| BARNAMIJI YA GEREZANI | Catherine Syokau, hukumu ya miaka 15 jela

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 апр 2019
  • Barnamiji ya gerezani leo iko gereza la Lang’ata ambako Catherine Syokau anatumikia kifungo cha miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi mtoto na kumuambukiza ugonjwa wa Kaswende. Je alitenda unyama huo, je anajutia na vipi hatma ya watoto wake sita walio nyumbani Thika pekee yao?
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

Комментарии • 298

  • @anitamueni9251
    @anitamueni9251 3 года назад +22

    Still listening the story we miss you so much auntie we fought for you but let God fight for you

    • @Nasnas945
      @Nasnas945 Год назад

      You miss her na you don't take care of her kids🙄🙄🙄🙄🙄relatives😏😏😏😏😏😏

  • @thomasukira745
    @thomasukira745 5 лет назад +14

    There is God in heaven, and you lulu may your children never lack

  • @ruthkangara9629
    @ruthkangara9629 5 лет назад +6

    Waaaah very painful. I wish we cud be protesting on the roads for people like Syokau to get justice not stupid n' greedy politicians wakati wa elections. I wish there was a paybill no. ya kuchangia hao watoto😓😓😓

  • @vivianachieng1361
    @vivianachieng1361 5 лет назад +19

    I like her confidence because she knows she's innocent. Justice will prevail 😭😭

  • @samgrand5523
    @samgrand5523 5 лет назад +9

    Nimelia kwa uchungu. Hata watoto hawasomi I don't think we have government in kenya coz if we do before she was arrested they could have taken her for medical examination

  • @mutiomonicah9029
    @mutiomonicah9029 5 лет назад +4

    May God see you thor’ so painful 😭😭syokau keep your trust in God he is the final..you’re enemies watakuekea red carpet for you when Gods says YES.

  • @margretakongo1831
    @margretakongo1831 5 лет назад +6

    Pole mama kweli inauma huzuni mno watoto kuishi bila mama mwenyezi mungu akufanyie wepesi

  • @faithfavour584
    @faithfavour584 3 года назад +2

    Am even crying this early morning 😭😭😭ooh my God 😥😥😥😥may just prevail for this lady😭😭😭and the kid.,...aki

  • @shixsteve5705
    @shixsteve5705 5 лет назад +11

    😢😢😢😢This goes to all judges out there ,mumehukumu wengi bila makosa ndio tu mpewe hongo lakini iko siku kila mmoja atasimama mbele ya mwenyenzi mungu nanyi muhukumiwe kwa maouvu yenu. May God 4give u all.

    • @catewambui9528
      @catewambui9528 5 лет назад

      Not only judges but also police officers who only listens to one sided party and sometimes in favour of their status..sad for this mum and her kids

    • @salvatoremathias9043
      @salvatoremathias9043 3 года назад

      Naomba haki itendeke kwadada Catherine syokau watanzania tumeumia Sana

  • @jentam7889
    @jentam7889 5 лет назад +9

    Our God will help You and You will be set free,Chozi lako Mungu ameliona dada🙏

  • @mercynyelele3891
    @mercynyelele3891 5 лет назад +4

    The kids have made me cry.

  • @lenahlesh8337
    @lenahlesh8337 5 лет назад +33

    hii kenya watu wengi wamefungwa bila atia jameni Mungu zaidia Kenya

    • @zuhuramkwayu8988
      @zuhuramkwayu8988 5 лет назад

      Hata TANZANIA

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 лет назад +1

      Haki sisi maskini mungu atusaidie juu wengi sisi akina yahe tunafungwa jela.

    • @favoredh
      @favoredh 4 года назад

      very true

  • @joycesharon1276
    @joycesharon1276 5 лет назад +6

    may justice prevail,,, I can't hold my tears Soo painful!!

  • @niasworld27
    @niasworld27 5 лет назад +10

    I got emotional watching this it’s sad that the kids have to suffer😢

  • @lucynjuguna2240
    @lucynjuguna2240 5 лет назад +13

    😭😭😭😭who is cutting onions here 😭😭😭I feel for the kids

    • @missdee6606
      @missdee6606 5 лет назад

      So sad

    • @joanesotieno6936
      @joanesotieno6936 3 года назад

      There is nothing painful like living without even a single parent yet there is one 😭😭😭

  • @phidiskings5184
    @phidiskings5184 5 лет назад +81

    Kama mtoto alipatikana na syphilis mbona huyo mama hakupimwa aonekane kama kweli alikua na syphilis pia ama hizo virus aki Kenya nikama nchi bado iko stone age kwani hao daktari walipima mtoto hawangepima huyo mama.
    Aki 99%of judges in Kenya are illiterate I mean if we can find the remaining 1%

    • @ciddytrimmu4958
      @ciddytrimmu4958 5 лет назад +3

      Imagine yaani unaweza kushidwa

    • @annahwambui8668
      @annahwambui8668 5 лет назад +2

      Asking myself the same.

