SK Online TV
SK Online TV
  • Видео 554
  • Просмотров 852 277
MBETO ACHOSHWA NA KERO ZA WANANCHI, AMPIGIA SIMU LIVE KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA KUTOA MAELEKEZO
=MBETO ACHOSHWA NA KERO ZA WANANCHI, AMPIGIA SIMU LIVE KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA KUOA MAELEKEZO
============
⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/
⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1
⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( +255 715 401610), ( +255 773 401610)
⚫ Email: sknews.info@gmail.com
⚫ OUR PLAYLISTS:
⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ
⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47
⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
Просмотров: 74

Видео

MBETO: MARA HII TUTAANZA NA WEWE, HATUTAKUACHIA KAMWE IKIWA UTAHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI 2025
Просмотров 712 часа назад
=MBETO: MARA HII TUTAANZA NA WEWE, HATUTAKUACHIA KAMWE IKIWA UTAHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI 2025 ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl...
MBETO HAKAMATIKI, AWACHANA ACT WAZALENDO KUA WAMEISHIWA KISIASA WANASUBIRIA MATUKIO TU WATOE WARAKA
Просмотров 38512 часов назад
MBETO HAKAMATIKI, AWACHANA ACT WAZALENDO KUA WAMEISHIWA KISIASA WANASUBIRIA MATUKIO TU WATOE WARAKA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: short...
MBETO AUWASHA MOTO KWA WAPINZANI, ATUMIA DAKIKA 30 KUWACHAMBUA, ATAKA WANANCHI WAWE MACHO
Просмотров 26412 часов назад
=MBETO AUWASHA MOTO KWA WAPINZANI, ATUMIA DAKIKA 30 KUWACHAMBUA, ATAKA WANANCHI WAWE MACHO ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
CCM HAIPOI, YAJIBU TUHUMA ZA ACT WAZALENDO KUFUNGWA UWANJA WA AMANI NA GOMBANI.MBETO AFAFANUA VYOTE
Просмотров 3 тыс.16 часов назад
CCM HAIPOI, YAJIBU TUHUMA ZA ACT WAZALENDO KUFUNGWA UWANJA WA AMANI NA GOMBANI.MBETO AFAFANUA VYOTE, AWATAKA WAACHE KUZUNGUMZA MAMBO WAIYOYAJUA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MA...
G 7 YA ACT WAZALENDO YAVUNJIKA VIPANDE, MUASISI AKIMBILIA CCM,ATAJA MAKUBWA YALIYOMSHANGAZA.
Просмотров 3,4 тыс.День назад
G 7 YA ACT WAZALENDO YAVUNJIKA VIPANDE, MUASISI AKIMBILIA CCM,ATAJA MAKUBWA YALIYOMSHANGAZA. ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/...
MAAJABU YA DR ALIYOYAFANYA PEMBA KATIKA MIAKA MINNE YA UONGOZI WAKE, MKUU WA MKOA AYAWEKA HADHARANI
Просмотров 320День назад
=MAAJABU YA DR ALIYOYAFANYA PEMBA KATIKA MIAKA MINNE YA UONGOZI WAKE, MKUU WA MKOA AYAWEKA HADHARANI ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shor...
IKULU MTAISKIA TU 2025, HAMUWEZI KUIPATA HATA MKIENDELEA KUFITINI SERIKALI YA DR MWINYI
Просмотров 428День назад
=IKULU MTAISKIA TU 2025, HAMUWEZI KUIPATA HATA MKIENDELEA KUFITINI SERIKALI YA DR MWINYI ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
WANACHAMA WENGI WA ACT PEMBA TUTAWAPOKEA CCM NA DR MWINYI NDIE UTAKAE WAPOKEA: MHE HEMED
Просмотров 204День назад
=WANACHAMA WENGI WA ACT PEMBA TUTAWAPOKEA CCM NA DR MWINYI NDIE UTAKAE WAPOKEA: MHE HEMED ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
DAKIKA 12 ZA HOTUBA YA DR MWINYI PEMBA KATIKA UZINDUZI WA KIJANA NA KIJANI NA MAADHIMISHO YA MIAKA 4
Просмотров 398День назад
=DAKIKA 12 ZA HOTUBA YA DR MWINYI PEMBA KATIKA UZINDUZI WA KIJANA NA KIJANI NA MAADHIMISHO YA MIAKA 4 ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: sho...
NAIBU: USHINDI WA DR MWINYI 2025 HAUNA MBADALA WAKE, TUNAKWENDA KUMUONGEZA MIAKA MITANO MENGINE
Просмотров 400День назад
=NAIBU: USHINDI WA DR MWINYI 2025 HAUNA MBADALA WAKE, TUNAKWENDA KUMUONGEZA MIAKA MITANO MENGINE ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl...
CCM ZANZIBAR YAMPONGEZA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ,SASA WATAKA AUNGANE NA DR MWINYI KWENYE HILI
