SHAFI ALIPOSIFIA UJINGA WA SWAHABA MUIMBA KWAWA WA ASKOF HAMZA .SEHEMU YA NNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 360

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 6 лет назад +11

    Wallahi waislamu mwenyezi mungu awajaalie subra na mziidi kutumia hekima kujadiliana na wanafiki kama hawa, kwani mimi kama mtu aliyesilimu nazidi kupandwa na imani na kuthibitisha kuwa uislamu haukenezwa kwa upanga kama wanavosema makafiri Bali ni kwa hekima. Allah awazidishie naitwa Mustafa natokea huku Nairobi , Kenya.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 6 лет назад +9

    Hongerani Mashekhe wetu !! Allah awaongeze mzidi kuipigania Dini yetu! ! Inshallah

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 6 лет назад +34

    Wewe Shaafii wewe,wallahi Mungu akuzidishie elimu ya hapa na huko na Mungu namuomba akupe Pepo wewe na sisi pia Shaafii. Fanya kazi ya daawa nasi tunayo huku kwetu.

    • @zuu__95
      @zuu__95 3 года назад +1

      aamin yarabbilaalamin

    • @nolanandy4203
      @nolanandy4203 3 года назад

      i dont mean to be so offtopic but does someone know of a method to get back into an instagram account?
      I was dumb forgot the password. I would love any tricks you can give me.

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 года назад +3

    Shekh shafii mashaallah Allah akuzidishie elmu zaidi uokoe wiislam

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 4 года назад +2

    Wallah ustz shafii uko vizuri Allah akupe mwisho mwema wallah nakuelewa unachozungumza kimenyooka sana

  • @SalumKhamis-289
    @SalumKhamis-289 9 месяцев назад

    Asante Shekhe Shafii Mungu akuzidishie elimu watu kama Hamza Wazalilike kwa kutaka kutujaribia Uislamu wetu.

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 года назад

    Allhamdulillah ALLAH akulinde na mitihani kaka yangu shekhe wangu shafi endeleni kulingalia dini ya ALLAH yeye ndiye atakae walipa lnssaallah

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 3 года назад +1

    Hahhahahahaahaha sheikh wangu shafii umewamaliza.... Ety akajisema aliokoka na kapatizwa n maji mengi Alf saizi kajiita muislamu..... ustadhi Shafii your one of my loved sheikh....

  • @raiswamaraishalisi8426
    @raiswamaraishalisi8426 5 лет назад +2

    Mnatisha ma hustadh wangu
    Shaffi na wengine vigogo vya ALLAH

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 года назад +4

    Mashaallah Sheikh Shafii

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 года назад

    Masheikh. Ustadh Shaafi na Sheikh Diwani nakundi lenu( kutoa la Hamza kafiri Na kundi lake ). Allah awabaariki kwa kazi mnayo ifanya Jazaakallahu khaira 🙏 nduguzangu

  • @asilclub
    @asilclub 3 года назад +4

    بارك الله فيك يا الشيخ شافي

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад +1

    Mashaa Allah Mimi hata nawapenda Sana masheihk wetu huyo hamz atapoteza hao makafiri wenzak

    • @osamaalharthy4150
      @osamaalharthy4150 4 года назад

      Shekhe. Shaffi mashallah. Umemwambi ukweli. HamzA

  • @zaharanihassan9013
    @zaharanihassan9013 6 лет назад +3

    hapa nakula daku huku nawafatilia, kiukweli Allah awalipe kwa kazi nzito hio inayohitaji moyo na ujasir

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 3 года назад

    Kweli Yesu kitu kingine aisee waislamu wao kwa wao wanambishania Yesu leo hii

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 3 года назад

    Tena lile suali nlitamani kuuliza Hamza y kwamba ka anajitangaza yy ni nabii wapi kitabu chake mungu alimpa.... Ustadh Shafi kauliza ht nliridhika

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    Asante ustadh shafi hawa mambumbu wa kawaida

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 лет назад +1

    Ma sha Allah... wote tungekuwa kama wewe wallahi Uislam ungekuwa mbali sana

  • @maamasuli9351
    @maamasuli9351 6 лет назад +2

    Kweli mungu anamuongoza ampendae, Askof Hamza ni ibilisi

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 года назад

    MWENYEZIMUNGU awape umri mrefu mashed wetu na kumtetea mtukufu wa dara Ja pamoja na mola wetu kwa kusingiziwa mambo kama hayo mola awlipe pepo ishallah

