JE YAFAA KUTAWADHA UCHI (NAKED)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 194

  • @muungwanaseiph662
    @muungwanaseiph662 3 года назад +14

    Aisee apo umetuweka sawa kabisa shekh. .....big up sana kwa aliye uliza swali.....

  • @AishaTyler-q6d
    @AishaTyler-q6d Месяц назад

    Jazzakallhau ustadh,, nimekua muadhiriwa wa kutawadha nikimaliza kuoga ila kuanzia leo sitawahi manake nimejua,,, shukran sana ustadh Allah akulipe kher n ufahamu zaidi uzidi kutuelimisha 🙏🙏

  • @mariamabdulazizi7987
    @mariamabdulazizi7987 3 года назад +45

    Congratulations Sana tu kwa alie uliza hilo swali, Allah barik nimefaidika kwa kweli.

  • @nuraabdulkadir9098
    @nuraabdulkadir9098 3 года назад +9

    MashaAllah izudin wapenda kucheka la kwanza la pili theko Kama mm...mungu atujaalie tuingie peponi na kucheka hvo hvo

  • @abbasjalala1207
    @abbasjalala1207 3 года назад +3

    Mashaallah.. Hakika mawaidha hya yamenipunga sana. Allah azid kukubariq, sheikh wangu!

  • @aishamaulid2358
    @aishamaulid2358 3 года назад +17

    Jazzaka KHEIR SHEIKH wetu best....naamini ukiwa rais utatoa ushuru...and it's high time kenya to have a Muslim PRESIDENT....who has Akhlaq and Taqwa and my vote goes to this sheikh....and sheikh juma Amir.

    • @simonkariuki9689
      @simonkariuki9689 3 года назад

      @@generalidiamindada25 ndoto tamu namna hii kaota usiku au mchana?

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад +1

      @@simonkariuki9689 KENYA MNA UKABILA NA UDINI.

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 3 года назад +3

      May our dreams come true, pia mm natamani kuwe Na president Muslim, inshaallah Na Ramadhan hii Allah atutakabalie dua zetu

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 3 года назад +1

      @@chunaamina8719 Ameen

    • @fayzal-zeyyad4004
      @fayzal-zeyyad4004 Год назад

      Amka acha kuota😂😂

  • @saidamoti7120
    @saidamoti7120 3 года назад +8

    Mashaallah shekh nampenda sana kawa dara zake allaah akupe umri na afyaa utpe nasaha

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 года назад +10

    Allah akuhifadhi nakupenda sana shekhe wetu

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 3 года назад +2

    Hata Mimi nilikuwa nataka sana kujua hili shukrani sheikh

  • @kanayanandwa3153
    @kanayanandwa3153 Год назад +1

    Nakupenda kwa ajili ya Allah...Shukran kwa mawaidha

  • @aminabagajo2673
    @aminabagajo2673 3 года назад +6

    Jazzakallahu kheiran sheikh.. Ramadhan mubarak..may Allah accept our ibadha

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Год назад

    Mwenyezi Mungu akujalie nilikua

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 3 года назад +10

    Jazzakahllahu kheir ustadh tupo wengi ambao tulitaka kujua amefanya vizur kuuliza

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 3 года назад +1

    Mashaallah tabaraka Allah nimecheka cna Allah akuzdshie elimu inshaallah

  • @ChiziLugwe
    @ChiziLugwe 3 года назад +2

    Thank Sheikh pia mm kila nikisali sikos fikira kibao kwel 🥲🥲

  • @faizanursan3299
    @faizanursan3299 3 года назад

    Shukran sheikh.Allah akulipee zaidi

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi Месяц назад

    Haya basi oga janaba na nguo bas oga janaba ukiwa na kanga .....leso kanga ni mavazi ya kike bana haifai kwa mwanamme kuvaa we wa wapi weeee

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 9 месяцев назад

    Mashaalla mungu akulinde

  • @mahesh-me8005
    @mahesh-me8005 3 года назад +1

    mashaAllah shukraan sanaaa ustadh

  • @TwalibsalimTwalibsalim
    @TwalibsalimTwalibsalim Год назад

    Nakubali

  • @HalimaBoda-p1s
    @HalimaBoda-p1s 3 месяца назад

    Asante sheikh

  • @mariamabdulazizi7987
    @mariamabdulazizi7987 3 года назад +14

    Subhana Allah, Allah aziuge uge swala zetu, Amin ya Rabbi.

