MWL DANIEL AMBURUZA NA MASWALI MANZITO UST MBOGO JUU YA UTUME WA MTUME MUHAMMAD KWA QURAN NA BIBLIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 138

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 дней назад +5

    Maashaallah tabarakallah shehe mbogo. Allah akupe umri wenyeheri nawe

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu anazungumza kivyake na kujinadi kivyake❤❤❤

  • @isayaadrian
    @isayaadrian 9 дней назад +4

    Simulizi unajitahidi sana had nakupenda Mungu akubariki

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 9 дней назад +4

    Kazi nzuri mnayoifanya mwalimu daniel mwakemwa na mwalimu ndacha kwa kutupea elimu ili tujue ukweli kuhusu kurani na mashaka yake,mpaka mbogo anakwepa maswali hajibu vile swali limeulizwa,asanti mwenyezi mungu awabarik wachungaji wetu

    • @hashirali4587
      @hashirali4587 9 дней назад +1

      Ww ndie unae mashaka qurani Haina mashaka

    • @hashirali4587
      @hashirali4587 9 дней назад +1

      Daniel Hana elimu sheikh usijisumbuwe

    • @simonnyemazi5286
      @simonnyemazi5286 9 дней назад

      Tatizo wa islam wakishindwa. Kujibu maswali huanza matusi na kukwepa mdahalo.. SASA khema iko wapi? Acheni wa kristo watambe

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 8 дней назад

      Wachungaji wako mbona hawana hoja za msingi ni kukashifu tu na kulalamika

    • @DanielErnest-nn2zj
      @DanielErnest-nn2zj 7 дней назад +1

      Muhammad ni mtume wa uongo

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 9 дней назад

    Mimi muislam , nakupa Maia Mr ,simulizi kutusaifia kupata kuwakusanya walimu wetu Hawa ,ujue wakilisto wanajifunza,Sana Sana usione Kama kazi yenu kubwa Sana

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 9 дней назад +1

    Mtume Muhammad alipingwa na watu ambao ni family yake na walishuhudia miugiza mingi yake na wako walio muamini na wako waliomkataa katika wakati wake na paka sai
    Allah ni Shahidi kua mtume Muhammad ni mtume wake na alifikisha ujumbe alopewa na Allah na waislamu pia wanamuamini Muhammad na manabii wote
    Quran 61:7-9
    Quran 48:28-29

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 5 дней назад

    Daniel ana shuki Iko katika moyoh wake kama kweli mayahudi walikubali yesu ni mtume wa mwenyezi wakimua ya yesu Dio makwubwa

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 9 дней назад +5

    Wakristo poleni mnahangaika kumkana Mtume Muhammad (S.A.W)aliekuja kwa dalili na hoja zilizowazi lakini ni wepesi kuwakubali Manabii kina Mwamposa na I.P.M

    • @ngerejaboniface2596
      @ngerejaboniface2596 9 дней назад

      Mohamed sio mtume bhana hakuna Aya inayomthibitisha

    • @ngerejaboniface2596
      @ngerejaboniface2596 9 дней назад

      Kingine wanaomwamini mwamposa ni walewale wanaomwamini Mohamed maana wote ni nabii wa uongo! Dini ya kweli ni Sabato hata ukisoma hiyo quran 4:54 +quran 2:65 +quran 7:163 na inapaswa kumwamini yesu ili awape uzima wa milele quran 3:50 maana ni mwana wa Mungu quran 4:171 na anamamlaka duniani na mbinguni na wote waliokalibishwa kwa Mungu quran 3:45. Kaka jitahidi kusoma vitabu ili usiwe mbishi hapa siwezi kutumia Aya za bibilia maana najua utapinga sasa soma quran unayoiamini!

  • @samxx411
    @samxx411 9 дней назад +2

    Simulizi hujawahi kubase kwa mbogo siku zote unaegemea kwa makafiri wenzio ila haki itabaki kuwa haki na tunashukuru kwa kuutangaza uislamu

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 9 дней назад +3

    Mwenyezi Mungu ndiye aliemtuma Nabii Mohammed, na aya nyingi kwenye Quruani zinathibitisha hivyo, ila kwa wale wabishi kama Danieli na Ndacha na vikosi vyao ndio wanao takabari kwa kukubali hilo, someni aya hizi: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu al_fatH 29 Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. --as_saff 9

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 дней назад +1

      mungu wa makkah ndie kamtuma Muhammad si Mungu wa mbinguni!

