Hamza issa asambaratishwa na hoja zake za kikafiri Sehem ya kwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @hawachilemba2562
    @hawachilemba2562 2 года назад +5

    Ni kwel wayahudi walimkana Yesu. Hatushangai.

  • @motivumotivunbktv4409
    @motivumotivunbktv4409 8 месяцев назад

    Mashallah ustadh kazi nzuri sana

  • @estherwamboi7683
    @estherwamboi7683 Год назад +4

    😂😂😂😂😂😂huyu wa kitenge anachekesha kweli heti Mohammed ni mkubwa kuliko yesu Jehovah 😂😂😂😂waaaah watu wamepotea kweli

    • @JamalKishangu-p7w
      @JamalKishangu-p7w 4 месяца назад

      Mtume Muhammad aliwatangazia walimwengu kwamba kama Musa na Yesu wangekuwepo hai, wasingekuwa na hiyari ila kumfuata na kumkiri Muhammad s.a.w.
      Kadhalika Muhammad s.a.w sehemu nyingine akasema: Wanazuoni wa umati wangu ni bora kuliko manabii wa baniisrael.
      Mpaka hapo utaona Muhammad s.a.w ni mkuu kuliko Yesu na Musa.
      Hivyo utaona kwa uwazi

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 года назад +2

    Mungu amsamehe anaengia katika bahari hali hajui kuogelea hata kidogo.

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 6 месяцев назад

    Kwa jinsi hii, Mwenyezi MUNGU aliupenda Ulimwengu, hata akamtwa MWANAYE pekee ili kila amwaminiye ewe na uzima wa milele.
    Kwa maana Mwenyezi MUNGU hukumtuma YESU KRISTO kuja kuhukumu ulimwengu bali ulimwengu uokolewe kupitia kafara yake ya Msalaba. (Yohana 3: 16 -17)
    Mantiki ipo hivi: Hapo zamani binadamu wote walikuwa na HATIA/DHAMBI waliyoithi kutoka kwa Mzazi wetu Adamu na wakakosa HAKI kumwona Mungu. Lakini kupitia kafara ya Msalabani ya mwenye HAKI Yesu Kristo wanadamu wote wamendolewa ile HATIA ya Adamu na kuwapa haki ya kufanyika watoto wa Mungu.
    WITO: WAMINI YESU KRISTO ILI UONDOLEWE HATIA YA MILELE NA USAMEWE DHAMBI ZAKO.

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 3 года назад +3

    Yesu Cristo akuwe nanyu

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Kama muhamadi anajua uchawa atawaombea kwA yesu mukakae karibu yake mnaongea ushabiki❤

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Nivomuelewa shehe amza kuruan nimuongizo ya watuwote kwamana erim yakuishi kwakumpendeza mungu nayesu alikuja kwaajili ya ukombozi wa zambi nandomana asiemuamin yeye awezi kufika pepon

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 года назад +4

    Uzuri wa kuwa Muislam ni kwamba hata kama hujasoma dini ila ukawa ni mtu wa kusikiliza mihadhara ya hapa na pale basi hutoyumbishwa na wazushi kama Hamza. Ila kila elimu ya dini huna na si mtu wa kusikiliza mawaidha huyu Hamza anaweza kukuyumbisha. Ndio maana Muislam ameshurtishwa kusoma.

    • @najaasalim8942
      @najaasalim8942 2 года назад +2

      ان لله وان اليه راجعون sina ilimu ya kutosha lkn kimtazamo wangu alpokua snasoma dini ya kiislamu slkua ana malengo yake km ametumwa na makrsto kuchafua basi allah ndie mkubwa mungu atufushe hali ya kua ni waislamu amiin

    • @najibsalim3835
      @najibsalim3835 2 года назад

      Hamza ni nguruwe

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 9 месяцев назад

      Kuamini kwamba yesu kafa msalabani wewe si muislamu Bali wewe ni mkiristo acha kujiveshaa nguo za kiislamu kutaka kupotoa waislamu,yaani nyinyi ndio munaotumwa kuja kuvuruga uislamu wallahi Lau ningelikuwa ni mtawala basi ningekata shingo yako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 месяцев назад

    👍✌️👊.

  • @joashwambua9988
    @joashwambua9988 4 года назад +1

    Maelezeo yako kuhusu yesu kuwa ni neno la mungu haikuridhisha! Kila mwenye makini ameweza kuhisi hilo!!!

