Rich Mavoko Silali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Silali an emotional song from Rich Mavoko enjoy the story the lyrics and a nice video.

Комментарии • 480

  • @way9tv821
    @way9tv821 9 месяцев назад +32

    here 2024 fundi wa muziki messsi wa bongo flavour💥💥💥💥💥🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @joshuadaniels3797
    @joshuadaniels3797 28 дней назад +17

    KUNA MTU HAPA HUU MWAKA 2025 JAMANI GONGA LIKE TUJUANE PLIZ

  • @cardoalbert1366
    @cardoalbert1366 11 месяцев назад +132

    2024 ambao tunasikiliza togonge like hapa 😊

  • @elishacharles3073
    @elishacharles3073 Год назад +32

    Nimerudi tena kupata mziki mzuri January 2024

  • @selemaniusiogope386
    @selemaniusiogope386 28 дней назад +1

    Hatariiiiiiiiiiiiiii sana

  • @zackmen-ol3yj
    @zackmen-ol3yj 5 месяцев назад +13

    Rich ivi u wimbo uliwaza ukiwa na nani,,?da wimbo mzur sana kwawale tunao uwelewa mpaka sasahivi tujuwane kwa like from ,🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Hashkan22
    @Hashkan22 Год назад +25

    What a song 🤩🤩🤩tunao sikiliza 2023 tugonge like

  • @Happyvbgmkmkimario5723
    @Happyvbgmkmkimario5723 Год назад +8

    Mavoko fundi jmn anaimba huy kaka still nyimbo zake bado ukiskilz zinabamba❤❤❤

  • @THOBIASCORNERY
    @THOBIASCORNERY Год назад +39

    Kama Bado una sikiliza nyimbo hii like apa 🔥🔥🔥🔥

  • @DannyMwokozi
    @DannyMwokozi 3 месяца назад +5

    Wa Tanzania mkumbuke msio mpa like au chochote bado muumbaji wabina damu yupo

  • @WinfridaMilali
    @WinfridaMilali 5 месяцев назад +9

    Huwezi kujua machoni kama nimess pendo lakooo😭😭😭 2024

  • @Imanurondundi
    @Imanurondundi 12 дней назад +1

    Walafik zangu watanzania tunafulahia nyibo zenu kam from 🇧🇮

  • @mohdhussein9749
    @mohdhussein9749 Год назад +3

    Still hii kitu ipo juu 🎉🎉🎉🎉😢

  • @abdizboss127
    @abdizboss127 Год назад +55

    Who's here 2024?

  • @hassankilongo8061
    @hassankilongo8061 10 месяцев назад +8

    Wimbo huu kiwango chake ni cha juu sanaa! Huyu jamaa yupo wapi siku hizi ?

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Год назад +20

    My 2015 memories in Nairobi Kenya brings me good vibes with this song in my mind❤🇰🇪

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 8 месяцев назад +13

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    2024
    Everlasting masterpiece🎉❤

  • @irenecharles9094
    @irenecharles9094 Месяц назад +1

    Nyimbo nzuri sana

  • @raymondjacob1560
    @raymondjacob1560 26 дней назад +1

    C naine wan...😅...TBT we are getting older.

  • @MuutzShauri
    @MuutzShauri 2 месяца назад +6

    ambao tunasikiliza 2gonge like hapa 2024

  • @SalumMohamerd-i7k
    @SalumMohamerd-i7k 5 месяцев назад +3

    Daaa Ngoma hii noma saaaaaaana inanikumbusha nilipofumania wife 2013 hataliiiiiiiiiiiiiiii richi noma

  • @babyhayra5593
    @babyhayra5593 2 года назад +9

    Hii nyimbo naipenda sana sichoki kuisikiliza na nikiisikiliza inanikumbusha mbali xana

  • @brianndune8412
    @brianndune8412 Год назад +41

    ❤❤2023 memories which comes with this song ..my old days in the coast region

  • @Ramjamcomedian
    @Ramjamcomedian Год назад +4

    yani bro leo tbt imebidi nikutafute tena😢😢mashabiki zako ulituachaje hutoi ngoma😢

  • @bruhankuhunguru4810
    @bruhankuhunguru4810 5 дней назад

    The NI verse is very cool for sure. I never understood it before because I was young but now I can feel it, he sang sadly with feelings, he was pleasing someone not to go away in difficulties. Tears! NI 😢❤

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 5 месяцев назад +1

    Nice song my brother 🇰🇪♥️

  • @youngmistak4929
    @youngmistak4929 5 лет назад +19

    Naipenda Sana ♥️ Tena imetulia sauti pia ni ya mavoko zile sauti za manigeria wachana nazo

