SHAJARA | Simulizi ya Pauline Kendi ambaye mwanawe aliuzwa na shangazi wake (Part 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024

Комментарии • 155

  • @NaimaNaima-gt8le
    @NaimaNaima-gt8le 23 дня назад +13

    Kuna shangazi wachawi hapa duniani 😢 siwezi judge huyu dem.nimewahi ishi kwa nyumba za watu waukoo najua vile wako na roho mbayaa

  • @babewajeff
    @babewajeff 23 дня назад +6

    Hii story nilisikiliza jana pole pole..God have mercy

  • @45mint
    @45mint 23 дня назад +11

    That auntie should be jailed

    • @lucyoyiela6718
      @lucyoyiela6718 23 дня назад

      She was a big girl mtu wa ID mbona akakubali afumike vibaya hivyo mbona hakwenda kureport

  • @HarrietKhanguha
    @HarrietKhanguha 23 дня назад +6

    Huyo auntie atafutwe and must tell us something

  • @shallyyore9170
    @shallyyore9170 23 дня назад +6

    My heart breaks as I hear this. 😭

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 17 дней назад +5

    Aaaaaaaah😢😢mtu wa form 4 ulikuwa unajua kila kitu mema na mabaya. siungetoroka kwa hio nyumba afadhali uende kwa streets Mungu atume msaindizi ukiwa huko🤦some stories even make me sad

    • @annkim2690
      @annkim2690 15 дней назад +1

      Hilo ndio swali nimejiuliza ama aunt alikua jichawi

    • @Stargate234
      @Stargate234 14 дней назад +1

      Even me I really don't understand, a form4 is a grownup, why didn't she run away and seek help outside, she accepted. I think when the reality hit her hard she now wants to paint her aunty black. A woman living in kibra cannot pretend to be innocent. Kwani This Aunty bewitched her that she was just saying yes to everything like a zombee. She accepted to work with her Aunty, things seems to have gone South between her and her Aunty now she is on a revenge mission. Or this Aunty is in a cult and she bewitched her. Life is spiritual.

    • @margaretnjeri6194
      @margaretnjeri6194 12 дней назад

      But form 4 you were a big gal. I really don't understand

  • @anneotieno8343
    @anneotieno8343 23 дня назад +4

    This is sad.
    God will guide you through mama.

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 23 дня назад +5

    Mimi siwezi namwambia niko mp ngoja niende ninunuwe always ndio kwendanga na siendi kwa aunty ni heri ata nihishi kwa street

  • @adelidenanjekho5995
    @adelidenanjekho5995 23 дня назад +2

    The pain will come when those kids after growing waabze kuuliza mumy who is my father,where is my father 😢😢😢😢

  • @mtanatvshow
    @mtanatvshow 23 дня назад +7

    Kila siku nasema jenga nyumbani ,hii maisha ya mjini ni ngumu

  • @user-mz9qy9di7e
    @user-mz9qy9di7e 18 дней назад +2

    Wenye mnajudge huyu msichana keep in mind life is spiritual, this aunty is a wizard or in acult

  • @rosemarymiriti3134
    @rosemarymiriti3134 23 дня назад +1

    So 😭 😭. This is what is happening in the name of Parties to most of the young girls and boys. God have mercy on us🙏 🙏

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 23 дня назад +3

    Sasa hizi ni gani tena😢😢😢huyu auntie ashikwe mara moja

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 22 дня назад +4

    Yaani hii hata Afadhali kwenda Uarabuni

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 22 дня назад +2

    Hii yako kali kweli kweli. Yaani usingeenda hata polisi na mtu umesoma mpaka 4th form. Halafu unamwambia huyo aunt yako unamwsmbia tu sawa utafanya.

    • @edithabong3561
      @edithabong3561 19 дней назад +1

      Amesema, alienda lakini alikua anaoeana hongo huko na anaachwa

  • @annkim2690
    @annkim2690 15 дней назад +2

    Jamani ama aunt alikua mchawi wakufunga Akili na ufahamu yako nawe ni MTU uliesoma vipi hata kutoroka uende police au Kwa majirani za babayako

  • @adel5270
    @adel5270 21 день назад

    Pole sana

  • @everlynewangechi6557
    @everlynewangechi6557 23 дня назад +4

    Too sad 😢😢😢

  • @estherwamalabe56
    @estherwamalabe56 23 дня назад +1

    Pole dada

  • @ednajepchirchir6530
    @ednajepchirchir6530 2 дня назад

    Wangu nate huwezi mteza.....ntakuchapa Kwa spirit until you give my children peace .

