Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, mema zaidi yako mbele yanakuja. Shukrani nyingi kwako mchambuzi wangu bora wakati wote Ramadhani Mbwanuke.
Basi we kipofu! Mimi YANGA,hakuguswa! There was not even minimal contact! Hiyo tunaita DIVING! KWA WENZETU UNAWEZA KUPATA HATA YELLOW CARD KWA KUMUHADAA REFA! tungekua VAR ,lisingekua goli! Kwa macho ya kawaida,kile NI kitendo cha sekunde,huwezi kuona! Strikers wengi hutumia kila ujanja kufunga! Diving ilikua imekithiri kwenye maligi makubwaa, ndo maana ikawekwa KANUNI, mchezaji akijiangusha kwa Nia ya kupata penalty,unapewa yellow card! So, lile halikua goli! Sema Tu, still Yang ingeshinda!
@@AishaSaeed-i6k usimtukane! Hujui mpira! Kupata penalty lazima ufanyiwe MADHAMBI,mpinzani uunawe mpira au kipa mfanyie madhambi mpinzani ndani ya 18! Alichokifanya DUBE kinaaitwa DIVING kwenye LUGHA za kimpira! Na Hilo ni kosa,kwa wenye mpira wao ,angeweza hata KUPEWA YELLOW CARD! huu NI ujanja wachezaji wengi hasa washambuliaji hutumia KUMUHADAA REFA! Huu ujanja ulipitiliza kwenye ligi kubwa duniani,ndo maana wakaamua kuweka KANUNI ,uki dive kwa NIA YA KUMUHADAA REFA ILI UPATE PENALTY,UNAPEWA KADI YA NJANO! Dube hakuguswa,so it was not a foul ( hakufanyiwa madhambi) pale Dube alijua kapoteza ule mpira alipo lose balance,na alimuona kipa alivyokuja,kwa uzoefu wake, akajiangusha! Mimi NI YANGA,Lkn SIO shabiki maandazi! Na tuwe wastaarab,huna haja ye kumtukana mzee WA data! Kajifuze Sheria za mpira ,siku Nyingine utaelew! Kwa kuwa REFA aliamua NI penalty,Mimi ntashangilia kama mwana YANGA,Lakini HAIKUA PENALTY
Refa alikuwepo au? Hiyo ni penalty haina ubishi au basi tufute Hilo bao 😂 Yanga bingwa, hivi penalty ya mechi ya simba na jkt vipi? Dube hakuwa offside ila tunaheshimu maoni yako, sasa basi match zichezeshwe na nani 😮
@@MbwadukeStats Kuwa offside sio kosa ila kucheza mpira ukiwa offside au ukitokea eneo la offside ndo kosa , dube hakucheza mpira Kwa namna yoyote akiwa katika eneo la offside , Kwa maana wachezaji wa Dodoma waliclear offside , na dube akafunga , na ndomaana ata mchezaji wa Dodoma aliekuwa golini hakulalamika , sio kwamba yeye hajui mpira au kilaza .
Hilo wala lisikuvuruge Upendo. Alichoeleza Mzee wa Data ni maoni yake. Nawe unao uhuru wa kutoa maoni yako kuliungana na ulivyoshuhudia maana mpira wa miguu ni mchezo wa wazi. Isitoshe, uwe unakumbuka vilevile kuwa naye ni binadamu hivyo anaweza pia kukosea sana tu! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Hakuna offiside hapo kulikuwa na beki golini ni kweli dube mwanzoni ikionekana kama offiside lkn kabla hajapewa mpira kuna beki alikwenda golini kabla hata dube hajapigiwa mpira , hugo othumani naye ,huwa anachemka sana tu wala yeye ,asiwe anajiona eti ndo anajua zaidi ya wengine
@MbwadukeStats sawa ngoja nisome upya lakini mi naona contact kweli haikuwepo lakini kipa ukitazama dhamira yake ni kumzuia asifunge maana tayari mpira alishaukosa
Ila mpira Wa kibongo jamani kaaaaah Dube alikuwa oksaidi mbona ya simba amkusemea kuwa siyo penarti mnakuja ongelewa mambo ya yanga ila Gali lisha Waka sisi nyuma mwiko tunasonga mbele tuu
Siku zote nawaambia huyu uchambuzi wake huwa anaibeba sana simba, wakati anaichambua mechi ya simba aliiyongelea penati aliyopewa simba ila makosa mengine alifunika, ila leo kachambua makosa yote ya yanga.... Nahisi hapo kaumia yanga kushinda sema tu hana jinsi nilazima achambue😂😂😂
Kwa upande wangu kuhusu maelezo yako ya penati hapana sikubali hajajiangusha ila alitishwa na ujaji Wa golikipa vibaya akaogopa asingeruka golikipa angeenda nae
Kama umeona kuna mguso (contact) basi UTAKUWA SAHIHI. Kama ukiona kama alivyoona Mzee wa Data kwamba hakuna mguso basi tumsifu Dube kwa uzoefu wake na tumpe pole mwamuzi kwa kuhadaika!!
