Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, alikufa msalabani ili kuukomboa ulimwengu. Na alikufa akafufuka na akapaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu na atarudi kuuhukumu ulimwengi. Ukimkiri kwa kinywa chako utaokoka na jehanamu ya Moto. Mkiri Yesu uokoke! Yesu ni Mungu. Ni Bwana wa Mabwana ni Mungu wa Miungu.
Assalaam alaikum warahmatu llah wabarakatu. Twasubiri sehemu ya pili ndugu wapendwa coz ni debate nzuri sana yenye mafunzo kwa wale wasiojua. Ni debate ambayo Insha watu gizani. Shukran za dhati kwenu masheikh kwa kuelimisha na kutoa watu gizani walikoingizwa na huyu Hamza. Part 2 please ili tuzidi kuelimika.
Quran haijakataa kuwa Yesu au Issa hajafa msalabani,Surah Imrani 3:55 ukiisoma pamoja na Surah Maidah 5:117 inakubaliana kabisa kuwa Issa alisulubiwa sema mlikaririshwa kukataa
Huyu hamza hauelewi ukristo wala hauelewi uislam. Ni kama mwanzilishi wa dini nyingine isiyokuwa na misingi ya kitabu husika. Hili ni janga lingine duniani. Ila tumuombe Allah ampe elimu sahihi kwa haya anayoyapaparikia kutafuta umaarufu
Assalam Alleiqum Warahmatulai wa Barakatuh.... I'm from Mozambique, its very sad..I swear that Hamza Issa is not Muslim.. OK all we cant leave to ALLAH
Alakhy saimu gao, tunaomba utumalizie kutuma mdahalo, ila huyu bwana hamza nadhani anajua kila kitu bali anaamua tu kupotosha maana., Allah amjaalie amrudishe katika njia sahihi ( Aaamin).
IQ YA HUYU SHEIKH HAMZA NI KUBWA MNO.COMFIDENCE 100% UWEZO WA KUPANGILIA HOJA 100% Kwa Kweli sijutiagi muda wangu kumsikiliza na kumfuatilia huyu mtu. MUNGU AMTUNZE NA KUMWEPUSHA na wenye nia Mbaya nae in the name of JESUS. YOHANA 1:1 inasema Hapo mwanzo kulikuwako neno naye Neno alikuwako kwa Mungu,Vyote vilifanyika kwa huyo;wala pasipo yeye hakikufanyika Cho chote kilichofanyika.Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang'aa gizani ,wala giza halikuiweza. YOHANA 1:14 NAYE NENO ALIFANYIKA MWILI,AKAKAA KWETU;NASI TUKAUONA UTUKUFU WAKE,UTUKUFU KAMA MWANA WAPEKEE ATOKAE KWA BABA;AMEJAA NEEMA NA KWELI.
Shekh yuusuph diwani nimependa sana nabimeniingia sana kauli yako ya “qillatul ilmi aafatu fii ddiini” uchache wa elimu ni maafa katika dini maa shaa allah allah akujaze kheri ila ustadh shaafii unajua mpaka unakera maa shaa allah allah awalipe pepo wahadhiri wote kwa kupigania haki
Wa kweli huchoka unafiki, unawezaje kunanusha kitu kilichotokea kweli? Waislamu wanajua wazi kuwa Yesu alikuwa ila wanafiki sana, ila watu kama Hamza wameshindwa kuficha ukweli.
Sikiliza waislamu niwambia ukitaka kujua ukweli wa dini soma maandiko yote ndipo utajua ukweli na ni vip unavyotakiwa kuabudu, kumwabudu mwenyezi mungu waislamu hamtaki kusoma ukweli na hata wa kristo awasomi kuruani na shida kubwa kwa wengine wa kristo kutosoma hii Quran ni lugha iliyo tumika ndani ya quran..... Hila nataka niwajuze nyinyi hakuna lugha iliyo shuka duniani ikatelemshwa ulimwenguni acheleni kupotosha binadamu na fahaamu zao akuna kitu kilicho telemshwa zaidi ya uumbaji ulio fanyika na hizi lugha zilizungumza na watu wamataifa na makabila tofauti, tofauti,.....acheni kuwa wazungumzaji sana........ukweli wa dini upo isisimulie kile ulicho fundishwa na dini iliyo pupapupa.