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣kweli kabisa sheikh wangu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад

    Vipi shekh kutawadha chooni inafaa

  • @rahmamanaar
    @rahmamanaar 3 года назад +2

    Masha Allah ustadha tunafaidika na mawaidha yako, lakini pia subhana Allah napata kucheka hatakama sina furaha hupata kufurahi kwa maneno yako😄

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 3 года назад +5

    Sheitwan anaitwa Khunzaab

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 3 года назад +2

    Naam maan mi nafanya ivo sana hsa wakat wa swala ya subh nakoga na kutawadha kabl ya kuvaa kabsaaa

    • @simonkariuki9689
      @simonkariuki9689 3 года назад

      Achana na elimu bure za mwili wa kufa na kuoza taka kujua elimu ya rohoni ambayo ni ya kuishi milele na milele amina

    • @mariamkimossa1833
      @mariamkimossa1833 3 года назад

      Mimi pia nafanya hivi

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад

      @@simonkariuki9689 ELIMU YA KIROHO NI IPI????

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад

      @@simonkariuki9689 KWANI WEWE DINI GANI????

    • @simonkariuki9689
      @simonkariuki9689 3 года назад

      @@salimsaid7200 hii ndio Muhammad alibadilisha

  • @ThabitiMsaji
    @ThabitiMsaji Год назад

    Asante shekh

  • @abuuasman522
    @abuuasman522 3 года назад +4

    Masha Allah darsa zuri ila nauliza ikiwa mtu amefunga jee akiingia Nyumbani yafaa kumbusu mkewe

    • @tausiramadhan7927
      @tausiramadhan7927 3 года назад +2

      Ndio yafaa mtume wetu alikua akiwabusu wakeze ila mahali pa kubusu ni mfno paji LA uso mkono yaan epuka kupiga busu lile linawwza leta hisia baina yenu wallah aalam

    • @eliagitumbe
      @eliagitumbe 11 месяцев назад

      Asante pia nimejua​@@tausiramadhan7927

  • @ukhtyzuhurat3738
    @ukhtyzuhurat3738 3 года назад

    Jazzak'Allahu kheir sheikh

  • @ibadiibadimp9870
    @ibadiibadimp9870 3 года назад +3

    Shekh umeongea ukwel me pia hunitokea vimawazo kwenye swala

  • @ashakileo4980
    @ashakileo4980 3 года назад +7

    Shukran nimekuelewa

  • @saidmwatsanzi3489
    @saidmwatsanzi3489 Год назад

    Jazakahllah

  • @faridaabbas7199
    @faridaabbas7199 3 года назад +9

    Kweli kabisa shukurani kwa mwenye ameuliza hilo swali

  • @mwashumunassor318
    @mwashumunassor318 3 года назад +1

    asalam alley kum nashukuru darsa lako zuri mashallah linaelimisha ila sheikh mbona haumalizi hiyo mada iliyofuata hatujaipata unatunyima raha

  • @mohamedmahindi3263
    @mohamedmahindi3263 3 года назад +1

    Sawa tumeelewa sana sanina

  • @rukhaiyap5421
    @rukhaiyap5421 3 года назад +3

    MashaAllah, shukran

  • @muniramohammed2328
    @muniramohammed2328 3 года назад +1

    Allah akuzidishie kila ulipo pungukiwa

  • @ondegesauda7028
    @ondegesauda7028 3 года назад +1

    Jazaka Llahu kheir

  • @hamchilla_ke1998
    @hamchilla_ke1998 3 года назад

    Shukran kwa mafundisho ustadh

  • @Ismailkhamis-or6dt
    @Ismailkhamis-or6dt 9 месяцев назад

    A.alamu alaykum je sheikh inafaa kutia udhu chooni

  • @abdullah-eq3lt
    @abdullah-eq3lt 3 года назад

    mashallah umepewa hikma Shekh

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 2 года назад

    Yasalaam

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 3 года назад +5

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi Месяц назад

    We zuka kweli

  • @SalumSalim-ss5me
    @SalumSalim-ss5me 7 месяцев назад

    Mkn

  • @fatmakhalid5659
    @fatmakhalid5659 3 года назад

    Shukran kwa faida niloipata

  • @sanurandune8066
    @sanurandune8066 3 года назад +10

    Asallam alleikum ustadh nlikua nauliza mtu akithawadha kama ushamaliza kuoga kamba hujava anguo kwasababu pahali tulipo room n achoo kabisa maji yamo ndani sasa nisawa kutawadha ukimaliza kuiga kabla hujavaa nguo ??

