Good narration! Ila naomba kama itawezekana mtuandalie makala inayo onyesha kwa namna gani kuvunjika kwa jumuiya ya afrika madhatiki ili adhiri mambo mengi hapa Tanzania hawa kiuchumi
Story mzuri sana.inamafunzo makubwa kwa watu wenye asili yakisiwa cha pemba,wapemba ndiyo wasomi wakubwa kwenye historiya ya tanzania sio zanzibar.kwaiyo wanajuwa kwamba hawa watu nilazima tuwazibiti tusiwape hata nyafasi ya maamuzi makubwa yakuleta usawa kwa kila nchi husika ya muungano wa tanzania
Kuna ukweli hauja semwa kwenye simulizi hii labda ya kuogopa mataifa makubwa au kutofahamu vizuri kwa mtoa simulizi kama unataka kufahamu zaidi nitafute au mtafute mwandishi nguli Ahmed Rajabu
Moyo na natepe ,salim amour upemba wa baba yake ulimpomnza na sio yeye tu na hata maalim ni vilevile ,si tunajua zaman kua hatuna nafasi kwenye nch hii
Haikua sahihi Basi tu, style ya uongozi wa Salim Ahmed Salim labda ingetuletea maendeleo Zaidi kuliko uongozi wa mwinyi,Salim alikua connected Zaidi kuliko mwinyi!!, lakini mwisho wa yote no more Hakuna atakae ishi mile.
Hukuwa uchaguzi huo, ulikuwa uteuzi. Kama hakuna mpinzani, huo ulikuwa uteuzi. Na Tanzania ilikosa nafasi nzuri ya Salim kuongoza, maana alikuwa na upeo zaidi wa kuwa dunia ya nje ya nchi inalekea wapi.
Busara zilikua ni sehemu ya karama kubwa ya uongozi aliobarikiwa Mwalimu Nyerere....ilikua ni nadra kupata damu kama Nyerere katika kizazi kile na cha sasa cha Africa
Akawa Naibu Waziri Mkuu,Waziri wa Mambo ya Nje,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...Kazi ya Mwisho ni Ukatibu Mkuu wa OAU kisha AU...akarudi na kuwa Raia..kwa sasa afya yake siyo nzuri sana.
@@wechemakambo2182Unachanganya mambo.Baada ya kukosa Urais na Mwinyi kuchukuwa hiyo nafasi,Salim alikuwa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi na baadaye akachagulia kuwa katibu mkuu wa OAU/AU na Akaenda Adis Ababa kwa kazi hiyo mpaka alipostaafu na kurudi nyumbani. Kabla ya hapo alikuwa balozi kwa miaka mingi ,akagombea pia nafasi ya katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa lakini Marekani wakamkataa kwa kura ya veto.Nyerere akamrudisha nyumbani akamchaguwa kuwa waziri wa mambo ya nje na baadaye waziri mkuu
Nyelele alilazimika kujuhuzuru kwani nchi kama ilimshinda, kwani mwaka 83 nguo sabuni na sukali havikuwepo madukani ,kwani kulikiwa na maduka ya ujamaa na arat c
Kazi mzuri zungu,sio wakati wa Tanganyika hapo umekosea❤❤❤🎉🎉
Inaonyesha Nyerere alivyotanguliza maslahi ya taifa kuliko binafsi💪👏
Mtangazaji umedanya, Nyerere hakuamua kuachia urais nchi ikiitwa Tanganyika
Inabidi usikikilize kwa umakini. 1985 hakukuwa na nchi ya Tanganyika na hakuna mahali simulizi inaseme hivyo
Very interesting 👏👏; Charles 100%, Zungu 100%. Makala nzuri sana 👏👏👏
Kazi nzuri sana
Sana wazee wa mitulinga. Nawakubali sana yani
Kszi mzuri sana
Salem Ahmed alikuwa hodari na mwenye focus kubwa.
Nyerere alikuwa na busara na hekima kubwa.Mwenyezi Mungu amjalie Pepo Njema
It's really impressive!
Day2News watu wa maana kabisa
Big up for unbiased comment 🙏
Napenda kiswahili chenu kwa lafidhi safi ya kimrima. Raha tupu kukusikilizeni. Sio jamaa zangu ambao r na l shiiiidah!!!
Mko vema
Good narration! Ila naomba kama itawezekana mtuandalie makala inayo onyesha kwa namna gani kuvunjika kwa jumuiya ya afrika madhatiki ili adhiri mambo mengi hapa Tanzania hawa kiuchumi
Story mzuri sana.inamafunzo makubwa kwa watu wenye asili yakisiwa cha pemba,wapemba ndiyo wasomi wakubwa kwenye historiya ya tanzania sio zanzibar.kwaiyo wanajuwa kwamba hawa watu nilazima tuwazibiti tusiwape hata nyafasi ya maamuzi makubwa yakuleta usawa kwa kila nchi husika ya muungano wa tanzania
Kwahiyo huyu mama yupo sawa?
Kwa nini sasa Pemba maisha yako nyuma? Kama ni wasomi?
Wazanzibar hawskumtaka Dr. Salim coz walikuwa wakiamini hana dini. Means hamini uwepo wa Mungu.
una sauti nzuri sana kaka kelvin aka zungu
Alikuwa na kl haki ya kuwa raisi wa tanzania lkn ndio hvy tena rangi ilimponza
Nani rang ilimponza
Comrade Salim alikuwa na sifa zote za urais ila alikuwa mwarabu tuu na Zanzibar hatakiwi mwarabu mpaka leo!!
