KONGAMANO LA MITUME, MANABII, MAASKOFU NA HUDUMA ZOTE TANO. 7.9.2019 KISENGA HALL
HTML-код
- Опубликовано: 16 ноя 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Asanteni mabishop kwa ujumbe mzuri ndani ya kikao Chenu
I see. Bishop. Gwajima. Mungu akubariki Sana. Umelitendea haki neno la Bwana. Mungu akutunze.!
Gwajima Ni Moto, Ana Neema ya Kufundisha. Yaani masikio na ubongo vinatulia kusikiliza bila shuruti
Nimegundua gwajima ni Mwarim mungu ambark
Msumeno Huo ukijipendekeza Umekwisha Nimebarikiwa Sn Watu Wa Mungu Gwajima Baba Tufundishe Tuponeee Bwana Aseme nasi Tuokokee
💖Gwajima God Bless you.💞💖💝🙏🏾
Maboya 💝
Mwingila 💖
God Bless you all the time.
Manabii na mitume 💞👏👏👏🎉🇹🇿
Namshuru Mungu sana kwaajili yenu nyie ndio mababa nawapenda sana sana Mungu awatunze,,,Apostle Eliya.
can't miss sermon from my Mentor Bishop Njwagima. God protect yu Always In Jesus Name +254
Duuh Gwajima bana.. Kwa kweli mmenifurahisha wazee wangu wote
Amen nakubaliana na Hili Kongamano limenibadilisha Asante sana Viongozi wangu
Josephat mwingira love u my father God bless u dady
Mungu awabariki kwa maono hayo mnania njema nakanisa LA Tanzania natazania yenyewe pia>ombi naomba watafuten na wale was jukwaa lile jingine,fanyen mashauli nao,fanyen tuwe pamoja nao
Asante kwa somo zuri mtumishi wa Mungu Nabii Mwingira
kusanyiko la Mungu bila yeye Mungu kutojihudhurisha kwa uwepo wake huwa tunaita IKABODI. Mbarikiwe kwa kongamano watumishi wa mungu
Yaani BABA MABOYA kila nikikuzikiliza nakuelewa afu nakua kiroho afu napata HEKIMA SANA YA KIMUNGU KATIKA KRISTO YESU BWANA WETU GOD BLEES YOU.
Baba Gwajima, ni moto wa kuotea mbali Mungu awabariki sana wote
Baba kakobe umelikuza neno umekutanisha watumishi wa mungu kwa nguvu asante baba tumefulahi sana NI mwanjo mzuli
Mwingira ww ni hekima ubarikiwe
Gwajima nimekuelewa sana, Barikiwa
Namutukuza Yesu kwa ajili Ya muhingira, kwa maneno ya hikima na baba ngwajima kwa maneno ya ujasiri, wewe ni nguzo ya kanisa , bila kusauu baba yangu kipenzi. Maboya Askiri wa Yesu mtume wa kweli
Mtangaze kristo siyo upako
Gwajima unafaa kuwa baba watunishi wote kwa neema mungu aliyekupa huna kiburi huna majidai unajua kutia moyo unaweza kuwatetea kwa kwa jina LA yesu watumishi na unauwezo wakukabili mambo magumu
GwaJima nakuelewa sana
Nimepata neema ya kusikia viongozi wote wa kiroho kwa umakini mkubwa.Nafikiri jambo moja tukiwa kama kanisa la Tanzania tunahitaji kuomba neema kuu ya kuilewa lugha ya Mungu itatusaidia kuujenga mwili wa kristo.
Ukitaka kunjua mwenye mti ukate ~ Apostle Danstun Maboya
Mzee mwingira da!!! hili somo. dah!!!! basi uinulie zaidi ya hapo?
Amen
Utukufu Kwa Bwana Yesu. Hekima yafaa kuongoza,
Proverbs 29:11 Hallelujah!
JKK Bwana YESU amewatumia NDIO UAMSHO HUU SASA sasa sisi tunamhubiri KRISTO je mnaendeleaje na mafuta, maji, sabuni? BWANA YESU ANAKUJA
Maranata
Soma biblia yako vizuri...
Bishop gwajima amefafanua vizuri juu ya mafunuo na maono..
Be bleseed bishop gwajimA.
Bonyeza link hii kuangalia UZINDIZI WA JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO. ruclips.net/video/b01YKMzpG78/видео.html
Mwingira nakupenda
Huyu baba barikiwe....mitandao hii mmmh
Grace and Glory To God!
Gwajima wakati umepata shida ya ile video wote hao walikaa kimyaaa wakifurahia lkn aliyekusafisha leo una mpiga vijembe!!!!!!!
Umesahau waliokubeba wakati wa dhiki?
Nimesikitika sn sn hata mimi
Hiyo ndo shukrani ya punda, Gwajima anasahau haraka sana
Kwani kuna vita gani mbona unexaggerate vitu ?