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 года назад +1

    Hahahahhhhah!!!! Eti akala nduki 4:50

  • @manmbogak9354
    @manmbogak9354 3 года назад +1

    MashaAllah 🔥

  • @samiyamwinyihaji1351
    @samiyamwinyihaji1351 2 года назад

    mashallah

  • @mariamsaidi4521
    @mariamsaidi4521 3 года назад +1

    masha'Allah

  • @mounalondo8707
    @mounalondo8707 3 года назад +1

    Shukraan jazakAllah kheir

  • @lukuluku7724
    @lukuluku7724 3 года назад +3

    Sheikh Mimi sina wasiwasi na kutawadha tuputupu maana najua linakubalika.. swali langu lingekuwa.. je yafaa kutawadha tuputupu mbele ya mkeo??? Yafaa ama haifai tu maana kuvunjiana udhu ni jambo la kawaida....

  • @maryangure6561
    @maryangure6561 3 года назад

    Mungu akuweke unatuelimisha mashallah

  • @adidjauwimana7475
    @adidjauwimana7475 3 года назад

    Manshallah shukran

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi Месяц назад

    Huyu ni commedian

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад

    Mashallah

  • @mrpeace9645
    @mrpeace9645 3 года назад

    Masha Allah

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад

    Masha allah alie uliz hlo swl

  • @twalaataib9297
    @twalaataib9297 3 года назад

    Mashallah Allahu Barik

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 года назад

    Mashaa Allah swali zur hili

  • @farahrage5304
    @farahrage5304 3 года назад +1

    Pia ningependa kujua mahali alitoa huyu Sheikh xadithi "Lau si haya wanawake wangetubaka njiani".......

  • @djmakora0018
    @djmakora0018 3 года назад +1

    Je yafaa kuswali na kanzu tupu

  • @alfathifishingsportswatamu7759

    Inshort yafaa kutawadha uchi

  • @hafsatimmidly3857
    @hafsatimmidly3857 3 года назад +3

    Mm naulizaa ukiwaa kweny swalaa na ukawaa wawazaa kuziniii unabidii ukatishee swala ama inaswiii kuendeleaaa nayoo

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 3 года назад

      Duuh🙆‍♂️

    • @amudavisimiyu649
      @amudavisimiyu649 3 года назад

      Mola tuongeza kw yale mema

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 3 года назад +1

      Unaacha swala unaanza upya

    • @nurdinrajabu6444
      @nurdinrajabu6444 3 года назад +1

      Hakun mtu ambae hawazi kabisa kwenye swala, cha msingi unatakiwa urudishe fikra zako na mawazo yako tena kweny swala

    • @dinamusa8479
      @dinamusa8479 3 года назад +1

      Swali zuli sana hili majibu sasa

  • @farahrage5304
    @farahrage5304 3 года назад

    Mtu awe mwanmke au mwanaume anaweza kutawadhi uchi,,,kwasababu kusitiri Aurah ni shardi miongoni mwa shurud za Salah bali si shardi kwa wudhu

  • @paciakiprono2195
    @paciakiprono2195 3 года назад +1

    Alkhanzab

  • @yassinadan7726
    @yassinadan7726 3 года назад +5

    Hahaha akala nduki🤣🤣🤣🤣
    SubhanAllah

  • @HalimaKa-u3l
    @HalimaKa-u3l 5 месяцев назад

    Nisaidieni number ya shekh Izudi

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 месяцев назад

      @@HalimaKa-u3l +254772611120
      +255750611170

  • @chingaboy6917
    @chingaboy6917 3 года назад

    Swali moja majibu 100 ata sijui nishike lipi

  • @aliyislam3753
    @aliyislam3753 3 года назад +1

    Huyu si Sheikh ni comedy, aliulizwa very simple inafaa kutawadha ulkiwa uchi, jawabu ilikua ajibu inafaa au Haifai na atoe dalili, lakini ameongea maneno ya upuzi eti ukifaa Leso rising Fulani watu watakuelewa vibaya au ukiva pant watu watu wanaona sijui kitugani,Mashshekhe wakiswa wakiulizwa swali wanajibu simple & clear wakitoa ushahidi wa Aya au Hadithi.

    • @eidduke7911
      @eidduke7911 3 года назад +1

      Acha bifu bro. Kama huna cha kucomment bora ukae kimya.hakuna upuzi aliongea.