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 9 дней назад

      Subiri ukifa ndio utajuwa Kama Mungu wa Makkah au Mwenyezimungu muumba wa kila kitu endeleeni ku bisha tu​@@JeanMuzaliwa-bs6qh

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 9 дней назад +1

      @ Mwenyezi Mungu ni mmoja wa Mecca na wa mbinguni na wa ulimwengu mzima ni yule yule mmoja, ni huyu: Kumbukumbu la Torati 6:4 ( Sikiliza, Ee Israeli: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja ) na kwenye Quruani ni yule yule: Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. --al_baqarah 255

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 дней назад

      @@alyaqdhan5206 ndio kuna mungu wa maccah ambae waislamu wote duniani mnasafiri kwenda kumbusu!

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 9 дней назад +2

      Hebu toa aya inayosema mimi mungu nimekuchagua muhamadi uwe mtume wa dunia nzima toa aya

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 9 дней назад +1

    Daniel, Muhammad SWW, tuna mukubali kama ni Mtume wa Mungu kwa sababu chache nitakuonesha, ziko nyingi sana ila tuone za muhimu
    1. Amefundisha Mungu umoja tu
    2. Amekataza kula haramu na kunywa haramu etc....
    3. Amefundisha Ibada ya kuokopa Mungu kwa hali ya juu sana. Kama hauna imani ya ki Mungu ndani yako hauwezi kamwe kudiriki iyo ibada mara 5 kwa siku.
    Mimi sifundishe ila hoja za ndugu zetu katika Adam mufikiriye mbele yakuleta hoja zenu. Tuta wafundisha mpaka lini?
    Imani yangu mimi ni mutu yeyote atafundisha Miungu uyo ndio nitapingana naye Daniel kuja tukusomeshe Ujuwe Mungu acha kutapatapa Daniel

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu ana mungu kivyake

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 6 дней назад

    Daniel asante unatupa elimu ili tuzidi kuelimika😊

  • @SamsiaKassaKangeta
    @SamsiaKassaKangeta 9 дней назад +1

    Ama kweli Ustadhi Mbogo umedhihirisha ujahilia wa Danieli Mwamkemwa,japo yeye anajihitakidi kwamba ni msomi,kumbe hamna kitu!
    Kwanza ajuwe utume haurhibitishwi na hao mushirikina,wala utume hauvuliwi na mushirikina hata kama watajipanga maelfu kwa maelfu kuupinga!
    Wala mtume kufuta kauli ile kwenye mkataba,ili kuwaridhisha mushirikina pia hakumfanyi awe mtume!

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 9 дней назад

      Wala mtune kufuta kauli ile (kuwa yeye ni mtume) kwenye mkataba ili kuwaridhisha mushirikina pia hakumfanyi awe mtume😂😂😂 sasa hapa shekhe unathibitisha au unakanusha? Nimeshindwa kukuelewa

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 9 дней назад +2

    Wakristo wanashida leo mwalimu Daniel amekubali Yesu ni mtume wa Mungu tokea majuzi anadai Yesu ndiye Mungu huo ndiyo ukafri hauna kumbukumbu kwa mtu alivyoongea siku za nyuma

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 9 дней назад

      Kasome Quran 4:171. Inasema Isa mwana wa Mariam ni mtume wa Mungu, na ni Neno la Mungu na ni Roho wa Mungu. Roho yako wewe Ali Abdalah ndiyo Ali Abdalah mwenyewe. Kama ndiyo hivyo basi Isa mwana wa Mariam ndiyo Mungu mwenyewe. Maana huwezi kumtenganisha Mungu na Roho yake, ndiye huyohuyo. Tafakari bila kuwa na kasumba.

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu anazungumza kivyake mungu

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 9 дней назад

    Hoja yangu kwa Daniel, Utume wa Muhammad unawacoma baazi za wakristo kwa sababu hakujiita yeye ni Mungu?

