DARUWESHI ROKET MWENYE HIJJA ZAIDI YA 50 ANASEMA HIJJA YAKE YA KWANZA MWAKA 1968 ALIENDA KWA MIGUU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 87

  • @hijirahsimyemba6607
    @hijirahsimyemba6607 3 месяца назад

    Mungu ampe maisha marefu uwe mfano wakuigwa

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 года назад +5

    Inshaallah allah nijalie nifike inshallah

  • @shehekamtu6401
    @shehekamtu6401 Год назад

    Mungu akulinde naakuongoze ww bint mdogo kuliko wote kwenda kuiji

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 года назад +4

    Mash allah tabarak rahman allah wajalie jamii muslimin wa muslimat awajalie woote wafike hapa mahali patukufu amin

  • @Jakotybokono
    @Jakotybokono 2 года назад +1

    İnshaAllah, Allah Akinijalia mwaka ujao ntakwenda.sina chochote laakin naweka niya.Allah Anijaliye na Awajalie waislamu wengine pia

  • @madinakheri487
    @madinakheri487 3 года назад +5

    Mashaallah Allah nijaalie na Mimi nitimize nguzo hii

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 года назад

    Subhaanallah nina ham ya kutekeleza ibada ya hijja in shaa Allah

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 3 года назад +2

    Inshaallah Nass wengine Allah atujaalie kipato tufike sehemu tukufu

  • @akidawangara2323
    @akidawangara2323 3 года назад +1

    Yaa Allah tujalie na sisi tuweze kufanya hii ibaada kabla ya kuondoka duniani

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 года назад +3

    Nimemuona babu kuswali nnaleke 🥰🥰🥰

    • @just_this_way
      @just_this_way 3 года назад

      Kumbe unamjua eee?

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 года назад

      @@just_this_way eeee anatoka kijijini kwetu

    • @just_this_way
      @just_this_way 3 года назад

      Natamani sana kumjua zaidi.

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 года назад

      @@just_this_way anapatikana ukimuhitaji kumuona yupo kijijini ukipata nafasi kamuone

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 года назад +5

    Ee Mola wangu nakuomba unifanyie wepesi nami niweze kufika makka na madina nipate kudhuru kaburi la Mtume wako na Mtume wetu Muhammad S.A.W, nakuomba Mola wangu kwa uwezo wako niweze kufika nikiwa hai, Amiin

  • @ahmedashfa7318
    @ahmedashfa7318 3 года назад +4

    Allah nijaalie Mimi hata mfano wa maisha yake kiumbe wako huyu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 года назад +2

    MashaaAllah kumbe huyu ndie Daruwesh bendera

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn 3 года назад

      Mashallah sheikh Rocket ndie huyu. Mashallah Mungu Allah ampe umri. Namkumbuka mwaka 1977 nilikuwa kijana wa mdogo miaka 21 nilikiwa na tatizo lilitokana na husda baada ya kuchaguliwa nafasi ya kisoma Rubani India. Nikamuona mtaa wa Lumumba watu wakiwa wamejazana wakimsikiliza akiwa ameshika bendera yake. Basi nikamfuata aniombee dua basi akanishika kichwa na kuniombea na mashallah tatizo langu lilitanzuka.

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 года назад +2

    Mashallah mashallah nakuomba Allah nasi utiwafikishe ammin

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 года назад +3

    MashaALLAH, ALLAH akukubalie hija zako

  • @halfanibongojo9413
    @halfanibongojo9413 3 года назад +2

    Alhamundulillaah huyu mzee nilikua namsikia tu khabar zake

  • @jimjam6403
    @jimjam6403 3 года назад +1

    MASHA ALLAH iyo ni barqa .

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 месяца назад

    Sharifu hajui kiarabu maajabu haya uchawi mbaya

  • @waheedakihiyo9823
    @waheedakihiyo9823 Год назад

    Mashaalah

  • @omaryhunte5248
    @omaryhunte5248 3 года назад +5

    Ewe allah tujaalie nasi tufike miji mitukufu

  • @salimwetiechere6366
    @salimwetiechere6366 3 года назад +4

    MA'ASHALLAH.

  • @imamushafiiforgoodislamict5420
    @imamushafiiforgoodislamict5420 3 года назад +3

    اللهم طول عمره

  • @rahimasaid4702
    @rahimasaid4702 3 года назад +3

    Miss Makkah 😭😭😭

  • @abdulmelele7322
    @abdulmelele7322 3 года назад +2

    Mashaallah Daruweshi

  • @idrisanassoro4913
    @idrisanassoro4913 3 года назад +3

    Du! Hata mm sintabaki nyuma Allah akiniwezesha

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 года назад

      Sema!! Inshaallah

  • @mpongomwenda1599
    @mpongomwenda1599 3 года назад +5

    In Shaa Allah at 40years.

  • @ismailchilonga2878
    @ismailchilonga2878 3 года назад

    My father kila la kheri Inshaalh

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 Год назад

    Hakuna muislamu mwenye hijja hamsini hijja ni moja tu umri wako wote

  • @mpendamazozo1734
    @mpendamazozo1734 3 года назад +1

    Maashaalah

  • @muhammadhussein2347
    @muhammadhussein2347 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 4 месяца назад

    hijja Mara moja yatosha saidia wengine nao waipate

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 3 года назад +1

    MashaAllah

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 года назад

    Kwani nikiasigan nauli

  • @rajabumbendenga5480
    @rajabumbendenga5480 3 года назад

    kuswali nnaleke kuna mengi wanamzuria huyu mzee ambayo kiukweli hayako sawa

  • @isamony58
    @isamony58 3 года назад +2

    mzeee kuswali mnaleke nimtu wakwetu mtwara

    • @abdulmelele7322
      @abdulmelele7322 3 года назад

      Kwa pale Dar es salaam kariakoo ni jirani yng na babu yng mzee Daruwesh

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 3 года назад

    Huyu Shekhe nimejaribu kumfuatilia sana

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 года назад

    Nami nataman kufika kwakweli 😧

  • @aminarashidi4757
    @aminarashidi4757 3 года назад

    corona saudia vipi

  • @mwasitibakari3805
    @mwasitibakari3805 3 года назад +4

    Jmn natamani siku moja NA mm nifike huji jmn. Yarrab nijaalie mie

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 года назад

      inshaallah

    • @abubakarminya2329
      @abubakarminya2329 3 года назад

      @@heyumi2340 usichoke kuomba mungu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 года назад

      @@abubakarminya2329 inshaallah wala sichoki Alhamdullillah

    • @abubakarminya2329
      @abubakarminya2329 3 года назад

      @@heyumi2340 usinisahau mm pia kuniombea ninatamani sana

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 года назад

      In shaa Allah

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 года назад

    Jamaa aitikia amin kilaneno hhhh😇😇😇😇😇😇😂😂😂😂😂😂😂 muarab asem wasuud niwazur nawatu waupendo jamaa asema aamin 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 года назад

    Jaman hii vedio ya mwaka gani????
    Maana hakuna hajj hivi sasa

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 года назад

      Mwaka huu ipo isha Allah Ila mwaka jana tu haikuwepo kwa walio nje ya saudi arabia,Ila ninachoshangaa wamevaa barakoa

    • @stumaihassan5739
      @stumaihassan5739 3 года назад

      2009

  • @isamony58
    @isamony58 3 года назад +2

    uyuu likimuacha gari basii atakuwa wakwaza kufika yy kuliko garii lililo muachaa huyuu ndie daluweshii wakusini

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 2 года назад

    Mashaallah