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 19 дней назад +1

    Nimewai sikia hii story long time ago pole dear

  • @milkahkimotho6722
    @milkahkimotho6722 21 день назад +3

    Mimi siezi enda mahali ningepambana na Huyo mwanamke hapa kwa hapa

  • @Christy-he6ry
    @Christy-he6ry 23 дня назад

    Maajabu

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 20 дней назад +1

    It's painful but my question is,,,at that age haungejua baya na nzuri shually?u was an adult 🧑 wa kujiamlia maisha as long as ur not disabled aiii sababu ulikua umeshaa maliza form 4 wee haukua wa primary..nkt..vitu zingine ni sisi ujiletea

  • @dafinesmailo1984
    @dafinesmailo1984 8 дней назад

    Aki mimi ningetoroka niende kuranda randa huko inje.aki nimelia yangu yote.mungu wa mayatima uko wapi aki woiii😢😢😢😢

  • @juliaciuri1171
    @juliaciuri1171 17 дней назад

    Waah pole

  • @user-ly9fd2pc9q
    @user-ly9fd2pc9q 11 дней назад

    Waaaaaàaaah hyu mama ni shetani

  • @irenekhuma
    @irenekhuma 23 дня назад

    So painful 😣😣😣

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 19 дней назад

    Ehee ndo mana watu upenda family ya mama kuliko ya baba ,aki pole sanaa mom

  • @user-ih4ps5po9o
    @user-ih4ps5po9o 23 дня назад +5

    Pole but wewe ulikua na ujinga mtu wa 12 yrs anakaa hata street but sio hii yako

  • @ceciliagits4486
    @ceciliagits4486 23 дня назад +1

    Mungu wangu Aki kumbuka mayatima

  • @carolineachieng7068
    @carolineachieng7068 12 дней назад

    Do this Auntie have kids?My the almighty give me long life to live so that I can take care of my kids.God please have mercy on this lady.

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 21 день назад

    oh my dear pole sana hii ni unyama jamani watu kama hawa ambao wanadhulumu wasichana wachukuliwe hatua kali sana

  • @FlorenceJerop-ct4ru
    @FlorenceJerop-ct4ru 18 дней назад

    It's too painfully to my dear sister

  • @Paul-gi4xn
    @Paul-gi4xn 19 дней назад

    This story is so painfull

  • @SarahLetion
    @SarahLetion 11 дней назад

    Nimeumia sana sana mimi kama mama tumbo linauma sana natamani kupata mawasiliano na yeye

  • @mercykarimi4060
    @mercykarimi4060 20 дней назад +1

    Aiii Kwan ww nawe SI ungekataa 😢 afathali niteseke wueh 😢

  • @kihimageorge6037
    @kihimageorge6037 23 дня назад +9

    I can't imagine a form four lady doing all that,,,you have lived in nairobi before and if it's suffering it could only be for a while before being stable,,,wewe uli encourage evil to prevail upon you,,,

    • @Faithchepo2166
      @Faithchepo2166 23 дня назад +1

      But kama wewe ni yatima ujui mtu yeyote utaenda wapi

    • @passionateloveofchrist694
      @passionateloveofchrist694 23 дня назад +1

      😢😢😢😢😢 sometimes we should not be quick to judge

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred 22 дня назад

      Ni ukweli MTU amemaliza high school is over 18 yrs wa kujisimamia

    • @hadassah3560
      @hadassah3560 22 дня назад

      Got your comment translated. You sound very judgmental and self righteous.

    • @hadassah3560
      @hadassah3560 22 дня назад

      ​​@@Travelwithfred eehe says you the spectator...read about sex trafficking and you'll go figure

  • @brendanafula7105
    @brendanafula7105 23 дня назад +3

    Gai all the way from smart girls

    • @sylviahmuhonja4355
      @sylviahmuhonja4355 23 дня назад

      Hii yote ni uwongo I know her from somewhere

    • @brendanafula7105
      @brendanafula7105 22 дня назад

      @@sylviahmuhonja4355 alaaaah anirudishie machozi yangu

  • @user-ys1ft3qb6k
    @user-ys1ft3qb6k 21 день назад +2

    Wueeh😭😭😭😭Asante Mungu kwa kuweka my parents alive hadi kufikia hapa nlipo wamenilea wao wenyewe,,kukosa wazazi n uchungu sana watu huchukulia watoto wa wenyewe advantage sana,,this is so sad lakini Mungu yupo

  • @serahmuiga8388
    @serahmuiga8388 15 дней назад

    Napeda vile mm ni kichwa ngumu,mm naye heri niede nikaombe chakula watu kwa mtaa,siwezi ,kuwa mgumu sometimes inasaidia sana,hakuna mtu atakutumia vibaya😢mungu tusaidie tulee Watoto wakue vizuri