Ndugu zangu waislamu ni vizuri kupeana maarifa kuliko kubishana,na hata kama ni kubishana basi ina busara kubishana kwa hoja bila jazba kuliko kutoa maneno machafu,Hakuna Mungu anayeafiki udhalimu sote tunaamini hivyo.Naomba kurejea kitabu chenu yaani Quran tukufu. Surat AL-FAATIH'A,inasema 1.Kwa jina la Mwenyezi Mungu,Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu, 6.Tuongoe njia iliyonyooka. Njia iliyonyooka ni ipi?Mungu anawajibu kwenye kitabu cha, Surat Al I'MRAN 47.Maryamu akasema: "Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema:" Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa. 48."Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili." (Ni lazima ujiulize je wewe unafahamu nini juu ya Taurati na injili?kwa maana ili kumjua Mungu wa kweli lazima ufahamu.) 50.Na ninasadikisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na ili nikuhalalishieni baadhi ya yale mlio harimishiwa, na nimekujieni na Ishara kutokana na Mola Mlezi wenu. Kwa hivyo mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. (na anasema anasadikisha yale yaliyokuwako kabla yake katika taurati hii inamaana kwamba Isa bin Mariam hakuja na Taurati ila anaijua na anajua na wanadamu wanaijua hiyo kwa hiyo yeye kaja kuisadikisha yaani kuwahakikishieni kwa habari ya Taurati.kwa upeo wa zaidi yeye amekuja na Injili) 51. "Hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu mlezi na ni Mola wenu mlezi.Basi muabuduni yeye hii ndiyo njia ya kweli iliyonyooka. (ukisoma kisa vizuri utagundua kuwa hapa anayezungumza hili ni Issa bin Mariam,soma kuanzia mstari wa 40,kwa upeo zaidi mnatakiwa kumuamini Isa bin Mariam sambamba kabisa na Mungu Muumbaji) 55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.(ukipitia huu mstari kwa makini kwa misingi ya kuelewa utaelewa tu,Isa bin Mariam atainuliwa dhidi ya wanaomkataa na wafuasi wake watawekwa juu dhidi ya wale wanomkataa.UKIJIFUNGIA PEKE YAKO KWENYE MOYO WAKO UTAJUA KAFIRI NI NANI.) 60.Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka. 65.Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?(mkitaka kuzingatia haya basi ulizeni mjulishwe Taurati yasema nini?na inakuja kwa mkono wa nani?vivyo hivyo na injili pia.
Hamza ni murtad lakini anajifanya muislamu utawezaje kuwa muislamu Alafu uipinge Quran? Allah anasema heakumuuwa wala hawakumsulubu Hamza anasema yesu kafa msalabani. sasa Hamza na Allah Nani alishuhudia tukio lote? MUOGOPE Allah wewe Dunia mapito tu. Alafu bado hujasoma vitabu itafute injil ya Barnabas Alafu wafundishe Nani alisulubiwa msalabani. wacha kuupotosha umma
Jina la Issa Alyhi Salaam mara kumi na tano na Jina la Muhammad mara tano. Na sababu ni kuwa Mtume Muhammad ni Mtume kweli katumwa na Mwenyezi Mungu lau kama si mkweli angelitaka jina lake litajwe sana.licha ya hivyo basi jina la Musa limetajwa mara 125 kwenye Quran. Na aya pia zinazosema "seme ewe Muhammad" hakuziondowa zinasomwa hadi leo.
Waisilamu inabidi sasa kuongeza Mada ya zaidi katika kuwafundisha watoto wao na hiyo ni mbinu na njama za kanisa kuwapotoa watu duniani, sio to kuhifadhi tu.
Shekh anatafsiri aya neno kwa neno. Quruani inafasiliwa kwa matukio. Kwani na yenyewe ndivo ilivoshuka kwa matukio. Nabii eliasa na wasiwasi na uelewa wake
Haiwezekani kuunganisha uislamu na ukristo pamoja. Hizo imani mbili ni tofauti kabisa. Ukiwa muislamu ukamwamini Kristo inakuwa umeukana uislamu na hivyo hivyo pia kama mkristo ukimwamini mtume Mohamed na Qur'an unakuwa umemwacha Kristo na ukristo.
Kiongozi wa Hawa wakiristo ni David Wood mzungu na mwinzie Sam ambae ni mwarabu. Ndio wanaedelea kuuokoa ukiristo kwa kuutumia Uisilamu wenyewe katika kuubomoa Uisilamu.
huo mtihani shekh unaleta khabari za fani bwana hamza anapotea kabisa maskini .balagha . usulu lfiqh nahau na swarf ongeza mantwiq hapo ni hatari haelewi masikini bwana hamza msaidieni aende shule
Hakuwa yeye (Isa) ila ni Mtumwa tuliye mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili.Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana.Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Acheni kulinganisha uyu issah na hao mitume jamani mnatamka mambo ambayo hata quran haija nena kwanin nyinyi hamsimam kwenye kweli.....hebu msikilizeni uyu hamza
Huyu ndiye aliyejifanya nabii,na sasa analeta upotoshaji wa dini,na huyu katumwa na kanisa,anajifanya muislamu na huku,akiwa na wafuasi wake,ambao wanajifanya waisilamu,sisi tunamwambia laana ya Allah ,haiko mbali.