Kuna contact yoyote? Kama kuna mgusano basi uko SAHIHI. Kinyume chake no penalty. Rejea sheria namba 12 kuhusiana na fouls and misconduct na sheria namba 14 inayozungumzia penalti. Contact fouls na kunawa mpira ndizo pekee huzaa direct free kicks ambazo ndani ya 18 huwa ni penalti. Faulo nyingine zote zisizohusiana na kugusana au kunawa mpira huzaa indirect free kicks ambazo hizi hupigwa hata ndani ya 18. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono! N.B Muhimu tambua kwamba hapo Mzee wa Data katoa tu maoni yake na wakati mwingine huchemka na hivyo siyo kwamba yeye kila anachoeleza yuko sahihi 100%. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, kila mmoja anaona na anaweza kutoa maoni yake. Nawe uko huru kutoa maoni yako Mkuu kuhusiana na ulivyoona. Na ndiyo uzuri wa mchezo huu!
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, mema zaidi yako mbele yanakuja. Shukrani nyingi kwako mchambuzi wangu bora wakati wote Ramadhani Mbwanuke.
Engineer wa takwimu nakubali sana bro kazi yako nzur
Pamoja sanaaa Mbwaduke
The one n only mzee wa DATA! Never biased in his analysis! Safi sana
Wewe mzee wasiliana na Osman Kazi vyema, umechemka, hiyo si offside kama alivyoamua mwamuzi. Omba radhi.
Dube anamikimbio mizuri akiwa na mpira inatulipa sisi wananchiii DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 🔰🔰🔰🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤳💪
Ila mzee we noma
Kawaida ya mchezaj yeyote hapo lazima age fanya hvyo
Dube hakuwa offside 😅😅😅, Kuna beki alikuwa golini.
Mwananchi Offiside ilikua kabla ya hio move ya goli, Cha muhimu timu yetu inaanza kua compact
Hakuwa offside kwa sababu kipa aliucheza kwanza
mpira aliugusa golikipa sawa but mudathir alikua sahihi angeunganisha yeye lakn hakna namna @@AllyRamadhani-f2p
Jambo la muhimu hapa ni kwamba matokeo yaliyoingia kwenye rekodi ni Dodoma FC 0 na Yanga 4 .
Amegongwa na mgono kwenye paja la kulia angalia vizuri bos
Aliguswa kwenye mguu kidogo sana msijisahaulishe
KIUKWELI ALIGONGWA MGUU WA KULIA BOSS MGWADUKE
Umeona kama mimi
Hivi mtu imebaki pekeako na mpira ujiangushe huyu mbwaduke nae fala
Basi we kipofu! Mimi YANGA,hakuguswa! There was not even minimal contact! Hiyo tunaita DIVING! KWA WENZETU UNAWEZA KUPATA HATA YELLOW CARD KWA KUMUHADAA REFA! tungekua VAR ,lisingekua goli! Kwa macho ya kawaida,kile NI kitendo cha sekunde,huwezi kuona! Strikers wengi hutumia kila ujanja kufunga! Diving ilikua imekithiri kwenye maligi makubwaa, ndo maana ikawekwa KANUNI, mchezaji akijiangusha kwa Nia ya kupata penalty,unapewa yellow card! So, lile halikua goli! Sema Tu, still Yang ingeshinda!
@@AishaSaeed-i6k usimtukane! Hujui mpira! Kupata penalty lazima ufanyiwe MADHAMBI,mpinzani uunawe mpira au kipa mfanyie madhambi mpinzani ndani ya 18! Alichokifanya DUBE kinaaitwa DIVING kwenye LUGHA za kimpira! Na Hilo ni kosa,kwa wenye mpira wao ,angeweza hata KUPEWA YELLOW CARD! huu NI ujanja wachezaji wengi hasa washambuliaji hutumia KUMUHADAA REFA! Huu ujanja ulipitiliza kwenye ligi kubwa duniani,ndo maana wakaamua kuweka KANUNI ,uki dive kwa NIA YA KUMUHADAA REFA ILI UPATE PENALTY,UNAPEWA KADI YA NJANO! Dube hakuguswa,so it was not a foul ( hakufanyiwa madhambi) pale Dube alijua kapoteza ule mpira alipo lose balance,na alimuona kipa alivyokuja,kwa uzoefu wake, akajiangusha! Mimi NI YANGA,Lkn SIO shabiki maandazi!