Просмотров 4,1 тыс.День назад
=CCM ZANZIBAR YAMPONGEZA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ,SASA WATAKA AUNGANE NA DR MWINYI KWENYE HILI ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl....
MBETO AVUJISHA SIRI NZITO YA WATU WA ACT PEMBA KUKIMBILIA CCM, ASEMA KUNA WENGI WANAKUJA
Просмотров 4,5 тыс.День назад
MBETO AVUJISHA SIRI NZITO YA WATU WA ACT PEMBA KUKIMBILIA CCM, ASEMA KUNA WENGI WANAKUJA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
OMO HANA MVUTO WA KUSHINDANA NA DR MWINYI 2025, MAALIM SEIF NDIE ALIYEKUWA NA MVUTO SIO HAO WENGINE.
Просмотров 927День назад
OMO HANA MVUTO WA KUSHINDANA NA DR MWINYI 2025, MAALIM SEIF NDIE ALIYEKUWA NA MVUTO SIO HAO WENGINE. ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shor...
MBETO: HUKU PEMBA WAKO WENGI ACT WANAOTAKA KUHAMIA CCM, MUDA UKIFIKA WENYEWE MTAJIONEA
Просмотров 422День назад
MBETO: HUKU PEMBA WAKO WENGI ACT WANAOTAKA KUHAMIA CCM, MUDA UKIFIKA WENYEWE MTAJIONEA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
NIMECHOKA KUBURUZWA ACT WAZALENDO, NIMEHAMIA CCM KWA KAZI NZURI YA DR MWINYI
Просмотров 2,3 тыс.День назад
NIMECHOKA KUBURUZWA ACT WAZALENDO, NIMEHAMIA CCM KWA KAZI NZURI YA DR MWINYI
ACT WOTE TUTAHAMIA CCM, HATUNA SABABU YA KUBAKI UPINZANI WAKATI MWINYI KAFANYA MAKUBWA: MWENYEKITI
Просмотров 851День назад
ACT WOTE TUTAHAMIA CCM, HATUNA SABABU YA KUBAKI UPINZANI WAKATI MWINYI KAFANYA MAKUBWA: MWENYEKITI
MNA MAKAMO WA KWANZA,MNARUZUKU MBONA HAKUNA HATA KIDOGO MNACHOKIFANYA: MHE ZAWADI ARUSHA DONGO ACT
Просмотров 2,1 тыс.День назад
MNA MAKAMO WA KWANZA,MNARUZUKU MBONA HAKUNA HATA KIDOGO MNACHOKIFANYA: MHE ZAWADI ARUSHA DONGO ACT
DAKIKA 16 ZA MBETO KUIPASUA ACT WAZALENDO PEMBA, ATANGAZA MAZITO WANAYOYAFANYA MBELE YA WANANCHI
Просмотров 1 тыс.День назад
DAKIKA 16 ZA MBETO KUIPASUA ACT WAZALENDO PEMBA, ATANGAZA MAZITO WANAYOYAFANYA MBELE YA WANANCHI
CCM YATOA TAMKO ZITO KUJIBU BARUA YA ACT WAZALENDO, MBETO AWATAKA WANANCHI WASIKUBALI KUDANGANYWA
Просмотров 6 тыс.14 дней назад
CCM YATOA TAMKO ZITO KUJIBU BARUA YA ACT WAZALENDO, MBETO AWATAKA WANANCHI WASIKUBALI KUDANGANYWA
ALI KAMWE APAGAWA NA UFUNDI WA PAKOME, ATANGAZA RASMI MSIBA WA AZAM JUMAMOSI
Просмотров 7414 дней назад
ALI KAMWE APAGAWA NA UFUNDI WA PAKOME, ATANGAZA RASMI MSIBA WA AZAM JUMAMOSI
SHABIKI WA SINGIDA ATAKA VITA NA MASHABIKI WA YANGA
Просмотров 10114 дней назад
SHABIKI WA SINGIDA ATAKA VITA NA MASHABIKI WA YANGA
SHABIKI WA SIMBA AHAMIA YANGA KISA BAO LA PAKOPE, ZANZIBAR
Просмотров 7714 дней назад
SHABIKI WA SIMBA AHAMIA YANGA KISA BAO LA PAKOPE, ZANZIBAR
YANGA WAITANDIKA SNGIDA BLACK STARS 1
Просмотров 6214 дней назад
YANGA WAITANDIKA SNGIDA BLACK STARS 1
GAMOND AUWASHA MOTO ZANZIBAR, AAHIDI MAKUBWA DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS
Просмотров 11314 дней назад
GAMOND AUWASHA MOTO ZANZIBAR, AAHIDI MAKUBWA DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS
MAAJABU YA SOKO LA KWEREKWE
Просмотров 16221 день назад
MAAJABU YA SOKO LA KWEREKWE
DR MWINYI: SITAWAJIBU WAPINZANI KWAMANENO, NITAJIBU KWAVITENDO
Просмотров 14921 день назад
DR MWINYI: SITAWAJIBU WAPINZANI KWAMANENO, NITAJIBU KWAVITENDO
ACT WAZALENDO HAKUNA WANACHOJUA ZAIDI YA KUENEZA SIASA ZA UBAGUZI: NAIBU KATIBU MKUU CCM ZNZ
Просмотров 60221 день назад
ACT WAZALENDO HAKUNA WANACHOJUA ZAIDI YA KUENEZA SIASA ZA UBAGUZI: NAIBU KATIBU MKUU CCM ZNZ
DAKIKA 39 ZA KAULI KALI ZA MBETO KUHUSU UPINZANI NCHINI, ASHANGAZWA NA HAYA YA ACT
Просмотров 42221 день назад
DAKIKA 39 ZA KAULI KALI ZA MBETO KUHUSU UPINZANI NCHINI, ASHANGAZWA NA HAYA YA ACT
MBETO ASHUSHA KIBANO KIZITO KWA ACT WAZALENDO, ATAKA WATAMBUE SHERIA NA SIO KUKURUPUKA KUJIBU
Просмотров 759Месяц назад
MBETO ASHUSHA KIBANO KIZITO KWA ACT WAZALENDO, ATAKA WATAMBUE SHERIA NA SIO KUKURUPUKA KUJIBU

