Kiukweli kabisa barnaba kaitendea haki nyimbo hii kwenye nafasi yake chukuwa mauwa Yako mapema kaka barnaba Kama umekubali ichi nilichosema weka like 👇
Bonge la nyau ni bonge la msanii uzuri unaonifanya nimkubali ni kwamba jamaa anaumiliki aina ya muziki wake mwenyewe please usiachie hiyo talanta uliyopewa na mola. Amini usiamini unajua sana braza.
Nilioa nikiwa mdogo,na hata sikuwa na kitu wakati maisha yalipoanza kwenda ndio picha likaanza 2015 kweli vice versa mwanangu bonge la nyau kama aliniimba mm!!
😂 daah! Nakumbuka 2015 tuko washkaji watatu halafu mimi tuu ndio nina buku njaa zinatuuma tukaenda mgahawa mmoja hivi tunataka supu, 😂 yule dada alitongozwa kapewa buku tukanywa supu. Mungu atusamehe.
Wanao sikiliza ad Leo 2024 tujuane asee ... Old is gold
How many of us listen to this best song this year 2024
Here I am like now😂❤
me inakumbusha ndo nilikuwa nimeolewa maisha yakuwa bado ya kuunga uga tuu
2021/1/29/....Ukowapi aseeeh???.....tugonge like hapa nahuyu bonge lanyau 🥰🥰🥰💪💪💪
Nyau loso bonge moja la ngoma big respect brother 2024🎉
Hiyi ngoma inanikumbusha 2016 nilikua kwenye gari nikitoka tz nakuja kenya nakuja kutambulishwa na mmewangu kwao
mpende sana mumeo dadaangu
@@JoeAM911how is it going now baby❤
Vipi bado kama zamani? Maana mahusiano haya daaah
Me inanikumbusha mwaka 2016 nikiwa kisiwan mafia imetamba sana
Njooo nikutambulishe Na huku kwetuu uwe unakumbukaaaa tenaaaa
nice broo walokuw 2019 kma mm gong like tuwe sawaa
Kiukweli kabisa barnaba kaitendea haki nyimbo hii kwenye nafasi yake chukuwa mauwa Yako mapema kaka barnaba Kama umekubali ichi nilichosema weka like 👇
2020 who else is here to watch good music?
One love and respect.
NyauLoso ft Barnaba Boy Classic
Uyu bonge la NYAU ni msaniii mzuri sana sema ndo ivo watu awampii mazingatio, 2024 naangalia ngoma zake
Barnaba fundi sana,, izo back vocal daah
Aah nyau amenikumbasha mbal sanaaa chuo cha uhasibu Arusha
This was one of the best songs which didn’t get enough airtime!
Dah uy jamaa bhn noma sana sjui kwanin ata aliacha music
Bonge lanyau mm napendaaa unavyo rap
Bonge moja la nyauuuuuuuuuuu.Mwanangu fundi sana toka pande za kariakoo
Most under rrated song tried
Naikubar sana hii ngoma.
Bonge la nyau ni bonge la msanii uzuri unaonifanya nimkubali ni kwamba jamaa anaumiliki aina ya muziki wake mwenyewe please usiachie hiyo talanta uliyopewa na mola.
Amini usiamini unajua sana braza.
Ngoma kali ,kinoma big up broo
Huu unanikumbusha 2015 na mimba ya mwanangu jmn mpka sasa 2019
Nakuombe kwa mungu urudi kwenye game.