kuua mtu ni dhambi( kumkata kichwa). kama dini yoyote inamruhusu mtu kujua basi kazi ipo. usihukumu, Mungu peke ake ndie astahili kuhukumu. kumtusi mtu ni dhambi, dini yoyote hairuhusu kutusi ,pia waidhalilisha dini yako ukitusi. bishaneni kwa aya, (ya vitabu vya dini), na atapokosea mrekebishe . unajiongezea dhambi unapomuwazia kifo, kumkata panga, na kumtusi. hasira hasara bali muoombeeni anaopetea arudi kundini hiyo ndio hekma. Mungu hashindwi na chochote, akiamua anafanya chochote .kazi ya mwanadamu ni sala (kuomba) na kufata anayotaka yeye (Mungu)
Yesu anakuja upende usipende anakuja kudai damu yake aliyomwaga msalabani...........sijawaio ona nabii wa kristo au pastor mkubwa wa Christianity akijeuza dini na kusema Muhammad ndo mtu bwaka lkn waislam kila Siku mara shehe kafunguka mara nabii yaan each and everyday waislam wanarud ukristo uoni tu kwamba there is a problem where you are wake up............. Angalia Jina Yesu likitamkaa pepo wanakimbiaaaa....... Wachawi wanakimbiaaa... Amken
Simkubali hamza,shekhe diwani umeeleza mengi ya KWELI,LAKINI aya hiyo ukiisoma katika tafasiri ya kiingereza hainyonyesha kama shahada ya nabii issa ni ya kukanusha,inaonyesha shahada ni 3,lakini hamza kwa nini unachanganya mambo ya mayahudi na naswara?uislamu haujitoshelezi wewe hamza,hata uingilie mambo ya dhiki kuu,mpinga kristo?waliyoyasema hayo hamnao ninyi,nabii elia,danie,isaya,na yohana mwanafunzi wa yesu wa ufunuo,na paulo mnao ninyi? alafu hata kutoa katika biblia hufundishi sawa sawa,embu tupe,tofauti ya imam mahid na issa kazi zao katika dabatul ardhi.Ukristo na YESU hamuwezi uelewa vizuri pana manabii walioeleza yesu ni nani kwa kina sana ninyi hamna hao,mfano nabii Isaya 53;1- mnayo ninyi? Uacheni ukristo unajitosheleza,ulikamilishwa na yesu miaka 600 kabla ya mtume na uislamu.Hamza unaposha sana watu wewe,sio nabii wala mtume,
Elimu hihi anayotoa HAMZA ningumu Sana kumwelewa, wewe mnyekiti Leo HAPA tz msahafu unaongoza nchi? Kama hapana HAMZA yuko sahihi, ila Kama msahafu unaongoza nchi Kama katiba HAMZA, nikosaji, maulama wa tz wote niwanafiki tunaishi kwenye shiriki alafu tunajiita tuko sahihi na serekali ya irani, rudini darasani bado hamna Elim ya ufaham
Huyo nimnafiki mwanzo aliombardhi mbele ya shekh wa mkoa leotena mnamtaka aruditena huyo hatufai waislam dinihii siyo yakumbembeleza mtu mm naomba mashekhe huyo muacheni kama alivyo mara amsifu mtume muhammadi mara yesu huyo nichizi
Mashaaala sheikh diwani ALLAH akupe maisha mema hapa duniani na akhera.
Yesu ndo kila kitu kwenye maisha yetu. Anaye kataa na akatayee na anaye kubali na akubali.
Wewe mwacha ujui kitu
yesu ndomu nguwenu
shukran sheikh Yusuf Diwani,Allah awalipe kheri hapa duniani na akhera,Allah awapee umri mrefu wahadhiri wetu wakiislam
BarakaAllah feequm,sheikh Yusuf Allah akuweke, akujalie pepo.