  • @jerusabasweti7212
    @jerusabasweti7212 12 дней назад

    Where is the world heading to God will puish aunt

  • @VictorHaron-oc6se
    @VictorHaron-oc6se 10 дней назад

    Iyo story iko very painful

  • @Peninah-vr1id
    @Peninah-vr1id 14 дней назад +1

    Huyu aunt anapaa kushikwa napolisi

  • @Travelwithfred
    @Travelwithfred 22 дня назад

    Form4 angekataa....juu mosichana amemaliza high school ni mti wa kujisimamia....huyu naye alikuwa fala walai.waaah....ulijitakia..mtu mzimaa..ulipenda hivo mamaaa

    • @hadassah3560
      @hadassah3560 22 дня назад

      Wait Mr. Expert in life.pray tell us how a young vulnerable girl would on her own tackle life when her sole family is this supportive

  • @floraundisa3688
    @floraundisa3688 21 день назад +1

    Nikama alifurahi kufanya hio KAZI ya kujiuza, mbona hungetoroka ama uriport

  • @favourspapatv
    @favourspapatv 19 дней назад +1

    Maimuna Na Farashuu

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 21 день назад +1

    Aunty ashikwe 😢

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 19 дней назад

    Mhh aisee kuna binadamu wana roho za wanyama😢

  • @christinemongina1851
    @christinemongina1851 23 дня назад +3

    We nawe ..mmmh form four na hauna akili😢

    • @MonicaWambui-fb1zv
      @MonicaWambui-fb1zv 23 дня назад

      Shez not telling the truth tumeishi na yeye kawangware naeza kua skujua past bt chenye ilimtoa uku acha tu I think inafaa wanafanya uchunguzi ya mtu kwanza tumeshangaa kumuona the poor baby

    • @mercymuthoni2940
      @mercymuthoni2940 23 дня назад +1

      Mimi siezi changangia mjinga kama uyu,,,,alikua anadinywa tu na anakaa!!!! Mavi ya kuku!!!

    • @jerkybithe1337
      @jerkybithe1337 21 день назад

      heri nife ma friend.

    • @beatricekimani5472
      @beatricekimani5472 20 дней назад

      ​@@MonicaWambui-fb1zvthank God you know her wee watuni waogo

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 17 дней назад

      Hata mimi imangine story hii bandala niwe sympathetic nimekuwa Sad na yeye. Mtu wa form 4 hajui mema na mabaya?? Anaexplain as if ni mtoto wa class 2 alikuwa anafanyiwa haya 😏😏​@@mercymuthoni2940

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 23 дня назад +7

    kwani ulikuwa umerogwa akili?
    aiii...si ungetoroka. eiiish

  • @pamelakendi8229
    @pamelakendi8229 23 дня назад

    God forbid!

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 3 дня назад

    Mtu unapitia shida na huwezi sema. Ungeambia madaktari ama watu wengine wa karibu

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya 6 дней назад

    Neno lamungu linanena ati ya polini nijini lapesa yahuchawi wahusharati halie tumikia polini kufanya nanihuchawi kwake hamejulikana mungu hasumame kwa polini nawatoto wake kwa husatisi naati yapolini mungu haribu huchawi wajini lahusharati kutumikia kwamafanikiyo lapesa kwa watoto yeyemwenye hatumikowe kwa jini lahusharati kwake

  • @agneskarembo7805
    @agneskarembo7805 23 дня назад +1

    Inahuzunisha

  • @catherinekoki8304
    @catherinekoki8304 23 дня назад +1

    What the hell is this????? Pauline No. You can't be serious. Come on. Is your mind sober???I luck words

    • @hadassah3560
      @hadassah3560 22 дня назад

      Let me guess...you have family support since forever..prolly with an allowance . The question is is your heart human?

  • @vivianimali4781
    @vivianimali4781 19 дней назад +1

    Story za jabs, ohhh, jaba ilikuwa banned mombasa

  • @victorymedia-cw8tz
    @victorymedia-cw8tz 23 дня назад +1

    Huyu antie ni shaitani!!!! sometimes hawa watu wa nyumbani wanaeza tesa watoto wako sana kama hutakua hauko tena.

    • @Tkk1968
      @Tkk1968 20 дней назад

      This girl's has lied to con people.if you want her truth I contact me

  • @annkim2690
    @annkim2690 15 дней назад

    Police ulie msaidia mama huyu mpaka akapata mtoto wake Mungu akubariki popote ulipo

  • @angle3600
    @angle3600 23 дня назад +1

    Mtu umemaliza kidato cha 4 ila utumiwe kama choo kana kwamba uko Saudi,na uko kwa Inchi yenu aaiii huyu alikua amerogwa sio bure .