Acheni kukuza mambo bana, hivi hapo kuna vijembe gani alivyompiga? Na Kakobe hakumsafisha Gwajima bali Mungu alimtumia Kakobe kumsafisha Gwajima, kama angekataa Mungu angeweza kumtumia mwingine.. Haya ni majira tu yanapita ila mimi naamini hawa watumishi wanapendana sana tu na Mungu atarejesha furaha iliyokuwepo. Ila sisi huku kwenye mitandao tuacheni kukuza mambo, kimya kinatosha
Huyo Dismass sijui mshirika wao ! Yaaan unakuaje mtumishi mwenye chuki hivyo ? Tumeishi na waislamu tunashindwa kukaa wote wakristo ! Usikuze mambo !
Nyie mnataja mafuta, chumvi, magari na majumba ya kifahari lakini sisi tunalitaja Jina la Yesu
Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, kwa sababu ya kutiwa mafuta.
Isaya 10:27
13 Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.
Marko 6:13
14 Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
Yakobo 5:14
(Matendo ya Mitume 19:11) Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;
(Matendo ya Mitume 19:12)hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.
Haya ! maandiko yalikosewa kuwemo kwenye bibi au muniambe!hapahapa.!!? Maana naona kilamtu ana piga vita mafutautta ---
Polen sana wakristo mpoteayo zidi ya waislam
Tatizo huwa si kuzungumza,bali kuzungumza kwa usahihi.Pili ni kuelewa walichozungumza!!!
Huyu Dada amejitahidi kuimba hakuna watu wagumu kama watumishi wa mungu yaan kwanzia kukutunza ningumu kupokea upako ningumu acha kabisa.
Sijaelewa, kabisa mmmh, Mungu anawaona, ila mzee wa upako amenifurahisha, eti majina ni mbwembe tu,
Nice
Mi cjajua bado hili kongamamo ndio lile ambalo nilisikia linaandaliwa na mitume watatu wenye nguvu ya fedha ,wafuasi wengi na wenye ujuzi wa kuongea?
More powerful
Mm nipate usajir wangu
Lisnge kuwa lile,hili lisinge kuwepo,ili kuleta sula halisi fanyen mashauli nao
Kweli Jukwaa la Kumhubiri Kristo limewatikisa vibaya, na bado.
Vita ya nini ,acha utoto kwani tunashindana nin
Utoto ni kuwapinga wanaomhubiri KRISTO na kuanza kuhubiri mafuta na maji.
OK ,endelea tutakutana mbinguni
@@emmynkuu1533 Mbingu ipi bila watu kuhubiriwa ile KWELI iletayo wokovu!!!!
Tusidanganyane, Mbingu ni ya wenye moyo safi na nia njema, na sio wafanya biashara za mafuta na chumvi.
Mutabakia kuwa washabiki hivyohivyo. Tuna angalia Kazi
Tunaheshi kauli ya Mzee wetu /wazee wetu kwamba hatutakiwi kujibu,basi na sisi tunakaa kimya ....sasa nyinyi wengine tumieni vyombo vya habari vibaya,,,kusengenya...sisi wenye busara tunanyamaza ili Yesu ainiliwe..SIO KWAMBA HAO WAZEE hawezi kujibu wanaweza sana ila ukiona mpaka Gwajima kanyamaza ujue,,,,da!!! unahitaji huruma ya ki Mungu.
This is nice
Nobody is perfect , it is only Grace of God
Mwenye kipimo ni Yesu,wewe unae comment ki ushabiki una shida sana,hebu angalia ya kwako na nyumbani kwako inatosha kabisa ...waache watumishi Wa Mungu utajizolea laana kubwa,,,kama wewe humkubali mwingira au gwajima ....nenda kwa unae mkubali mwamini Mungu huko na utsfanikiwa,acheni ushabiki,YESU ndio mwenye vipimo vyote....wewe unaongea ongea tu wakati una shida kibao,,,,acha kuhukumu...kwa maana pia wanatumia maandiko as well...hakuna ambacho kiko nje ya andiko,nadhani kila mmoja ashughulikie boriti yake, usidhanie kuwakosoa watumishi ndio unapata kibali mbele za Mungu hapana!!!! hebu angalia wewe mwenyewe unampendeza YESU??? unaacha kuangalia yako eti unamkashifu mwingira??? una akili kweli wewe??? kuna maelufu na maelufu ambao wako chini ya makanisa Haya kwa mfano!!! mwamposa,gwakima,mwingira INA maana hawa waumini hawana akili,hawamjui Mungu wewe peke yako ndio muelewa si ndio??? unadhani mwingira au gwajima au mwamposa kufika pale ni mkono Wa MTU ??? ni MUNGU ...kwa nini mnamtukuza shetani???