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 9 дней назад +2

    Mwankemwa ubarikie sanaaa MUNGU alieumba mbingu na nchi akulinde sikuzako zotee.

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu anazungumza kivyake mungu

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 9 дней назад

    Huyu mbogo ana hoja dhaifu Kwanza hata quran Mimi siiamini maana nasomaga sioni neno lolote Mungu akitamka kumthibitisha Mohamad kuwa ni mtume wake!

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu anamzungumzia kivyake mungu

    • @mutuaissa4815
      @mutuaissa4815 8 дней назад

      Wewe ndugu kurani Gani wajuwa kusoma?🤔☹️😕

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 9 дней назад

    Kingine wanaomwamini mwamposa ni walewale wanaomwamini Mohamed maana wote ni nabii wa uongo! Dini ya kweli ni Sabato ya jumamosi kwa mwenyezi mungu na Kumwamini Mungu aliye pekee na yesu Mwanaye harisi yesu kiristo. Yohana17:2,3,5,6 hata ukisoma hiyo quran 4:54 +quran 2:65 +quran 7:163 na inapaswa kumwamini yesu ili awape uzima wa milele quran 3:50 maana ni mwana wa Mungu quran 4:171 na anamamlaka duniani na mbinguni na wote waliokalibishwa kwa Mungu quran 3:45. Kaka jitahidi kusoma vitabu ili usiwe mbishi hapa siwezi kutumia Aya za bibilia maana najua utapinga sasa soma quran unayoiamini!

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 9 дней назад

    Shida ya wakristo mwaisoma bibilia Tu pekeake hamusomi Quran mukaona tofauti ya bibilia na Quran
    Taurati na zabur na injili zote ziko ndani ya Qur'an
    Wasia wangu wakristo isomeni Quran msiskize wachungaji wenu wanawapoteza
    Quran 33: 63-68

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 9 дней назад

      Eti torati na injili zipo kwenye Quran, acha kuchekesha bhana. Siyo kweli.

    • @HashimMohamed-ku8mg
      @HashimMohamed-ku8mg 8 дней назад

      Quran 48:28-29
      Ushawahi kusoma Qur'an?

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 9 дней назад +1

    61:6 Qur-ani
    Na wakumbushe aliposema lssa bin Maryam alipowaambia Mayahudi:Enyi wana wa lsrail mimi ni Mtume wa Mlmungu kwenu nisadikishae yaliokuwa kabla yangu katika Taurati na kutoa habari njema ya Mtume atakaejia nyuma yangu ambae jina lake litakuwa Ahmad ((Muhammad))
    Ikiwa Yesu mwenyewe kamthibitisha nabii Muhammad (s.a.w)Daniel wewe ni nani eti unakuja kumpinga

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 9 дней назад

      Kama kweli Yesu katoa kauli kama hiyo uliyoinukuu basi lazima iwepo kwenye Biblia takatifu. Je ipo?

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 9 дней назад

    Daniel, wewe na Abu jahili, nani alimuona Rasul Sww? Daniel Mudahala wako hauna maana ata kidogo nafikiri kiwango cha Elimu yako iko chini sana. Naamini Ustadh atakuelimisha

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 5 дней назад

    Hii mikiristo mipumbavu kweli utume kapewa na Allah vp mwanadamu aondewe utume wake

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 9 дней назад +2

    Hata Yona mungu alijidhihisha

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 9 дней назад

    Musa alipambana haikuwa rahisi hadi farao hakuamini Mungu sasa iwe wa kuresh wa Kiarabu

    • @janetmwende7280
      @janetmwende7280 4 дня назад

      Ni kweli,lakini Musa mungu alijidhihirisha kwa farao kuwa Musa ni mtume wake,wakati Muhammad amenyimwa kusali kwa alkana,mungu angejidgihirisha kwa hao makresh kuwa Muhammad ni mtume wake,upon,???

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 9 дней назад

    Dah nimesklza dakika10 Danieli mwana theologia jaman huyu ndo mwana theologia kweli hoja hizi za kitoto za hovyo dhaifu hata mm nloishia madrasa najibu

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 9 дней назад

      Hoja zipi sasa za kitoto? Zibainishe basi maana ustaadhi wako amebanwa kisawasawa hadi jazba😂Danieli mwenyewe katulia hana pupa dalili ya usomi!

