Mambo ya mungu na dini ni yakushangaza jamani unakuta watoto wakilala njaa wazazi wanalaumiwa kua wazembe ila watoto wakishiba Dona utasikia ashukuliwe mungu 😂😂😂
Mara ohh tumeumbwa na Mungu na sasa hivi inabidi tumtafute, swali tulipotezana nae kivipi na wapi , alikuwa wapi hadi tukapotea😂😂😂 this is non of our business kumtafuta huyo jamaa. Sisi tunajua tumezaliwa hatujaumbwa. Nani kaumbwa hapa atoe ushahidi, nani hana Mama na Baba hapa😂🎉 Uhuni wa dini hizi zinatupanga sana, Ni sawa sawa na kutafuta njia ya 1x1 wakati jawabu unaliona ni 1 tu. Unatafuta lingine la nini..😂😂
Hamna kitu ninanikera kama natoka nyumbani asubuhi mapema naenda kuhangaika huko natukanwa nanyanyasika napitia kira gumu harafu napata pesa nikiludi nyumbani mkewangu utamsikia anamshukulu mungu badala ya mm niliehangaika
Unapaswa kumshukuru MUNGU kwa sababu MUNGU akifunga njia hata kama ungefanyaje hutapata yeye ndo Huwa anagawa riziki acha ujinga ndugu . Kama wewe unaweza kujihangaikia basi jiongeze hata urefu wa mita moja tu ili tuone kama unaweza. Hata mfanye Nini God is still there. Kama huamini sawa tutakutana kwenye siku ya hukumu ya MUNGU ndio utajua hujui
@@hezekiamhapa7395Watu Mnaoamini Uwepo Wa Mungu Mna Vitisho ilee Laaaanaa. Hamnaga Akili Kubwa Za Kutema Madini Kwa Hoja Za Msingi Zaidi Ya Vitisho. Yaani Puuumbaa Kabisa Pamoja Na Kwamba Mlishaambiwa Mnaangamia Kwa Kukosa Maarifa Lakn Bado Kwenye Vichwa Vyenu Kuna Matope
😂😂😂daah nimecheka sana uyo jama et kanisa linaenda nayumba kama meli ila alita anguka bwana atalipigania.. linaenda na yumba...............🤣😂 u niunabi lakini kumbuka 😂😂😂 mnafki sana😅😅😅
Dini imeleta shida nyingi sana na hili si la kupepesea macho. kama umesoma (neuroscience) au science in general, utagundua kwamba ili swala la dini linaleta (trauma) na trauma zote tulizonazo leo hii zimeletwa na dini, ebu wapigeni spana wafia dini wajitambue.
2 Timotheo 3:1-17 Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo. Wchokonozi jiandaeni kuokolewa matukio haya sio ya kujadii kizembe kiasi hiki uelewa wetu kifalsafa tuko sawa Yesu anakuja na tumeambiwa tuwewaaminifu hadi kifo bado wengi hatulijui kanisa na wala hatuijui Biblia
Kusuusu kujiongeza urefu broo mm nilikua mdogo mpaka Sasa ni mtu mzima hapo uoni kama nimejiongeza urefu au niambie ww huyo mungu ameniongezaje mm urefu
Kuna mbwa walitabiri kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia daah watu walikimbilia makanisani na misikitini kipindi hicho nilikuwa kijitonyama aisee ndo nilipoacha kuamini masuala ya dini
Naomba niwashauri ili niamini mna akili za ku argue inabidi mlete watu wanaoweza ku argue wenye mtazamo tofauti na nyie, bahati mbaya mnahojiana wenyewe kwa wenyewe wakati mnamtazamo wa aina mmoja.. alafu mnawaambia watu mna thinking capacity
Sipingi kuwa hakuna mungu bali nakubaliana na nyie hakuna Dini au madhehebu hata maandiko yakisomwa vizur kwa mtu anaelewa atajua hakuna Dini wala dini si zenye utaratibu ambao watu wamezoeshwa kuelewa ni uwongo hakuna Dini
M(z)ungu ,maneno na saut ni nguvu itabid tujue ilo neno lilianzaje pia kila kabila lina stori ake kuhusu nguvu kubwa ya uumbaji mfano Wanyakyusa-Kyala,Wafipa-leza,Wamasai-Ngai fuatilia asili ako kwenu kabla ya wageni wavamizi wazungu& warabu mlikua mnamtambuaje muumba muumba
Si muda mrefu utajua biblia sio hadithi za kutunga: 2 Timotheo 4 (Biblia Takatifu) ³ Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; ⁴ nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo. “Maana hatukufuata hadithi zilizotungwa kwa werevu, tulipowajulisha ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa tumeuona wenyewe ukuu wake. ” - 2 Petro 1:16 (Biblia Takatifu)
Naomba niwasadie, mwanadamu yoyote Yule hawezi kumwelewa Mungu kwa logic hata kidog, bahati mbaya mimi mwenyewe siwezi kumuabudu Mungu ambaye anaweza kutengenezwa na kuelezeka kwa logical thinking za ugali na maharage, ukweli ni kwamba wether you are using science, logic, critical analysis kote huko utagundugu Mungu hawezi kuchunguzika.