Aisee ngoma naielewaga hii
2023 naomba likes zangu jaman kama tunaupenda huu wimbo
m kila baada ya siku mbili lazima nisikilize huu wimbo naupenda sana
ngoma Kali jamaa kafanana na salamba dem kama wema
Kipi tena kwa mola niombe...niliomba pesa akanipa dhamira yangu nikutunze mpenzi we one way imekua vice vasa
Hihihiiiiiihiiii
Mxtar mtam
Nazikumbuka zile siku,
Ulizotamani kula kuku,
Mfukoni nami nina huku,
Imekua vice versaaa
❤❤❤lolawart
Pesa inabadilisha mtu itakua baada ya kupata pesa ukachange babe akaona we sio mwanaume aliempenda
23/05/2021 en forever ❤️
Dah Hatri Waimbaji utawaona hii ngoma kali xan
Nishida inanikumbusha mbali
Inanikumbuxha nikiwa na ex wangu tulikua tunafungulia kwa gal mwanz mwisho
kama ulipigwa chini na pisi kisa pesa.. unakuja unazidaka unamchapia hizi verse za terano music,.. 2023
Baada ya kuachwa ndo nimekukumbuk bonge la nyau😭😭😭huu mwaka na uishe
Bonge la ngoma,, big up Sana,,
Napendaga anapowapaisha mabishoo wenzie
Udede,Ally Absi,Jack Umeme,Amiga Tiger,Terano Music
Sana Yan . Mwana Yan Huw Nasuburi Anapowapa Mashavu Wanawe Wa Faida
Mm ndio zaid asa pa udede terano music
Chichi chid
Oyaaa jack umeme
Big UP Man 🔥🔥🔥🔥
Ilikua huna pesa we nadem wako mnapendana kupgndukia mmesota saana2 mlipopsta2 demu kasepa inauma saana
2016 somewhere in UK.... Those days when i was expecting to graduate my studies
Hii ndo one hit wonder bora
Meaning of good music alive until now 2024
Dah goma hil kitambo sanaa
Ebwana nomaaa sanaaaaaa
Bonge la chorus,inanikumbusha mbali saana
Nilioa nikiwa mdogo,na hata sikuwa na kitu wakati maisha yalipoanza kwenda ndio picha likaanza 2015 kweli vice versa mwanangu bonge la nyau kama aliniimba mm!!
Most underrated song 🔥🔥🔥
Back in 2021 end year for barnaba's voice🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
To much love from burundi
Vice vaser!! hahaa inatokea sana usiombe ikukute hadi unashaanga
Here we are 2023❤
To day again 24 naskiza mdundo tena tarhe 25 September so pouw nani mwengine yupo namimi
Ibraclass .. 2024 here me too
Do!!, kwel hii ngoma inaish
😂 daah! Nakumbuka 2015 tuko washkaji watatu halafu mimi tuu ndio nina buku njaa zinatuuma tukaenda mgahawa mmoja hivi tunataka supu, 😂 yule dada alitongozwa kapewa buku tukanywa supu.
Mungu atusamehe.
😂😂😂
Hii ngoma inanikumbusha nilikua kwenye gar natoka ukweni jaman
Aisssee❤
2022 hii ngoma still kali 🔥🔥
Akhi nyimbo za zman hkun matus🥰🥰🥰🥰
Favorite song 4any time
Hii ngoma haitakiwi iwe na 35k
Who is there in 2023
Who is here 2019?
2022
Nipo nalo hili dude 21/12/2019 la mwanetu
2021 still hit song
Nice one bro
Back in 2023 end year for best song all time🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Naikubal Sana hii hainichoshi kusikiliza
Life buuu baaa.
Ahahhaaaa
Bonge La nyau uko vyema ongez jihudi
Bora ungekimbia wakat was dhiki
Bonge moja la ngoma
I promise to come back apa 2025 kuskiza ii ngoma tena
❤🥁 kali
Goma kalii kinoma noma 2020
2024still on fire 💥💫💫💫
Ngoma kali sana hii haishi utamu
Hayo mlioimba yamenikuta mimi katika Maisha Yangu
Yan ka walivyo imba?
Barnaba ndo kaua kbsa hii ngoma kaisimamisha kinyama
Barnaba umeuwa Sana kwenye colas
Yeeeeeeeeeaaaaaaaaaa
Namchek calisah kama sio yeye asee
2019 gonga like
Huwa sichokagi kuusikiliza huu wimbo
I see me 😭❤️
amiga tiger the best
Leo sipo naww kivipi nitambee??woyo woyoooo
Ahahhahaaa
Adui calisah alitisha ile mby😅
🔥🔥🔥🔥
15.1.2021
Who is here 25 Feb 2020 ????
❤❤
Naikubali sana Hii beat
Bonge lanyau from us like music
Yani hii nymbo inanikumbsha mambo mengi
kiiipi tena mi niombe
2020 vibe
Im here 2023 vice versa✌🏾
Hatariii
Kitamboo sana
Dah,2019
Inanikumbusha kipindi nipo chuo Mwaka wa Kwanza hil
Kali
07/06/2020
Dude hili hatareeee2018
Favourite song 🔥🔥
kuliko sasa iko cash na ipo jina