  • @daniellourencojaime
    @daniellourencojaime Год назад +1

    Amém 🇲🇿🇲🇿🙏

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 года назад

    Yohana 12:28 Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.*TULITUKUZE JINA LA MUNGU TENA NA TENA! TUDUMISHE MAOMBI NA KUTAFAKARI NENO KILA WAKATI!*

  • @salangtvone
    @salangtvone 9 месяцев назад +1

    YESU PEKEE NDIYO ATAMSHINDA MPINGA KRISTO WALA SI MUHAMMAD SASA UNACHUKIA NIN MBONA UNAMKATAA ALIYE ANDIKWA KWENYE QURAN ACHENI KUJIFANYA MACHIZI HAKIKA NAWAAMBIENI MNAMCHUKIZA SANA MUNGU NA DUNIA ITAWAPIGA.

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 6 месяцев назад

    Huyu ni mkristo aliyetumwa kuwavuruga waislamu.

  • @othmanmuna3115
    @othmanmuna3115 4 года назад +2

    Innalillah wainaillaih rajiwn

  • @IsmailMketo
    @IsmailMketo Год назад +1

    Mutakufa kibudu mungu akuonye njia utaki kufa njia mungu akuue kifo kibaya sana

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 Год назад +1

    Elias una nibariki Sana

  • @Kassa-fl3yh
    @Kassa-fl3yh 8 месяцев назад

    Mimi ninaamini kabisa Muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu.
    Kama mtume alisema Yaya nizaidi ya nabii issa.ilo Mimi kama mwislamu nakataa.
    Nabii ISSA nizaidi ya Muhammad.

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Shehe amza awajakuelewa hao kwajili ya ushabiki

  • @dicksonbakari4619
    @dicksonbakari4619 5 лет назад +1

    uko vzr kumkili YESU

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 2 месяца назад

    Allah akbar uislam ndio dini ya haki dini zingine ni ukafiri mkubwa

  • @bryson0772
    @bryson0772 Год назад +1

    Huyo shekhe wa mwsho alovaa kitenge ndo muongo na anaforce vtu,, hv mtume aseme yy ndo mkubwa kuliko issa huo n uongo mkubwa kama yeye ni mtume na yesu n mja wa Mungu tu na yy ndo mkubwa kuliko yesu kwa nn mwishowe akili kuwa yesu ndo atarudi kuhukumu ulimwengu? Akili nyepesi tu kuelewa ukiweka udini pembeni✍

  • @KassimRashidi-v4q
    @KassimRashidi-v4q 9 месяцев назад

    Uyu sheikh ni msenge tu .

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 9 месяцев назад

      Mpka hapa we n jehanam kwann unatukana

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery 9 месяцев назад

    Kosa kubwa ukilifanya usisamehewe nikukana mwenyezi mungu:

  • @omariddi
    @omariddi Год назад +1

    Mtume Muhammad S. W. A ndio mtume wa ulimwengu wote Isa bin Maryam kwa ajili ya mayahudi t

    • @salangtvone
      @salangtvone 9 месяцев назад

      Sasa wew unakataa yesu si mkombozi wa ulimwengu akija mpinga kristo muhammad atamzuia yeye au yesu?

  • @loysamwel6308
    @loysamwel6308 2 года назад +2

    Wasilamu ndiyo makafiri

  • @Kassa-fl3yh
    @Kassa-fl3yh 8 месяцев назад

    Naomba kuwauliza.
    Muhammad Alikua ni Muarabu.
    Yesu alikua ni mzungu.
    Jee nabiiwetu sisiwatu weusi Nabii wetu ninani?.
    Nikwanini tunalazimika kusoma kiarabu kama luhayatu ni kwanini

  • @sizasaidi6715
    @sizasaidi6715 2 года назад

    A sio waislamu kbs

  • @abuuayman8343
    @abuuayman8343 4 года назад +1

    webaba mche Allah usidanga nyike napumzi

  • @OmaryMzava-o6o
    @OmaryMzava-o6o 2 месяца назад

    Tuzame kuxoma xana maana lango lapeponi limeandikwa Muhammad tangu pepo ilipo umbwa ukimtaja Muhammad tafakar cna issa alipewa kijiji Muhammad alipewa mjii