Wakati upo kanisani unaomba upate gari unavuta picha ya gari, hii kitu kanisani wanaita imani, ata nikienda kwa mganga unataka gari lazima uvute picha ya gari, pia mganga anasema ni imani, wasichokijua watu unaweza ukalala nyumbani kwako ukavuta picha ya kitu unachokitaka ukakipata, HAKUNA MUNGU WALA IMANI INAYOSAIDIA MTU, KINACHOKUSAIDIA NI UWEZO WAKO WA KUVUTA PICHA YA KITU UNACHOTAKA, UKIELEWA HII NDO UTAAMINI HAKUNA MUNGU!!!
Salute ndugu zangu,. Tufanye nini ndio mafala watoke kwenye uwongo? Nimegundua waafrika wengi wanafuata tu dini ya wazazi, na sio sababu ya ukweli 🤔 alufu awataki kusoma history za dini lakini ni wabishi kupita kiasi...
Kuna dada alifukiwa na kifusi k koo ..masela wakapambana kumtoa akaenda kanisani kutoa ushuuda . yesu alikua k koo bila yeye asinge Toka .waumini wa kilokole ni mafala sana walifurahi sana yesu kaja k koo na akutembelea jamaa zake kanisani
Mambo ya mungu na dini ni yakushangaza jamani unakuta watoto wakilala njaa wazazi wanalaumiwa kua wazembe ila watoto wakishiba Dona utasikia ashukuliwe mungu 😂😂😂
😂😂😂 kweli
Akili kubwa sana
Mungu awahurumie sana vijana kabisa mnaongea maneno ya hovyo hv kwakwel Ila Mungu atakushughulikia hataendelea kuwa nyamanzia hakika msipo tubu 😢😢
Na furahi kuona unapiga kwenye mshono 😂😂😂 endelea kukanyaga kidonda bro wataelewa 2
Ajalili ikitokea watu wanapambana sana kuokoa ila wakitoka tu utasikia ashukuliwe mungu wa mbinguni😂😂😂
Mlimwengu anahitaji tu list😂
Mara ohh tumeumbwa na Mungu na sasa hivi inabidi tumtafute, swali tulipotezana nae kivipi na wapi , alikuwa wapi hadi tukapotea😂😂😂
this is non of our business kumtafuta huyo jamaa. Sisi tunajua tumezaliwa hatujaumbwa. Nani kaumbwa hapa atoe ushahidi, nani hana Mama na Baba hapa😂🎉
Uhuni wa dini hizi zinatupanga sana, Ni sawa sawa na kutafuta njia ya 1x1 wakati jawabu unaliona ni 1 tu. Unatafuta lingine la nini..😂😂
Nawakubali sana wadau
Wazungu na Warabu wanatupiga sana
Nabii mwaipopo 😂😂
Wachokonozi salute 😂😂😂
Nakubali
Kama mnafuraisha kumbe inawaingia kibishi😂😂😂
Hamna kitu ninanikera kama natoka nyumbani asubuhi mapema naenda kuhangaika huko natukanwa nanyanyasika napitia kira gumu harafu napata pesa nikiludi nyumbani mkewangu utamsikia anamshukulu mungu badala ya mm niliehangaika
Unapaswa kumshukuru MUNGU kwa sababu MUNGU akifunga njia hata kama ungefanyaje hutapata yeye ndo Huwa anagawa riziki acha ujinga ndugu . Kama wewe unaweza kujihangaikia basi jiongeze hata urefu wa mita moja tu ili tuone kama unaweza. Hata mfanye Nini God is still there. Kama huamini sawa tutakutana kwenye siku ya hukumu ya MUNGU ndio utajua hujui
@@hezekiamhapa7395Mungu hayupo wala siku ya hukumu haipo wala moto haupo.
