Ooo Sisi Ndio Yanga Ss Ndio Wananchi Hatuna Mpinzani Wanonuna Wanune Wenye Kutukakana Watukane Wenye Kubeza Wabeze Wenye Kudharau Wadharau Ss Wala Khabari Hatuna
Wana Yanga Tunakwenda Uwanjani Tunajiamini Timu Yetu Inacheza Tunashuwarika Hatuna Presha Wengine Wakienda Uwanjani Mkono Kwenye Roho Firimbi Ya Mwisho Alhamdullilah
Asalaam Aleykum Warahmatullah Wabarkatuh Wananchi. Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jamani Amakweli Kuwa Mwananchi Raha Unatamba Na Uwananchi Wako
Ooo Sisi Ndio Yanga Ss Ndio Wananchi Hatuna Mpinzani Wanonuna Wanune Wenye Kutukakana Watukane Wenye Kubeza Wabeze Wenye Kudharau Wadharau Ss Wala Khabari Hatuna
Huyu jamaa namkubaligi saana
Jamaa anajibu fact kabisaa
Chagamba; Familia huyu jamaa anafaa!
Na amekura kibabe kocha
Nkubli broo
Sawa mwache bausa wao apige penati dube tafuta mwen
kuna watu wanakera yani mtu yupo kwnye interview yeye anaongea na simu