Na tuwe wastaarab,huna haja ye kumtukana mzee WA data! Kajifuze Sheria za mpira ,siku Nyingine utaelew! Kwa kuwa REFA aliamua NI penalty,Mimi ntashangilia kama mwana YANGA,Lakini HAIKUA PENALTY
Kweli dube hakuwa ofsid beki arikuwa kakaa golini
Ilikua siyo panert
Mbwaduke leo kachemka bhana asa offside fan ile mmmh nishaanza kua na mashaka
Kulingana na sheria, no 11 Dube alikuwa Ofside na penalty ya mchongo
Refa alikuwepo au? Hiyo ni penalty haina ubishi au basi tufute Hilo bao 😂 Yanga bingwa, hivi penalty ya mechi ya simba na jkt vipi? Dube hakuwa offside ila tunaheshimu maoni yako, sasa basi match zichezeshwe na nani 😮
Iv pale offside iko wap au mimi ndo sijui mpira
Naomba angalia mkono wa kipa
Mnaangalia kiushbiki ndo maana
Ingekuwa Simba Isingekuwa Offside, Pia Ingekuwa Penalty Halali
Duh!
@@MbwadukeStats Kuwa offside sio kosa ila kucheza mpira ukiwa offside au ukitokea eneo la offside ndo kosa , dube hakucheza mpira Kwa namna yoyote akiwa katika eneo la offside , Kwa maana wachezaji wa Dodoma waliclear offside , na dube akafunga , na ndomaana ata mchezaji wa Dodoma aliekuwa golini hakulalamika , sio kwamba yeye hajui mpira au kilaza .
Simba wanabebwa na marefa hadi nawachambuzi hahaha
Goli la mzize liwekwe goli bora la msim
Gari linawakia kwenye mteremko halipigi stata bado, jiangalieno
Ww saa nyingine hunateleza
Hilo wala lisikuvuruge Upendo. Alichoeleza Mzee wa Data ni maoni yake. Nawe unao uhuru wa kutoa maoni yako kuliungana na ulivyoshuhudia maana mpira wa miguu ni mchezo wa wazi. Isitoshe, uwe unakumbuka vilevile kuwa naye ni binadamu hivyo anaweza pia kukosea sana tu! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
😂😂😂sindano zinaanza kaziwalikuwa wametulia Kwa dozi imeanza tena
Nyoooo wivu utakuua
Nawewe choma panya we
Kama imewauma kasegeni chupa mumeze🤣🤣🤣
Dube hakuwa offside
Haikua penat Ila goli LA nne ni goli halaliiiiii
Ile sio offside kipa kaingia ndani beki kaenda golini au beki sio mchezaji
Dube hakua offside kuna beki alikua golini
Kaze Huwa anaziona ofsaidi za yanga tu makosa ya Simba Huwa hayaoni
Hakuna offiside hapo kulikuwa na beki golini ni kweli dube mwanzoni ikionekana kama offiside lkn kabla hajapewa mpira kuna beki alikwenda golini kabla hata dube hajapigiwa mpira , hugo othumani naye ,huwa anachemka sana tu wala yeye ,asiwe anajiona eti ndo anajua zaidi ya wengine
Msameheni na yye pia binadamu SD i unajua wachambuz wa siku hiz
Na yule beki wa kwenye golii alikuwa goli kipa kumbe
Mtasema sanaaaa
Ingekuwa simba usingesema hivyo
Duh!
sawa kipa si alishaucheza na alitoka golini
Dube ameguswa kwe paja na kipepsi
Acheni kumsema mwaduke kiushbiki wenu yo te ni kweli yanayosemwa mpira mmeutazama au pia mmeangalia kiyanga kubalini ukweli
Aliguswa bwana na Dube hakuwa offside
Huu ndio ubaya ubwela si ndo mnasemaga hivi sasa tulien nyie mnapata penat za mchongo watu kimnyaa hahaa 😂😂😂😂
Leo umechemkw nilikueepo upande dube alipofunga usawa ule hakukuwa na offside
Basi chukueni hizo 2 bado watabakiwa na 2 😂
Hakujiangusha sema dube aliruka golkipa angemkwatua angeumia mbaya ndo maana ikawa penalty
Kapitie tena sheria namba 12 boss...pamoja na namba 14 kuhusu penalti. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono!
@MbwadukeStats sawa ngoja nisome upya lakini mi naona contact kweli haikuwepo lakini kipa ukitazama dhamira yake ni kumzuia asifunge maana tayari mpira alishaukosa
Ninaona jezi nyeupe golini wakati Dube anafunga
ila kwenye off side mlitupiga na kitu kizito
Duh!
Ila mpira Wa kibongo jamani kaaaaah Dube alikuwa oksaidi mbona ya simba amkusemea kuwa siyo penarti mnakuja ongelewa mambo ya yanga ila Gali lisha Waka sisi nyuma mwiko tunasonga mbele tuu
Kwanza kipa aliucheza na akaenda beki kuzuia hiyo offside inatokea wapi?