    • @Muhammad-g1n8d
      @Muhammad-g1n8d 3 года назад

      فوضوء الشخص وهو عارٍ في الحمام، ولا أحد معه، جائز وصحيح، لكن الأفضل تركه؛ لأن خلع الملابس لا ينبغي أن يكون إلا في وقت الحاجة إليه، كما يكون في أثناء الغسل، فقد روى الترمذي، وأبو داود، وأحمد عن معاوية بن حيدة أنه سأل رسول الله صلى الله عليه وسلم قَالَ: قُلْتُ: يَا رَسُولُ الله، عَوْرَاتُنَا مَا نَأْتِي مِنْهَا وَمَا نَذَرُ؟ قالَ: "احْفَظْ عَوْرَتَكَ، إِلاّ مِنْ زَوْجَتِكَ، أَوْ مما مَلَكَتْ يَمينُكَ"، فَقَالَ: الرّجُلُ يَكُونُ مَعَ الرّجُلِ؟ قالَ: "إن اسْتَطَعْتَ أَنْ لاَ يَرَاهَا أَحَدٌ، فَافْعَلْ"، قلت: فالرّجُلُ يَكُونُ خَالِيًا، قالَ: "فَالله أَحقّ أَنْ يستحيا مِنْهُ". قال الترمذي: حسن.
      والله أعلم.

    • @aliyislam3753
      @aliyislam3753 3 года назад +2

      @@eidduke7911 sikiliza brother ninaushshidi wakusema huyo mzungumzaji aliongea upuzi, swali lilikua very simple he yafaa kutawadha ulkiwa uchi, jawabu iwe inafaa au Haifai na atoe dalili za Hadithi Sahiih, lakini ameongea maneno mengi hata akesema wanawake wakiwa pamoja uchi wao ni kama wanaume kutoka kitovu mpaka magoti, inamaana wanawake wakiwa pekeyao wanaweza kua virus wazi, na akasema wanawake chungeni kunawengine niwanawake lakini siwanawake na kama hamuelewa niachieni mwenyewe, akasema kuna watu wengine wakiona mapaja kama sijui kitu gani, pia akasema wanaume chungeni kujifunga leso mukisoea mutadhaniwa vengine.
      Wewe kama kweli unatafakari maneno huyo aliyoyaongea yanshusiana na nini kuhusu swali la kutawadha uchi?
      Mimi nasema hivyo ameongea upuzi Kwa sababu nimeshaona clips zake nyinyi Sana maneno yake mengi bila Hadithi au Ayah na nawanabisha ndugu zetu Waislam ambao elimu zao za dini nichache wajiepushe na watu kama hawa. Siikilizeni Mashekhe wa kisawa wakiulizwa maswali wanajibu direct na kutoa dalilii za Hadithi Sahiih na Ayah

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 3 года назад +1

      Lkn jibu si alishalitoa hata ukiwa na Chupi yafaa sharti uwe peke yako

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 года назад

      Alisha jibu kama hujaelewa mtafute imam wako umuulize akupe jibu direct. Hayo mengine hayakuhusu mwachie yeye na mungu wake.

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 года назад

    Shukran sana

  • @muzammilualawi5949
    @muzammilualawi5949 3 года назад

    🙏🙏🙏🙏💪

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 года назад

    Allahu akbar

  • @Hongkongman2
    @Hongkongman2 3 года назад

    Shekhe huyu fatwa zake zingine hutoa kichwani mwake tu
    Ilimradi tu aonekane hashindwi na maswali
    Ni hatari sana huyu kwa mmaendeleo ya dini yetu

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  3 года назад

      Mm nakuomba nduguyangu napenda ujue mm sitoi fatwa kabisa najibu tuu suali. Na nakuomba na nitafurahi kama nimekosea sehem inirakibishe pls. Mola.akubarikie. shukran sana

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 3 года назад

      Nikawaida Kwa Baadhi Yawatu Kuwa katika Kundi La Nzi Kutua Kwenye Uchafu Navidonda. Nilazima Tujilekebishe Tuwe Kundi La Nyuki Kupenda Kutua Kwenye Maya Namiti Mizuri.

  • @SwabzSadeeq
    @SwabzSadeeq 7 месяцев назад

    Je sheikh uko na number ya whatsapp?nataka kuuliza swali bt si hapa.

