PUMZIKA KWA AMANI UMEACHA PENGO ZNZ NA TZ KIUJUMLA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 150

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 6 лет назад

    Innalillah wainna ileihi Raji’uun,,poleni sana,Mola Amghufurilie dhambi zake,,Aameen

  • @yulithersilivester8321
    @yulithersilivester8321 6 лет назад +2

    Simon Charles Kisinza poleni Sana ndugu woooote mlioguswa na msiba, hakika sote ni wa Mungu na kwake tutarejea, Amina

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад

    Innalilah Wainnailah Rajiun, Allah akuhifadhi maali pema peponi ndugu yetu mpendwa. 🙏

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 6 лет назад +2

    Allah amsameh dhambi zake na amrahamu. Allah awape subra wazazi ndugu jamaa rafiki na mke wake. Allah amkuze mwanawe kwa afya na nguvu. AMIIN

  • @khadijaoman4085
    @khadijaoman4085 6 лет назад

    M/mung ailaze roho ya marehem mahali pema peponi aamin!

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 5 лет назад +2

    Innalillahi wainnailahi rajiuun.Allah amueke pema penye wema🙏🙏🙏🙏

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 лет назад

    Allah ampe kahuri thabiti napia Mungu awatie nguvu wafiwa wote kwa kipindi iki kigum na awapemoyo wa subra

  • @samudraramadhani6303
    @samudraramadhani6303 5 лет назад

    Mungu amsamehee kizurii hakidumu. Poleni san

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 6 лет назад +2

    Kutoka Kenya
    Allah amsamehe dhambi zake marehemu na amuepushe na adhabu nzito ya kaburi Aamiin thumma Aamiin

    • @jumayahya2661
      @jumayahya2661 3 года назад

      Salma saidi wasihi nawenye kazi kama yake waache

  • @farhiyathani4777
    @farhiyathani4777 6 лет назад

    Allahumma ghufirlahu warhamhu waskana fill janna Allahumma amiin yarab

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 лет назад

    Mungu amjalie makazi inshallah bro Hassan jurej

  • @rayanaisharayaniaisha9142
    @rayanaisharayaniaisha9142 6 лет назад +2

    ya rabby mpe kauli thabit msamehe madhambi yake malaika wema wawe rafiki zake amiiiin

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 6 лет назад

    kutoka Swideni.mola mpw makazi mema peponi amiin

  • @maidasaid947
    @maidasaid947 6 лет назад +1

    innalillah wainna ilayhi rajiuun...Allah ampe kauli thabit na amuondolee adhabu za kaburini.

  • @bintibinti9620
    @bintibinti9620 6 лет назад

    Innalilah wainnailaihi rajiun ...Allah Amrehemu in shaa Allah

  • @rahimarajab4306
    @rahimarajab4306 6 лет назад

    Mungu amlaze mahalii pema...amin.....

  • @hidayahardnany7006
    @hidayahardnany7006 6 лет назад +2

    m/mungu ampe kauli thabiti

  • @mejubaraza2252
    @mejubaraza2252 6 лет назад

    Allah akulaze pema peponi in shaa Allah

  • @raheemarahman1435
    @raheemarahman1435 5 лет назад

    Innalilah wainnailaihirajjiuun mung ampe kauli sabit amiin

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 лет назад

    😢😢😢 Innalilah wainnairajiuni ya Rabb mpokee jamani nilikuwa nampenda kutokana na kazi yake

  • @faidhatsalum4374
    @faidhatsalum4374 6 лет назад +1

    Mungu amlaze mahali peponi

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 6 лет назад

    Innallilah wainnailahi rajiun 😢😢😢 kijana Sana Hassan tumrudie allah maauti hayana kadi

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад

    M/mungu ampe makz mema.... Pepo iwe makaz yake lnshaaAllah

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 6 лет назад +1

    Innalillahi wainnailayhi raajiun Allah amsamehe makosa yake na amjaalie miongoni mwa waja wake wema amin.

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 лет назад

    😢😢😢😢 Allahuma Ighfir lahu wa arham hu wa askin hu fi Janna ya Arhamu Rahimin

  • @abubakarsuleiman4099
    @abubakarsuleiman4099 6 лет назад

    Allahumma ghfirlahuu warhamhuuu wamaskanahuu filjannah

  • @hawata7614
    @hawata7614 6 лет назад

    Inalillah wainall rajiuna mung amhifadh yarabiy

  • @naslamgollo6405
    @naslamgollo6405 6 лет назад

    Ina lilah waina ilah rajuun mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ishaallah peleake nyuma yet

  • @husnayousuf6496
    @husnayousuf6496 6 лет назад

    allah amlaze mahala pema peponi amni😢😢😢Allah kamtaka kiumbe chake tusilalamike jmni mipango YA Allah haya😢