  • @mutuaissa4815
    @mutuaissa4815 8 дней назад +1

    Huyu Mwalimu Danieli Ni Mwalimu ama tapeli?,hoja hata mtoto Wa chekechea aweza kufuta😅😅😅, Wakristo MNA taabu kwelii

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Daniel hebu jifunze kwanza ndo ukatae utume wa Muhammad unajiabisha tuu kiasi ya kuonekana hujui kabisa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 дней назад

    Mbogo anasema habari ya torati sahihi na injili sahihi, hapo ana maanisha torati na injili vilivyopo vimeharibiwa. Angekuja na injili halisi na torati halisi atuonyeshe zilivyo tofauti na za sasa. Kama hana basi hayo ni maneno tu ya nadharia, hayana mashiko.

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 9 дней назад +1

    Wewe bwana daieliiiiii huna hoja ni tapeliiii

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 9 дней назад

    Oya simulizi usicheweshe kutuletea namba 2 mechi tamu hii😂

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 7 дней назад +1

    Muhammad ni mtume wa kutungwa na Waraq bin Naffay padri wa ki Kristo pamoja na bi Adija mke wa Muhammad, hakuna andiko lolote Muhammad anasema nimepewa Utume

  • @evermtuku
    @evermtuku 9 дней назад

    waislamu hawana hoja kabisaa . hakuna mwislamu anaweza mkristo kwa hoja kabisaaa

  • @OmarKhamis-c4x
    @OmarKhamis-c4x 9 дней назад +1

    Mzee wa hoja 101 leo zipunguze maana siku zote hazipungui.

  • @hashim.22kamal27
    @hashim.22kamal27 9 дней назад +1

    Leo.daniel.ame.kiri.yesu.ni.mtume.ndo.ivo.cc.wasilam.tuna.sema.

  • @erickluther8393
    @erickluther8393 5 дней назад

    Yesu kristo ni mtakatifu ndo maana kristian wanamfuata,vitabu vyote vinafahamu.muhamadi sio mtakatifu,kumfananisha Yesu na Muhamad ni dhambi kubwa sana tunapata,level nafasi ya Yesu kristo ni kubwa sana.

    • @erickluther8393
      @erickluther8393 5 дней назад

      Huyu Yesu kristo vitabu vyote vinamshuhudia kuwa ni mtakatifu sana hakufanya dhambi,Muhammad mwenyewe anasema roho yake ameweka kwa Yesu atakae kuja kuhukumu

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 9 дней назад

    Huyu mwl Mbogo kwa dhahiri amebabaika hoja imemshinda kabisa amebaki kutoa povu. Heko kwa mwl Mwankemwa. Huyu Mbogo mwepesi hata mimi nammudu kabisa kwa jinsi nilivyomsikiliza. 😂

  • @OmarKhamis-c4x
    @OmarKhamis-c4x 9 дней назад +8

    Sio eti huo ulikuwa mkataba wa kibinadamu bali Quran inatufundisha ni Mtume wa Allah. Waswahili wanasema ukishindana na mjinga na wewe unakuwa mjinga mjinga, na hiyo ndio hekma yake badala ya kushindana na hao wajinga alafu wewe simarifa kuogezeka wewe huna elimu ya vitabu vya kale

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 9 дней назад +1

      Kiuhalisia Quran ni maneno ya Muhammad tu siyo ya Mungu. Kwahiyo anayekufundisha kupitia Quran siyo Mungu, ni Muhammad mwenyewe mwenye Quran yake.

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 9 дней назад

      Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu ana muzungumzia mungu kivyake

    • @Anthonyzombie-d2s
      @Anthonyzombie-d2s 2 дня назад

      Hakun asiejuw kam uislm ni uchawi wa muhamad,msijichosh kudangany watu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 9 дней назад +2

    Masuwala ya Mwankema ni ya kitoto sana hata mtoto wangu huwa anangazwa na huyu Mwankema

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Hoja zako bora za ndacha anatengeneza hoja nauongo wake hoja gani gani hiyo hata mtoto mdogo hawezi kushindwa kukujibu au nimlete mtoto wa miaka tisa akujibu

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Bna unalalamika sana Daniel hoja ziko wapi kuhusu mtume bna hatuzione analalamika tuuuuuuuuuuuu unajiabisha hiyo mada unajiambisha tuuu mbogo mfudishe akielewa asipo elewa achana nae mana hatuelewi anachoongea

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa515 9 дней назад

    Mimi swali langu ni moja Tu, je utume wa Yesu haukukataliwa huko kwao ???