We umesaidiwa kubaini kwa kuitumia picha za marejeo ungekuwa ujaangalio hizo picha za marejeo acheni unambi mtaumia Sana na kisununu chenu
Siku zote nawaambia huyu uchambuzi wake huwa anaibeba sana simba, wakati anaichambua mechi ya simba aliiyongelea penati aliyopewa simba ila makosa mengine alifunika, ila leo kachambua makosa yote ya yanga.... Nahisi hapo kaumia yanga kushinda sema tu hana jinsi nilazima achambue😂😂😂
Umechemka ile sio ofside ni on side
Leo umechambua kwa kisirani
Mbona Kuna beki Alisha tangulia golini Tena alikuwa nyuma ya kipaa jamani chambueni na game za simba mbona atusikii penarti za simba zikichambuliwa
Magori ya mchongo.....
Yanawauma eeee😂😂😂
You see Yanga!!!about simba???😂😂😂😂😂😂😂
Kama angepewa pasi,kabla ingekua of side,goli la penati kweli haikua penati,
Ninyi wachambuzi acheni mwamuzi afanye kazi yake.Ninyi mmekuwa chanzo cha mfarakano baina ya marefa na watazamaji.Mwenye macho haambiwi tazama.
Mbona somba zidi ya jkt sana ilisitail sale
Duh!
Hakuna offside hapo,hapa naona Kuna shida kwenye sheria
Mbwaduke kwenye penati umexhemka. Ni penati halali kabisa
hapana kaangalie tena dube hakuguswa mwananchi mwenzangu
Tufanye hakuguswa ,,, vip kuhusu aproach ya kipa kwa dube au refa hawezi kuhukumu lengo la mchezaj kwa mcheji mwenzake?
@@jumamkoka2267
Hao ni kolo tu, na mara zote kolo ni kolo tu
sindano hizo
😂😂😂unateseka ukiwa wapi
Dube offside Dube no penati wamebebwa
Kumbe imebidi uendane na Othman Kazi bcoz ni mfanyakazi mwenzio wa Azam Tv not offside
Duh!
Aliguswa kwenye goti
Kwa upande wangu kuhusu maelezo yako ya penati hapana sikubali hajajiangusha ila alitishwa na ujaji Wa golikipa vibaya akaogopa asingeruka golikipa angeenda nae
Labda tuseme mwamuzi aliona tu ule ujaji mbaya Wa kipa akalinganisha na kuanguka kwa dube akaconnect
Kama umeona kuna mguso (contact) basi UTAKUWA SAHIHI. Kama ukiona kama alivyoona Mzee wa Data kwamba hakuna mguso basi tumsifu Dube kwa uzoefu wake na tumpe pole mwamuzi kwa kuhadaika!!
Mbwaduke dube hakuna of side,wakati anapewa paso ya goli,kwakua beki Aliya of side hiyo
Ile ni penat safi
Ilipigwa vizuri,Lkn haikua penalty,YANGA hapa! Kiushabiki utasemai penalty! Do I care? No😂😂😂
Dhamila ya kipa kwa dube nni? ile reaction ya kipa kwa mchezaji je, hakuna ukumu.???
Kuna contact yoyote? Kama kuna mgusano basi uko SAHIHI. Kinyume chake no penalty. Rejea sheria namba 12 kuhusiana na fouls and misconduct na sheria namba 14 inayozungumzia penalti. Contact fouls na kunawa mpira ndizo pekee huzaa direct free kicks ambazo ndani ya 18 huwa ni penalti. Faulo nyingine zote zisizohusiana na kugusana au kunawa mpira huzaa indirect free kicks ambazo hizi hupigwa hata ndani ya 18. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
N.B
Muhimu tambua kwamba hapo Mzee wa Data katoa tu maoni yake na wakati mwingine huchemka na hivyo siyo kwamba yeye kila anachoeleza yuko sahihi 100%. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, kila mmoja anaona na anaweza kutoa maoni yake. Nawe uko huru kutoa maoni yako Mkuu kuhusiana na ulivyoona. Na ndiyo uzuri wa mchezo huu!
Nahili pigeni kelele mana kwasimba mmesema sana mbona hikinmmekaa kimya
Kipa alimzuia dube nafasi ya kufunga na kipa hakugusa mpira ko hiyo ni clear penalty kabisa
Nyie huwa mnasema mchezaji anaekwenda kufunga akibughudhiwa Basi huamuliwa adhabu sasa shida ni nini?
Au mpaka mchezaji atke damu ndo penalt???
Duh!
Sorry Bwanduki Mchambuzi makini. Osman ameyakubali magoli yote 2 kama halali. Na kwa hili ntamkubali Osman zaidi sababu yeye ni refa nguli wa FIFA.