Mwenyekiti Jazaakallahu khaira 🙏
Yesu ni Mungu tena mwenye upendo kwa wote, Mpole. Kumkubali yeye ni kwa neema ,yani sio kwa uwezo wako.Mungu mwenyewe akusaidie.
captn sam TZ mungu yule anaesinzia au mwingine
Alafu waislam acheni kujikumba kwa yesu
Wewe Roida kaa kimya
Mngu akuzidishie , ubarikiwe hamza mtumishi wa kweli . safiiii sana. Jamani tusimchukie huyu sheikh acha aseme ukweli
Wewe noeli autakuwa na akili sawasawa
Namshukuru mungu kwa kuwa mkristo mbora ninayo balikiwa kwa kila siku
Imeandikwa ata Kama mtenda zambi utonyima riziki yako
Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, alikufa msalabani ili kuukomboa ulimwengu. Na alikufa akafufuka na akapaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu na atarudi kuuhukumu ulimwengi. Ukimkiri kwa kinywa chako utaokoka na jehanamu ya Moto. Mkiri Yesu uokoke!
Yesu ni Mungu. Ni Bwana wa Mabwana ni Mungu wa Miungu.
Hamza so intelligent GOD bless in the name of JESUS.And you are going to win this war because JESUS is with you
Shekh Yusuf tanks
Yaani Hamza busara imekujaa kabisa. Unaongea kwa upole wala huna jazba.Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha mema na marefu.
Kwa sababu yupo mbele ya wanaojua lazima akae kimya
Assalaam alaikum warahmatu llah wabarakatu. Twasubiri sehemu ya pili ndugu wapendwa coz ni debate nzuri sana yenye mafunzo kwa wale wasiojua. Ni debate ambayo Insha watu gizani. Shukran za dhati kwenu masheikh kwa kuelimisha na kutoa watu gizani walikoingizwa na huyu Hamza. Part 2 please ili tuzidi kuelimika.
Shukran ustadh swaimu tuko pamoja tunaisubiri kwa hamu part2
Quran-19:34 Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
ASH-HADU ANLAAILAHAILALLAH WAANAMUHAMAD RASULULLAH, I PROUD TO BE MUSLIM INDEED TRUE RELIGION IN FRONT OF ALLAH IS MUSLIM
Yesu ni Mungu Mtawala Mbinguni, Ukiri kwa Moyo pia utamke kwa ulimi Yesu ni Mungu Kwa Jina lake kila ulimi utakiri Mungu kweli
Yesu ni mungu so huyo mungu ametailiwa eee
Kama roho ni neno LA MUNGU kilicho toka kinyani mwa mungu,,, ni mungu aliumbika katika mwili .
yesu,ndiye,njia,ya,kwenda,mbinguni,hakuna,wokovu,kwa,mwingine,chini,ya,mbingu,.litupasalo,kuokolewa.kwalo.wala,hakuna,jina,jingine.ni.,yesu,matendo 4:11-12
Sheikh Youssouf ,allah akulipe sheikh maana hata kiarabu kimekaa saw kabisa
Quran haijakataa kuwa Yesu au Issa hajafa msalabani,Surah Imrani 3:55 ukiisoma pamoja na Surah Maidah 5:117 inakubaliana kabisa kuwa Issa alisulubiwa sema mlikaririshwa kukataa
Barikiwa sana bwana hamza...
shida ya waislamu hawatafuti uhalisi wa neno la Mungu kwenye maisha yao. Kila goti litapigwa na kila ulimi utariki kuwa Yesu ni Bwana kwa.
Jonathan Masu amen
Bwana wako ww t nyumbu
kajambe
Jonathan Masu ,achana nao hao wamekosa ixhu mjini
Innalilah wainna ilaih rajiuun
asalam aleykum kazi nzuri simameni imara dini imarike asante
Huyu hamza hauelewi ukristo wala hauelewi uislam. Ni kama mwanzilishi wa dini nyingine isiyokuwa na misingi ya kitabu husika. Hili ni janga lingine duniani. Ila tumuombe Allah ampe elimu sahihi kwa haya anayoyapaparikia kutafuta umaarufu
Shukran sana kaka .. tunasubiri sehemu ya pili kaka IN Shaa Allah
part 2 haipo tumsikie ust shafii akimnyoa
Hahaha
moyo wangu unamshangilia Sana bwana wangu mwokozi yesu ,asiyemshangilia na kumtafakari yu gizani tu
Miraji Salehe kavute bangiuko nayesu wako mpuuuzi
😂😂😂
Assalam Alleiqum Warahmatulai wa Barakatuh.... I'm from Mozambique, its very sad..I swear that Hamza Issa is not Muslim.. OK all we cant leave to ALLAH
Drr Raíz he's not Muslim now he's Christian he's trying to convince other people to follow him now he's caller prophet Hamza
Hamza unajitahidi huyo mwenyekiti hafai anatumia muda mwingi kama yeye ndiye ni mtoa mada umebanwa pande zote lakini umeeleweka
Drr Raíz habari ya mfungo wa ramazaani
.