  • @usiniletee
    @usiniletee 11 дней назад

    At the age of 19 years, kama hakupeleka aunty police, that aunty is a witch. Kuna kitu yenye alikuwa anawekea huyo msichana anachanganyikiwa mpaka hajui hata kuambia neighbors jamani mungu shetani ni mbaya.

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 23 дня назад

    Wee Mungu akusaindie juu wewe haukumwongopa Mungu

  • @Jacintakendi478
    @Jacintakendi478 12 дней назад

    Angetoroka

  • @emmahKK2024
    @emmahKK2024 21 день назад

    It's good to know God even at a young age.The Spirit of God will always guide you and lead you no matter what.

  • @dolphinemokeira6870
    @dolphinemokeira6870 23 дня назад +1

    Hii nayo nigani surely 😢😢

  • @Omusale-vw5te
    @Omusale-vw5te 23 дня назад +1

    Huyu msichana pia alikuwa na ujinga

  • @naomiluseka8736
    @naomiluseka8736 15 дней назад

    Si time ulienda hos ndio ungeelezea shida zako uko na ungesaidika

  • @MonicaWambui-fb1zv
    @MonicaWambui-fb1zv 23 дня назад +1

    Uyu aseme ukweli this is not right

    • @hadassah3560
      @hadassah3560 22 дня назад

      Why is it a femake vuctim of sex traffiking is less believed by women? Could you be the type that blame?

  • @Vel42
    @Vel42 23 дня назад

    Uko na hakika huyo alikuwa sis wa babako ama mpango wa kando wake?

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 23 дня назад

    Bona haukweda police station

  • @lydiapeter8156
    @lydiapeter8156 22 дня назад

    Unaeza ni connect na huyo mama anaitaji mtoti

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 23 дня назад

    Roho ya usherati

  • @user-lw3ne4zu3k
    @user-lw3ne4zu3k 6 дней назад

    Shangazi shangazi mwenywe hana adabu

  • @Vel42
    @Vel42 23 дня назад

    Do you mean saa hii uko 25years ama umesahau miaka?....pole😢😢😢😢😢nakumbuka kulikuwa na jirani wangu mkisii alikuwa anaishi na watoto wake watatu ambao mamao alikufa kitambo na baba alikuwa ameoa msichana wake mmoja na niliwapata red-handed wakifanyanya ngono nikaambia mwenye plot akashtaki huyo mzee😢😢😢cjui kesi kilifika wapi until today.

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 12 дней назад

    Msichana mjinga huyu 😢

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 21 день назад

    Pauline hungetokea Street surely?
    Majirani kwani walikuwa wapi?
    Mungu saidia watoto wako.

  • @Stephen12.
    @Stephen12. 23 дня назад +1

    Nyinyi mlishindwa kufunga hiyo ibilisi ?

  • @victorymedia-cw8tz
    @victorymedia-cw8tz 23 дня назад +1

    hii shinda yote ni mama yake aliaza wakati mama yake aliasha yeye na babake.

    • @angle3600
      @angle3600 23 дня назад

      Hata huyo babake nashuku alilala nae kwa ujinga huuu

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 20 дней назад

    Hata the first guy hungelala nayeye mtu hutoroka na kwenda police station,unaeza hata enda kuishi street,you were a big girl lady...very sorry anyway..the aunty must me arrrested.

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina 15 дней назад

    Aki ata nimwanaume gani huyo ata hana huruma anafurunga tu jamani

  • @Justinabenson-ow8xu
    @Justinabenson-ow8xu 14 дней назад

    Ghai na miaka yako yote hio uwezi enda kuambia may be jirani ama uende station

  • @irinemugambi2048
    @irinemugambi2048 20 дней назад

    Eli kuenda ata street,na uko kibera,c kulikuwa na jirani ungeongea naye,ama utafute job ta nyumba,hapo ulijitumia vibaya pia

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 23 дня назад

    Wee kubali ulikuwa Malaya na shangazi wako.. roho ya unzizi usipoikemea utakufa Sasa..

  • @ElizabethOpiyo-vh3zk
    @ElizabethOpiyo-vh3zk 21 день назад

    Hiyo ni mwongo …

  • @violetingahizu1114
    @violetingahizu1114 23 дня назад

    Sijui watu wanasona kitu hapa??watu tuchunge watoto wetu,SAA Yote ukiondoka Dunia hii,wajue hatadistance relative

  • @nellycheptoo5854
    @nellycheptoo5854 20 дней назад

    We msichana umesoma how did you accept this, n again this kind of awomen shd be arrested

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry139 23 дня назад

    Huyu msichana alishindwa kutoroka huko kwa shetani?

