Rapcha - Dangerous Desire (Visualizer)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 405

  • @AmLegembo
    @AmLegembo 11 дней назад +3

    Hii ngoma kali na truee😢🎉

  • @RichardSanga-u2u
    @RichardSanga-u2u 21 день назад +17

    Mtu unaetaka Kumpa moyo Picha Ya yesu Ammeeka DP asa Unazani atashindwa Kikupa BP👏👏nipeni like Zangu Rapcha Anjuwa so Kidogo

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 13 дней назад +5

    Mpaka yes amemuweka dp! Shout out to wanangu wa 90's 99 nakuachia rapcha!

  • @YuzzoMwamba
    @YuzzoMwamba 21 день назад +72

    Yuzzo mwamba was here🎉

  • @AntonyMazula
    @AntonyMazula 11 дней назад +5

    nimeipenda INTRO😃

  • @abubakarympingo8528
    @abubakarympingo8528 20 дней назад +26

    NAPENDA HIP HOP KUPITILIZA, NGOMA ZENYE MESSAGE KAMA HIZI TUNAZIPATA MARA CHACHE KWA MWAKA. HAMJUI TU WENGINE TUKISIKILIZA INA KUWA DAWA KWENYE MIOYO YETU. HAKIKA HII NGOMA NI CURE, BIG UP RAPCHA

    • @mwakanyekenyiki9241
      @mwakanyekenyiki9241 20 дней назад +3

      Unapenda hip hop halafu unasema ngoma zenye ujumbe kama hizi unapata mara chache??
      Ngoma zenye ujumbe zipo nyingi tu sema wewe umeamua kuwa mfuasi wa mkondo mkuu(Mainstream) huko ujumbe ni mchache

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  21 час назад +1

      👊🏾🗝️

  • @MaduduWaraWara
    @MaduduWaraWara 21 день назад +25

    rapchaaaaaaaa nipeni likes za beat kali

  • @ArafatiMo-l1x
    @ArafatiMo-l1x 11 дней назад +3

    Vina 🎉💥💥✍️

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 13 дней назад +3

    We mkali Rapcha endelea kuachia Ngoma back to back

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 21 день назад +27

    huu moto unaenda kuwa ndani ya top 10 trending youtube kama unakubaliana gonga like hapa🔥🔥🔥

  • @Simulikanasi
    @Simulikanasi 21 день назад +10

    "Don't kill yourself kutafuta engagement "
    Rapcha you're genius King ,
    Kila bars ina'hit hardly and differently , kumamake

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  21 час назад

      Respect 👊🏾🗝️

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 12 дней назад +4

    UNA MZIKI CLASSIC SANA
    KEEP UP WITH THE GOOD MUSIC AND MASTERPIECES LIKE THIS.

  • @NyangaryaMosabiNyangarya
    @NyangaryaMosabiNyangarya 20 дней назад +6

    Big up to azeezah from kenya much love🇰🇪❤

  • @shwariahmad9249
    @shwariahmad9249 20 дней назад +11

    Hofu kubwa haiwezi kuzuia kinachoenda kutokea 😢😢😢❤❤

  • @MeshackKabuje
    @MeshackKabuje 17 дней назад +6

    Napenda sana mziki wa uyu jama umetisha kaka acha nikipe maua yako

  • @gerymusic_official
    @gerymusic_official 17 дней назад +3

    Msanii wangu🎉🎉🎉..maua yako boe..@rapcha

  • @SamuKimario
    @SamuKimario 14 дней назад +2

    Tukumbukee tu ata hofuu iwe kubwa vip ,hakuna kinachowezz kinacho to key

  • @KPMASTER-q1w
    @KPMASTER-q1w 20 дней назад +6

    Nomaaa sanaaa kaka mkubwa tunajivunia kuwa na rapper bola TZ❤❤❤

  • @allyrashidi1314
    @allyrashidi1314 19 дней назад +4

    Teacher; define inspiration and motivation
    Me;Rapcha, dagerous desire

  • @WilliamWilliam-w3o
    @WilliamWilliam-w3o 20 дней назад +1

    Noma kaka 👊👊

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 18 дней назад +1

    Noma sana rapcha

  • @BataBatanii
    @BataBatanii 21 день назад +7

    Grind all day ya con Boii
    Dangerous desire
    Midundo yote style za 2pac space

    • @mdasaboi
      @mdasaboi 20 дней назад

      ...unaujuaa saaana mziiki man

  • @Giannoumiles
    @Giannoumiles 20 дней назад +1

    Muda wa back to back sasa mkuu ❤❤❤ shusha za kutosha , hii kalii

  • @wadax69lebuu86
    @wadax69lebuu86 11 дней назад +2

    Wanao nitafuta kunipata very simple #

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 20 дней назад +6

    RAPCHA WEWE NI UMELETWA NA MUNGU KUONYESHA UWEZO MKUBWA WA LINES, KITAA TUNAKUELEWA MDOGO WETU HAKIKA UMEWEZA KUTUZIBIA PENGO LA NGWAIR.