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +4

    Allah akuhifadhi shafi.. huyo Hamza njaa inamsumbua

  • @KelvinMlay-mi7kc
    @KelvinMlay-mi7kc 5 месяцев назад

    Shekh Shafi anakosea sana

  • @whonshineargay4804
    @whonshineargay4804 6 лет назад +9

    HAKIKA YA MAMBO NIKUA HUYO JAMA HAMZA ISSA NA MASAHABA ZAKE HAKIKA NI WAONGO KISHA JUWENI YAKWAMBA HAO WOTE WANALIPWA PESA NYINGI SANA NA WANA CHAMA CHAO NA HAO WOTE KWANZA SI WAISLMU MUJUE.HAO WAKO KAZINI WANALIPWA ILI KUUKOROGA UISLAAMU NA WANA PEWA MAFUNZO NA WAPO WENGI BAADAE WATAJITOKEZA TU, NA KUNAO WANAO PEWA MAFUNZO WAKIWA WATOTO PIA JUENI ENYI WAISLAAMU....LENGO KUU LAO NI KUIBADILISHA QUR'AN UL KAREEM.NA HAWATAEZA KATTU.

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 года назад

    Ustadhi shafiiii m.mungu akuzidishie umriii inshaallah

  • @mwanahamisyahya9354
    @mwanahamisyahya9354 5 лет назад

    Umenifundishi na umenifulahisha MUNGU akupaliki ln shaalaaah

  • @myself4128
    @myself4128 2 года назад

    Waabudu Sanamu mnajifariji kweli...Kiarabu hakitowafikisha mbinguni...Mnaabudu jiwe kule Macca mnakoelekea wakati wa ibada!!!poleni

  • @earlymanhamza5018
    @earlymanhamza5018 6 лет назад +1

    mashaallah sheikh shafi mfahamishe mshenzi huyo.akizidi mzabe makofi

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 года назад

    Ndugu zangu kiukweli tuka tufikirie sisi ni wanadamu ipo siku tutakufa na tutakwenda kusimama mbeli ya ALLAH

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 года назад

    Jazakallah kheir sheikh shafii na wenzako

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 6 лет назад +1

    Waallahy ustadh shafii ww huwa napenda sanaa unavyoongea yani uko sahihi

  • @hassanimdimu8051
    @hassanimdimu8051 5 лет назад

    Innalilaah wainnailayh rajiun,hao hamza na wenzake ni makafiri,nahao sio waislamu

  • @jorammarushwa1533
    @jorammarushwa1533 6 лет назад +1

    Hamza issa ubalikiwe sana kwajina LA Yesu piga injili hadi waislam waokoke wamjue Yesu ninani utakua umejivua waachie majini yao yawashike vizur

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣,hapa pia hujaelewa? Hamza ISSA anasema anakuja kanisani maana nyinyi hamumjui MUNGU wa kweli na wala hamna dini, leo unafurahia apa!!hakuna muislam atamfata huyu kafiri mwenyewe duniani hayupo na akhera unatafutwa

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 2 года назад +1

    Kila Goti litapigwa na kila Ulimi utakiri kwamba Yesu ni Bwana

  • @victordisper5983
    @victordisper5983 6 лет назад

    Mungu akusaidie kidogo ustadhi...kwa maana busara name hekima huna

  • @zainabukhalifa3967
    @zainabukhalifa3967 6 лет назад

    mashaalh ustadhi mungu akupe yaliwe mema

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 4 года назад +4

    Maashallah

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 года назад

    Allah ibarek sheikh shafi na wenzako

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 года назад

    Nafurai nikikuona unajibu maswali wanigusa ndani yamoyo yani maustadh nawakubali mungu awalinde

  • @asilclub
    @asilclub 3 года назад +1

    ومن يبتغ غير الاسلام دينا فلن يقبل منه وفي الآخرة هو من الخاسرين

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid5242 3 года назад +1

    Paulo hamza ni kichaa anatapatapa

  • @aleemaalrahbi338
    @aleemaalrahbi338 5 лет назад +1

    We kaka shafii wallah unaongea ukwel mtup lkn wanivunja mbav sio kwa manen hy unaympa 😂😂😂😂