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 месяцев назад

      +254772611120
      +255750611170

    • @SwabzSadeeq
      @SwabzSadeeq 7 месяцев назад

      @@IzudinAlwyDin shukran sheikh

  • @rashidshamte3083
    @rashidshamte3083 10 месяцев назад

    Aslam alykum je shekh kutia udhu chooni inafaa

  • @jabirmalik642
    @jabirmalik642 3 года назад

    خزکللله خیر

  • @sashaliciousabdillah6707
    @sashaliciousabdillah6707 3 года назад

    Jazakah Laah Kheir

  • @fatimalule7409
    @fatimalule7409 3 года назад +1

    Mbona sauti haina kwangu

  • @simonkariuki9689
    @simonkariuki9689 3 года назад

    Kuna Nabii mwingine anzo hizi vitu ama ni Mohammad pekee

  • @rukiahassan6974
    @rukiahassan6974 3 года назад +1

    Leso ni unisex😂😂😂

  • @donsharks4458
    @donsharks4458 3 года назад +3

    Katika Hadithi Al-Qudsy iliyopokewa na swahaba Abu Hurayrah, Radhi za Allah ziwe juu yake Anasema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ:
    كُلُّ عَمَلِ ابْنِ آدَمَ يُضَاعَفُ الْحَسَنَةُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا إِلَى سَبْعمِائَة ضِعْفٍ ، قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ : إِلا الصَّوْمَ فَإِنَّهُ لِي وَأَنَا أَجْزِي بِهِ] رواه البخاري ومسلم]
    [Kila tendo la mwanadamu huongezwa malipo ya wema wake mara kumi ya mfano wa jema hilo alilolitenda mpaka hufikia kuongezwa hadi nyogeza mara sabiini. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Isipokuwa saumu, kwani hiyo saumu ni yangu mimi, na mimi ndiye mwenye kutoa malipo yake; (mja wangu) anaacha matamanio yake na chakula chake kwa ajili yangu. Katika kufunga saumu kuna furaha mbili: furaha (ya kwanza) ni pale anapofungua saumu aliyefunga, na furaha (ya pili) ni wakati (aliyefunga) atakapokutana na Mola wake. Na harufu inayotoka kwenye kinywa cha aliyefunga ni nzuri sana mbele ya Mwenyezi Mungu kushinda harufu ya miski] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

  • @aliyislam3753
    @aliyislam3753 3 года назад +4

    Huyu si Sheikh wala si Ustadhali, nicomedy anaongea maneno out of topic, aliulizwa jee inajuzu kutawadha ulkiwa uchi, jawabu ilikua ajibu inafaa is Haifai na atoe dalili ya Hadithi au Aya.
    Hayo aliyoyaomgrea yote upozi siju ukifinga Leso pahali pengine watu watakuelewa vibaya au ukiva pant watu wakiona mapaja sijui kama wameoma nini.
    Mashekhe wakikweli wakiulizwa maswali wanajibu Kwa ufupi na watoa dalilii za Hadith sahiih na Aya.

    • @nurdinrajabu6444
      @nurdinrajabu6444 3 года назад

      Sasa hapo ww hujamuelewa nini! Ebu anza na upya kuangalia tena, mbon kila kitu kaongea vzuri, jaribu kuangalia vzuri hope utaelewa, kingine kiongozi hasa wa dini ana heshima kubwa, kwahy angalia lugha zako, huwezi kumuita huyu si shekhe wala si kiongozi, unajua kama hizo ni dharau zilizopitiiza

  • @simonkariuki9689
    @simonkariuki9689 3 года назад

    Ooooooh my goodness!!!..Nini faida yake Sasa? Fundisha watu elimu ya peponi iwasaidie kuliko kuwakosesha maana kipofu akimwongoza kipofu ni shimoni... mwili ni wa kufa na kuoza mwishoe.kuoga mwili mwishoni kaburini.osheni roho zenu zitaishi zikiwa safi milele ,huu ni uganga unao funza hapa bana.hii elimu gani hii braza?

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад

      VIPOFU NI NYINYI BINADAMU UNAITWA KONDOO MBELE YA BABAKO NA MAMAKO NA MKEO NA WATOTO WAKO UNA FURAHI KWELI NYIE ( MAKONDOO WEUSI )

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 3 года назад +1

      Simon kama wewe sio muislamu usingilie dini za watu .

    • @simonkariuki9689
      @simonkariuki9689 3 года назад

      @@lexygeisar8303 pole dugu Kama nimekukwaza.ila binadamu Alie Kama Mimi anahaki kujulishwa ajue ukweli

    • @simonkariuki9689
      @simonkariuki9689 3 года назад

      @@lexygeisar8303 Asante Lexy kwa kwa mawaidha yako. lakini hii yenu Ni noma kweli ina maajabu sio haba

    • @teammayuro7267
      @teammayuro7267 3 года назад

      We hata pastor hajawahi kukufunza kutamba ,mwanuka mavi

  • @habibamoh1043
    @habibamoh1043 3 года назад +1

    Mashallah

  • @RamadhaniShemwetta
    @RamadhaniShemwetta 6 месяцев назад

    Mashallah