Gwajima umeongea kishabiki ila mwingira amepambanua jinsi ya kumjua nabii wa uongo na wa kweli. Mpaka sasa JKK wamewashinda kwa hoja. JKK wako sawa.
Sawa Amina
Kanisa ni Wakati wakuomba wazee wetu wametangaza vita but Mungu yupo pamoja nao wasiogope
Ametanda mema halelluyah
JKK YESU YUPO Upande wenu songa MBELE na tena MAFUTA, MAJI, SABUNI, MZIDI MSIRUHUSU KWA JINA LA YESU ILI KANISA LA MUNGU LIPONE
mitume tujifunze,huwezi kumuweka wakfu Baba wa Kiroho,Biblia inasema mdogo atambariki mdogo
Amina
Watumishi wa Mungu vueni hizo Pete mnazidi kutupa mashaka
amen dady
God bless all
Amina baba zetu
Jukwaa la kumuhubili yesu
Kweli meza kuu inahak ya kukaa hapo
Mzee WA upako vp tena
Mzee wa upako ume sema vyema wahubiri waseme kweli wasi danganye watu
Well spoken Lusekelo
Jkk
sawa watumishi wa bwana
Ukiona wewe unajiita mzazi halafu huna busara na hekima kama walizo kuwa nazo wakina Mwingira Gwajima na Maboya na wengine,basi wewe sio mzazi ulivamia....mzazi huonya na pia hutanguliza manufaa kwa mtoto ili awe sawa zaidi,,,sasa mzazi anae taka kumuondoa mtoto na kumfunga na kumshitaki kwa wakuu huyo hafai kuwa mzazi.
Napitaaaa tu
Nawapenda sana nyiye watu watatu
Hadi Bendera dahhhh
Mafuta tutakanyaga na mbiguni tunaenda kwanza hauna mbingu wewe
Mmh
Siku Ile sppat picha
3:34:55 🔥🔥🔥
Huyu baba ana maneno yenye Munyu.....abarikiwe.....
Baba yupi Sasa maana wako wengi
Kama na mzee wa upako yumo, hili kongamano ni shida!!!
Dah, kazi mnayo nyie wana kongamano!!!
Jukwaa La Kumhubiri Kristo limewaumbua nyie wote matapeli kazi yenu kujisifia wenyewe
Mnauza mafuta, maji, bangili kwa jina la Yesu
Mnaogopa Raisi atawatoza kodi
Moses Cerulo unamfahamu ? David Oyedepo unamfahamu ? Kula ugali ulale
Shetani amekipata aliyejipenyeza kupitia mafuta, jukwaa la kumhubiri kristo simameni imara ili manabii feki wa mafuta wafyekwa kabisa.
Hallelujah
Amen
Halafu wengi humu wanaonekana hawanafuraha kabisa!!!
Wamo humu kisaikolojia tu!!
Naona kama mkutano wa siasa, hakuna utukufu wa Mungu ndani yake. Lord Have Mercy
@@Holiallen acha kujifanya Unajuwa.....sio lazima useme neno
Wanaogopa kutiwa pingu kama Baba Askofu Mkuu Kakobe alivyowaagiza Rais Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar, Makonda.
@@manassehleonard2879 hahahahah
@@isackjrmedia6781 😂😂😂 jamaa wanaona pingu ziko karibu.
Gwajima, umesahau 'Mzee' huyo huyo, alivyokusafisha 'uchafu' uliotapakazwa kila mahali!? Huna fadhila
Gwajima ,ana njia yake ,kila mtumishi ana njia yake ya kumtafuta Mungu,wewe mwenzangu njia yako ni IPI??? mana unaushabiki Wa kukosoa watumishi Wa Mungu,hivi si utazame njia yako ....tu,,, maana YESU anasema wewe ndio kanisa,sasa hebu jichunguze wewe uko sawa....acha ya watu...mbona humsemi YESU alie mpaka MTU matope na akapona???? sasa kila MTU akae pake
...kama huelewi pa mwenzako hats yeye hakuelewi pia....lipo kanisa ukienda na jeans ni dhambi au kuvaa Pete ya harusi au mwanamke kutovaa kilemba....SaSa na hapo unasemaje??? NIKUSHAURI....hebu Fanya yako...!!!!usije ukakutwa na YESU unakosoa....kaa unapo paelewa...,!!!!
Ukipinga maji na mafuta wewe unamwamini ...YESU..yupi mana yeye alipaka watu mate aliyo changanya na mate na wakaona unasoma biblia gani wewe
Humu naona hadi walevi wamepewa maiki kuhubiri!!
Nimepata neema ya kusikia viongozi wote wa kiroho kwa umakini mkubwa.Nafikiri jambo moja tukiwa kama kanisa la Tanzania tunahitaji kuomba neema kuu ya kuilewa lugha ya Mungu itatusaidia kuujenga mwili wa kristo.
Amen