LISSU ATEMA CHECHE WAGOMBEA KUENGULIWA NATAKA WARUDISHWE WOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 8

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx День назад +2

    Mbowe anajua kwanini hao wakatwe alijua hamugii mkona mungu atakushugulikia mbowe tunataka tupate wabunge wengi bungeni madiwani mbowe hicho chama siyo kampuni yako lisu na heche wanatosha

  • @emanueljohn-xy7je
    @emanueljohn-xy7je 17 часов назад

    Mungu atatenda lisu ni kiongozi wetu mpya

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 День назад +2

    Mbowe amedhamilia kuua chadema. Inauma sana

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l День назад +2

    Tundulisu akinukishe tuu watanzania wapo tayari watagawana huyo freeman mbowe watu wana hasira wamepoteza maisha pesa nguvu zao mbowe Acha Tundulisu akinukishe tuu ujinga sasa basi huko kukatwa ni mfumo wa ccm ndio.maana tunasema taboa
    Ya ccm lnafanya nn chadema

  • @maase2023
    @maase2023 День назад

    Hii chadema mtihani mtupu bora kihamie huko unguja tu

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 День назад +1

    WAPINZAN WAMETUUMIZA SANA WANANCHI BILA KUJUA WAO NI CCM B

  • @Ibrahimkitela
    @Ibrahimkitela День назад

    Yy anatakiwa atulie, acha katiba ya chama ifanye kazi , kuwa kiongozi Kwa muda mrefu aikufanyi kuwa na sifa ya kungombea , sifa zinajieleza ndani ya katiba

  • @JuhudiNzowa
    @JuhudiNzowa День назад +1

    Mkitaka chama kibaki salama Wawaludishe watu wote waliowakata,tabia za kisisiem mmezikuta wapi.