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  21 час назад

      Ngwair atabaki kuwa Ngwair pengo lake halina spare

  • @ISAACLEVIS
    @ISAACLEVIS 18 дней назад +1

    Kwa Mara nyingine tena rapcha kama rapper wangu n'a kusoma tena toka Congo drc 🇨🇩🇨🇩

  • @AzizerErenest
    @AzizerErenest 12 дней назад +1

    Ngoma kali beat usipimeee

  • @gastonpeter8885
    @gastonpeter8885 21 день назад +3

    Unaskiliza nyimbo had ubongo unashibaa 🔥🔥🔥 💯💯

  • @Biology_Tz
    @Biology_Tz 8 дней назад

    Song Kariii Broo 👐👐

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 8 дней назад

    Jamaaa anaweza sana never give back

  • @GeorgeAbuka-v6g
    @GeorgeAbuka-v6g 17 дней назад

    Noma sana

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 10 дней назад +1

    Uhakika keep it #RAPCHA

  • @Slimmer254
    @Slimmer254 21 день назад

    Kaka🔥🔥🔥🔥

  • @barakamushi4530
    @barakamushi4530 19 дней назад +1

    Ngomaa kalii

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 10 дней назад +1

    Nakubali🎉

  • @ts_pabloh
    @ts_pabloh 21 день назад +1

    Noma😂

  • @phillymacher5361
    @phillymacher5361 21 день назад +1

    Hii kitu kalii bhn 🎉🎉

  • @Wizzymp
    @Wizzymp 21 день назад

    Hili dude noma

  • @mwanzacarpenter
    @mwanzacarpenter 20 дней назад +1

    Well done home boy shy town hatujawahi kutoa niaje huwa kila shytown hommie ni mkali kwanza mamen wise, very polite, halafu mikato kama yote na huwa hatujuagi ushindani, ila huwa tupo reality really hip hop life, very honestly na sio ku fake sisi wazee wa shy town wazee wa codry na shat za dogidogi aka wazee wa future za ku make sence. Mule mule mwana kwetu wakazie na tunakusapoti hii ni kutoka kwangu mimi mr carpenter aka Msoviety
    Cheers maniga

  • @iamfondo
    @iamfondo 21 день назад +1

    Kakitu kakuje 💯✊

  • @em_0162
    @em_0162 20 дней назад +1

    Am so happy for rapcha Man ❤🙌🙌🙌👏👏💯✅🫂

  • @alichangawa6201
    @alichangawa6201 21 день назад +2

    Uongo dhambi....twaisubiri ..plus ukweli ....

  • @CHRISSMONTANAH
    @CHRISSMONTANAH 2 дня назад

    Kaka mex eeh bonge la ngoma ila uyo mwamba Dizasta anatisha sanaaaa

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 20 дней назад +1

    Nimekuelewa R.A.P.C.H.A ❤

  • @afyandogo
    @afyandogo 20 дней назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥Umetisha mzeee

  • @LukaNgonde
    @LukaNgonde 21 день назад +3

    Sereal Killer 🔥🔥

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 20 дней назад +1

    Lugha nzuri unaimba lugha nzuri kila mtu anaiskia

  • @Norrisnoriega
    @Norrisnoriega 17 дней назад +1

    Yeah yeah makin bro ngoma limetulia sana.

  • @ShebbyMageta
    @ShebbyMageta 20 дней назад +3

    Umeandik sana rapcha

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper 22 дня назад +5

    99 Whatsa🔥🔥🔥🔥

  • @raymondfrancis7921
    @raymondfrancis7921 20 дней назад +1

    Nakubal mwanang 99 it's a hit already.

  • @HashimMuhombo
    @HashimMuhombo 18 дней назад +1

    Umeimba vizuri sana 👍🤛

  • @princekeen422
    @princekeen422 20 дней назад +1

    Ngoma Kali..usipite bila kunifatilia na Mimi Nina Ngoma Kali 💥🙏

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 20 дней назад +1

    Salute 🫡

  • @nelyhaa07
    @nelyhaa07 12 дней назад +1

    Mwamba Rudisha Back to Back

  • @chidi_don
    @chidi_don 21 день назад +1

    Ngoma Kali sana hi Sio poa 🔥💯

  • @nickelmudric13
    @nickelmudric13 22 дня назад +4

    Yooooo yoooo yooooo. Hot boy

  • @venny_skills7
    @venny_skills7 21 день назад +1

    Kali sana kaka🔥🔥🙌

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 20 дней назад +5

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz... Nasema hivi HII NI YENYEWE kbs 🫰

  • @nicksonurio7319
    @nicksonurio7319 22 дня назад +11

    We achia iyo kitu bhana

  • @BT-Boy
    @BT-Boy 21 день назад +3

    Wanangu dude iloo drop it rapcha uuuwee❤

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 20 дней назад +1

    Nice sana namkubali sana rapcha

  • @DioniziKatepa
    @DioniziKatepa 19 дней назад

    So fire bro!!!