We Mlemba rudi milembe bado hujapona akili ww
Alakhy saimu gao, tunaomba utumalizie kutuma mdahalo, ila huyu bwana hamza nadhani anajua kila kitu bali anaamua tu kupotosha maana., Allah amjaalie amrudishe katika njia sahihi ( Aaamin).
anajua,anaamua kusema ukweli.
IQ YA HUYU SHEIKH HAMZA NI KUBWA MNO.COMFIDENCE 100% UWEZO WA KUPANGILIA HOJA 100% Kwa Kweli sijutiagi muda wangu kumsikiliza na kumfuatilia huyu mtu. MUNGU AMTUNZE NA KUMWEPUSHA na wenye nia Mbaya nae in the name of JESUS. YOHANA 1:1 inasema Hapo mwanzo kulikuwako neno naye Neno alikuwako kwa Mungu,Vyote vilifanyika kwa huyo;wala pasipo yeye hakikufanyika Cho chote kilichofanyika.Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang'aa gizani ,wala giza halikuiweza. YOHANA 1:14 NAYE NENO ALIFANYIKA MWILI,AKAKAA KWETU;NASI TUKAUONA UTUKUFU WAKE,UTUKUFU KAMA MWANA WAPEKEE ATOKAE KWA BABA;AMEJAA NEEMA NA KWELI.
mwenyekiti anatetea dini hana wokovu
Mashallah
Yani amza ana ongea uku akiwa ana relax Yani mtu akiwa Na imani ya yesu uta mjua tu Yani ana jua kabisa Yupo sahihi na anacho kifanya kwa Sasa
Fathia Saed sikiliza tafsir sahihi kutoka kwadiwan sisi ndio wenye quran yetu tunaijua kuliko yeye anavyoielewa
Mwenyekiti haupo free baba
Shekh yuusuph diwani nimependa sana nabimeniingia sana kauli yako ya “qillatul ilmi aafatu fii ddiini” uchache wa elimu ni maafa katika dini maa shaa allah allah akujaze kheri ila ustadh shaafii unajua mpaka unakera maa shaa allah allah awalipe pepo wahadhiri wote kwa kupigania haki
Wa kweli huchoka unafiki, unawezaje kunanusha kitu kilichotokea kweli? Waislamu wanajua wazi kuwa Yesu alikuwa ila wanafiki sana, ila watu kama Hamza wameshindwa kuficha ukweli.
Sikiliza waislamu niwambia ukitaka kujua ukweli wa dini soma maandiko yote ndipo utajua ukweli na ni vip unavyotakiwa kuabudu, kumwabudu mwenyezi mungu waislamu hamtaki kusoma ukweli na hata wa kristo awasomi kuruani na shida kubwa kwa wengine wa kristo kutosoma hii Quran ni lugha iliyo tumika ndani ya quran..... Hila nataka niwajuze nyinyi hakuna lugha iliyo shuka duniani ikatelemshwa ulimwenguni acheleni kupotosha binadamu na fahaamu zao akuna kitu kilicho telemshwa zaidi ya uumbaji ulio fanyika na hizi lugha zilizungumza na watu wamataifa na makabila tofauti, tofauti,.....acheni kuwa wazungumzaji sana........ukweli wa dini upo isisimulie kile ulicho fundishwa na dini iliyo pupapupa.
Hamza yuko sahihi sana but waislam ni mambumbumbu
Sana tu waislam awajielewi
Nakuerewa.kaka.yangu.kijibonge.mwambie.kama.hamza.katumwa.sasa.kapatikana.mungu.atunusulu.nakuishi.kwakutegemea.mwanadamu.kuwa.mwokozi.tumtegemee.allha.tu.anatutoshaee
MASHAALLAH...YUSSUF DIWAN
FUNDI WA MAFUND
UMEUMBWA KWA WATU KM HAWA AKINA HAMZA..
MUNGU AKUZIDISHIE SH.YUSSUF DIWAN
MNAPOTEZA MUDA KWA VITU VISIVYO NA FAIDA
Jazakallah!!!! Diwani
Ndugu zangu waislamu ni vizuri kupeana maarifa kuliko kubishana,na hata kama ni kubishana basi ina busara kubishana kwa hoja bila jazba kuliko kutoa maneno machafu,Hakuna Mungu anayeafiki udhalimu sote tunaamini hivyo.Naomba kurejea kitabu chenu yaani Quran tukufu.
Surat AL-FAATIH'A,inasema
1.Kwa jina la Mwenyezi Mungu,Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu,
6.Tuongoe njia iliyonyooka.
