C. DALILI ZA UWEPO WA VIZUIZI VINAVYO ZUIA USTAWI WA KICHUMI KATIKA MAISHA YA MWAMINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Dalili za uwepo wa vizuizi vya ukuaji wa uchumi:-
    A. Tabia ya Uvivu
    Tabia ya uvivu ni ile hali ya mtu kutokupenda kujishughulisha au kufanya kazi.
    B. Ongezeko la Matatizo katika Msimu wa Kupata Fedha
    Kila msimu wa gawio, kupata mshahara, kupata faida kunatokea jambo ambalo litakulazimu utumie hiyo fedha au mali bila ridhaa na mipango yako.
    C. Kukosa Kibali cha Kufanikiwa na kustawi.
    Kukosa ni hali ya kukosa baraka ya kupata ustawi na mafanikio katika kazi za mikono yetu.
    D. Matumizi Mabaya ya Muda
    Matumizi mabaya ya muda ni hali ya kutokujali suala la muda kwa kiwango kidogo au kikubwa.
    E. Hofu ya Kuthubutu
    F. Migogoro Inayopelekea Uharibifu na Ufujaji wa Mali
    G. Tabia ya Kuuza-Uza Vitu vya Ndani
    H. Kushindwa kutulia katika Eneo Moja kwa lengo la kufanya kazi ili kuzalisha kipato

Комментарии • 4