  • @estherwamboi7683
    @estherwamboi7683 Год назад +1

    😂😂😂😂😂yaani nikisoma comments za Muslim zote wako na jazba sana 😂😂😂ukweli mchungu

    • @IsmailMketo
      @IsmailMketo Год назад

      Wew mwenyewe auna akili umjui mungu kiukweli na pengine mkiristo na uyo aliovaa kanzu mkiristo au anataka ela tu

    • @estherwamboi7683
      @estherwamboi7683 Год назад

      @@IsmailMketo 😂😂😂😂😂😂 wacha nikose akili lkn kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri yesu ni bwana sasa sjui wewe kama uko na ulimi ama watumia upanga😂😂😂😂

  • @lalyabbas8861
    @lalyabbas8861 8 месяцев назад

    Huyu hamza atakiwa apige shahada tena la sivyo ataenda adhibiwa kesho

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs Год назад

    Diwani sio wab'nu ummatihi ni hivi wab'nu amatihi

  • @deepestmathematics1888
    @deepestmathematics1888 8 месяцев назад

    Shekhe kazingua kusema mtume Mohammed ni bora kuliko isa

  • @patrickmbanya8335
    @patrickmbanya8335 2 года назад

    Ukweli ushikiliswe

  • @othmanmuna3115
    @othmanmuna3115 4 года назад +3

    Nimegundua aboud Rogo aliuliwa na wanafki Wa kiislam kama huyu

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Год назад +1

    Waislam wakiwa wanahubiri utaona kabisa walivyo na hasira mbona wenzenu wakristu wanavyohubiri wanakua na tabasam na utulivu

  • @TamilNado
    @TamilNado 9 месяцев назад

    Samahani kaka Hamza ni mwenyeji wa mkoa gani? Mtu wa taifa gani?

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Год назад +1

    Mzee unajiingiza katika maangamizi makusudi kwa njaa zako, Allah akbar

  • @KhamisAbubakrSwidiq
    @KhamisAbubakrSwidiq 9 месяцев назад

    Iyo ni njaa awo wanatafuta musada

  • @mirajisalehe6295
    @mirajisalehe6295 4 года назад +2

    Kama kweli Mariam kapulizwa na jiblili ndio issa akazaliwa basi issa atakuwa mwana wa Jiblili. ukweli wa Yesu ni Huu, Yohana 1:1 Hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikwako kwa Mungu naye neno alikukuwa Mungu Huyo mwanzo alikwako kwa Mungu .vyote vilifanyika kwa huyo wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika 14 naye Neno alifanyika mwili ,akakaa kwetu nasi tukauona ututkufu wake, utukufu Kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba amejaa neema na kweli. Ukitafakari vizuri maandiko utagundua kuwa Yesu alikuwa ndani ya Mungu .mwenyezi Mungu alipokuwa akitamka basi hilo neno lake likaumba kila kitu. Yesu alitia misingi ya Nchi na mbingu ni kazi ya mikono yake kwani pasipo yeye huyo Neno hakikufanyika chochote kilichofanyika .basi Neno la Mungu likafanyika mwili .ndio baada ya kufanyika mwili likaitwa Yesu kiristo au masihi kwa Roho mtakatifu na nguvu zake Mungu aliye juu .kwa hiyo Bwana Mungu wetu Ndiye Bwana mmoja Bali alijidhihirisha katika nafsi zake Tatu.

    • @amanimwinuka2928
      @amanimwinuka2928 4 года назад

      Mtu akinionea aibu Mimi nami nitamuonea aibu mbele ya baba yangu

    • @amanimwinuka2928
      @amanimwinuka2928 4 года назад

      Wenyewe kwA wenyewe. Xixi wenyewe wenye Imani yetu . Tunacheki tu

    • @aminachristopher9301
      @aminachristopher9301 2 года назад

      Uko vizuri hamza, jasili na shupavu mungu wa bwana wetu yesu Kristo akupe nguvu hao wanajua kila kitu Ila tu wanaona aibu, mungu awa kumbuke waislam wengine Kama wewe ulivyo kumbukwa na mungu

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 8 месяцев назад

      Upo sahihi Asante kwa kuwaelimishaaa

  • @marywachira3745
    @marywachira3745 2 года назад

    Kama siyo mkombozi ,mbona ameandikwa kwa khl,hn ,so nimwema ,wanapotea kwasababu wanasema Mungu wetu wakristo alizaliwa ,akazaa ,wafafanulie yesu hakuzaa tena ,tena waambie tunajua kuna kristo na Mungu mwenyewe,yesu aliumbwa na Mungu kwa tumbo ya Mary akiwa kaa roho mtakatifu ,hakuja kwa njia ya kitendo Cha ndoa ,