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 9 дней назад +1

      Hata kama baadhi ya watu walikataa lkn yeye Yesu aliwambia wazwaz kuwa yeye ni mtume tofauti na Muhammad anafutaa kwa mkono wake kuwa yeye sio mtume bado hujaelewaaa???? Kikubwaa hata kama walikuwa hawamkubali Muhammad yeye angekuwa na msimamo wake kuwa yeye ni mtume wa MUNGU sio kukubaliana nao na kufutaa.

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 9 дней назад +1

      Hata kama walikataa ila ukweli ulibaki pale pale

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 9 дней назад

    Kwahio Muhammad asingeshika Dola Asingekua mtume 😂😂..

  • @SebastianKisokola
    @SebastianKisokola 7 дней назад

    Utawafundisha majini wenzenu wakeistu hawawez kufundishwa na ww mwislam

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 9 дней назад

    Ivi Daniel hufikiria mitume hukubaliwa tu rahisi ivo kwan n kichwa kubwa na akili hakuna

    • @evermtuku
      @evermtuku 9 дней назад

      mbona alifuta hayo maneno acha kelele kakaa

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 9 дней назад +1

    Uislamu na ukristo sio dini za mungu ni utamaduni ndo maana story zinazomuhusu MUNGU na YESU kristo hazifanani Kila mtu anamzungumzia kivyake ❤❤

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 9 дней назад

    Wewe mbogo unasema hoja zaifu lakini ni yakwelii

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 9 дней назад

    Halafu huyu mbogo hata simuelewi kwanini asimtafute mwalim Shafi

  • @bitsanjE
    @bitsanjE 9 дней назад +1

    Qurani sio kitabu cha mungu

  • @MakaraniOne
    @MakaraniOne 9 дней назад

    Muulizen huyo Daniel kwan wakat nabii Ibrahim yy anamwita Abraham wakat analushwa kwenye moto bwana alikuwa wapi

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 8 дней назад

    Eti hoja 101 lkn hoja kubwa ndio hoiyo dineal unajigonga gonga tu naamini hao wenzio hawakuwamini

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 9 дней назад

    Mbona anajitetea mwenyewee fungua basi torati hiyo kwenye kruanii

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Daniel wwe huwezi kukubali sababu hujui unachosema alafu wwe ni kafiri Quraan ilishawambia mda sana si wwe Daniel wapo walimpiga wwe bna hata robo hufiki Daniel

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 9 дней назад +1

    Yaan wakristo hamna hoja sisi tunaamini mitume wote ninyi endeleeni kumkataa muhammad

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 9 дней назад

    Why do people lie when the words are clearly stated?

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 9 дней назад +2

    Hawa watu watatafuta njia yeyote ya kutokubali utume na Uislamu.Kuna sababu nyingi Mtume alifanya hivyo.

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 9 дней назад

      Niukweli muhamadi si mtume wa mwenyezi mungu

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 9 дней назад

      C mtoe Aya MUNGU anazungumzaa sio Muhammad ajizungumzie mwenyewe kuwa ni mtume wa MUNGU

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 9 дней назад

      ​@@JohnOuya-w7jni maneno yako sio ya Mlmungu

  • @PeterYaro-f5r
    @PeterYaro-f5r 9 дней назад

    Wale waokataa kuwa mohamadi wanajua wanachosema.mtume anaoa mtoto?halafu anadai ni suna,huo ni ubakaji.mungu gani ameruhusu ukatili na uuaji kama huo.

    • @AliAli-u7t4p
      @AliAli-u7t4p 5 дней назад

      Kwani Mungu Yesu alimtia mimba, mama yake, bibi Mariam alikuwa miaka mingapi, na Mariam alijua Tumboni kabeba Mungu wa Wakristo.

