Acheni kuongea na hao wapuuzi wasio jua maana mungu na shuhuda.Martha ni mwanadamu tu na pesa ni karatasi tu. Beatrice alikuwa sahihi na dadake atafunguliwa ili Joan huyo shetan atoke kwenye maisha ya watu
Anayewapenda kweli Beatrice, Martha na familia yao hawezi kusema Beatrice alikosea kusema maana aliposema ndipo wao watapata uponyaji, mama yao, mtoto wa Martha, Beatrice na Martha mwenyewe. Hasingesema wangeendelea kuangamia chini kwa chini kupitia Joan anavyo wafarakanisha na kutumia mali zao. Naungana na Beatrice 💯% ili familia yao ipate uponyaji. Haijalishi watashuka na wengine kudharaulika lakini dawa siku zote huwa chungu hakunaga dawa tamu. Ukweli usemwe familia wapone, Joan ka agent ka shetani katokomee katika jina la Yesu Kristo.
Huyu jamaa amechagua kukaa upande wenye pesa na kukataa ukweli, ndevu zimemnyima busara, mama mzazi wa Martha anasema vikao vya ndani vilishashindikana ndevu zinasema ilitakiwa iwe Siri, kwahiyo una maumivu kuliko familia yenyewe😢😢
we kaka sikujuw huni juwi ukijiweka upande wako ungesema Kwan wewe hujawai kosana na ndg zako then ukajikuta ukimwambia rafiki yako kuhusu huyo ndg yako ??? mi naona kafanya kawaida
Hajafanya sawa.vipi kama akichukua maamuzi magumu akajiua mtasemaje? Kumwambia rafiki sio kwenda hadharani.kuna tofauti kubwa aisee huyu Beatrice kama kweli anampenda ndg yake sasa hivi Yuko Arusha hajali chochote kuhusu ndg yake
Wacha mambo yako stori za ndani kwa ndani I wish a wakati watu wengi wanaumia ndani kuambiwa tu oooh mambo ya ndani ni ya familia sio sasa , watoto wanawake wengi wananyanyasika juu hawa a sauti Yao ya kucikizwa, Sasa wacha tumutetee mama kupitia mtoto wake Rachel
Nae huyu Rasta ni wrong namba huyu sio rib ya Beatrice hata sura ni mangaa na ana uchungu na Beatrice kwa hivyo hawezi kuongea viema juu ya former wife
Huyo hajui anachokiongea na ajui imani ya Beatrice, amezoea umbeya na amekalili umbea, acha ujinga ujinga na sura lake Kama mbuzi yatima, mtaani mtaani Beatrice kaongea kiimani
Lazima mumjue mose ni nani,...huyu ni mchekeshaji ambae kwakweli interview yake kama haujacheka basi irudie tena..kaongea point nyingi na utani na vichekesho vingi..by tha way tusikilize tu haya mambo ni yakifamilia zaidi kuna point nyingi ziko hapa kwake na pia nonsense nyingi chamsingi tumsikilize kwa makini
Wewe Tonge nyama, kaa ukijuwa familia Walisha kaa chini ika shindikana. Beatrice hana ubaya na Martha anampenda sana ndo maana alilia kanisani Martha aombewe Joan kamroga afunguliwe amkumbuke Mamake mzazi. Beatrice ni msafi wewe unaye zungumza una kasoro nenda afanyiwe maombi
Pumbavu nyie mnaongea nini sasa, mpaka bite katoka nje inamaana ndani ilishashindikana, huwezi kumsaidia wewe, sisi wengine tutawasaidia kwa maombi, na afadhali katoka nje kuliongea Matha atasaidiwa na maombi huyo pepo mchafu Joan aachie maisha yao
Uyu jamaa muongo kajifanya Beatrice kaleta umbeya usiotuhusu ili hali ata yeye anaupenda maana anajua kila kitu na ongea yke tu inaufurahia uo anaouita umbeya. Kaka umbeya usingekuhusu usingefatilia kiasi iko. Pia Beatrice hajaleta habari za usagaji ye ameeleza jinsi Martha alivoitelekeza familiya yao kwa hisia za kwamba Joan ndio tatizo.
uneongea.safi.kaka.👏👏
Beatrice anamuonea wivu dadake, alikosa wisdom. Ni kweli itamuandama, amefanya wengi kurudi nyuma kiroho
Beatrice ana haki hakuna wivu
Kwa kipi wacha za ovyo weww
Mama ni mama full stop
Na kwa nn mnawahoji watu waliochanganyikiwa hebu ifike mwisho kuhoji watu iyachen familiya ya watu
Nimegundua kuwa asilimia kubwa ya watu tafasiri zetu juu ya mambo mengi haiko sawa.
