Ninamheshimu Gamanywa, Sylvester kama mtumishi mwenye Ualimu wenye msimamo,tafsiri sahihi za Biblia,Mafundisho yaliyojaa nguvu za Roho Mtakatifu,Hana udhehebu kila mtu huwa anabarikiwa na Huduma za WAPO Mission,BSIC ambayo ilianza Motel Agip miaka ya 1995-Mkabala na Tancot House ,Pamba Street DSM.
Gamanywa ajifunze kujua nyakati, huu ni wakati wa mwamposa, wengine mmefilisika, kama hujui gamanywa wagonjwa wanapona vipofu wanaona, viziwi wanasikia kwa mwamposa
Hiyo nikweli lengo lake nikuvuruga kwa sababu ata tu alipopewa kusema nikutafuta sheria za kuwabana watumishi wa Mungu Simba chawane waziri alisema angalien mnapotaka kutunga sheria maana maana mnasema ivyo kwa vile Sasa ni wazee na tayari mnamakanisa lakin wakati mnaanza mkiwa mnaanzisha tulikuwa tunawaona mfano kile kipind cha wao kuanza kwann hawakusema sheria zitungwe itakayo ruhusu serekali kuingilia Mambo ya din maana sheria za nchi zipo ambapo mtu akifanya jinai anashitakiwa kwa sheria zetu bila kujali ni mtume nabii asikofu hawa wazee ni wanafiki anatafuta nn kwa mitume na manabii mbona mnapingana Sana na mafuta maji si kila mtu amwabudu Mungu wake kwa njia uliyoichagua leo makanisa yote yananamna ya ibada mabatizo mfano wakatoliki ni wakrsto wanaamin pombe siyo dhambi walutheria wanabatiza watoto ,wewe unachuki Sana tangu
Kutii mamlaka bila kuzingatia misingi ya Neno la Mungu siyo sawa. Ushahidi ni kwamba wapo watakatifu wengi waliopinga tabia zisizofaa za watawala na mamlaka. Hoja tunatii mamlaka katika nini? Akina Daniel hawakutii mamlaka je walihesabiwa hatia?
Tunatii mamlaka kwa mema tu ,mtu alitumia mamlaka kukuambia Yesu sio Mwana w a Mungu sababu yeye Ni kiongozi ,hatuwezi kukubaliana nae,tuna bahati miaka hii ya 2022 Nuru imeenea ,ushenzi wa Karne kuanzia mwaka wa 48- ambapo na Erode waliua wafuasi wa Yesu.Huu ushenzi kwa Tanzania haipo Ila Kuna nchi zingine upo ,kuchoma Biblia na makanisa.Kufia Imani Ni utukufu mkubwa sana,Ufunuo If.5:13--- utaona Wasiomkana Yesu mpaka kuawa wakipokelewa Mbinguni mavazi meupe.
Amina
Nikweli alishiriki ili kuvuruga huyu mzee mnafiki sana

🤔😕
Kutii mamlaka bila kuzingatia misingi ya Neno la Mungu siyo sawa. Ushahidi ni kwamba wapo watakatifu wengi waliopinga tabia zisizofaa za watawala na mamlaka. Hoja tunatii mamlaka katika nini? Akina Daniel hawakutii mamlaka je walihesabiwa hatia?
Hata utawala wa farao ulipingwa na watu kwa sababu ya udhalimu pia hata Mungu aliuangusha