    • @duliokechannel6199
      @duliokechannel6199 2 года назад

      Na bii adam na hakuja kwa njia ya kitendo cha ndow, eve (hawa) katok kweny ubavu wa adam ( hakuj kwa kitendo cha ndow) mwenyez mungu huumba atakavyo

  • @mynerabdul4847
    @mynerabdul4847 4 года назад +4

    🤔🤔 allah msamehe bure huyu mtu jaman mbona anaongea vitu havihusian na mada alaf hata namna anaongea anaonekana kama ni askof wa kanisa flan na anatumika kuvuliga uislam 🙆 nakuonea huruma hamza unachokitafuta utakipata

    • @joelsulle1110
      @joelsulle1110 2 года назад

      Huwezi kuijua hiyo kweli aliyoizungumza kwa kuwa kweli haijafunuliwa kwako, ILA, UKITAMANI KUIJUA HIYO "KWELI, AMBAYO NI NENO LA MUNGU KUPITIA YESU KRISTO, BASI NA WEWE UTAFUNULIWA UFAHAMU WAKO NDIPO UTAKUBALI ANAYOYAONGEA HAMZA AMBAYE KWELI IMEFUNULIWA KWAKE! Soma Yohana 3; 31-36.

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 Год назад

      Nabii hamza hana shida ila kuna roho zime fundisha vibaya sasa wana macho hawaoni wana masikio hawasikii wana zamira ila hawa faamu roho itakayo mpinga nabii hamza ao Elia ni roho ilio ongozwa motoni ao ni roho ilio lainiwa siku zote kweli ya leta matengano

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 Год назад

      Kila roho inayo mpinga YESU Kristo ata chomwa moto bado kidogo ningelijuwa inakuwaka nyuma

    • @iddykakalike3149
      @iddykakalike3149 5 месяцев назад

      Huyo amesilim alikua mchungaj

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb Год назад

    Mkiwa pekeyenu munakubari ukweli munaombiwa munaogopa aibu

  • @yusufujaluo979
    @yusufujaluo979 Год назад

    Njoo uku kwa Waume utueleze..

  • @hassanlugoma8966
    @hassanlugoma8966 2 года назад

    Dah.. pesa hii...?

    • @zumbechamshama2241
      @zumbechamshama2241 2 года назад

      Rudi shule ukasome wacha mchezo unaifanyia siasa korani, issa haji kusimamisha uislamu ila atakuja siku ya hukumu

    • @ibrahimungayoma2874
      @ibrahimungayoma2874 2 года назад

      @@zumbechamshama2241 yuko vizuri ila bado hajajua qoroani imeanzaje imempasa kuiyacha kabisa na kua mkristo kamili kwasababu hakuna mwislam atakae ingia mbinguni

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 2 года назад

    Wew unajiita swahab hata kiwemb au mwib hauja chomwa jaman ni uhanithi gani unauzungumza ww mpuuzi?.

  • @SalumOthman-qr3lc
    @SalumOthman-qr3lc 7 месяцев назад

    Huyu jamaa mbunbumbu sana anahisi uislam unaendeshwa na ntu anavotaka me ningempiga huyu kwa sbb ya ujunga wake

    • @waltermziray1664
      @waltermziray1664 Месяц назад

      Hakuna haja ya jazba, wote tumekuja duniani tumezikuta dini zipo na tumeaminishwa hivyo, mm nipo hapa kusoma tu comment nipo na Imani niliyoaminishwa na pia ndugu zangu ni waisilamu na wakristo, na tunaishi kama ndugu, Sina jazba Wala neno lelote, naheshimu Imani ya Kila mtu kwa hata familia nayotoka tupo mchanganyiko na tunashirikiana Kila jambo ikiwa shughuli zozote za kidini, so tubaki na Imani zetu maana mwenye kuhukumu ni Moja tu, niwatakie usikivu tulivu

  • @Space-f9y
    @Space-f9y Год назад

    Kama Yesu mwenyewe ndiyo kristo, atakuwaje muislamu ? Fungukeni hizo akili

  • @AbdallahKawambwa-lk4pl
    @AbdallahKawambwa-lk4pl 7 месяцев назад

    Ilo lihamza nijitu lawap

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 2 года назад

    Dini ni imani kwanza amini ndiyo utajuwa

  • @mohamedmusa2279
    @mohamedmusa2279 4 года назад +2

    Nikuliza 2 hao watu nyuma ya Nabbi Bonoko ndio Maswahaba?