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 6 лет назад +6

    Kristo anakuja na kila goti litapigwa......nyie bishana wee ila mwisho wa cku mtauelewa ukweli, sio kama hamjui mnajua ila bado mnaweka ugumu kwenye mioyo yenu...Kristo ni Mungu na anakuja hakika

    • @amdaniamimu9839
      @amdaniamimu9839 6 лет назад +1

      Wew ni kiazi nn

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 лет назад

      Awa waislam watapata tabu sana wajinga awa yesu ni kila kitu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 лет назад

      @@amdaniamimu9839 njia ni moja tuu yesu basi wengine aho wanapiga kelele tuu amna jipyaa

    • @omarykatongo4943
      @omarykatongo4943 5 лет назад +1

      Ina ilah wa ina lillah rajiun

    • @bxgdhydydh6505
      @bxgdhydydh6505 5 лет назад

      Moto unawasubiri wana yesu kwa kufata njia potovu

  • @latinusjohny6906
    @latinusjohny6906 3 года назад

    Shafi haujibu hoja, na hujajibu hoja yoyote, unatoa maeleozo nnje ya hoja kuzungumza personal life na sio hoja za maswal ma 4 ya upande ulioulizwa..

  • @selemaniniyonkuru6576
    @selemaniniyonkuru6576 5 лет назад +1

    Hhh kwel shafiii nakubali

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 5 лет назад +1

    Jaman hili jambo la hamza tunalichukuliwa izy yani rahisi ila likija likizoeleka basi atapoteza wengi ombi langu ni kumkata shingo

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 6 лет назад +4

    shafii ha ha ha du we jamaa hapana mkali sana

  • @sospeterezekiel7262
    @sospeterezekiel7262 5 лет назад

    Wanamacho lakini hawaoni wana maskio lakini hawasikii ,,Mungu awasaidie ,Mungu hakuleta dini Mungu alileta mitume manabii MUNGU awaongoze mpate kujua nini kusudio lake Kwa wanadamu acheni usisi in bora kuliko wale kumbukeni bila wale hakuna mijadala

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 года назад

    Waidhaa lakuladhiina aaamanuu kaluu aamanaa waidhaa khalau ilaa shayaatwiinihim kaluu innaa maakum inamaa nahnu muhtahziuun...

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 лет назад +1

    Nakupenda sana Hamza Issa unaongea ukwer siku zote ukwer unauma wabishi hao achana nao twende kanisan mwaya

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 года назад

      Mchukue mkacheze kwaya

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 года назад

      Hatuwez kuwa wote pepon wakat ww una muita kanisan wenzio tunatoka huko tunaufuata ukwel

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 2 года назад

    Shafii Anasema Kuna Clip Kaiona Mtandaoni Hamza Anajinadi Kanisani Kuwa Ameokoka, Lakini Hapo Kwenye Mdahalo Hamza Anajiita Mwislamu, Mpaka Hapo Shafii Katuhakikishia Kwamba Mwislamu Hana Sifa Ya Kuokoka Bali Kuangamia, Na Kweli Wataangamia Quran 40 : 60

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 6 лет назад

    Asante sana UST shafii kuwambia mwaislamu kwamba mtume wenu Mohammad hataiona kiama maana umesema isa akija ataenda kwa wana wa Israeli.nasio mtume tuu mbali na waislamu wote.

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 года назад

    Duuuu mnatuelimisha sanaaaa

  • @jaffaryramadhani1467
    @jaffaryramadhani1467 6 лет назад

    Petro katupoteza sana jamani mimi naamini mumgu wa waislam ndio mungu wa duniani na mbinguni kwa sabab cha kujiuliza kitu kidogo sana wakati muokozi wetu yesu tunayempa sifa ambayo sio yake alivyosulubiwa msalabani akafa sasa rizki alikuwa anatoa nani maana si tunaambiwa riziki anatoa mungu na mungu ndio kafa msalabani