  • @ZaurinaZaurina
    @ZaurinaZaurina 5 месяцев назад +5

    Im here after watching Rich mavoko mum❤

  • @africatreandmusic2437
    @africatreandmusic2437 4 года назад +6

    Nani bado anasikiliza hii ngoma baada ya interview yake na @salamana Kama unamkubali mavoko gonga like #masaimmoja #kutoka+254 #kajiadomassive

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Месяц назад

    KIPINDI HICHO RICH ND STAR HTR DAH AISEE

  • @AzizaAlly-se6vg
    @AzizaAlly-se6vg 4 месяца назад +1

    Dah hu wimb unanikumbusha baba mtoto wangu na ameaga Dunia aliupenda hu wimbo mungu ampokee salama alaze roho yake pepon

  • @farajasandra6543
    @farajasandra6543 5 лет назад +11

    Twenty twenty jaman,tunaona i ngoma bado fireeee

  • @daktariwamauzo
    @daktariwamauzo 6 месяцев назад +2

    Ahsante Sana Baba Yangu kwa Kunifanya Nipende Kazi, Huu wimbo unanikumbusha nilipokuwa naamshwa ASUBUHI na MAPEMA nikalime shambani....
    KUNA DADA ALIKUWA anapita kila siku karibu na shambani ANAUSIKILIZA... nimekuwa najitegemea SASA...
    Thank You Dady

  • @yedwinjj
    @yedwinjj 2 месяца назад

    Mkali wa hizi kazi I miss this guy badly call him Messi... unajua bana Richi Mavoko

  • @HadjaAthuman
    @HadjaAthuman Год назад +1

    Noma sana wimbo huu

  • @mamiihadija5981
    @mamiihadija5981 4 года назад +6

    Baba mtoto kaniacha.. Mtoto ywaniuuliza wapi baba.. Yarabii nifanyie wepesi

  • @WalterSimiyu-v4z
    @WalterSimiyu-v4z Месяц назад +1

    Hiii Ngoma inanikumbusha when I was in high

  • @RICHMOND254
    @RICHMOND254 Год назад +1

    Keep it up rich mavoko, na ukumbuke nchi yako Kenya, yaani kwenu okay thanks,

  • @johnstoneopeso478
    @johnstoneopeso478 Год назад +1

    Sasa Kila mtu akisema yy ni no moja na mm je ni no ngapi big up rich mavoko

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 5 месяцев назад +1

    Nakupenda sana huu wimbo

  • @AllyOmary-m7o
    @AllyOmary-m7o 4 месяца назад +1

    Nakumbuka shemej yangu alikua anaupenda xn huu wimbo Leo hii hayupo Tena Duniani daaah hii Dunia bas2

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 5 месяцев назад +1

    Hii ngoma kali sana ,itaishi mda mrefu❤😊

  • @eliasnicolaurobath6864
    @eliasnicolaurobath6864 Месяц назад

    Hizi ndizo miziki ya kitanzania bora kabisa

  • @danielmagigita9356
    @danielmagigita9356 Год назад +6

    The back vocals are 🔥

    • @alanpierrers
      @alanpierrers 8 месяцев назад

      Glad someone had to say it. The lead and the harmonies in the chorus as well.

  • @TuzoMtuku-ju6id
    @TuzoMtuku-ju6id Год назад

    najua hunijui wala sikujui ila wwe unaesoma hapa 2023 Mungu akupe hitaji lako la moyo🙏🙏🙏😪

  • @HakizimanaGrodie
    @HakizimanaGrodie 19 дней назад +2

    Iyi inatisha

  • @elizabethmichael4404
    @elizabethmichael4404 5 месяцев назад +1

    Wimbo wangu pedwa 2024 steel ❤

  • @mrroyalkekenyanvoice390
    @mrroyalkekenyanvoice390 5 месяцев назад

    Like kama bado tunasikiliza mavoko...let's bring him back guys

  • @calvinmessi3243
    @calvinmessi3243 2 года назад +1

    02/02/2023… nimeamka huu wimbo unajirudia rudia tu kichwani ad nimepata jina lake youtube…God bless 2023 tusiwe na mawazo mengi ya kutunyima usingizi

  • @RICHMOND254
    @RICHMOND254 Год назад +3

    Rich mavoko keep it up,and remember your country kenya

  • @MathweLucasi
    @MathweLucasi 5 месяцев назад +1

    Kali sana aisee❤

  • @VictoriaMsiagi
    @VictoriaMsiagi 4 месяца назад

    Nimeukumbuka mbali sana ❤🎉

  • @evanskubai9848
    @evanskubai9848 2 года назад +12

    i miss those days when we rich mavoko was on top of his game

  • @mercymuthoni4915
    @mercymuthoni4915 Год назад +5

    Am from Kenya and I love this song I have watched more times than I can count.

