Mmetuhexhimisha vijana wetu m/mungu azidi kutulinda na kuwalinda vijana wetu na kuwaongezea nguvu na kujiamini ili tuweze kuendereza ushindi AMINA❤❤❤💛💛💛💚💚💚
Hongereni sana mmeupiga mwingi wapambanaji wetu especially speed ya kipindi Cha kwanza ila baada ya mabadiliko timu ikapunguza speed ata shauku yakufungua mabao mengi zaidi haikuwepo ila wachezaji wangekuwa makini ata magoli nane yangefungwa nilionao kocha akiwasukima wachezaji waende mbele kushambulia ila back pasi zikawa nyingi naimani benchi la ufundi limeona mapungufu litafanya kazi na wachezaji wajitahidi wasipoteze sana pasi nyingi ambazo zingine zingezaa mabao yaani timu inashinda ila unatamani magoli yazidi kufungwa unaona Bado
Pia mkimpata namba sita wakumpa support aucho akiwa majeruhi au mapumziko na Beki katili wa center forward itakuwa vyema naimani mtazidi kutupa furaha na kuyaziba Yale mapungufu na Leo wachezaji walijitahidi kucheza vizuri kushambulia nakurudi haraka kuzuia nakukaba mnabidi mzidi kuimarisha Kila eneo litakalokuwa kikwazo kufikia malengo yetu
Krismas 🌲 mmeiheshimisha vyema sana mashujaa wetu congratulations kwa ushindi mnono🎉🎉🎉🎉🎉🎉💚💛💚💛💛💛💛💛💛 tunamkimbiza mwizi kimya kimya
siwezi kuielezea furaha yang kwakwel💚💛💚💛
Mmetuhexhimisha vijana wetu m/mungu azidi kutulinda na kuwalinda vijana wetu na kuwaongezea nguvu na kujiamini ili tuweze kuendereza ushindi AMINA❤❤❤💛💛💛💚💚💚
Asante Dodoma kwa kutuwakilisha hakika vibe ni la kutosha na mmejua kuujaza uwanja
Mashabiki bora dodoma
Dube anaenjoy sana kucheza yanga😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Kocha wa viungo anawafanyisha mazoezi adi mashabiki😂😂
Tumeanza kurudi kwenye Mfumo nazitamani Timu mbili Tu Al hilal na Tabora nikishakutana na hizi takua nimeweka heshima yangu vizur
Umesahau Azam fc nao tuna kisas
Na Azam
😂😂😂
Ngoja wajipendekeze tena
Asante sana mungu kwa huu ushindi 🙏
Good mmeiheshmisha krismas 🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana mmeupiga mwingi wapambanaji wetu especially speed ya kipindi Cha kwanza ila baada ya mabadiliko timu ikapunguza speed ata shauku yakufungua mabao mengi zaidi haikuwepo ila wachezaji wangekuwa makini ata magoli nane yangefungwa nilionao kocha akiwasukima wachezaji waende mbele kushambulia ila back pasi zikawa nyingi naimani benchi la ufundi limeona mapungufu litafanya kazi na wachezaji wajitahidi wasipoteze sana pasi nyingi ambazo zingine zingezaa mabao yaani timu inashinda ila unatamani magoli yazidi kufungwa unaona Bado
Daima mbele nyuma mwiko yanga bingwa inshaallah
😂😂😂uweehhh hii vibe babababake
Heshma kwenu wapambanaji wetu
Daima mbeleeee 🎉🎉🎉
Fitness coach ana mizukaaa 💚💛
Kama yule manywere
Kwaushindi huu usingizi mtamu njozi safi
Mpira bana week zilizopita coacher alikuwa midomoni mwa mashabiki sasa kila mtu shujaa kwake
Nakubaliiiiii Yanga ya moto
Yanga 🔥🔥🔥weka mbali na watoto weweeeeeee
I love yanga
Leo mwendo wa furaha day xmas nzuri
Mchezaji ambae hataki kubadilika hapo yanga ni kibabage au ni kurujuani ya mzee magoma aende nae akaombewe😆😆😆
Asante mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bingwaa
Yanga bingwa
There's very strong bond between #yanga & #wananchi
Eee wamegoma kuondoka uwanjani😅😅
Sema Side kama side Anapenda vibe sana
Felis navidad ✊🎉
Sasa hivi utasikia GSM anaaribu ligi yetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hiki ndiyo dube alikuwa anakitafuta na amekupata
Muendelee kukazania fitness ili timu hiwe na ubora sawa vipindi vyote viwili
Sup yapwez nabflo
Gusa achia twend kwao😂😂😂😂😂
Slogan ya kishua hiyo inazid kukupa respect semaji letu Ally kamwe,tunalisubil kmc complex
Nina usongo na TABORA😂😂😂
Na al hilal asee😂😂
uyu kocha
Kwani Hapo Ni Oftime..Au Mpira Umekwisha Naona Mashabik Hawatoki Uwanjan Au Wanajua Kuda Dk Za 120..Zitaongezwa..😂
Kwa hizo raha wew ungetoka? Istoshe watu wana raha wamefika Christmas, wameshiba mipilau hlf wamepata burudani
gusa achia twendekwao mtaijua ipo siku mtu atapigwa kumi
Kweli noma
Wenyeji mbna hawaonekani😂😂 wamekimbia kwao
Vibe la kutisha
💛🔰💚
Hi yanga hi ipo sirias na Moira hakuna kupoa mpak inanitisha
Pia mkimpata namba sita wakumpa support aucho akiwa majeruhi au mapumziko na Beki katili wa center forward itakuwa vyema naimani mtazidi kutupa furaha na kuyaziba Yale mapungufu na Leo wachezaji walijitahidi kucheza vizuri kushambulia nakurudi haraka kuzuia nakukaba mnabidi mzidi kuimarisha Kila eneo litakalokuwa kikwazo kufikia malengo yetu
Tumemsahau mayele
Kwasasa dube ndo kabeba furaha ya yanga....
Dune ulikua unatua presha tunashukuru umeanza kufunga
Na kuna watu washaanza kuogopa uko mavi yanagonga chupi😂😂😂
😂Machozi ya furaha yamenitoka
Hivi Khomein hana aibu?
😂😂😂
yaani tabora,azam wamewatafutia wenzao matatizo bila wao wala tusingewafunga watu nne nne kwa kweli