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Daniel hata hizo aya za Quraan hata hadithi huna kichwani hivyo huwezi kushidana na watu wanavitbu vyote kichwani Quraan ipo kichwani bibilia ipo kichwani, hadithi zipo kichwani historia za mitume vipo kichwani njoo ktka uislaam vitabu hivyo utavijua na vitakaa kichwani msingi wa hayo ni kujua hata aya moja ya Quraan inasababisha uwe na uwezo wa kujua aya hiyo ni ile aliambiwaga Muhammad asome. Kwa hiyo ktka uislaam hatuongozwi na watu kama wakina Daniel yani watu amabao hawana elimu katika uislaam lazima usome then ndo uabudu kwanza umjue mwenyezimungu na mtume wake Muhammad rasulullah. Ukisoma naamini huwezi kuhoji hoja kua Allah sio mungu mmoja na Muhammad sio mtume wake. Lazima ukae darasani si chini ya miaka 20 atilisti unaweza kukaa kama mbogo nakufudisha uma siKama unazani uislaam nikusoma kwa lengo la kuipiga uislaam na mtume Muhammad unafeli na utafeli njoo nikupeleke ukasoma na usiende kusoma kwa lengo la kuupinga bali nikupata elimu kama utakuja kupiga Muhammad

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 9 дней назад +1

    Dakika zaidi ya 15 swali ni moja tu neno mtume kufutwa kwenye mkataba 😂😂😂😂.
    Sasa utume upo kimaandishi?
    Maana hili suali linakuja kwenye msingi ya utume ikoje.
    Sidhani kama ukristo umebainisha hayo katika vitabu vyao.

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Kwa hiyo Allah katuumba na allah katwambia anatujua kuliko sisi tunavyojijua kashusha kitabu hicho cha Quraan amabcho kitawabainisha kua huyo Allah ni nani na yukoje na mitume wake na malaika wake aya hizi za Quraan zinatusibishia kia allah ni nani ndo kama hivyo Daniel unahoji hata miaka hiyo watu ambao walikua bado hawajaamini walikuwa wanamhoji Muhammad na kumpa majaribu na mitihani kama hiyo Daniel unayotaka na walionyeshwa kwa muujiza ya Allah kumsibisha kua Muhammad ni mjimbe wa Allah kamtuma kwa ulimwengu wote. Na pia aya hizi za Quraan hazina shaka zitawaongoza walimwengu mpka kiyama yani siku ya dunia kutoweka hazitapitwa na wakati kama bibilia inavyobadilishwa na kuongezwa vitabu ukibisha walio some taurati iliyosahihi anajua sahivi haipo imeshachomwa moto ili kufutiria mbali maneno ya mungu Quraan ndio mhimili wa dunia kwa namna yeyote elimu, sayansi, hesabu, sheria, katiba, yani elimu zote everything wwe tuu ndo haujui na wengineo ambao kama wwe.

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 6 дней назад

    Ukweli musa hakutabiri kumbu 18 et alimaanisha muhamad ni yesu naushahidi yohana 1:45 pokea jibu hata ukimtetea Muhammad hakuna popote Kwa Biblia anaongewa hata hakuna nabii yeyote alishawai kumtabiri Muhammad

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 9 дней назад +2

    Daniel ako sawa,mbogo ni kujishauwa tu,hojaa aaaah

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 дней назад

    Daniel kuhusu nyie amabo mnaojifunza leo hata hiyo Quraan ilishawasema mda sana na wwe tuu uma wote allah anasema nitawapa akili kiasi kwamba mpka watanichunguza mmi muumba wao ndani Quraan ndo maana mpka leo Quraan haijawahi kubdilishwa wala kuongezwa aya

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 9 дней назад +1

    Mbona maelezo yanajitosheleza wewe danieli unaleta chalenji kwa makusudi? Hivi hujui kwamba kuna kulipwa?