    • @asheryissa6100
      @asheryissa6100 5 лет назад +2

      Me nadhani muhim nauyu mama wangemfanyia vipimo watu waach familia zao zateseka bila hatia 😓

    • @googlyeyes1092
      @googlyeyes1092 5 лет назад +1

      I know mahn

    • @chegetheuri222
      @chegetheuri222 5 лет назад +2

      Story kama hii tunafaa kujua prosecution side na mtu alifanyiwa hio kitendo pia ndio tujue nani anasema ukweli but God help her

  • @viviennequentin6653
    @viviennequentin6653 5 лет назад +7

    so sad 😩😩 justice will be prevailed may the Almighty God fight for you

    • @gracewanjiru177
      @gracewanjiru177 3 года назад

      To all judges, hongo yenye munakula at a nyinyi itawakula Siku moja, there are many innocent souls in jail suffering for nothing, but there is God for another Chance atawatetea.

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 года назад +4

    Haki ya mama na mtoto iko wapi?kutoka Tz 🥰Kenya mnakwama wapi?

  • @christopherokongo9199
    @christopherokongo9199 5 лет назад +3

    Where's the civil society in this case? The OCS of that Police Post should have taken her for Medical Check Up to get to the truth. God will judge the false accusers and then Cops. Be strong and trust in God and all will be fine.

  • @shadrackwambua9757
    @shadrackwambua9757 5 лет назад +5

    May God intervene on this matter.

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 года назад +1

    Wallahi can't stop shedding my fiance pia alipelekwa jela na babake kwa kosa lenye hajui ....i felt very sad nilipokua nikimuona jela akiteswa ...OMG Jesus Christ just come back

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 5 лет назад

    YAA ALLAH Wasaidiye waliyo dhulumiwa,Nawanyonge pia mackini mnyoge hana haki watoto wateseka aliye mdhulumu huyo mama atayalipa tu kwani malipo ni hapa hapa duniani pole xana dadangu kunacku hyo machozi yko yatakua faraja tena trust Allah lulu hassan i salute u my siz from saudi Arabia

  • @damarisakoi6714
    @damarisakoi6714 5 лет назад +7

    God remember this woman help him out

  • @sr.salomemwendenthiwa414
    @sr.salomemwendenthiwa414 5 лет назад +4

    My goodness!! This is so so painful..

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад +9

    haki inapatikana mbinguni tu ,,, Duniani uonezi tu na unyanyasaji ,,,watu wanafungwa bila makosa

  • @njorocomedian8551
    @njorocomedian8551 2 года назад +1

    It's so painful 💔..she has a very strong heart ..God intervene

  • @wilfrednyamari7622
    @wilfrednyamari7622 5 лет назад +12

    This is very terrible story. Kenyan court had jailed so many in fake evidence.

  • @juliusmose826
    @juliusmose826 5 лет назад +7

    OMG.
    pole sana mama Aki.
    May God protect you until you finish your case.
    Aki it is painful Aki

  • @haipaabdu3991
    @haipaabdu3991 5 лет назад +5

    Only God who knows why ,so painful story watoto wanateseka bure .

  • @moureenmon7073
    @moureenmon7073 5 лет назад +1

    Pole Sana Dadangu Mungu Yupo Mtetezi Wa Wanyonge its is Well will Come to Pass!!!

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 3 года назад +3

    dah nimelia kwakweli kama mzazi 😭😭😭from tz

  • @sharonokuyo7413
    @sharonokuyo7413 5 лет назад +7

    Ghaii ...Lulu Hassani aki kweli uko na roho ya kuskiza na kuhoji hadi mwisho,mimi ningekua nme 😢😢😢😢 very sad story...just imagine someone ameshikwa juu ya uongo and this is her third year in jail.....yaani watu wana roho chafu kweli...

    • @daudkhatib81
      @daudkhatib81 3 года назад

      Makubwaaaaaaa ukoo. Ndoo. Kujitawala ???????