Kuhangaika ni upeo wa chini wa uelewa😂😂.
akili za kuambiwa changanya nazako kaka
@@hezekiamhapa7395Watu Mnaoamini Uwepo Wa Mungu Mna Vitisho ilee Laaaanaa. Hamnaga Akili Kubwa Za Kutema Madini Kwa Hoja Za Msingi Zaidi Ya Vitisho. Yaani Puuumbaa Kabisa Pamoja Na Kwamba Mlishaambiwa Mnaangamia Kwa Kukosa Maarifa Lakn Bado Kwenye Vichwa Vyenu Kuna Matope
Yan kila siku lazima niwasikilize mpo conscious san
😂😂😂daah nimecheka sana uyo jama
et kanisa linaenda nayumba kama meli ila alita anguka bwana atalipigania.. linaenda na yumba...............🤣😂
u niunabi lakini kumbuka
😂😂😂 mnafki sana😅😅😅
Dini imeleta shida nyingi sana na hili si la kupepesea macho. kama umesoma (neuroscience) au science in general, utagundua kwamba ili swala la dini linaleta (trauma) na trauma zote tulizonazo leo hii zimeletwa na dini, ebu wapigeni spana wafia dini wajitambue.
Nawapata kabisa 🎉
Mulindok kwaupeo wak kwer bibilia ilitabil kwamb watakuop manabii fek nawatu watasamini hela kuliko ut nimengisana nisiyataj yot ehee kwawewesas mwanazuon mbobev ikoje hiy mak tunayaona kwel😅😅😅😅😅
Mimi nafikiri mtafuteni mzee Mwasamola mumhoji huenda ana mengi ya kutueleza.
2 Timotheo 3:1-17
Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
Wchokonozi jiandaeni kuokolewa matukio haya sio ya kujadii kizembe kiasi hiki uelewa wetu kifalsafa tuko sawa Yesu anakuja na tumeambiwa tuwewaaminifu hadi kifo bado wengi hatulijui kanisa na wala hatuijui Biblia
Kusuusu kujiongeza urefu broo mm nilikua mdogo mpaka Sasa ni mtu mzima hapo uoni kama nimejiongeza urefu au niambie ww huyo mungu ameniongezaje mm urefu
Ata hao mapastor wanawasikiliza sana....cc apa kenya tunawapata loud and clear
Ila mnamatusi ya chinichini kwa sisi wasabato,sijapenda
😅😅😅😂😂😂
Ata mimi cjapenda kwakwel
Kuna mbwa walitabiri kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia daah watu walikimbilia makanisani na misikitini kipindi hicho nilikuwa kijitonyama aisee ndo nilipoacha kuamini masuala ya dini
😂😂😂😅😊 kaka umenichekesha sanaa
Yes alikula kichapo sijui km atarud tena
Nakuomba Épisode moja iwe na dk 15 kwenda juu ,navutiwa sana kwa ukosowaji wenu .
Chapa kazi.
Naomba niwashauri ili niamini mna akili za ku argue inabidi mlete watu wanaoweza ku argue wenye mtazamo tofauti na nyie, bahati mbaya mnahojiana wenyewe kwa wenyewe wakati mnamtazamo wa aina mmoja.. alafu mnawaambia watu mna thinking capacity
Naunga mkono hoja
😂😂😂😂absolutely
Yes
Ikiwezekana awaandike ata majina flan na flan wasije😂😂😂😂
Sipingi kuwa hakuna mungu bali nakubaliana na nyie hakuna Dini au madhehebu hata maandiko yakisomwa vizur kwa mtu anaelewa atajua hakuna Dini wala dini si zenye utaratibu ambao watu wamezoeshwa kuelewa ni uwongo hakuna Dini
M(z)ungu ,maneno na saut ni nguvu itabid tujue ilo neno lilianzaje pia kila kabila lina stori ake kuhusu nguvu kubwa ya uumbaji mfano Wanyakyusa-Kyala,Wafipa-leza,Wamasai-Ngai fuatilia asili ako kwenu kabla ya wageni wavamizi wazungu& warabu mlikua mnamtambuaje muumba muumba
Watamua hawa watu ni majambazi wakubwa sana
Na wanajifanyaga wajuaji yaan wao ndo wanamuabudu Mungu wa kweli,kumbe ni mazezeta ka mazezeta wengine
Sisi ni wachokonozi lengo letu kuharibu bishara za watu
😂😂🤣🤣🤜🤛
Si muda mrefu utajua biblia sio hadithi za kutunga:
2 Timotheo 4 (Biblia Takatifu)
³ Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
⁴ nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
“Maana hatukufuata hadithi zilizotungwa kwa werevu, tulipowajulisha ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa tumeuona wenyewe ukuu wake.