  • @SamsiaKassaKangeta
    @SamsiaKassaKangeta 9 дней назад

    MWAKWEMWA LEO ANAUTETEA MKATABA NA HAZIAMINI AYA ZA QURANI,JAPO ANAZITUMIA ZIMTETEE..!
    MIKATABA HUVUNJJWA AO PIA HUISHA MDA WAKE..!
    JE, NI MIKATABA MINGAPI BAINA YA ALLAH NA MAYAHUDI AMBAYO ILIVUNJWA?
    IMA NA MAYAHUDI WENYEWE KUSHINDWA KUITEKELEZA,AO PIA NA ALLAH MWENYEWE KUONA HAINA FAIDA WAKATI HUSIKA..?
    { ۞وَلَقَدۡ أَخَذَ ٱللَّهُ مِيثَٰقَ بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ وَبَعَثۡنَا مِنۡهُمُ ٱثۡنَيۡ عَشَرَ نَقِيبٗاۖ وَقَالَ ٱللَّهُ إِنِّي مَعَكُمۡۖ لَئِنۡ أَقَمۡتُمُ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَيۡتُمُ ٱلزَّكَوٰةَ وَءَامَنتُم بِرُسُلِي وَعَزَّرۡتُمُوهُمۡ وَأَقۡرَضۡتُمُ ٱللَّهَ قَرۡضًا حَسَنٗا لَّأُكَفِّرَنَّ عَنكُمۡ سَيِّـَٔاتِكُمۡ وَلَأُدۡخِلَنَّكُمۡ جَنَّٰتٖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُۚ فَمَن كَفَرَ بَعۡدَ ذَٰلِكَ مِنكُمۡ فَقَدۡ ضَلَّ سَوَآءَ ٱلسَّبِيلِ }
    [Surah Al-Māʾidah: 12]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Na Mwenyezi Mungu alifanya agano na Wana wa Israili. Na tukawateulia kutokana nao wakuu kumi na mbili. Na Mwenyezi Mungu akasema: Kwa yakini Mimi ni pamoja nanyi. Mkisali, na mkatoa Zaka, na mkawaamini Mitume wangu, na mkawasaidia, na mkamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, hapana shaka nitakufutieni maovu yenu na nitakuingizeni katika mabustani yapitayo mito kati yake. Lakini atakaye kufuru miongoni mwenu baada ya hayo bila ya shaka atakuwa amepotea njia iliyo sawa.
    { فَبِمَا نَقۡضِهِم مِّيثَٰقَهُمۡ لَعَنَّٰهُمۡ وَجَعَلۡنَا قُلُوبَهُمۡ قَٰسِيَةٗۖ يُحَرِّفُونَ ٱلۡكَلِمَ عَن مَّوَاضِعِهِۦ وَنَسُواْ حَظّٗا مِّمَّا ذُكِّرُواْ بِهِۦۚ وَلَا تَزَالُ تَطَّلِعُ عَلَىٰ خَآئِنَةٖ مِّنۡهُمۡ إِلَّا قَلِيلٗا مِّنۡهُمۡۖ فَٱعۡفُ عَنۡهُمۡ وَٱصۡفَحۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلۡمُحۡسِنِينَ }
    [Surah Al-Māʾidah: 13]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Basi kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 9 дней назад

    😂😂😂 mbona ata musa alimkimbia filauni mungu wake alikua wapi yesu alikimbia kuuwawa mungu wake alikua wapi ? Yusufu walimlushia kisimani mungu wake alikua wapi? Hoja zakuwapumbaza kondoo walopotea😂😂

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 дней назад

    aliye mtuma Muhammad si Mungu,bali ni allah wa makkah!

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 9 дней назад

      Allah means Mungu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 дней назад +1

      @Catherine-mh8sw mm najuwa ila si Mungu wa kweli maana kuna miungu bana ww vp?

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 9 дней назад +1

      Allah/Eloi/Eloha ndie Mungu muumba.

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 дней назад

      @jumanjenga7682 allah ajaumba kitu maana kitabu chake cha quran amesema hana mwana sasa Mungu mwenyezi hana mwana pekee ambae ni Yesu kristo!

    • @masoudnzowa4608
      @masoudnzowa4608 9 дней назад

      Pole sana... ALLAH ni mungu kasome bible ya kiarab

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 9 дней назад

    elimu yako ndogo iyo sio qurani ,

  • @RittaKazungu
    @RittaKazungu 9 дней назад +1

    Shida ya mbogo anakwepa kwepa maswali