wabaki kuwa madarakani

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 месяца назад +1

    Kwa unanii wako magu wetu.alikufa kwa adhabu ya Mungu. Na hao wengine uliowapenda wewe na kuwatabiria ushindi walikufa kwa adhabu ya Mungu huyo huyo? Mbona hawako duniani? In maana Tanzania lazima ingefiwa na rais madarakani? Mbona hukuoteshwa hayo kwa usahihi?
    Kwa taarifa yako mambo aliyolifanyia taifa hili rais wetu Magu hakuna kiongozi angeyaweza kwa muda mfupi kama ule.
    Au hukuwa Tanzania ukajionea? Kuanzia utovu wa nidhamu makazini, uhalifu, ufisadi, ujambazi, wizi wa mali za uma, uhujumu uchumi na hata uchawi vilikimbia mbali na taifa letu. Unadhani hayo hayakuwa mapenzi ya Mungu? Au inabii wako hauoni hayo?
    Hebu tuache please.....usitumalizie mb zetu bure. Hueleweki.

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 3 месяца назад

    Very very correct upo sahihi kabisa na unabii huo nina confirm

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад +1

      Mh! i doubt

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 месяца назад

      Sina.uhakika sababu anachafua jina la jpm ambaye kila mtu anajua kazi zake aliyolifanyia taofa hili tena kwa muda mfupi ajabu. Alionehsa njia kwa mataifa ya Africa. Alitutoa tongotpngo ila shetani hakulala usingizi hadi anatunyanganya kiongozi wetu kipenzi cha watu. Wahusika wopooote walaaniwe. Huo haukuwa mpango wa Mungu huyu tunayemfahamu...no no.noooo

  • @fredrickmakapo5255
    @fredrickmakapo5255 3 месяца назад +1

    Mtumishi ,samahani naomba namba yako

  • @laurianogerold5129
    @laurianogerold5129 2 месяца назад

    Tunaomba namba ya Whatsapp