  • @assouamtaf8677
    @assouamtaf8677 4 года назад +2

    Huezi kujua machoni kama nimemiss penzi lako💥💥💥

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 6 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mavoko anajua kiukweli❤❤

  • @georgechibai2716
    @georgechibai2716 4 года назад +275

    Watanzania muna wivu sana, sasa mbona wimbo mzuri kama huu una likes 729 pekee yake na 92k views tu from 2014 ilhali wimbo mbovu kama 'Shusha' ya Babalevo eti inapigiwakura. Ama kwasababu tu kaimba na Diamond? Gongeni likes kwa hii song bana.

  • @RehemaBarnaba
    @RehemaBarnaba 11 месяцев назад +42

    2024 tujuane gonga like twende❤❤

  • @elishacharles3073
    @elishacharles3073 3 года назад +19

    Meaning of bongo fleva, gud music until now 2022👏👏👍

    • @seifahmed9689
      @seifahmed9689 2 года назад +1

      Kabisaa this song

    • @autocraftke
      @autocraftke 2 года назад +1

      Ten years after , this tune is symbolic ,used to jam this song during my first ever hustle at 20 yrs now am enjoying the third floor

  • @NasriAbdallah-d5w
    @NasriAbdallah-d5w 3 месяца назад

    huyu mwamba alikuwa bora sana aisee

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz Год назад +1

    Tumekumiss ❤❤❤❤

  • @salminisaleh9249
    @salminisaleh9249 5 месяцев назад

    Mavoco Richi Dah😢😢😢😢 Nini Kilikukuta Mpaka Ukaenda Kule . Kipaji Cha Hali Ya Juu Kimepotea Hivi Hivi Dah

  • @georgechande8140
    @georgechande8140 2 года назад +1

    Alafu chitaki ina likes mamilioni wakt nyimbo ambayo inarelate maisha yetu ya kila siku inclines chache

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 9 месяцев назад +2

    Back in the days 2014/2015 fresh memory i can recall this song in Nairobi kenya ..South C modern coast bus staff canteen😢

  • @uledimusiclabel2736
    @uledimusiclabel2736 5 месяцев назад +2

    Unakumbuka wapi hii ngoma gonga like yako hapa

  • @kuryaphotography8838
    @kuryaphotography8838 6 месяцев назад +1

    Hii ngoma inanikumbusha kwa bamdogo Kulikuwa na mpangaji ameoa kabinti kadogo nq mm nina geto langu pale halafu yule shemeji akanipenda na ndan kwetu ndo kuna TV full kukabinukia kashemeji mchana kutwa had kaz nikasahau ila kaliondokaga na mimba yangu hata cjui yupo wapi had leo machozi tu yananitoka hata mwaka sikumbuki ila ni kama 2012

    • @madaleps3039
      @madaleps3039 5 месяцев назад +1

      😂😂😂😂 Tafta mwanao mzee

  • @stahimiry
    @stahimiry Год назад +1

    Mavoko ariwaza ni no mpaka ariimba Ivo jamani

  • @shakilajamia6906
    @shakilajamia6906 3 года назад +3

    2021 nimepita na ngoma hii ya mavoko Ila Kati yetu tulip comment Kuna ambao tumesha wazika humu ujuw🥺

  • @josephlewa3745
    @josephlewa3745 3 года назад +2

    Mavoko uko juu more fire songz zako ziko Chonjo biigy up sana bro

  • @mohamedhalifambela6419
    @mohamedhalifambela6419 4 года назад +1

    Nyimbo hii ndio iliyobeba jina la hilo mavoko lenyewe sikia malalamiko ya sauti yanavyokuingia vizuriiii masikioni humo

  • @TMcheche32
    @TMcheche32 3 месяца назад +1

    sikupingi my brother kipaji unacho usi2anguahe sasa

  • @corrie-gk2pd
    @corrie-gk2pd Год назад +1

    Kenyan and i love the song can somebody get me reach mavoko

  • @LilianReuben-y2b
    @LilianReuben-y2b 5 месяцев назад

    Uwii wimbo mzuri huu

  • @Alice-q4w1k
    @Alice-q4w1k 3 месяца назад +1

    Nice song respect you

  • @sophiekimpembe-nu1cq
    @sophiekimpembe-nu1cq Год назад

    Je vous kiff trop riche mavoko c'est Mathieu les presnel kimpembe from my Toronto 💥💪