”
- 2 Petro 1:16 (Biblia Takatifu)
Imani ni jumla ya mambo yote yatarajiwayo
Mzee asingesema public du
waliiba ukirsto africa pale ethiopia wazugu atari sana
Watu weusi wajinga sana,wamesahau kuwa dini zilihusika katika utumwa!aliyekuletea dini ndiye aliyekuuza utumwani
nyinyi ni watu munao tumiwa watu wengine zamani mrikuwa wapi kuchokonoa aliyewalipa naye mutaungua moto , ungekuwa unachokonoa wataje wote
Naomba niwasadie, mwanadamu yoyote Yule hawezi kumwelewa Mungu kwa logic hata kidog, bahati mbaya mimi mwenyewe siwezi kumuabudu Mungu ambaye anaweza kutengenezwa na kuelezeka kwa logical thinking za ugali na maharage, ukweli ni kwamba wether you are using science, logic, critical analysis kote huko utagundugu Mungu hawezi kuchunguzika.
Bado kitambo kidogo toka mwaka 1844
Je niweekeni sawa kwa nini wakrsto uingereza waanauza. Makanusa kwa waissilam
Mjusi mwekundu 😂😂AKA bhutuku kikwetu musoma😂😂
Nahitaji vitabu vyenu nitavipataje?
Wakati upo kanisani unaomba upate gari unavuta picha ya gari, hii kitu kanisani wanaita imani, ata nikienda kwa mganga unataka gari lazima uvute picha ya gari, pia mganga anasema ni imani, wasichokijua watu unaweza ukalala nyumbani kwako ukavuta picha ya kitu unachokitaka ukakipata, HAKUNA MUNGU WALA IMANI INAYOSAIDIA MTU, KINACHOKUSAIDIA NI UWEZO WAKO WA KUVUTA PICHA YA KITU UNACHOTAKA, UKIELEWA HII NDO UTAAMINI HAKUNA MUNGU!!!
Sure ata aliyegundua gar alivuta picha kwanza ndio akatengeneza gar upo sahihi sana
Comment hii ya valentiner isiguswe kabisaaaa kwa maana ipo sahihi sana❤
Comment ya mwaka
Vuta na ww picha ya kitu.. afu tuone
@bwiremgonya1394 na wew nenda kanisani kwa imani utapata gari alfu upate
Acheni ujinga kamdomo kenu
Salute ndugu zangu,. Tufanye nini ndio mafala watoke kwenye uwongo? Nimegundua waafrika wengi wanafuata tu dini ya wazazi, na sio sababu ya ukweli 🤔 alufu awataki kusoma history za dini lakini ni wabishi kupita kiasi...
Na kuna mwanamke alisema et hayupo tayar kutoka kwenye kanisa alilozaliwa nalo
Mimi nishaelimisha watu sanaa kitaaa
Saizi wananiita masihi dajar mpinga kristooo😂😂😂
✍️✍️
Comment section inaonyesha watu waliowengi ni wapagani na wanafurahia habari hizi...
Kuna dada alifukiwa na kifusi k koo ..masela wakapambana kumtoa akaenda kanisani kutoa ushuuda . yesu alikua k koo bila yeye asinge Toka .waumini wa kilokole ni mafala sana walifurahi sana yesu kaja k koo na akutembelea jamaa zake kanisani
Una maana gani
😂😂😂😂 yes
Ufala ufalani
Kkkkkkk mafala wnazaliwa Kila Dakika ujue
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah wewe jamaaa
Walokole wakikusikia utapigwa maombi mpakaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaah nimecheka sanaaaaa
Et ka limjusi jekundu
😂😂😂😂😂😂😂
Muko sawa maana mungu hayupo
😂😂😂😂
KAMA HAMUAMINI BIBLIA TUTAWASAIDIAJE
Hawa kama wale JW's
hlw poleni eti wachokonozi Mungu awahurumie hamjui mnachokisema kanisa litasimama na Mungu atahubiliwa