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 5 лет назад

    Inalilah wainalilah raajun mungu ampe kauri sabiti insha Allah

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 6 лет назад +4

    اللهم اغفرله وارحمه

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад +2

    Yaa rabi mfanyie wepesi katika safari yake

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 6 лет назад

    May Allah grant him Jannatul Firdausi ... Ameen

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 лет назад +5

    Allah Atuhifadh na sisi tulio hai tujipange jaman tuendapo uko hakuna mzaha wala rushwa,,,,Amal yako ndo itakayo kulinda na kukunusurisha na adhabu za Allah,,wala si umaarufu au kwa thamani ya kitu chochote kile ulicho nacho,,Tujitahidin Waislam Allahuaqbar,,,Innalillahi Waiinnaillahi Rajiuun,,na sisi tupo njiani mda wowote ule km sileo kesho na km si kesho basi Allah ndo anae jua ila Tuwe makin sana na akhera kuliko Dunia....A.aleykoom warahmatullah wabarakat..🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @rukiamshihiri4911
    @rukiamshihiri4911 5 лет назад

    Inna lillah waina ilaih rajuun mungu ampe kauli thabit amiin

  • @الزنجباريعلي-ب4ذ
    @الزنجباريعلي-ب4ذ 5 лет назад +1

    قال رسول الله صلى الله عليه وسلم انتم شهداء الله في الأرض
    عن أنس ابن مالك رضي الله عنه قال
    مروا بجنازة فأثنوا عليهاخيرا فقال النبي صلى الله عليه وسلم وجبت
    ثم مروا بأخرى فأثنوا عليها شرا فقال وجبت فقال عمر بن الخطاب رضي الله عنه ماوجبت ؟ هذا اثنيتم عليه خيرا فوجبت له الجنة وهذا أثنيتم عليه شرا فوجبت له النار
    انتم شهداء الله في الأرض
    رواه البخاري

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 лет назад

    Alikuwa anaumwa nn nilikuwa namfatilia kazi zake kutoka yupo Zanzibar mpaka Dar jamani mungu tujalie mwisho mwema wallah tumbo limeniumu yani nimeirudia ii video mara kadhaa siamini uyu kaka jamani😢😢😢😢😢 pole kwa family yake wallah Allah awafanyie wepesi katika kipindi iki kigumu cha kuondokewa na kipenzi chao wallah 😢😢😢

  • @saidaahmed364
    @saidaahmed364 5 лет назад

    Alllah ampe kauli thabit..ameen

  • @tumahalifa7351
    @tumahalifa7351 6 лет назад

    Innalillahi wainna ilayhi rrajiuun, Allah ampe kauli thabit

  • @nurloy510
    @nurloy510 6 лет назад

    Safiri salama ndugu

  • @taturajab469
    @taturajab469 6 лет назад

    sote ni wa mungu na tutarejea kwake kwani mauti ni maji kila moja atakunywa mauti ni mlango kila moja atapita enye binadamu wenzangu safar nzito hiyo tujiandae kwani kuna leo au kesho bc zamu yetu itafika lala salam kaka hassan

  • @nunuunadhir1778
    @nunuunadhir1778 5 лет назад

    Duuu!! Nilikua sijasikia Mungu mpe kauli than it aamina,

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 лет назад

    Innalillah wainna ileyhi rajioun mungu ampumzishe salama huko alikoenda.

  • @othmamwela3670
    @othmamwela3670 6 лет назад +6

    Tumuomben Allah ampe kauli thabiti

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 лет назад +1

    inah lilah wainah ileih rajhun

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 6 лет назад

    innalilahi wainailahi rajiun
    Allah amlaze mahali pema

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 6 лет назад

    Mungu amsameh makos yk

  • @sanhutabdalla9873
    @sanhutabdalla9873 6 лет назад

    Mungu amrahamu

  • @amenahimbwaga4696
    @amenahimbwaga4696 6 лет назад

    Poleni sana

  • @khamisalaamri3913
    @khamisalaamri3913 6 лет назад

    yaarab.mfanyie wepes ktk safari.yake...aamin

  • @saidmohammed4989
    @saidmohammed4989 6 лет назад

    Inalilah waina ilehi rajiun poleni sana

  • @abdilahiabdilahi3748
    @abdilahiabdilahi3748 6 лет назад

    #Pumzika kwa Amani shujaa we miss you more than too much

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 6 лет назад

    oooo jomoni kumbe has jei nakukumbuka sana Allah akupunguzie adhabu ya kaburini

  • @fatmakhamis9133
    @fatmakhamis9133 6 лет назад

    innalillah wainnailaih rajiun allah ampe kauli thabit

  • @مريمسالم-ب2ج
    @مريمسالم-ب2ج 6 лет назад

    Mungu akulaze pema peponi na ss tuko nyuma yako

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 лет назад

    Inna llah wanna illah rajiun

  • @fbhj443
    @fbhj443 6 лет назад

    INNALILLAHI WAINNA ILLAIH RAJIUN

  • @salmadashlaquimanelaquiman4427
    @salmadashlaquimanelaquiman4427 6 лет назад

    Innalillah wa inna illah rajiun

  • @thuwaibaabdallah1538
    @thuwaibaabdallah1538 6 лет назад

    allah amuweke mahala pema na kauli thabit

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 лет назад

    Yani uyu kaka amefanana na kaka mkubwa basi nilikuwa nikimuona naona kama nimemuona kaka yangu na nikawa nampenda na kumfatilia kama kaka yangu wallah sisi wote na wakwake Allah na kwake yy tutarejea Allah ampe kauli thabiti na atujalie na ss mwisho mwema Aamiiny ya Rabb mpokee jamani