Комментарии

  • @seifmohamed8725
    @seifmohamed8725 2 часа назад

    Wewe kama nani chunga domo lako hapakuhusu hapa tafuta kwenu

  • @ISSAJR-fo5nt
    @ISSAJR-fo5nt 2 часа назад

    Angalia hayo mazingira ya hapo gari inapopita utacheka...😢

  • @tabletennis6296
    @tabletennis6296 12 часов назад

    So sad inaumiza kwa kweli ila dawa ya haya ni kubadilisha katiba Raisi awe anahukumiwa kisheria

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 2 дня назад

    Hawa ccm wanatia kichefuchefu kazi Yao kupinga hoja za wenzao tu

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 3 дня назад

    Na hoja nyengine mjibu mkijibu hoja za act wazalendo mtapagawa tunataka mdahalo na hoja za ufisadi je umejengwa kwa shilingi ngapi mwazo na marekebisho yanakuja yatachukua shilingi ngapi jibu na za ufisadi mbona hujibu???😮

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 3 дня назад

    Kabla ya hayo matengenezo ya mwanzo hivyo vitu ulivyovitaja na vyengine usivyovitaja vilitakia vizingatiwe, na kila kitu ilichosema ni toleo la juzi ni uongo. Na kwahayo maelezo yako mkandarasi hahusiki na gharama za ukarabati kwasababu hii itakua ni kazi nje ya mkataba wa awali, huwezi kusema kuwekwa paa uwanja wa gombani iwe ni kwa gharama za mkandarasi kwa mujibu wa mkataba wa awali wakati gharama ya kufanya hivyo ni zaidi ya ukarabati wa mwanzo. Acheni kuwafanya raia kua wajinga zaidi ilhali mlitakiwa kuwafanya waelewa wa mambo. Fanyeni vitu viwe vizuri kwasababu Allah anapenda vitu vizuri

  • @aliyaliya1995
    @aliyaliya1995 3 дня назад

    Yaani nyni mmeweza kufanya hivo kwasababu rais wanchi nisamia kama ingekua magu msinge fanya kitu siasatu kueni wakweli