  • @SuccesRozie
    @SuccesRozie 5 лет назад +14

    It’s called wicked world 🤦🏼‍♀️Now she is in jail for doing nothing wrong🤷‍♀️May God keep protecting her kids🤦🏼‍♀️

    • @emmamutiso5459
      @emmamutiso5459 3 года назад

      Somebody can come from heal to destroy peoples life imagine her children after fifteen years will she find any who can listen to her MAY GOD WHO CHANGES NOT INTERCEDE FOR HER JUSTICE

  • @faithdimplegal8890
    @faithdimplegal8890 5 лет назад +1

    Ooh my God very painful

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 лет назад +13

    Oooh God...wewe ni hakimu wa wanyonge...see this woman😭😭

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 лет назад +1

    Woiyeeee mungu wangu,,,,,,,,pole sana mum

  • @MwendwaMathias
    @MwendwaMathias 3 года назад +6

    This case looks like if it's similar to the other one of Julius wambua Mistaken identity

  • @wadaisy1397
    @wadaisy1397 5 лет назад +3

    Pole sana

  • @mohammedhussein6146
    @mohammedhussein6146 3 года назад +1

    Lulu Allah bless you for all this

  • @annendungu1
    @annendungu1 5 лет назад +8

    May GOD bring justice to all people who are jailed for nothing

  • @limitlesswoman1540
    @limitlesswoman1540 5 лет назад +1

    Wooooi this woman is innocent,I can feel it in her voice

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 5 лет назад

    Pole sana mama eeeeeh serikali ya Kenya na hongo Walah Mungu hatowaacha dunia ina Mwisho. Pole sana mum

  • @evanslugalia4108
    @evanslugalia4108 5 лет назад +1

    As a citizen of this country it pains me to see innocent people languishing behind bars for offences they didn't commit. I plead with the Chief Justice, DCI me the DPP to look into such cases and allow justice to families affected. Pole sana mama

    • @maureenogenga8845
      @maureenogenga8845 Год назад

      Its so sad the lady seems to be innocent if not she wouldnt have gone to the police post... people who are guilty are outside freely abd the innocent ones are behind bar...i hope that one day she will be free

  • @devothamasaki5513
    @devothamasaki5513 3 года назад +1

    😭😭😭 mungu nimsemaji Wa mwisho watoto watakuatu usihofu

  • @alicesamuel4224
    @alicesamuel4224 5 лет назад +10

    Why didn't they have test to syokau for the truth this is so so sad and if you people lied you will never know peace

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 5 лет назад

    Pole mum,inaitwa life,na ukiweka mungu mbele,you will conquer.

  • @kamauwilliamk
    @kamauwilliamk 5 лет назад +1

    This is so sad....

  • @danielmuchiri674
    @danielmuchiri674 5 лет назад +8

    Just imagine congestion in prisons, majority being innocent..,

  • @kiplangatclish7848
    @kiplangatclish7848 5 лет назад +6

    Sorry,read psalms 20:7-8 onwards

  • @rimepeter789
    @rimepeter789 5 лет назад

    It's so painful

  • @user-fj9it6mq4u
    @user-fj9it6mq4u 5 лет назад +3

    Pole mama

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 5 лет назад

    Ooh God soo painful😭

  • @aggieaggie8444
    @aggieaggie8444 3 года назад +1

    So far any news about her?

  • @marynjengah2771
    @marynjengah2771 5 лет назад +19

    All the pple involved will eventually pay
    So sorry mami.
    If that being the case si wangempima aki..

    • @ruthwacira1772
      @ruthwacira1772 5 лет назад +1

      Hii kenya I don't know why pple and police don't think outside the box

  • @sliverbwoy9715
    @sliverbwoy9715 5 лет назад

    Kazi nzurii sster

  • @selvinmakaka4244
    @selvinmakaka4244 5 лет назад +1

    Icant hold my tears..

  • @vivaidaramsy7415
    @vivaidaramsy7415 5 лет назад +9

    So Painful 😢😢But One Day Karma Will Visit Austin And His Aunt

    • @dominicmuthama8708
      @dominicmuthama8708 5 лет назад

      Very true.He who watches over Israel never sleeps nor slumbers

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 3 года назад

    Kazi nzuri sana Lulu Allahbarik dadangu katika imani

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 3 года назад

    Kwakweli hujafa hujaumbika Mungu aingilie kati INAUMA SAANA Bwana tenda muujiza kwa mama huyu arudikelea watoto hadi mmimi machozi yananitoka kwa sana nalia kwa sauti. EE Mungu mwenye rehema ulimtuma mwanao Yesu Duniani aje atukomboe Tunakuomba kwa unyenyekevu mkubwa Mkomboe mama huyu Amina..

  • @atienotonny7046
    @atienotonny7046 5 лет назад +1

    God hear the prayer of ths woman

  • @nancynyutu4091
    @nancynyutu4091 5 лет назад +8

    I got so emotional watching this, so heartbreaking story, we pray for your freedom mama and go take care of your kids wanateseka wooi, mayGod see you through

  • @jacklineondieki138
    @jacklineondieki138 5 лет назад

    So sad what happened to humanity.. wakati uyo mtoto amepatikana na iyo ugonjwa mbona uyu mama hakupimwa.. she is been in prison for 3 years now si angekua a amedie na iyo ugonjwa.. evil world..
    I feel for her children may God hear there cries..