Acheni kuongea na hao wapuuzi wasio jua maana mungu na shuhuda.Martha ni mwanadamu tu na pesa ni karatasi tu. Beatrice alikuwa sahihi na dadake atafunguliwa ili Joan huyo shetan atoke kwenye maisha ya watu
Hatari sanaa
Ww bro hv kama mama kweli
Huyu kaka ameongea vizuri sana ila watu wengi hawajamuelewa
Uyu kaka ananifanya nacheka😂😂😂😂😂😂
Anayewapenda kweli Beatrice, Martha na familia yao hawezi kusema Beatrice alikosea kusema maana aliposema ndipo wao watapata uponyaji, mama yao, mtoto wa Martha, Beatrice na Martha mwenyewe. Hasingesema wangeendelea kuangamia chini kwa chini kupitia Joan anavyo wafarakanisha na kutumia mali zao. Naungana na Beatrice 💯% ili familia yao ipate uponyaji. Haijalishi watashuka na wengine kudharaulika lakini dawa siku zote huwa chungu hakunaga dawa tamu. Ukweli usemwe familia wapone, Joan ka agent ka shetani katokomee katika jina la Yesu Kristo.
Huyu jamaa amechagua kukaa upande wenye pesa na kukataa ukweli, ndevu zimemnyima busara, mama mzazi wa Martha anasema vikao vya ndani vilishashindikana ndevu zinasema ilitakiwa iwe Siri, kwahiyo una maumivu kuliko familia yenyewe😢😢
Yaani nimemshangaa ujue
Sio lazima ndugu yako akusaidie bana!...ila mi naona wote wawili wanashida kwa sababu kwanza hawana upendo ssa sijui wanajidai wameokoka kitu gani!?..
@@axmedcumar6196 ana capacity ndogo na ni kawaida pia
we kaka sikujuw huni juwi ukijiweka upande wako ungesema Kwan wewe hujawai kosana na ndg zako then ukajikuta ukimwambia rafiki yako kuhusu huyo ndg yako ??? mi naona kafanya kawaida
Hajafanya sawa.vipi kama akichukua maamuzi magumu akajiua mtasemaje? Kumwambia rafiki sio kwenda hadharani.kuna tofauti kubwa aisee huyu Beatrice kama kweli anampenda ndg yake sasa hivi Yuko Arusha hajali chochote kuhusu ndg yake
Huwezi kubarikiwa na mtu anayemtumikia shetani hata siku moja
Dada vp wakati wamemkana acha ujinga taira wew
Wewe ni mmoja wa wale mafree masoul unachokoongea hukijui,martha arudi kwa mamake .
Wacha mambo yako stori za ndani kwa ndani I wish a wakati watu wengi wanaumia ndani kuambiwa tu oooh mambo ya ndani ni ya familia sio sasa , watoto wanawake wengi wananyanyasika juu hawa a sauti Yao ya kucikizwa, Sasa wacha tumutetee mama kupitia mtoto wake Rachel
UKIONA MWANAUME ANASUKA, HUYO HAWEZI KUWA SAWA.
Bangi mbaya sana!
Bangi mbaya sanaa😂😂
Aliyo gasema betrice yanesaidia watu WENGI wasiowajali Wazazi. Imetusaidia sana aliyosema beatrice
Ww muelewe betrice alicho Sema musimlaum betrice anataka kusaidiwa Martha Joan ndo shida kwa familiar
kabisa iyo n kweli
Kichwa kikubwa kimejaa pumba😢😢
Nae huyu Rasta ni wrong namba huyu sio rib ya Beatrice hata sura ni mangaa na ana uchungu na Beatrice kwa hivyo hawezi kuongea viema juu ya former wife
Huyo hajui anachokiongea na ajui imani ya Beatrice, amezoea umbeya na amekalili umbea, acha ujinga ujinga na sura lake Kama mbuzi yatima, mtaani mtaani Beatrice kaongea kiimani
Hizi bang😢
Mtu kamtupa Mama unamtetea nn
Yaani kaka ulianza kumponda bite lakini sasa unaingia mwenyewe yaani hii ishu kama unasimsmua haki haipindi insjieleza bite niuchungu wa ndugu yake
Wanaume kama mabinti
Huyu Hana chochote cha maana anachoongea tena yeye ndio mbea anaongea utumbo mtup
Kaka vyema use mkweli ili usaidie sio kuongea hivyo nakucheka2
Huyu raster hamna kitu....!
