Nabii Dr Richard Akemea Maaskofu wanaowazuia mitume na Manabii kufanya Huduma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 26

  • @phineking3911
    @phineking3911 4 года назад +3

    I See A Lot Of Wisdom Dady,
    May God Keep On Uplifting You Higher And Higher..
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @eliudserekichristsambassad7395

    Ubarikiwe Apostle

  • @myself4128
    @myself4128 3 года назад +5

    Tatizo Mnauza mafuta na vitambaa na maji na kutabiri maisha ya watu binafsi kama mnapiga RAMLI ndio maana manabii na mitume mnapingwa sana! Mnajivisha vyeo tuu lakini Hamleti watu kwa Yesu! Mmebakia kuongopea waumini tuu na kukusanya hela,

  • @mshangaemmanuel8964
    @mshangaemmanuel8964 2 года назад +1

    Ila mkiacha hzo mambo mm ntawaelewa sana tumien jina la yesu pekee yake muwe na tofauti na waganga wa kienyeji

  • @michaelmaterego2489
    @michaelmaterego2489 3 года назад +5

    HAKUNA WATUMISHI HAPA NI SANAA TUPU HAKUNA UMOJA GIZANI SHETANI KISHA WATEKA

  • @kisimachauzima634
    @kisimachauzima634 7 месяцев назад

    Hakika

  • @apostlemussaonlinetv
    @apostlemussaonlinetv 3 месяца назад

    Nanyinyi mmetutaabisha sana mmedanganya watu wengi acha kutetea wezi ww

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 года назад

    Kongamano la watumish wa Mungu... Baba wa mbingun azid kuwatunza kwaajil yetu

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 года назад +1

    Ninyi Mnaojiita Manabiii vijana Jifunzeni kwa Baba Yenu Nabii Mkuu Tanzania Nabii Geordavie

  • @leahbaatjes4215
    @leahbaatjes4215 2 года назад +1

    Hela tunazo mlizipata wapi? ?

    • @olivajohnkipala1674
      @olivajohnkipala1674 2 года назад

      Manabii wa uongo Mungu alisema mtakuwepo lakini akasema tutawatambua kwa matunda yenu

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 4 месяца назад

    Shida mmekuja na injiri ya kipumbavu ambayo paulo anaita injiri ya namna nyingine. Mmeacha kumtangaza kristo. Mnakuja na injiri ya mafuta ambayo inatukanisha jina la Yesu mitaani. Leo wokovu unatukanwa kila mahali kwa sababu ya injiri ya namna nyingine. Apo hakuna mitume ni waganga njaa tu

  • @rosemrutu9069
    @rosemrutu9069 3 года назад

    Duh nimekosaje hili kongamano jamani

  • @doriskyaruzi7509
    @doriskyaruzi7509 3 года назад

    Ni kweli askofu gwajima Ana ujasiri hata Mimi namkubali

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 3 года назад

    Amen Amen

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 года назад

    Wapo wakweli lakini kunawatu wanawaangusha ni wapiga hera ni wasanii tu

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 9 месяцев назад

    Acheni kumuweka Moses kulola kwenye hilo pango la wanyang'anyi

  • @mshangaemmanuel8964
    @mshangaemmanuel8964 2 года назад +1

    Tatizo lenu manabii mnategemea nyezo ktk huduma na sio jina la yesu,nikiwa na maana kama maji vitambaa keki mafuta chumv udongo n.k sasa daah ndyo maana tunawaogopa na mambo yenu ya ajabu ajabu kama waganga wa kienyeji

    • @michaeldeusdedith1979
      @michaeldeusdedith1979 Год назад

      Habari samahani naweza pata namba yako au chukua yangu 0783179966

    • @michaeldeusdedith1979
      @michaeldeusdedith1979 Год назад

      Nakukaribisha Buguruni tumekusanyika pale wachristo,,Maana wakusanyikapo wawili au wtatu Bwana Yesu Kristo yupo katikati Yao.

    • @michaeldeusdedith1979
      @michaeldeusdedith1979 Год назад

      Neno linalo fundishwa ni Neno ambalo linatoka katika mafundisho ya mitume na manabii wa kwenye biblia sio kitu kingine

    • @michaeldeusdedith1979
      @michaeldeusdedith1979 Год назад

      Wakati umeendelea sana Bwana anarudi na Uwezi kwenda mbinguni bili kupata maonjo ya wokovu,Lazima ukubari Kutubu dhambi zako na kuziacha,ubatizwe ndani ya Maji mengi mwili mzima Kwa jina la Bwana Yesu Kristo.baada ya hapo utafanyika Mkristo Yani Mwanafunzi wa Yesu Kristo.

    • @michaeldeusdedith1979
      @michaeldeusdedith1979 Год назад

      Nitafute namba yangu hiyo muda umeisha