G 7 YA ACT WAZALENDO YAVUNJIKA VIPANDE, MUASISI AKIMBILIA CCM,ATAJA MAKUBWA YALIYOMSHANGAZA.
HTML-код
- Опубликовано: 16 ноя 2024
- G 7 YA ACT WAZALENDO YAVUNJIKA VIPANDE, MUASISI AKIMBILIA CCM,ATAJA MAKUBWA YALIYOMSHANGAZA.
=========
⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blog...
⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1
⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( +255 715 401610), ( +255 773 401610)
⚫ Email: sknews.info@gmail.com
⚫ OUR PLAYLISTS:
⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ
⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47
⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4 - Развлечения
Maendeo ni kupata ajira ili tuweze kupata mahitaji na ccm wameshindwa kuwapa watu ajira wanatumia hadaa kuwavisha weziwao nguo za zambarau ila wamependeza kuvaa hizo nguo hatuhadaiki ondosheni kodi mara mbili
Kama hutaki kulipa kodi hama nchi mzee uwende huko wasikutolesha Kodi
Kavunjika yeye G7 ACT tuko makini sana. DUU MSUKULE UMEHAMIA CCM
Haya ila kwa kila mwenye damu halisi ya kizanzibar bari basi ccm nichama cha watanganyika sio wazanzibar wazanzibar tutampa omo kura zatu sio mwinyi
Ah haya marazi jamani yanini ccm tafuteni wanachama wakusaidieni nasio mizigo km huyo mama
Ajira hamuna zamani ilikua odal raha wana hukuliwa wat tele lkn tang aingie mwinyi dah kila kitu kimebanwaa wallah allah atupe salama
bibi mlevi huyooo 😂😂 kwa walevi wenzio hapo ndo unapostahiki kuwepo
hakika
Kama ni kweli basi nawapa challenge CCM wekeni tume huru ya uchaguzi mwaka 2025 ndio mtajua ukweli wa mambo sio kudhulumu
DR MWINYI HATA FURAHA HANA, MAANA ANAJUA UKWELI ULIVYO. KAZI KUPANGUSA MIDOMO TU KAMA TEJA🤣🤣🤣
😂😂😂 ila furahia kwa anachokifanya na huo anatamani atoe Asante kwa sauti ila protocol inazingatiwa ,Hana wasiwasi Daktari Wazanzibari walio wengi wanaona anachokifanya sio cha kuhadisiwa MashaAllah Piga kazi Daktari Wazanzibari walio wengi wapo na wewe, InshaAllah 2025 Wanakupa miaka 5 mengine InshaAllah
@@R10_RajabHajawahi pewa wala hapewi labda adhulumu tena
@lusakaone7782 Ila ndio Raisi
@@R10_Rajab kwa hiyo wewe unaunga mkono dhulma
@@R10_Rajab Usiangalie dunia tu, pigania haki za maskini, hata hao CCM wengi hahe hohe ila hawajitambui, hawana maisha wengi wao, wana Fata mkumbo tu. Zinduka 2025 OTHMAN MASOUD NDIO SULUHISHO
Tamaa kashaon umri wake go anajipelek ccm ili apewe pesa akifa familia yake ipate kuomba mnfki mkubwa huyu mama utazima moyo ufe uwende kaburini mbwa wew
Mtasuri Sana tuuu
Naona ushazeeka kwwndazakohuko
tunataka uchaguzi huru na haki wazalendo wanaweza ccm jecha hayupo
Mara hii munashinda na mwiny anapendwa bas wekeken tume huru ya uchaguz uchaguz wa haki
hao niwanafiki tu wala hakuwa act. njaa. hiyo inamsunuwa bwa huyo
Wametoka zanzibar wote pemba hakuna ccm km hao 😊
Mwache aende sisi wenyewe pia hatumtaki. Tulikua tunamtafutia sababu tu tumfukuze.
Ni bora alipoondoka Act huyo angalikuleni nyote
Mpemba gani anavaa mawigi waleteni ao wabongo tu
We bibi lana tu usidanganyike na Barbara hujielewi
Unanjaaa ww huna pesa y kula mwany km uchochoro
Hunalolote njaa kama mimitu mdomoumechonga uo
G7 wacha uongo huo. Ahmed kakudanganya kwa vijipesa maana unadàiwa kama chizi. Arafa ukamshawishi nani huachi. Haja yako ni huyo rais tu. Wako wapi hao walòhamia ccm ?
Tusubir tuone