  • @jimmykenta3057
    @jimmykenta3057 6 месяцев назад +1

    James naipenda inanikumbuxha bali

  • @sahauthuman5689
    @sahauthuman5689 3 года назад +2

    Any one still enjoying this hit song of all time like

  • @husseinhousni8943
    @husseinhousni8943 3 года назад +1

    wew ndie really mavoko ulikua ukiimbia mpaka unagusa hisia zangu 😪 nimemiss nyimbo kama hizi kutoka kwko

  • @WambuaMbithe-w2c
    @WambuaMbithe-w2c 5 месяцев назад

    Love you mavoko your hits ziko poa mapezi wee

  • @harrietimbosa3962
    @harrietimbosa3962 4 года назад +6

    This my favourite musician,sauti tulivu,nskupenda Mavoko

  • @YusufKahindiKahindi-tc3ju
    @YusufKahindiKahindi-tc3ju Год назад

    Rich hiii nyimbo kboko broo hongela sana

  • @kingshyzo2413
    @kingshyzo2413 2 месяца назад

    Revolution guys manze 🎉

  • @hellennafula9813
    @hellennafula9813 5 лет назад +15

    Am still here 2020,mbona silali🔥🔥💯

  • @dixvannyke3904
    @dixvannyke3904 2 года назад +1

    Nilikua siamini kwenye uhalisia nilidhani ni wimbo tu uliimba kaka @rich mavoko,but know najionea😥.

    • @sweetkeed2898
      @sweetkeed2898 2 года назад

      😢😢🤣🤣🤣hata cjui nacheka nn, jaman yamekukuta?😰😰sory

    • @dixvannyke3904
      @dixvannyke3904 2 года назад

      @@sweetkeed2898 🙏🙏

  • @vansopapu
    @vansopapu 2 года назад +3

    I'm here and I'll always be here 🔥✅

  • @IssaMusa-x1m
    @IssaMusa-x1m 5 месяцев назад

    Naipenda hii na. Ibaki stori

  • @godfreywanjala6351
    @godfreywanjala6351 3 года назад +8

    Mbona silali oh my God I remember this song I remember my broken heart

  • @stevelebo
    @stevelebo 2 года назад +20

    I just love how the voice blends with the beats.

  • @j_madinda8443
    @j_madinda8443 3 года назад +6

    The sound was matched by the songs he was tired of listening to and I really appreciate mavoko my bro you are my first artist in East Africa you can without they

  • @joshuamwamuye66
    @joshuamwamuye66 9 месяцев назад +55

    Nani bdo anasikiliza hii nyimbo tukiwa 2024 april

  • @jeremayajeremaya5011
    @jeremayajeremaya5011 5 лет назад +2

    Walaiiiii mavoko ukiwaa pekeee yakoo mamboo inajipa..saa sijuiii wasafii walikuibiaa nyotaa wakampaa mmbosoo duuuu

  • @keelahyooh9081
    @keelahyooh9081 2 года назад +18

    Best of the best still rocks
    2023

  • @EsterEster-h9n
    @EsterEster-h9n 5 месяцев назад

    Huu wimbo unanilizaga sana mpka Sasa sijapata jibu

  • @ASHASEKAMBA
    @ASHASEKAMBA 5 месяцев назад +1

    Mavoko nimekumis❤❤

  • @rahemaally8168
    @rahemaally8168 2 года назад

    Ngoma Kali sana jamn

  • @evastesheni8024
    @evastesheni8024 Месяц назад

    Wimbo wangu pendwa

  • @aliceayua338
    @aliceayua338 2 года назад

    But aki mavoko Rudi industry this time round itakwa🔥🔥🔥🔥🔥mm nakupenda aki ur songs damn they are lovely much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @edsonwilson1572
    @edsonwilson1572 2 года назад +1

    Kaka rich Ngoma zako zinafundisha sana mi shabiki Yako namba moja

  • @hafidhihamisi9425
    @hafidhihamisi9425 Год назад +1

    YOU ARE NOT SINGER BUT YOU ARE MUSICIAN MUCH RESPECT TO YOU LOVELY SONG WITH THE SME BEATS, KEEP IT UP

  • @adiaally4974
    @adiaally4974 Месяц назад

    Naupenda sana