Njia iliyonyooka ni ipi?Mungu anawajibu kwenye kitabu cha,
Surat Al I'MRAN
47.Maryamu akasema: "Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema:" Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
48."Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili." (Ni lazima ujiulize je wewe unafahamu nini juu ya Taurati na injili?kwa maana ili kumjua Mungu wa kweli lazima ufahamu.)
50.Na ninasadikisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na ili nikuhalalishieni baadhi ya yale mlio harimishiwa, na nimekujieni na Ishara kutokana na Mola Mlezi wenu. Kwa hivyo mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. (na anasema anasadikisha yale yaliyokuwako kabla yake katika taurati hii inamaana kwamba Isa bin Mariam hakuja na Taurati ila anaijua na anajua na wanadamu wanaijua hiyo kwa hiyo yeye kaja kuisadikisha yaani kuwahakikishieni kwa habari ya Taurati.kwa upeo wa zaidi yeye amekuja na Injili)
51. "Hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu mlezi na ni Mola wenu mlezi.Basi muabuduni yeye hii ndiyo njia ya kweli iliyonyooka. (ukisoma kisa vizuri utagundua kuwa hapa anayezungumza hili ni Issa bin Mariam,soma kuanzia mstari wa 40,kwa upeo zaidi mnatakiwa kumuamini Isa bin Mariam sambamba kabisa na Mungu Muumbaji)
55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.(ukipitia huu mstari kwa makini kwa misingi ya kuelewa utaelewa tu,Isa bin Mariam atainuliwa dhidi ya wanaomkataa na wafuasi wake watawekwa juu dhidi ya wale wanomkataa.UKIJIFUNGIA PEKE YAKO KWENYE MOYO WAKO UTAJUA KAFIRI NI NANI.)
60.Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka.
65.Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?(mkitaka kuzingatia haya basi ulizeni mjulishwe Taurati yasema nini?na inakuja kwa mkono wa nani?vivyo hivyo na injili pia.
Wanahangaika tu hakuna kama Yesu duniani na mbinguni
mapenzi
Allah Akbar
Hamza ni murtad lakini anajifanya muislamu utawezaje kuwa muislamu Alafu uipinge Quran? Allah anasema heakumuuwa wala hawakumsulubu Hamza anasema yesu kafa msalabani.
sasa Hamza na Allah Nani alishuhudia tukio lote? MUOGOPE Allah wewe Dunia mapito tu. Alafu bado hujasoma vitabu itafute injil ya Barnabas Alafu wafundishe Nani alisulubiwa msalabani. wacha kuupotosha umma
Uko sahihi Hamza wambie ukweli kuusu YESU
Sio waislam labda imani nyingine.
Hamza.huwezi.kuwapotosha.waisolam.ndungu.yangu.kaa.utulie.kama.umenunuliwa.pole.sana.kawambie.umeshindwa tu
Je jina la Issa limetajwa Mara ngapi kwenye Koran na Jina Mohammed limetajwa mara ngapi?
kwa hiyo
Hujielewi
Wewe wezako haliulizagi hivyo hilo swali,soma vizur qaran
Jina la Issa Alyhi Salaam mara kumi na tano na Jina la Muhammad mara tano.
Na sababu ni kuwa Mtume Muhammad ni Mtume kweli katumwa na Mwenyezi Mungu lau kama si mkweli angelitaka jina lake litajwe sana.licha ya hivyo basi jina la Musa limetajwa mara 125 kwenye Quran. Na aya pia zinazosema "seme ewe Muhammad" hakuziondowa zinasomwa hadi leo.
Akili yako aina akili
Jaman waislam ebu jalibuni kumpeleka milembe inawezekana anamatatizo ya akili 😂😂😂 hamzah hayupo timam
Waisilamu inabidi sasa kuongeza Mada ya zaidi katika kuwafundisha watoto wao na hiyo ni mbinu na njama za kanisa kuwapotoa watu duniani, sio to kuhifadhi tu.
Shekh anatafsiri aya neno kwa neno. Quruani inafasiliwa kwa matukio. Kwani na yenyewe ndivo ilivoshuka kwa matukio. Nabii eliasa na wasiwasi na uelewa wake
HAJIBU SWALI ALILOULIZWA.ANAPOTEZA WAKATI.MWANASIASA HUYO FITNA,
hamza ili uwatoe hao gizan usije kanisani kwanza vaakanzu waelimoshe wamjue yesu kwanza ukiwa huko walitambue hile
WEWEWWEWEWEWEWEWEWEWEW UNANJAA WEWE NDIO UNAVYOBAMINI MM👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇💒💒💒💒💒💒💒
Haiwezekani kuunganisha uislamu na ukristo pamoja. Hizo imani mbili ni tofauti kabisa. Ukiwa muislamu ukamwamini Kristo inakuwa umeukana uislamu na hivyo hivyo pia kama mkristo ukimwamini mtume Mohamed na Qur'an unakuwa umemwacha Kristo na ukristo.