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    i can't hold my tears haki haki itendekeeee sio wote waliofungwa ni haki wingine nikuelekewa mungu ona watu wako

  • @Counsel2580
    @Counsel2580 Месяц назад

    Lulu please do a follow up on this....

  • @justinsbruce
    @justinsbruce 3 года назад

    Ohh my God,so sad, you'll pass through this mummy

  • @Apostlekamau
    @Apostlekamau 4 года назад +1

    GOD is faithful, who saw the plot planned against me 2007,ilifanya nikahukumiwa death sentence,akaona kila mipango na akanitoa huko, ata nyinyi Mungu anaona kila kitu

  • @elizabethmwandoe2426
    @elizabethmwandoe2426 4 года назад +1

    Mungu ndie hakimu tuh,wqnadamu kuoneana

  • @kinyorojohn4759
    @kinyorojohn4759 5 лет назад

    Pole Sana.Mungu Yuko.

  • @njeriwagichuhi2641
    @njeriwagichuhi2641 5 лет назад +1

    Wooooi watoto mungu awalinde

  • @joycewilliam1304
    @joycewilliam1304 5 лет назад

    Surely

  • @saudamanyongo5766
    @saudamanyongo5766 5 лет назад +1

    Inasikitisha Sana kweli

  • @jamilarajabu99
    @jamilarajabu99 3 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu wangu tenda miujiza kwa uyu mama.

  • @everlineandeso822
    @everlineandeso822 5 лет назад

    So painful aky ....Mungu akuonekanie

  • @juoanjuo
    @juoanjuo 5 лет назад

    😭😓

  • @fofomohammed6253
    @fofomohammed6253 5 лет назад

    Pole Sana dada mungu atakusimamia

  • @uncleronny228
    @uncleronny228 5 лет назад

    Pole Sana Mama ,Hawa majaji wengi there metally sick upstairs

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 Год назад

    Mungu wa wanyonge mwingi wa huruma intervene with the Mom's situation in Jesus mighty name mbona wasingempima nae waone kaa ukweli hako na hiyo shida ya kaswende oooh God forbid

  • @danmunesh6233
    @danmunesh6233 5 лет назад +2

    thank you lulu for your report,👍👍👍👍👍👍

  • @zawadimwikali9466
    @zawadimwikali9466 5 лет назад +4

    Very wicked people watching from Lebanon Beirut 😭😭😭😭

  • @wanjaireri3715
    @wanjaireri3715 5 лет назад

    Waaa lulu this stories are so painful aki...

  • @silvanuskitheka3369
    @silvanuskitheka3369 2 года назад

    Pole kwa kuwekelewa MUNGU akupe uhuru wako na pia awafanye washitaki wako wakiri jama yao

  • @marynjeri5911
    @marynjeri5911 5 лет назад

    Pole sana mummy,God will see you through

  • @sharonobwina3195
    @sharonobwina3195 5 лет назад

    have just cried😢

  • @evanschaedirectoreffortcon6264

    Maajabu

  • @orandobenson6023
    @orandobenson6023 5 лет назад

    Pole sana that part with your children imeniguza sana. God is in control of everything

  • @rosemushimuli9311
    @rosemushimuli9311 5 лет назад +2

    Aki Kwan hii Kenya ya cku hizi mnyonge hana haki?

  • @paulinenjoroge7953
    @paulinenjoroge7953 5 лет назад

    Woooi pole sana mum

  • @natashanatasha5936
    @natashanatasha5936 5 лет назад

    So sad.God is with you

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 5 лет назад

    Very sad😥

  • @ahmedalmayahe4461
    @ahmedalmayahe4461 5 лет назад

    Pole sana dadangu

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 лет назад

    Wah mbaya sana

  • @danielkarobia9826
    @danielkarobia9826 5 лет назад +1

    this is sad

  • @estherwairimu4321
    @estherwairimu4321 Год назад

    Our country justice system is rotten, pole sana Syokau,,God is faithful

  • @maureenkhasoa8927
    @maureenkhasoa8927 5 лет назад

    😢😢😢so sad

  • @lucykaranja8751
    @lucykaranja8751 2 года назад

    Mungu akutetee utoke huko ukalee watoto wako it's soo 😥

  • @sarafinaabigael2340
    @sarafinaabigael2340 5 лет назад

    Very sad 😥😢😢😢😢

  • @umm2kujumbe413
    @umm2kujumbe413 5 лет назад

    Sad

  • @mealemalika7565
    @mealemalika7565 5 лет назад

    Aki ni uchungu sana hii kenya yetu ni ya matajiri tu maskini ni mungu tu atatupigania pole mama

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 года назад

    Daa😭😭😭

  • @letygesh8475
    @letygesh8475 5 лет назад

    Too sad y only in our country hongo itapeleka watu motoni sana.Mungu alie watoa Paulo na Sila gerezani muonekanie huyu mama