Kawawa c mpigania uhuru wa Tanganyika no,no,no,no,😢
Kuna ukweli hauja semwa kwenye simulizi hii labda ya kuogopa mataifa makubwa au kutofahamu vizuri kwa mtoa simulizi kama unataka kufahamu zaidi nitafute au mtafute mwandishi nguli Ahmed Rajabu
Cooked Scenario's. You can never know the secrets beyond the presidency Chair...
Moyo na natepe ,salim amour upemba wa baba yake ulimpomnza na sio yeye tu na hata maalim ni vilevile ,si tunajua zaman kua hatuna nafasi kwenye nch hii
Walichemka sana pengine tungekuwa mbali sana kimaendeleo raisi angekuwa salim
Sawa
Haikua sahihi Basi tu, style ya uongozi wa Salim Ahmed Salim labda ingetuletea maendeleo Zaidi kuliko uongozi wa mwinyi,Salim alikua connected Zaidi kuliko mwinyi!!, lakini mwisho wa yote no more Hakuna atakae ishi mile.
Nakupa Pongezi kubwa kwakutupitisha katika Histori hii,
Salim Ahmed Salim
Our flag at the United Nations
Hukuwa uchaguzi huo, ulikuwa uteuzi. Kama hakuna mpinzani, huo ulikuwa uteuzi. Na Tanzania ilikosa nafasi nzuri ya Salim kuongoza, maana alikuwa na upeo zaidi wa kuwa dunia ya nje ya nchi inalekea wapi.
1985 nchi ilikua ikiitwa Tanzania na sio Tanganyika.
Ndivyo simulizi inavyoeleza. Sikiliza kwa umakini.
Acha ubishi sikiliza ulivyo sema
Akili zako chenga kweli daah
Busara zilikua ni sehemu ya karama kubwa ya uongozi aliobarikiwa Mwalimu Nyerere....ilikua ni nadra kupata damu kama Nyerere katika kizazi kile na cha sasa cha Africa
Kwamba nyerere hakujua mauaji ya rais wa kwanza zanzibar 😂😂😂😂
Ubaguzi tuu
Walau nimepata platform kunijuza kuhusu historia ya Tanzania
Mhuuuuu sifien tu
Msimuliaji kachapia kwa mwaka huo tulikua na Chama Cha TANU
Hawa hawataki waarabu sijui wanachuki gani na waarabu baniani mbaya kiatu chake dawa hawapendi lakini missada wanaitaka
Nyerere alikuwa kiongozi Alie tukuka hata mama Samia ni kiongozi mzuri saana ni wasaidizi wake
Sio misimamo bali ni chuki kuwa yeye ana asili ya kiarabu
sasa utampa mwarabu nch
@@Ufunuo97Pumbavuu wewe Ubaguzi Huo ndio maana Wazungu wamewaita Manyani Meusi yanayoishi Tanzania Pumbavuu nyie
@@nasseralhatmi1762 unajua maana ya mpumbavu, maana mpumbavu ni wewe usiye na point
@@nasseralhatmi1762 kwan na ww ni mwarabu😂
@@personpeter2221kwani wewe unafikiri mimi ni Nyani jeusiiiiii unaoishi Tanzania Pumbavuu wewe 😂😂😂😂😂
Sawa wangu usiwaze hamna shida
Kuna watu walitakiwa kung'atuka ata kabla ya wiki kuliko kung'atuka mwalimu
Alikuwa na Ubaguzi wa hali ya juu na huko walioko wakabaguwe
Hakupenda kuwapa madaraka watu wa Kilimanjaro na Arusha
Kwahiyo Dr salim akaishia wapi
Akawa Naibu Waziri Mkuu,Waziri wa Mambo ya Nje,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...Kazi ya Mwisho ni Ukatibu Mkuu wa OAU kisha AU...akarudi na kuwa Raia..kwa sasa afya yake siyo nzuri sana.
Walimuchafu kuwa alihusika kuua karume
Uarabu Tu huo,rangi ndio iliyomponza
@@benjaminmiselya2622Nani yule MR. X aliyetajwa kukhusu Kifo cha Karume?
@@wechemakambo2182Unachanganya mambo.Baada ya kukosa Urais na Mwinyi kuchukuwa hiyo nafasi,Salim alikuwa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi na baadaye akachagulia kuwa katibu mkuu wa OAU/AU na Akaenda Adis Ababa kwa kazi hiyo mpaka alipostaafu na kurudi nyumbani.
Kabla ya hapo alikuwa balozi kwa miaka mingi ,akagombea pia nafasi ya katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa lakini Marekani wakamkataa kwa kura ya veto.Nyerere akamrudisha nyumbani akamchaguwa kuwa waziri wa mambo ya nje na baadaye waziri mkuu
Mtangazaji ni kukumbushe mwaka 85 haikuwa Tanganyika Bali ilikuwa tanzania
Huwa wanajisahau tu
🎉
Kapumzike mzenyerere
👊👍✌️.
Mwalim, alijenga usawa wa binaadam, umoja wa Tanzania, lakini aliiacha nchi papaya sana kiuchumi na miundombinu.
Nyelele alilazimika kujuhuzuru kwani nchi kama ilimshinda, kwani mwaka 83 nguo sabuni na sukali havikuwepo madukani ,kwani kulikiwa na maduka ya ujamaa na arat c
Wewe hujafuatilia unachoongea
You have to do a thorough research before deceiving people...
Ok he is deceiving us
naona video fupi lkini nazipenda sana nyimbo hizi
Watu kama kawawa wapo hii dunia kweli??? Yuko hai kweli?
Alifariki zaidi ya miaka 15 iliyopita
😅