mtaelewa 2
Kiongozi wa Hawa wakiristo ni David Wood mzungu na mwinzie Sam ambae ni mwarabu. Ndio wanaedelea kuuokoa ukiristo kwa kuutumia Uisilamu wenyewe katika kuubomoa Uisilamu.
laana tu llah aalaiki
Mpelekeni akasome huyo asijeendelea kupotosha waumini wa kiislam ambao elimu yao ndogo.
Lllllllllllll
Hamza chizi
shekh yusufu .....ukovizurisana kwa kuelimisha Naamini angekuepo mazingehapo Angeshamtukanahuyo mana huyu hamza naamini amesoma kwamasistre.
Allha akuhidi Hamza na group yako.Ishalha utarudi kwenye uislam wa kweli
kama unamkubali yesu kirsto like hapa
eeeee mungu tusaidieeee
AllahAkbar shekh wangu huyo kafir asipo elewa mwache abaki na ukafiri wake shetan mkubwa we Hamz.
Yesu ndiye njia kweli na uzima
Samuel Mwema hamza ndio njia ya kweli na uzima sema emen
Kwann anaachiwa huyu MTU azidi kupotosha watu lkn!
ananijaaz ,ni wewe anaudhi,
alaaa sasa hivi wameamua kubishana wnyw kwa wnyw
Tuko.macho.shehe.wangu.watajipoteza.wenyewe.tunajivunia.kuwa.waisilam.anshallah
Amkaaa my dear
Shida hapo waislamu wanajaribu kuficha ukweli.
Huyu isa ni kafiri kafiri likafiri laanatullah alaihi! allah alaaani sanaaaa anababaika babaikatu hajielewi hafai hata kumsikiliza!!
ww hata quran huijui.
huo mtihani shekh unaleta khabari za fani bwana hamza anapotea kabisa maskini .balagha . usulu lfiqh nahau na swarf ongeza mantwiq hapo ni hatari haelewi masikini bwana hamza msaidieni aende shule
msikimbilie kusema huyu MTU katumwa cha msingi ni kushindana kwa hoja,bwana yesu asifiwe.
Kubishana na hawa lazima uwe umepitia mafunzo ya karate
Hakuwa yeye (Isa) ila ni Mtumwa tuliye mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili.Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana.Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Ww mwnykt nmmbea alafu umaliz aya wasema nusunusu ukubal kristo ndio muokoz wawatu wote mwnykt hujui kitu umalizii aya mnafiki
Acheni kulinganisha uyu issah na hao mitume jamani mnatamka mambo ambayo hata quran haija nena kwanin nyinyi hamsimam kwenye kweli.....hebu msikilizeni uyu hamza
Wallah natamani Siku moja tu mwisho wake ufike maana asumbua Sana huyu
Chamsingi tuombe dua
Huyu ndiye aliyejifanya nabii,na sasa analeta upotoshaji wa dini,na huyu katumwa na kanisa,anajifanya muislamu na huku,akiwa na wafuasi wake,ambao wanajifanya waisilamu,sisi tunamwambia laana ya Allah ,haiko mbali.
ukristo utajipigania wenyewe.
polepole mtafika
wewe kaka hamza mbona uko sahihi Sana hayo ni mafunuo sahihi yesu kweli ndiye Hakuna aliye Kama yeye
Miraji Salehe kajambe
acha unafiki...usiwe kama abulahab
Mpuuzi mkubwa wewe
unamuelewa ama waropoka tu
We Miraj boxxxx tu
Ilishushwa na watu gani
kuua mtu ni dhambi( kumkata kichwa). kama dini yoyote inamruhusu mtu kujua basi kazi ipo.
usihukumu, Mungu peke ake ndie astahili kuhukumu.
kumtusi mtu ni dhambi, dini yoyote hairuhusu kutusi ,pia waidhalilisha dini yako ukitusi.
bishaneni kwa aya, (ya vitabu vya dini), na atapokosea mrekebishe .
unajiongezea dhambi unapomuwazia kifo, kumkata panga, na kumtusi.
hasira hasara bali muoombeeni anaopetea arudi kundini hiyo ndio hekma. Mungu hashindwi na chochote, akiamua anafanya chochote .kazi ya mwanadamu ni sala (kuomba) na kufata anayotaka yeye (Mungu)
Uyo jamaa ametumwa na makafiri na amesomeshwa na makafir ili aje kuchalenge waislam hana mpango wowote angoje moto tu.