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 года назад

    Shee shafii nakukubal sana Allah awalipe kwa kaz zenu amiin

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 6 лет назад +1

    Mtaelewa tu kuwa YESU NI BWANA

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад

    Sheitwan ana watumishi wake kila upande

  • @chefmasai2020
    @chefmasai2020 6 лет назад

    hayo makafiri yametumwa hapo yalipo yanalipwa. maisha ya duniani ni mafupi na malipo yake ni makubwa either ukufuru au ufanye mema. na Moto au pepo no ya milele. inalillah wainaillah rajoun kwa kina hamza

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 лет назад

    Weweje sokigeugeu uislam din ya Majin din ya washirikina din ya wauaji dinyakugombea maslai din yakuombea Majin shafii hunalolote

  • @nyunhamkuki4011
    @nyunhamkuki4011 6 лет назад

    Heri kukumbushwa kumrudia Mungu kuliko kujifanya kuwa uko na Mungu na kumbe ni ujinga mtupu.

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад

    Sijamsikia akisema wakristo hawana mungu duh nyi wabongo sana wakristo hatuna dini sisi niwakristo nakristo sio dini kubalini mfundishwe na hamza mtamkumbuka huyo skuhio

  • @halidihassan3796
    @halidihassan3796 4 года назад

    Assalam alayikum njina Nayitwa khalidi Hassan Ujumbe wangu watu kama akina Hamza ni tatizo laki mayisha ndilo linalo wasibu Sasa wasubiri huko sokoni watakuwa na shayitwani jahanm

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 5 лет назад +2

    avue hyo kanzu anadhalilisha uisilam

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 лет назад +4

    Mashekhe wavumilivu Hawa! Ningekua hapo ambulance inahusika kwahamnza Na watu wake

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 года назад

      Kweli eee hhhhhh hata mie

  • @salmafaraj9293
    @salmafaraj9293 6 лет назад +5

    Ustadh shafi maneno yk ishallah yawaingie nyoyoni mwao hao ni kweli akifika kanisani anasema haleluya alf anajifanya muislam mbona hawaambii km dini ya kweli ni uislam mnafik huyo sijui likoje hy nikafiri tu mana makafiri wanamiyoyo migumu sana

    • @kautharmarik8904
      @kautharmarik8904 6 лет назад

      Salma Faraj eeeh eti!!kwann asiseme hko kanisan kuwa dini ya haki na ya kweli ni uislam..

    • @hassinarahbi352
      @hassinarahbi352 6 лет назад

      Salma Faraj mwehu huyoo anawapotezea wakati

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 лет назад

      Salma Faraj Allah akbar

  • @joshuatanzanite5871
    @joshuatanzanite5871 2 года назад

    Mlisema wote ni waislamu saiz mnawakataa hawa wabishi wanaokataa na kukubariii

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 лет назад

    Poleni sana waislam

    • @nsjjsjdjjdjd841
      @nsjjsjdjjdjd841 6 лет назад

      Jonathan Masu Nanyie poleni

    • @madammaggie7779
      @madammaggie7779 6 лет назад

      wenye macho nawaone Na wenye masikio wasikie. God show as holy way

  • @mwasitijumaarafa9805
    @mwasitijumaarafa9805 9 месяцев назад

    Mm nige kuwa karibu na hamuza hapo nige muvuwa vazi hilo lakisimal mujiga huyo sindo aliye kuwa ana tafusiti kisa cha yusu huyo hamuza ww unakitu unataka mugu akupe hamuza ww

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 4 года назад

    Swadakta she shaafiii

  • @florrakaneza4388
    @florrakaneza4388 6 лет назад +6

    Ukweri kama mimi na jua Yesu ndio njia

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    yani maswali ya chekechea quran haijasema yesu ni mungu Kama waijua Quran 5:116 Quran 4:171 Quran 5:72-75.

  • @elinathanmpigiye6298
    @elinathanmpigiye6298 6 лет назад +2

    Ukweli wa hamza utazihilika na pia namshukuru Mungu wa baba yetu kumupa elimu ya kuwaelimieha waisilamu.

  • @mawazoamily2678
    @mawazoamily2678 6 лет назад +3

    Kukubali ukwel sio dhambi mashekh kubalini kua hamza Issa kawazid ilimu mashekh wote...... Acheni ghadhibu

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 лет назад +6

    Mimi ninachowashauri waislamu ni kwamba tafuteni uhalisi au ushahidi wa maneno ya Mungu, moja ya mafundisho potofu litakalowaingiza waislamu motoni ni kumkataa Yesu Kristo kama masihi. Subirini siku Yesu akirudi ndo mtajua kwamba ustadhi wenu hamza Issa alikuwa anawadanganya au alikuwa anawaambia ukweli.