  • @two_ti2ramlan993
    @two_ti2ramlan993 Год назад

    aiseee me najichekea tu hizi comment za waislam tatizo ukwel wanaujua ila hawataki kukili hazaran lkn wakiwa mwenyewe wanasema ni kwel kabisa😅😅😅

  • @yusuphrajabu6728
    @yusuphrajabu6728 2 года назад +2

    Uyo ni shetani kaja kwa steili hiyo kupotosha watu!!?!

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 9 месяцев назад +1

      Ww soma Quran vizur kuhusu Yesu

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Kama muhamadi anajua uchawa atawaombea kwA yesu mukakae karibu yake mnaongea ushabiki

  • @majidabas3843
    @majidabas3843 9 месяцев назад

    HUYU JAMAA NI MTATA MJUAJI

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 2 года назад +1

    Kafili anakikilika , kuikataa kweli, innalillah wainna ilah rajuun

  • @IsmailMketo
    @IsmailMketo Год назад

    Toka apa vua kanzu hiyo ata muhammadi ujui kuita

  • @Daudmayenga
    @Daudmayenga Год назад +1

    Huyu mwenye dam ya mzee hukum inamuhusu sana

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Год назад

    HUYU MZEE SIO NJAA TU BALI HATA AKILI YAKE IMESPOKU

  • @ezekielmurimi6874
    @ezekielmurimi6874 Год назад

    Kuna hoja gani ya kikafiri hapa?
    Quran yenyewe inasema yesu kristo atarudi kuihukumu dunia, Nani mwingine wa kuihukumu dunia kama suo Mungu?

    • @SumaAbduly
      @SumaAbduly 9 месяцев назад

      Wale wale yesu ni mungu

  • @IssaAbdi-j5s
    @IssaAbdi-j5s 9 месяцев назад

    Akapimwa akili

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 Год назад

    Uyu ni wakweli ina bidi Ku mkiri waki mkiri WISLAM Nita kubali uwislam

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 5 лет назад

    kwa hoja hii sheikh hamza yupo sahihi, huyo sheikh diwani analeta tafsri za ubabaishaji ambazo tumesha zizoea

    • @hassaniddi1862
      @hassaniddi1862 4 года назад +1

      Eee Hamza kasema quran ndo kitabu pekee na sahihi cha kufwata unalikubal hili

    • @hawachilemba2562
      @hawachilemba2562 2 года назад

      Bwana yesu apewe sifa. Sisi wote ni wa mungu.Dini zisitutenganishe..Kikubwa tuijue kwel na kwel ituweke huru.

  • @halidihassan3796
    @halidihassan3796 4 года назад +1

    Assalam alayikum kidini Mtu anapo linganiwa akikataa hutengwa na uminu wakini ya ki islam huyu ni murtadi

  • @isaacmafole2131
    @isaacmafole2131 4 года назад

    Hamza yupo Vzur sana

    • @InfinixTechnology
      @InfinixTechnology 2 года назад

      Maoni.yangu.kila.mmoja.aheshim.dini.ya.mwenzake.ili.

  • @athumansuphian5891
    @athumansuphian5891 2 года назад

    Huyu nichizi soma kwenye biblia wewe Mohammadi humuamini Quran yann sasa

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 Год назад

    HAMZA ANAUFAHAMU WA JUU SAAAAAAANA NYIE KINACHOWASUMBUA NI USHABIKI WA DINI UKWELI HAMNA. HAMZA UKO VIZURI....JESHI LA MTU MMOJA LINAWASAMBARATISHA MAMILIONI😅

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb Год назад

    Tatizo waislam wengi wanaopinga ukweli ulioko ndani ya Quran. hawajui Quran vizuri kuisoma mbona sisi wakrsto tunaukubari uisilamu vizuri nakuuheshimu sana