  • @PapyFlavour
    @PapyFlavour 18 дней назад

    Noma sana 99❤

  • @GENJENESS_TUPU
    @GENJENESS_TUPU 20 дней назад +1

    Noma saana 💯💯

  • @ShafiShaban-f1z
    @ShafiShaban-f1z 15 дней назад +1

    Hii ni kubwa sana rapcha

  • @ferdinandnzali8021
    @ferdinandnzali8021 8 дней назад

    Stunning

  • @narchynb-ke
    @narchynb-ke 20 дней назад

    favourite artist

  • @RoysonNelson
    @RoysonNelson 17 дней назад +1

    Big up chali wang

  • @FredyDule
    @FredyDule 18 дней назад +1

    beat kama ya grind all day conboi

  • @SaidHijja
    @SaidHijja 18 дней назад +1

    Ukumbuke Ata uwe nahofu kiasugani hawezi zuia litakalo enda kutokea 🔥🙌🙌🙌

  • @bashirusalehenandoro3128
    @bashirusalehenandoro3128 21 день назад

    Noma kbisaa production+ flow+ message 🔥🔥🔥

  • @emmanuelkipanje8134
    @emmanuelkipanje8134 15 дней назад +1

    Kaka hii ngoma kali sana

  • @FlorenceAmos-f7f
    @FlorenceAmos-f7f 18 дней назад

    mashail yamenyokaa💥

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper 19 дней назад

    Good luck ❤
    Mr Rapcha chekd from kenya ❤❤❤

  • @floodboytz
    @floodboytz 21 день назад

    Nouma my brother lini Sasa goma letu litoke Kaka

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 21 день назад +4

    Umetisha sana kaka hii Ngoma Kali sana wote walio ikubali naomba mlike hapo chini ❤❤❤🎉🎉

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 21 день назад +1

    I like this

  • @EsirRadio
    @EsirRadio 20 дней назад +1

    Azizaah naona ashapata mtu😂😂

  • @abdulrazack.a.shemmelarshe228
    @abdulrazack.a.shemmelarshe228 20 дней назад

    Safi sharpen they minds mungu anisaidie last of dying breed💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @Mrlucas-ic6ks
    @Mrlucas-ic6ks 5 часов назад

    Rapcha dangerous desire maua yake rapcha

  • @ShebanMohammed
    @ShebanMohammed 20 дней назад +1

    Naona changes 💪🏾

  • @Kelly_Bayzer
    @Kelly_Bayzer 20 дней назад

    Noma Sana @rapcha

  • @PembeSalehe
    @PembeSalehe 18 дней назад

    Raptcha i salute you

  • @badiedewit4281
    @badiedewit4281 9 дней назад

    Real shit from hard 💯 we as Artists we have to comment, keep it up

  • @Hatibuhassani
    @Hatibuhassani 21 день назад +3

    Nilisubiri sana ngoma yake mwaka 2025 lakini right now I listen dangers desire 🎶🎶🎶🎶

  • @PetrogemalilaGemalila
    @PetrogemalilaGemalila 21 день назад

    Nakubar❤❤

  • @LapromeElia
    @LapromeElia 15 дней назад

    KK unawezaka 🎉🎉

  • @mixingkaliii
    @mixingkaliii 21 день назад +1

    Nakubal sana wanangu99 4life

  • @onesmoshayo7880
    @onesmoshayo7880 17 дней назад

    Dangerous🔥🗽✅

  • @mbaloplatnumz646
    @mbaloplatnumz646 20 дней назад +1

    Bonge lagoma

  • @iamiankenya
    @iamiankenya 21 день назад +1

    Is that Kabaya ❤❤❤❤

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 20 дней назад +1

    254 Aziza kafungua fureshi, sema dude lipo imara mno🎉

  • @wilfreddonard6657
    @wilfreddonard6657 21 день назад

    99 EVERYTHING 💥

  • @KarisaRandu
    @KarisaRandu 21 день назад

    Nice one bro 💯

  • @plusfestor
    @plusfestor 20 дней назад

    what a song 🔥🔥

  • @geraldgulaka2520
    @geraldgulaka2520 19 дней назад

    Owaaah kinukishe To THE TOP VOL.2 mbona watachina 💥💥

  • @masharomasharo3329
    @masharomasharo3329 20 дней назад

    🐐🐐Ank hizz ni ngomaa zimenyooka sanaa

  • @farijala0893
    @farijala0893 21 день назад

    Bomboclaaaaaat ,✊🔥🔥🔥

  • @milestz4140
    @milestz4140 19 дней назад

    Rasta umu MmmH 🙌🏾🔥