    • @mustayoo
      @mustayoo 6 лет назад

      Jonathan Masu kakangu.kasome quraan vizuri.waislamu hatuezi.kumkataa yesu sababu yuko.kwenye quran ana.ukimkana yesu kuwa sio masihi basi uislamu wako haujakamilika

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 6 лет назад

      mustafa abdul, sasa kwa nini mnakataa kwamba hakufa kwa ajili ya dhambi za watu?, tatizo kubwa liko hapo halafu cha ajabu quran yenu inasema muhammad anadai yy ni nabii mkuu au bora kuliko Yesu!, hivi kweli hamuoni mnadanganywa.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 6 лет назад

      Jonathan Masu tunakataa kuwa alisulubiwa kwa sababu Mungu amesema Yesu hakusulubiwa.

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 6 лет назад

      Nurse for life kwanza nilichogundua viongozi wenu hawajui neno la Mungu, ivi shekh mzima anasema eti pumzi aliyopuliza Mungu kwa binanadamu ni roho, hilo tu linatosha kabisa kuona kuwa mnadanganywa

    • @santyhassan4186
      @santyhassan4186 6 лет назад

      Jonathan Masu hakuna mwislamu anaemkataa yesu Bali mfumo wake tu

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 лет назад +1

    Wallah thumma wallah huyu Mimi ningekuwepo hapa huyu ningempa hata sumu

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 года назад

      Huruhusiwi kuua kwenye uislam hhhh

  • @shadrackmusyoka3350
    @shadrackmusyoka3350 6 лет назад

    kwa kweli watu wengi watateketea kwa kukosa hekima but MWENYEZI MUNGU atawafungua macho ya kirohoo ndugu zetu waislam kwasababu 90 percent yao wameposha na walimu watangulizi

  • @yahyayusuf7967
    @yahyayusuf7967 6 лет назад

    Hahaha mwenyekiti yuabanja tu... Tena kistizai haha...

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 2 года назад

    Hii mjadala mkali sana

  • @mwanahamisyahya9354
    @mwanahamisyahya9354 5 лет назад

    Hamza kamila inaiyogopa shafii ww simnafiki nimeipenda buleee

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 6 лет назад +4

    Elimu ndogo shafii na wezio mtakuwa vipofu hadi lini

    • @Amishjuma
      @Amishjuma 6 лет назад

      Joseph Kiswili Ww wajua kipofu? ww mkristo ww ndio kipofu unamuabudu mtu ilhali kuna aliyekuumba.

  • @lawjoseph6590
    @lawjoseph6590 4 года назад

    Yesu haliondoka hakawambia ninawachia roo mutakatifu swani nimutume naomba jibu waisilamu

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 года назад

      Slimtabiri Muhammad saw bada ya yy kuondoka isa ni na bee si mmungu atakuja kupinga hilo kumuota yy mungu mmngu hazaliwi na isa ni kizazi cha ibrahim na ibrahim alimuabudu mmungu na yu kuanzisha mji wa Mecca kua mji wadini yy sliamrishwa aende huko na kujenga alcabah kiblah kwa dunia nzima imsujudie mmungummoja tu

  • @mwenemaseko4921
    @mwenemaseko4921 6 лет назад +1

    KUMBE WAISLAM MNAKUBALI KWAMBA YESU ATARUUDI,QUARAN INANIFANYA NIZIDI KUMWAMINI YESU NA KUWA NIPO UPANDE SAHIHI.