    • @HAMIS-ci2vt
      @HAMIS-ci2vt 9 месяцев назад

      Shida ni kwamba hao viongoz wenu wa dini wanafasiri quran kwa akili zao lakin quran ina misingi yake ya tafsiir kwasabu mtume muhamad(S.A.W) alishaitafsiri ko lazima utafsiriwe na wajuz walobobea lugha ya kiarabu zaid ya fani 14 za lugha ya kiarabu.ukitumia akili za kawaida unaweza kosea .
      Ko ndugu yangu hapo Nadhan umenielewa kidogo haya ni mambo ya kielmu watu wanasomea miaka mingi.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 10 месяцев назад

    Kwanza huyu Hamza si shekhe mpelekeni milembe mkampime akili inaonekana anaanza kuuguwa huyo atakupotezeeni muda buree

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 года назад +3

    Sasa wewe murtadi mbona usitumie hiyo bibilia yenu unatumia QURAN na aliepewa QURAN unamkana?

    • @joelsulle1110
      @joelsulle1110 2 года назад +1

      Anatumia quruan ili kuwaonyesha ukweli uliofichwa msiujue kuhusu Yesu Kristo mnayemchukulia kama binadamu wa kawaida badala ya ALIYETOKA JUU MBINGUNI, YAANI MWANA WA MUNGU, YOH:3;31-32

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 года назад

      @@joelsulle1110 eti kutuonyesha ukweli!!!umesikiliza huo umuadhara hau umekurupuka ku reply comment za watu?sawa yesu ni mtoto wa mungu wako Mariam, lakini sisi tutabakia na kauli ya yesu 👉 LAKINI SASA MNATAFUTA KUNIUWA MIMI MTU NILIEWAAMBIA UKWELI NILIOUSIKIA KWA MUNGU 👈 tena QURA'AN hakuna haya ata moja inayosema yesu ni mwana wa MUNGU wala inayosema yesu ni mungu hilo sahau, nyinyi ndio mnadanganywa na sio sisi

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 года назад

      @@joelsulle1110 wewe utakua umetoka kwa shetani, maana kwa hakika viumbe wote wametoka kwa MUNGU, roho zote zilikua kwa MUNGU sasa sijui cha ajabu hapo ni nini,

    • @ibrahimungayoma2874
      @ibrahimungayoma2874 2 года назад

      @@fatumamwalimu5765 YESU ni ROHO ya MUNGU na ni MUNGU mnaabudu msicho kijua kila aliitiaye jina la YESU ataokolewa

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 года назад

      @@ibrahimungayoma2874 ,hata mimi ni roho, hivi kwakua kumtaja yesu nikuokolewa na kina nabii Ibrahim, Mussa,Nuhu na manabii wote waliopita katika hii dunia kabla ya yesu kuzaliwa walihukumiwa??? Tumia akili uweze kuishi vyema, sasa yesu anasema hivi 👉 SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WANYUMBA YA EZRAEL 👈 apo hajataja watu wote, alafu yesu huyo uyo akasema 👉 USINISHIKE KWA MAANA SIJAPAA KWENDA KWA BABA, LAKINI ENENDA KWA NDUGU ZANGU UKAWAAMBIE, NINAPAA KWENDA KWA BABA YANGU NAE NI BABA YENU, MUNGU WANGU NAE NI MUNGU WENU 👈 je,alikosea? Nyinyi mnaojiita wakiristo MLIKUA KONDOO WALIOPOTEA NA WACHUNGAJI WENU WAMEWAPOTEZA, hamsomi vitabu ni kufata maneno ya wachungaji wenu waongo

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 8 месяцев назад

    Pumbavuu wewe

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 2 года назад

    Huyo ni chizi njaa tu inamsumbua

  • @abdallaaly1546
    @abdallaaly1546 4 года назад

    aulie tu kafiri asipotoe watu

    • @ibrahimungayoma2874
      @ibrahimungayoma2874 2 года назад

      Wee alikuuwa nani kama uyo mungu wenu muuaji basi huyo ndio kafiri lakini wanao mfuata YESU wote hakuna kufa milele.

    • @salangtvone
      @salangtvone 9 месяцев назад

      Muhammad atahukumiwa na yesuu mpuuzi wew elewa basi unakua ka gogo

  • @sizasaidi6715
    @sizasaidi6715 2 года назад

    Astaghafirulah kafiri ww

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Shehe amza awajakuelewa hao kwajili ya ushabiki

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Shehe amza awajakuelewa hao kwajili ya ushabiki

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Shehe amza awajakuelewa hao kwajili ya ushabiki

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Shehe amza awajakuelewa hao kwajili ya ushabiki