  • @ElizabethOpiyo-vh3zk
    @ElizabethOpiyo-vh3zk 21 день назад

    Huyu ni mwongo

  • @mophinenyaboke8678
    @mophinenyaboke8678 20 дней назад

    Hapana ungetafuta kazi ya umaid form four wewe sio mtoto i blame you baba

  • @b.3940
    @b.3940 23 дня назад

    Hakuna familia isiyo na shangazi mmoja kisirani kwanza dada ya baba ndiyo huwa kali kama pasi ya moto wa makaa.

  • @WamboNene
    @WamboNene 23 дня назад

    That auntie is evil God punished her

  • @user-ih4ps5po9o
    @user-ih4ps5po9o 23 дня назад +5

    In your own country mtu amesoma hata wewe ni mjinga ukifanya na mmoja wa pili ungetoroka utafute kazi ya nyumba

    • @elvinzihuramyezihuramye3939
      @elvinzihuramyezihuramye3939 23 дня назад +2

      💯✅️, talk to the men to pay her, next time,then take off. A form four with C????

    • @mercymuthoni2940
      @mercymuthoni2940 22 дня назад

      Watu watakataa kusaidia sasa,,,,this is not a serious matter!!!!!

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 20 дней назад

    That background photo is the worsed ever

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 23 дня назад

    Wee ni fala ukona akili na unaelewa

  • @kihimageorge6037
    @kihimageorge6037 23 дня назад +2

    Hata wewe ni muuaji

    • @estherwamalabe56
      @estherwamalabe56 23 дня назад

      Aliua nn ama ni njaa inakusumbua huwelewi story saitani

    • @beatricekimani5472
      @beatricekimani5472 20 дней назад

      ​@@estherwamalabe56she killed her daughter tuulize wenye tuna mjua

  • @annekayi273
    @annekayi273 23 дня назад

    Non sense ugetumia akili asaidike na watu huwezi teswa hivio na unanyamaza pinga duru usaidiwe na watu

  • @alicekhatsika1491
    @alicekhatsika1491 20 дней назад

    Eish!!!!! Rashid umedanganywa!!!!!! I know this woman!!!! The only truth she has said is that the Dad is dead. Everything else 🙆🏻‍♀️😳🥱🥱 LIES!!!!!!

    • @user-hk9jp1kw7u
      @user-hk9jp1kw7u 20 дней назад

      Hakuendangi hivyo, wachaneni na yy Hata kaa mnakjua

  • @lydialuttah7288
    @lydialuttah7288 23 дня назад +1

    Huyu msichana ako na akili mzuri kweli. Ata mtoto wa 12yrs haezi ka zuzu hivo

  • @beatricekimani5472
    @beatricekimani5472 21 день назад

    Kendi you can lie mtoto wako first born ni msichana mamako Yuko hai Yuko Western nawatoto wako wawili uliwakibia uko hapa Nairobi na watoto wawili mmoja uliua juu yakupata mwanaume ulikua unaishi nayy amerundi kwa bibi yake uligogesha kwa mbao ya kitanda sema brayo ninani junzi ulikua umetupa wapi huyo mtoto mdogo hadi akapelekwa children's home kendi mumezaliwa vijana tatu na wasichana wanne pamoja na wewe mbona unaua wazazi wako.

    • @muthonidmbaa7100
      @muthonidmbaa7100 21 день назад

      Beatricekimani are you her aunt or?

    • @alicekhatsika1491
      @alicekhatsika1491 20 дней назад

      At least there's someone who knows this lier. We are neighbors with the brother. The Dad died the mother is a life Ako ushago. Weeeeeh Kendi for real. Nairobi shamba la mawe.

    • @beatricekimani5472
      @beatricekimani5472 20 дней назад

      B​@@alicekhatsika1491nakwabia this lady can lie oooh watu wachuguzwe kama story zao ni real wanafanya wenye wako na mahitaji wakose usaidizi aki kendi God is watching you unaua mamako na Yuko hai.

    • @beatricekimani5472
      @beatricekimani5472 20 дней назад

      ​@@muthonidmbaa7100nope bt I know her in and out am a family friend to them

    • @sylviahmuhonja4355
      @sylviahmuhonja4355 19 дней назад

      Na hata akiua matoto tulikuwa plot moja na wakafunikia

  • @haggarhaggai9522
    @haggarhaggai9522 11 дней назад

    🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤬🤬🤬🤬🤬🤬😡😡😡😡