ALLAH ndo kila kitu, kila unalolifanya, lifanye kwa kumtegemea kwa kufuata maamrisho yake na makatazo yake pamoja na mafundisho ya kipenzi cha umma huu Mtume Muhammad(SAW) .Maneno ya watu yasikutishe, kwani ALLAH ndo kila kitu.
Anaongea pasi na elimu bali nmejaribu kuckiliza maudhui yake yote makosa mengi bali mambo anayoongea haleti hoja za kielimu na dalili za kisheria zenye kuunga mkono hayo anayoyazungumza bali ni hawaa tu
Sheikh msema kweli hana kificho anaeguswa na mawaidha yake asichukie ajirekbisha.Allah amuhifadhi inshaAllah-Ameen
m/mungu atujaalie tusikilize ukumbusho na tuufanyie kazi nasio tusikilize na kuyaacha hapa hapa allah atujaalie ishaallah
ALLAH ndo kila kitu, kila unalolifanya, lifanye kwa kumtegemea kwa kufuata maamrisho yake na makatazo yake pamoja na mafundisho ya kipenzi cha umma huu Mtume Muhammad(SAW) .Maneno ya watu yasikutishe, kwani ALLAH ndo kila kitu.
Allah atukunjue nafsi zetu zielekee katika mema na kuyaepuka maovu. Sheikh Hussein Nyundo, Allah akubariq na akuzidishie elimu na imani
Mashallah Kheri Aminy
She nyundo we sema ukweli ucjal maneno ya wanafik Allah ndio atakae kulipa ukiona mtu anakusema ujue yamenuingia mnafiki hyo
Yap
Kiukweli
Allaaah akujalie amalinjema napepo yajuu inshaaallaaah
daawa mpaka kiamaa
MashaAllah, tunaomba utuwekee naengine in shaa Allah
sheee we unaongea ukweli napenda sanaaa ufichi kitu
We noma allah amekupa upeo
Shuq'ran Sheikh Mungu Akuzidishie mmri mrefu ameen thumma ameen
shehe nyundo vp mbona kimya sikuhizi ramadhani imepita bila kukusikia. usituamgushe bwana " dawa mpaka kiama"
sheikh mashaallah ww ni mwanzo mwisho
inauma lakinindiobaw endelea by mwny
Masha allah sheikh unajua mungu akubariki
Allah Akurehemu Sheik
TIENI BREKIIII😂😂😂😂 Jazakallah'kher
sheikh twakuomba uje mombasa masjid azhar guraya tafadhal
sadaqta ya sheikh!
Shehe nyundo balaa
Mawaidha kama haya ndo tunayoyahitaji
ukwel unauma wakshjua hat moy utaum waambie ndio wapatewatulie waache mawio
mashaallah jazakallahu hair
Nyondo namba 1
Ukwel unauma anachokiongea sh nyundo lazm kikuguse thts y imekua ndio sababu ya chuki kwa baadh ya watu
sema sheikh.
MashaAllah
Allahu Akbar. very true
wambiyee haoo
Safiiiii
Sheikh unaongea ukweli tupu
tunaomba namba za shekh nyundo
nice nyundo
shukran
masha Allah
mashallah
Masha Allah
shekhe ww nowmah daawa mda wote unagusa hasa maisha ya watu
Huyu hastahili kuitwa sheikh anaharibu zaidi kuliko kutengeneza pia ana mapungufu makubwa ya elimu ya kisheria na hastahili kufanya da'awa hakika
Pumbafu Qafiri mkubwa nyinyi ndo katika wale
Ahmed Idarusi ww ni mwana ume au baradhuli nn labda ww huja mfahamu
Anaongea pasi na elimu bali nmejaribu kuckiliza maudhui yake yote makosa mengi bali mambo anayoongea haleti hoja za kielimu na dalili za kisheria zenye kuunga mkono hayo anayoyazungumza bali ni hawaa tu
I agree, hana Ayah wala Hadeeth. Lakini Muislam mwenzetu.
Mpumbavu wewe ndohauna elimu sheikh nyundo namba moja kahumpendi chimbachomoujifukie ..nyundo dawa mpakakiam
tob0a
pasua
Mgeni Mkubwa HTML I kola loop a ilk I I'll kooky ikoio
Hahaha!
MashaAllah, tunaomba utuwekee naengine in shaa Allah