NINA WANAUME WAWILI, NANI ATANITAJA??

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 80

  • @KulwaBunani
    @KulwaBunani 4 месяца назад +1

    Kiredio😂😂😂😂

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Год назад +7

    Khaaa ila watu wamejichokea jamani yani mdada yupo poa kabisa ata hashtuki kusema ana mabwana wawili mweee😢😢

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +29

    sasa ajuwe huyo alomtaja ndo wa kwake huyo alokata simu ni wawengine na nna uhakika anayependwa ni huyo alokata simu😂

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Год назад +16

    Bora aliyesema ana wawili kuliko kudanganya!

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Год назад +5

    Hapa kitaalam inaitwa mwizi kakutana na mwizi😂😂😂 jamaa wa kwanza noma

  • @FarouqNnanguje
    @FarouqNnanguje 2 месяца назад

    Harafu huyu kiredio ni mburundi huyuu😊😊😊

  • @saidihysn2212
    @saidihysn2212 Год назад +28

    Sasa itakuwaje yeye katajwa lakn yeye mwenyewe kasema ana wapenzi wawili na akiona interview kumbe wapo wawili atakuwa na moyo wa kuendelea

  • @LeahPhilipo-kx8yn
    @LeahPhilipo-kx8yn 6 месяцев назад +1

    Naomb challenge plz 🙏🙏 kiredio jamn Niko arusha mbn me hukubali kunifanyia challenge jamn

  • @jacklinejackson9600
    @jacklinejackson9600 8 месяцев назад +1

    Sasa unakuta Moyo wake uko kwa Michael 😂😂😂

  • @AbdallaomaryAli
    @AbdallaomaryAli 3 месяца назад

    lik nyingi kwa kiredio jamani

  • @margrethamsechu7088
    @margrethamsechu7088 Год назад +3

    Ngoma droo maiko ana wengi na dada ana wengi 😅😅

  • @martinamuryang153
    @martinamuryang153 Год назад +1

    Khaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @AnithaTumain-jf9ql
    @AnithaTumain-jf9ql 8 месяцев назад

    Yaaan apo Mr uk alivyosema acha aende uko akagombane na mtu wake 😂😂😂😂😂

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 Год назад

    Me nikisikia kaka kiredio hap nitaxma nipo site nikte. Na simu man kuna kuachwa na mpenzi unaempend 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AirinSumeno
    @AirinSumeno Год назад +5

    Ikirushwa hii kawapoteza wote akili kumkichwa 😂😂😂😂😂

  • @sammallya5002
    @sammallya5002 Год назад

    Hata kama ukinitaja Mimi nitakuacha tuu...maana tayari ww ni Mwongo..

  • @rachelmwano7289
    @rachelmwano7289 8 месяцев назад +1

    Eti atakupa story nyingine badae 😂😂michomo

  • @asachlyforex9425
    @asachlyforex9425 Год назад +1

    Anabadili badili majina 😂😂

  • @aprinciplefilms
    @aprinciplefilms Год назад +5

    Izi macontent zingine bhana 😂😂

  • @cotctvshow3553
    @cotctvshow3553 Год назад +1

    hivi unawapendaje wote wawili...mbwaa wew wanawake bna mbwa kbsa

    • @Mayanare212
      @Mayanare212 9 месяцев назад

      Na wewe mwanaume ni mbwa pia😂

    • @edvinaselestine712
      @edvinaselestine712 8 месяцев назад

      Atampenda mmoja Sasa unafikir Sasa huyo jamaa wa mwanzo atampenda Tena

    • @estermwakatundu3028
      @estermwakatundu3028 6 месяцев назад

      Mbona matusi wanaume wanatupanga Hadi nane wawil aonekane mbwa kyaa

  • @THEBADBOYTZ
    @THEBADBOYTZ Год назад +3

    Oya mpeni huyu jamaa awatangaziee

  • @jacksonmandela96
    @jacksonmandela96 6 месяцев назад

    Huyo ni mimi kabisa, maana naitwa Jackson Michael.

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 5 месяцев назад

    Nyie wanawake nyieeeee

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 8 месяцев назад

    Mm ninao 6 siku yakukutana na mm kiredio utajuta nam pia ndo ntajijua sasa

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Год назад +1

    Xaxa yeye katajwa alaf alotajwa yy anao wawili😢😢

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад

    Ngoma droo

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 Год назад

    Kiredio au kispika itakukosti ipo siku utakutana na machiz.shauri yakooo

    • @Mayanare212
      @Mayanare212 9 месяцев назад

      Wacha ushamba hii wanayofanya karibia kila nchi mambo za kawaida

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 9 месяцев назад

      @@Mayanare212 mshamba mamaako

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 9 месяцев назад

      @@Mayanare212 halafu ndio umenunuwa cm Leo maana ni miezi minne iliyopita wewe ndio umesema Leo. Sasa si ungeangalia kitu kipya upate kukoment au ndio Hy cm mpya unaajibu mambo ya mwaka jana juzi .hongera na cm mpya

  • @obsonjulius312
    @obsonjulius312 8 месяцев назад

    Jackson kapigwa na kitu kizito pia

  • @LivinusLeonidace
    @LivinusLeonidace 5 месяцев назад

    pamoj said

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 Год назад

    Mdada kasema ukweli

  • @kwejimisobi4491
    @kwejimisobi4491 Год назад +5

    Baada ya challenge ni kuachika🤣🤣🤣

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 8 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @markomkiva6366
    @markomkiva6366 Год назад

    Aliye mtaja jina hana hela

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 Год назад +1

    Nimeamini vibonge awanaga akili sasa hakuwaza ikirushwa itakuwaje 😂😂😂😂

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 8 месяцев назад

    Ila nimefrai mdada Kawa mkweli

  • @EMILYSAMSON-rv3ns
    @EMILYSAMSON-rv3ns 10 месяцев назад

    kaka dodoma lini

  • @KingMashimba
    @KingMashimba Год назад +1

    Hahahaha

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil Год назад +4

    michael miyeyusho ila jackson mwaminifu kama mimi hapo huyo dada irene anatakiwa abaki na jackson ndo anaempenda irene kiukweli

  • @JoelMollel-l7r
    @JoelMollel-l7r Год назад +1

    Mungu atusaidie wanaume kama imefikia mahali mwanamke kuwa na wanaume wawili na anaona ni fashion adi anatangaza hadharani kama vile mazuri🤮🤮

    • @whatif..6961
      @whatif..6961 Год назад

      Kama ilivyo kwenu kuwa na wanawake wengi! Japo hamtangazi ila hakuna tofauti! Tunapita mule mule yaaani😂

    • @ezyjob5083
      @ezyjob5083 Год назад

      ​@@whatif..6961habari ndo hiyo, mule mule

  • @SophiaJuma-q1i
    @SophiaJuma-q1i 11 месяцев назад

    Ukija dodoma uniambie nazawad yako kiredio

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 Год назад

    Kiredio nna content nitafute tupange mchongo... Ni Dm

  • @RyycRaji
    @RyycRaji 8 месяцев назад

    nahis uyu dada alitongozwa bado hajatoka na hata mmoja ndomaana anajiamin yupi atoke nae

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 Год назад +2

    Akina Irene siyo wanawake

  • @LatifaEdward-v6z
    @LatifaEdward-v6z Год назад +1

    Unazingua wewe yanj Ile ya Dodoma ujamalizia Alf ujatupa mpya

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 Год назад +2

    🙈🙈