  • @salwa-jz1wk
    @salwa-jz1wk 6 лет назад

    Ina lilahi wainaihilay rajiun

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 лет назад

    Poleni wafiwa wote

  • @peterdemesi1985
    @peterdemesi1985 6 лет назад

    Innalilah wa innalilah rajiun

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 лет назад

    Innah lillah wainah ilaihi rajiun

  • @fatmahusain3773
    @fatmahusain3773 6 лет назад

    Inna lilllah wainna ilaihi rajighun

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 лет назад

    Inalilah wainailehimrajim

  • @zulfasuleiman2943
    @zulfasuleiman2943 6 лет назад

    Innalillah wainh ileyh rajiuna

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 6 лет назад

    Innallillah wainnaillahy rajiun

  • @duuhali5881
    @duuhali5881 6 лет назад

    inalilah wainailah rajiunn

  • @fettykhalfan7337
    @fettykhalfan7337 6 лет назад

    inna lilah wainna ilaihi llajjiun 😌

  • @mwanahibakitalu7786
    @mwanahibakitalu7786 5 лет назад

    inna lillahi wainna ilay rajoun

  • @maryamjabiry5639
    @maryamjabiry5639 6 лет назад +1

    Yaarabb mtakabalie na umsamehe madhambi yake

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 лет назад

    Ina lilahi waina ilayhi rajiun

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 5 лет назад

    Mungu amlaze maali pema mbele yake nyuma yetu

  • @fababindawood5842
    @fababindawood5842 6 лет назад

    Ahsnt Rama kwa kutangaza vzr.

  • @mwainehaji5722
    @mwainehaji5722 5 лет назад

    ina lilah waina ilayihi rajiuuuni

  • @fababindawood5842
    @fababindawood5842 6 лет назад

    Innalilah waina ilahim Rajiun.R.I.P jembe tumekupumzisha kwa amani.tumepoteza jembe

  • @djjomady255
    @djjomady255 6 лет назад

    Kuwa wa kwanza kuitazama video ya Harmonize ft diamond - kwangwaru official music video Hd
    👉👉 ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html ://ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html ruclips.net/video/S2Vxe8SI7pM/видео.html mwaka huu kibamia lazima aje madale kwa magoti 😂😂😂 WCB for life
    #share_kama_ni_team_diamond

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 6 лет назад +1

    mbele yake nyuma yetu lnshallah

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 лет назад

    Inn Lilah wanna ilah rajiun

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 6 лет назад

    Inna Lilah wainna ILaihi Raajiuun

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 6 лет назад

    Ya allah mpe.makaazi meme peponi ishllah

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 6 лет назад

    Innaa lillahi wainnaa ilayhi rajiuun

  • @yarmouktramonto8625
    @yarmouktramonto8625 6 лет назад

    My condolences

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 6 лет назад

    Innalillah

  • @abalhassan7794
    @abalhassan7794 6 лет назад

    Inalilahi wainna ilaihi raaajiun

  • @shabanrajab3559
    @shabanrajab3559 6 лет назад

    Innaalillahi wa innaalillahi raajiuuun

  • @salamahamadi4123
    @salamahamadi4123 6 лет назад

    Inalilaah wainnailaah rajiun

  • @kibabemuhidini8749
    @kibabemuhidini8749 6 лет назад

    huyu mshkaji namkumbuka akiwa TVZ anaanza kazi.Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @khamisalaamri3913
    @khamisalaamri3913 6 лет назад

    aaamin

  • @وليدعلي-ظ3د
    @وليدعلي-ظ3د 6 лет назад

    lnnalillaah wainna ilayhi rajiuun

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 лет назад

    Innalilah wahinah rajiuun, Allah mpe kaul thabit na amuondolee adhab ya kaburi

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 6 лет назад

    Rest In Peace brother inshaallah

  • @saidyhassan7806
    @saidyhassan7806 6 лет назад

    inalillahi wainailahi rajiun

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 6 лет назад

    Alahaulla walakuwata ilabilahi

  • @فجرالبلوشي-ل6ت
    @فجرالبلوشي-ل6ت 6 лет назад

    Innalillahi wainnaillahi rajiun

    • @fatimaff8692
      @fatimaff8692 6 лет назад

      فجر البلوشي innalilahi wainna ilairajiunn

  • @abumoyo840
    @abumoyo840 6 лет назад

    Inalilai waina hilai rajiuni rest in peace ma bro

  • @sixboyhendoo1351
    @sixboyhendoo1351 6 лет назад

    inna lilahi wainna ilayhi rajiuun

  • @saidaahmed9303
    @saidaahmed9303 6 лет назад

    ان لله وانا الله راجعون

  • @omarkhamis1001
    @omarkhamis1001 6 лет назад

    hayo ndio yetu mtuakisha farikindio zinatajwa sifazake inawezekana alikua anaomba msaada ilahakuna aliemjali sasamnajikomba kutajasifazake