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 3 дня назад

    Innalillah nilijuwa anapewa akajenge nyumba yake kumbe maskani somenijamani

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 4 дня назад

    Hiyo ngawira2 toweni leo kesho mukikataliwa mulie washamba wakubwa nyie

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 4 дня назад

    Mjinga mkubwa huna mbadala kwako zanzibar tuna jambo letu 2025 OMO huyo mtalii wenu anarudi kwao

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 4 дня назад

    Ah haya marazi jamani yanini ccm tafuteni wanachama wakusaidieni nasio mizigo km huyo mama

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 4 дня назад

    Mbeto zanziba inataka ijiongoze sio kuongozwa na tanganyika ilojificha kwenye kivuli Cha muungano

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 4 дня назад

    Haya mazimwi ma ccm mafusadi2 na Hilo mabeto ndio hilo

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 4 дня назад

    Zanzibar never intentional tim don't understand some people mand the ways berry the countries down

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 4 дня назад

    Mmetupiga hela zetu shenzi nyie

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 4 дня назад

    Vyama vya upinzani kinachowaua ni Roho chafu ya kupinga kila kitu ! Wala hamtekelezi chochote ! Sasa watu wameamua !

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    Watakuliza mdomo juu hao

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    Wapemba haooo

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    Mikono 99 kama majina ya Allah. Hatutakiiiii

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    Acheni ushamba lwa golofa

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    MBETO USIMDANGANYE MWINYI. HIZO KADI NI FEKI ACT TUNA DIGITAL CARD. HALAFU MUHURI MLIOPIGA NI FAKE. ACT HAKUNA CHEO CHÀ KURUGENZI NDIO MLOGONGA KWENYE KADI ZENU

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    G7 wacha uongo huo. Ahmed kakudanganya kwa vijipesa maana unadàiwa kama chizi. Arafa ukamshawishi nani huachi. Haja yako ni huyo rais tu. Wako wapi hao walòhamia ccm ?

  • @Zivago12
    @Zivago12 4 дня назад

    Kavunjika yeye G7 ACT tuko makini sana. DUU MSUKULE UMEHAMIA CCM

  • @fadelsaed8598
    @fadelsaed8598 5 дней назад

    Wala c uongo wapemba hawamtaki mtu wa mkuranga

  • @fadelsaed8598
    @fadelsaed8598 5 дней назад

    Huyo muongo tu mnafiki ila kwakua anapata maslahi yake ndo anatetea huyo yupo tayari hata kuua kwenye uchaguzi ujao

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 5 дней назад

    jussa kafafanua juzi kuhusu kadi zako ulizo tengeza za act hhhh

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 5 дней назад

    yani weyee mmbeto wapemba hawakupigia kura ccm wakati wagombea walikua wazanzibar waje waipigie ccm kura mgombea anaetoka mkuranga unaota weyee

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 5 дней назад

    hhhhhh mungu niweke mie nije nione mobeto anavyodondoka na presha na hil tumbo alilo nalo tunamuonesha kwa nini ccm walitwambia wapemba ni kutu la ngombee

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h 5 дней назад

    Majibu ya vibanda vya kahawa hayo Mhe Mbeto

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 5 дней назад

    Ccm oyee

  • @kassim1262
    @kassim1262 5 дней назад

    Km majengo hata ulaya yapo lkn wnanchi wnachagua kiongozi wnaemtaka znzb htutaki majengo km majengo hata nyinyi munayo makubwa tu munamiliki lkn hmuondoki madarakani kwaio majengo co maendeleo naznzb htutaki majengo tunahitaji znzbr yenye mamlaka yake ykujiamulia znzb km znzb

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o 5 дней назад

    Kufunikwa hta visheti vikiuzwa hudunikwa mjomba mwanzo mulikua wapi hamkuyaona hayo

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o 5 дней назад

    Lakini hata mwaka haujafika hapo mkijenga hua melewa au hamuoni kaguweni kwanza kabla kufungua axha pumba

  • @dulaomar5537
    @dulaomar5537 6 дней назад

    Jee hapo mwanzo hayo majani ysliyowekwa hawakujuwa Jee hapo mwanzo izo taa hazikuwpo zimetengeneezwa leo kutoka mbinguni Wacha kudanganya watu wote wanajielewa

  • @Mohd-c1j
    @Mohd-c1j 6 дней назад

    Muwadanganye Wasio kua na fikra fafanuzi

  • @Mohd-c1j
    @Mohd-c1j 6 дней назад

    CCM wizi balaa duh

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 6 дней назад

    Vyakula vishuke bein

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 6 дней назад

    Mbeto yaonesha ni mkulima WA mbogamboga hata hujui usemacho Bora shughulikeni na mchanga