Hawa wakristo wanaochangia hapa hawaelewi na kama kawaida kusikiliza hawasikilizi wanachukulia dini ni mazoa tu na si dalili wala maandko
Hivi wailamu tupo wapi kumsikiliza huyo shetan ,kwanini achezee akili za watu haeleweki ila anang'ang'ania hoja mbumbumbu hata akipewa hoja haelewi!
Yani huna aibu kutafsiri kur an hadhari kwa tofauti kubwa 100%
Yesu anakuja upende usipende anakuja kudai damu yake aliyomwaga msalabani...........sijawaio ona nabii wa kristo au pastor mkubwa wa Christianity akijeuza dini na kusema Muhammad ndo mtu bwaka lkn waislam kila Siku mara shehe kafunguka mara nabii yaan each and everyday waislam wanarud ukristo uoni tu kwamba there is a problem where you are wake up............. Angalia Jina Yesu likitamkaa pepo wanakimbiaaaa....... Wachawi wanakimbiaaa... Amken
Ukiristo unazama, unatapatapa, kanisa kujalibu kushika huku na lile kujalibu kujiiokoa kwa kutumia usilimu.
Asante sana hamza kwa kujua ukweli
Usiwaongope mashehe ...tumewazoea wako hivyo
Joseph kajambe huko kanisani mnajambianajambiana kutwa nzima hovyooo
Simkubali hamza,shekhe diwani umeeleza mengi ya KWELI,LAKINI aya hiyo ukiisoma katika tafasiri ya kiingereza hainyonyesha kama shahada ya nabii issa ni ya kukanusha,inaonyesha shahada ni 3,lakini hamza kwa nini unachanganya mambo ya mayahudi na naswara?uislamu haujitoshelezi wewe hamza,hata uingilie mambo ya dhiki kuu,mpinga kristo?waliyoyasema hayo hamnao ninyi,nabii elia,danie,isaya,na yohana mwanafunzi wa yesu wa ufunuo,na paulo mnao ninyi? alafu hata kutoa katika biblia hufundishi sawa sawa,embu tupe,tofauti ya imam mahid na issa kazi zao katika dabatul ardhi.Ukristo na YESU hamuwezi uelewa vizuri pana manabii walioeleza yesu ni nani kwa kina sana ninyi hamna hao,mfano nabii Isaya 53;1- mnayo ninyi?
Uacheni ukristo unajitosheleza,ulikamilishwa na yesu miaka 600 kabla ya mtume na uislamu.Hamza unaposha sana watu wewe,sio nabii wala mtume,
Elimu hihi anayotoa HAMZA ningumu Sana kumwelewa, wewe mnyekiti Leo HAPA tz msahafu unaongoza nchi? Kama hapana HAMZA yuko sahihi, ila Kama msahafu unaongoza nchi Kama katiba HAMZA, nikosaji, maulama wa tz wote niwanafiki tunaishi kwenye shiriki alafu tunajiita tuko sahihi na serekali ya irani, rudini darasani bado hamna Elim ya ufaham
Huyo nimnafiki mwanzo aliombardhi mbele ya shekh wa mkoa leotena mnamtaka aruditena huyo hatufai waislam dinihii siyo yakumbembeleza mtu mm naomba mashekhe huyo muacheni kama alivyo mara amsifu mtume muhammadi mara yesu huyo nichizi
Hakuna madhehebu indani ya Quran. Kutengeneza madhehebu indani ya Uislamu ni Haram kwa mujibu ya Quran takatifu.
Maslahi ndo yamekupeleka huko kichwa chako halali kwaupanga wa muisilam
Hamza peleka injili ya yesu wataelewatu polepole ubalikiwe katika jina Yesu
mwenye kiti anatupa mda sana.kwani hakuna waalimu??
Mbona Askofu Hamza hasikilizi majibu anajibabaisha huku na huku
Kuna siku ataelewa tu coz faswabrun jamiil
Halafu Mbaya zaidi jamaa kila wakati linachekacheka na kuwatazama Pimbi wake
Anafanya "isthihzai"
mjinga kabisa yaani sielewi hivi kwanini anaendelea kuishi auliwe anawapotosha wengi mno wasio jua dini yaani simpendi kumuona kabisa kamili huyo
sheikh diwani mbona uko juu Sana mueleweshe Huyo nabii fake kaenda Kanisani KUPATA peni mbili
Makanisani akuna pepo mapepo yako misikitini mnapo abudu majini
Shahe hamaza uko sahh sana,,mungu asifiwe