MWABUKUSI AKINUKISHA BABATI, AIVAA SERIKALI YA CCM, "ACHENI UWOGA, CCM NI WABAYA KULIKO WAKOLONI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2024
  • #TANZANIA: Mwabukusi akinukisha Babati Manyara, aivaa Serikali ya CCM, awataka wananchi waache woga wasimame kudai Katiba Mpya ili kuweka mifumo mizuri ya kiuongozi nchini humo.

Комментарии • 24

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 Месяц назад +5

    Mweshimiwa sana honorable Mwabukusi...

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 Месяц назад

    Ahsante sana ndugu Mwambukusi...❤️❤️🙏😭😭😭...sema baba tumepigika..!!!?

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Месяц назад +1

    Be blessed mwambukusi, people 's powereeee

  • @jovinjoseph1247
    @jovinjoseph1247 Месяц назад +5

    Genius

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Hongera Mwambukusi na pokea mauwa yako

  • @salama1113
    @salama1113 Месяц назад +4

    Huyu mtu mungu amlinde kwa kila ubaya🤲

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Kweli watawala wa CCM ni wabaya kuliko wakoloni. Hata huwezi kuwalinganisha.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    TUNADAI KATIBA MPYA HARAKA WEWE MAMA!!

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Месяц назад

    Ni kweli kwa sababu hamna HAKI ya kumchaguwa kiongozi mnayemtaka.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад +1

    Training tanzania powerforce getting new costuetion and free team organization of election point lndipendet privet advocate mwabukusi in babati there thouse are the mostly safering people in babati under ccm leadership creat fear to them with original commissioner and his team wambieni wakipewa wale sababu ni pesa ya watanzania wenyewe kwani kura ni Siri Kwan nn waziogope ni zetu wenyewe walioiba kwa muda mrefu ni ngumu wananchi kukutaa rushwa wale ni haki yao

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Месяц назад +1

    Mbona wanauza lasimali za inchi vitu vinapanda bei hizo pesa zinaenda wapi na mikopo wanakopa sisi watanganyika mbona shida zinaongeka?

  • @TukelyeNkwama
    @TukelyeNkwama Месяц назад

    Mm

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Mkoloni hakufukuza wamasai na hakuuwa watu hakutesa watu kama watawala wa CCM

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx Месяц назад +1

    Ukweli mtupu tz Masai hanathamani kama mkaa

  • @Hyun626
    @Hyun626 Месяц назад

    Hahahaha "kujikunyata " siku nyingi hili neno linanikumbusha marehem mama yangu.

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 Месяц назад

    PAMOJA SANA MWAMBUKUSI.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Wewe mchawa wa CCM Mungu atawashusha hata kwa mapigo hata ya majipu.
    Na wewe unayesema kuwa maandamano ya watukumi hata huyo unamchawa kwake si anaona watu ni 10. Nenda ukainame huyo mama yako apite juu yako kama daraja huku ukimueleza kuwa walikuwa watu 10.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd Месяц назад

    Ccm ni Simba wa mabox tusiogope

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Месяц назад

    Hakika kuingia uchaguzi bila hili ni kazi bure👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @maspro6294
    @maspro6294 Месяц назад

    Duuu maandamano ya watu 10 nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa Nchi hii Mavibaraka ya mabeberu