Masuala ya kiroho hayaelewi
Kwanza upande w mume....ni maoni yake tu...
Kwa hiyo tunafanya dhambi kwa kuwa tutatubu???
Ameshasema shida si dada ila ni uyo Johan ni tatiizo
Kama ni Joan mmeshindwa kumtoa mpaka mumdhalilishe Martha
Mie naona huyu ni bwana wao kwanza huwenda huyu hajui thamani ya mama anaangaliatu pesa toka hapo na hayo manywere yako
hili sakata la martha limewaibua wengi waliotelekeza mama na baba zao,muone komwe lake
Hamna inawezekana kweli hawezi Kula Hana hamu inakata mzee.sasa utumbo unajikunja hawezi Kula siku akiamua Kula hawezi Kula sana anapokula akimeza utumbo utamsumbua .atakufa anaweza asipo jilazimisha Kula angalau ata uji utamsaidia .
Lazima mumjue mose ni nani,...huyu ni mchekeshaji ambae kwakweli interview yake kama haujacheka basi irudie tena..kaongea point nyingi na utani na vichekesho vingi..by tha way tusikilize tu haya mambo ni yakifamilia zaidi kuna point nyingi ziko hapa kwake na pia nonsense nyingi chamsingi tumsikilize kwa makini
We kwenda ivi wewe humtuzi mama yako we VIP Acha ujinga ww
Nyie mmesahau hata Rose alikuwa Teja la Unga
Mozee kamana unazingua rafiki yangu
Ushuuda wa betrc umekujakumuokoa martha kiroho zaidi,mana hata biblia imeandika hivo.na huo ni mpango wa mungu..! Halafu huyu jama hana lolote!
Ila huy kaka anachekesha jemeni
Yote kwa yote ni wivu wenye njaa
Huyo kaka hajitambui ndo maana anajibu asichojua
Eti brand hiv mama martha amgeitoa hiyo mimba mngemjua hata huyo martha yaani mpo kutetea brand ya martha ilihali mama yake analia
Siyo mbeya tu ana wivu na nimnafiki Tena muaji.
Wewe Tonge nyama, kaa ukijuwa familia Walisha kaa chini ika shindikana. Beatrice hana ubaya na Martha anampenda sana ndo maana alilia kanisani Martha aombewe Joan kamroga afunguliwe amkumbuke Mamake mzazi. Beatrice ni msafi wewe unaye zungumza una kasoro nenda afanyiwe maombi
Huna uelewa wewe, Beatrice yuko sahihi kabisa, utasemaje ni umbea wakati wewe siyo mwafamilia? Wewe ndiye mbea sasa maana hata hujui wameabzia wapi
Ww bro kama unasherekea hili swalavipi wewe?
Ana.makosa.uwo.ni.ushuuda ata ni ngekuwa mm.ni ngesema
Kajificha kwenye ushuhuda.mbona asishuhudie matendo mema aliyotendewa na Mungu anashuhudia ya mwenzie anafuraha Gani huko Beatrice aliko?
Mbona unaongea utumbo busara 0
Ndevu tu hanalolote
Pumbavu nyie mnaongea nini sasa, mpaka bite katoka nje inamaana ndani ilishashindikana, huwezi kumsaidia wewe, sisi wengine tutawasaidia kwa maombi, na afadhali katoka nje kuliongea Matha atasaidiwa na maombi huyo pepo mchafu Joan aachie maisha yao
Ameongea ukweli lkn kwanini kutangazia Tanzania nzima huoni kama dada yako atapata aibu ambayo ni aibu yako pia wewe kama mdogo wake?
Watu wafupi Wana shida😅😅
Huyu kaka anafanya serikali ione wavuta bangi hatufai.. Anyway kataa LGBTQ
kunywa soda mi ntalipa...umenichekesha sana..mwishoe wote tunaonekana wahunihapa
Uyu jamaa muongo kajifanya Beatrice kaleta umbeya usiotuhusu ili hali ata yeye anaupenda maana anajua kila kitu na ongea yke tu inaufurahia uo anaouita umbeya.
Kaka umbeya usingekuhusu usingefatilia kiasi iko.
Pia Beatrice hajaleta habari za usagaji ye ameeleza jinsi Martha alivoitelekeza familiya yao kwa hisia za kwamba Joan ndio tatizo.
Uyo mvuta bangi tu,