  • @mucaatycaiser6801
    @mucaatycaiser6801 6 лет назад +2

    Hakika murtadi ndiye kafiri muhovu zaidi na hukumu yake ni kumuhua tu

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 4 года назад

    Huyu Hamza anatafsir Quruani kwa mtazamo wake tuu siyo kama kitabu kinavyosema ,yaan ametawaliwa na fikra za watu wa magharibi Duhh subbhana Allah maan mpka kajiita mtume

  • @israelimjema5001
    @israelimjema5001 5 лет назад

    Waislamu kama unaamini yesu alitenda miujiza akaondoka akaja muhamadi naye alitenda miujiza gani

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 лет назад +1

    Kwa fikra zangu huyu HAMZA anatumiwa na wakristo kuharibu uislam lakn hatapata chochote zaidi ya kuadhirika kuaibika

    • @abdullahbizzo3342
      @abdullahbizzo3342 6 лет назад

      Ni kweli bro hujakosea na ndo ilivo aswaaa huyu anatumiliwa na wakristo kichwa ngumu huyu km maaskofu wenziwe

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 лет назад

      Wewe fala fanyeni yenu ya wakirsto ayawausu

  • @tommariam4393
    @tommariam4393 6 лет назад +11

    Jamani masheikh na wanazuoni bado mnamlea lea huyo kafiri Asi aliposema yy ni nabii Eliyas ilikuwa imetosha kuachana nae.. lkn asitumie aya za Quran atafute kitabu chake aitumie na kuhubiria.

    • @kisaleking154
      @kisaleking154 6 лет назад

      Yesu wa bibilia na issa wa Quran ni wawili tofauti piteni ktk maandiko mtagunduwa

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 лет назад

      Wewe fala tu

  • @erastomajaliwa7629
    @erastomajaliwa7629 6 лет назад

    Hizo nikelele tu ila ujumbe ndo huo usipo mkili kwamoyo na ulimi bwana mbingu siyako ujumbe umeshafika acheni ujanja ujanja wakuongeya Hamza pigakazi haupo mbali na ufalume wa mbinguni

  • @mlulamsiliwa7123
    @mlulamsiliwa7123 6 лет назад

    Mimi nilikuwa mkristo. ni biblia hiyohiyo ndiyo ilinifanya niwe muislam. Tatizo la wakristo wengi zaidi ya asilimia tisini hatusomi vitabu vya dini. Mbaya zaidi hata biblia yenyewe hatuisomi tunawaachia wachungaji na mapadri watusomee. Tunakaa na vitabu hivi kama mapambo tu. Mimi sikuwahi kukutana na muislam akanishawishi kuwa muislamu. nimefanya utafiti wangu na nikakubali njia ya uislamu kuwa sahihi kabisa. Nawaacha na aya ya Matendo 5:31. Vinginevyo tuijadili biblia kwa kina.

  • @hamisishabani8451
    @hamisishabani8451 3 года назад

    Guyo hamza apigwe lisasi afe

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 лет назад +1

    Hao wakina Hamza msiwape kiki Kama washaritadi waacheni elimu yao yenyewe ndogo..

  • @savege-zh8yk
    @savege-zh8yk 5 лет назад

    Hahahahaha nafuraisana Muhammed mwenye amesema yeye ni mfwasi number 1 wa Issa vip Muhammed awe chiniyake tena?

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 лет назад

    We unajua hamza hamnazo ww unasema Mwalim wako kweli unaakili kweli

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 6 лет назад

    Mungu anasema kutatokea watu watauza aya zake kwa thamani ndogo tu ya pesa

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 2 года назад +1

    Mbona Story haina ballance? Story ya upande moja haitakiwi irushwe ni makosa!!! Mbona Hamza na wenzake hawajaongea?

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 5 лет назад

    mwenyekiti mjanjamjanja ila kajitahdi kiaina ku balance

  • @adammasunga6382
    @adammasunga6382 5 лет назад

    Qruhan huwezi kuitumia zaidi ya biblia ndiyo mwongozo mkuu wa imani ya wakristo na si qruhan badili useni wako

  • @AishaAli-ly3ev
    @AishaAli-ly3ev Год назад

    hao wanafiki mwawaoji maswali ya nini hao wafaa bakora wapotoshaji tu

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 6 лет назад

    Mm nacheka comment za wakristo Mara wanamkubal hamza na kumuona anaongea ukwel ila alipokiri kuwa ukristo sio dini wanaanza kumponda

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 лет назад +1

    Et Mwalim Wangu hamza! Dah! Dogo umetekwa Na hamza unaakili kweli?

  • @mwilemwile7267
    @mwilemwile7267 6 лет назад

    shida ni nn ndugu ukimwamin mtume Muhammad ni sawa na ukiamin yesu is oky