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 6 дней назад

    Kilichotokea juzi kidoti tarehe 9 jmosi manakijua jamani au ccm oye tuuuu??? tarehe

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 6 дней назад

    Mbeto huna mpango

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 6 дней назад

    Bro kadiri unavyotutumka kujibu ndivyo unavyodhihirisha uzuzu wako. Hayo yote unayoyasema hamkuyajua kabla? Jee huo ujenzi ni priority kwa sasa? Hivi unajua kama kuna mambo muhimu zaidi ya kuzingatiwa kwa manufaa ya Wananchi? Hizo pesa za Walipa kodi huoni kama mnazitumia vibaya?

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 6 дней назад

    Wallah dunia ya sas ivi ilivyo endelea na vijana wengi wana uwelewa hapa mmeto anaporoja akiona anajibu hoja kumbe anaongea upuzi

  • @husseinjuma8830
    @husseinjuma8830 6 дней назад

    Kweli wanatufanya kama hatuna akili kwel duuu inasikitisha

  • @ammesimai1544
    @ammesimai1544 6 дней назад

    ata haeleki anaongea nini, upuuzi tu, unafki mtupu

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis 6 дней назад

    Hoja sio kujibu je majibu ni sahihi. N.a. kwa nini wajibu ccm wasijibu wizara inayohusika na usimamizi

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Ccm ndo baba wa serikali

    • @AslihanKhamis
      @AslihanKhamis 6 дней назад

      @RashidHaroun-c2j hapana baba wa serikali ni wananchi kikatiba sio kisiasa baada ya hili kilotokea ccm kama Chama walipaswa wahoji kwa wizara ya michezo kulikoni ili wao waseme sio atoke mtu wa ccm 1 kwa 1 ambae haelewi chchte ajibu kitu ambacho hana uelewa nacho

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      @AslihanKhamis nakurudia tena ccm ndio inayo ongoza serikali kwaiyo kama serikali ilishindwa kutoa ufafanuzi ccm lazima itowe ufafanuzi maana iyo ndio iliyoweka iyo serikali kwanini linapo fanyika jambo baya lisilo waridhisha wapinzani moja kwa moja hamkosowi serikali mnaikosowa ccm kwaiyo na ilo kujibiwa na ccm sio kosa maana ndo ilio weka serikali

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      @@AslihanKhamis kama baba wa serikali ni wananchi basi haina haja ya kuiuliza serikali ikupeni majibu kwa sababu nyinyi wananchi ndo baba mnajuwa kila kitu

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      @@AslihanKhamis na hata ukimuona kiongozi wa ccm katowa majibu ujuwe amesha hoji sehemu husika ndo maana akatowa majibu stahiki ,usichokijuwa kuna vikao vya ndani vya chama ambavyo huwakutanisha viongozi wengi wa serikali waliotokana na ccm na kuhoji namna ya mambo yanavyoendeshwa na serikali na kupatiwa majibu sahihi kwaiyo majibu alotowa mbeto ni haki yake kuyatowa maana yeye ndo alotowa ilani serikali kazi yao kuitekeleza ilani walopewa na ccm

  • @MohamedAbdalla-tq8qo
    @MohamedAbdalla-tq8qo 6 дней назад

    Wizi mtupu na udanganyifu

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 6 дней назад

    Mbeto sio kilakitu kukijibu achananao

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 6 дней назад

    Nyinyi ccm ni nyinyi wezi uwanja gan ambao hata miez mitat haijafika unafanyiwa marekebisho? Huo uwanja wa sentiago bernabeo bas unachukua miaka na miaka ndo unafanyiwa marekebisho nyinyi mumezoea kuwaibia wananch kuwadhulum killa sector lkn haya maisha ya dunian tunapita. Walatadhid dhwalimina illa khasara shuri yenu

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 6 дней назад

    Ni adhma njema ya serikali, tunaomba pia ikiwezekana mfikirie na kurekebisha na viti vya uwanja wa Amani walau kwa kuengeza njia za kupita. Watu wanabanana kweli kweli, na ikitokea mtu kapatwa na dharura inabidi aitha apite juu ya mabega ya watu au watu wainuke kumpisha. Hali hii inakua ni mbaya zaidi ikiwa mtu mwenye ulemavu atatumia viti vile. Pia tunaomba serikali mapungufu kama haya yasitokee katika uwanja wa gombani, ni heri uwe na vikalio vichache vyenye nafasi ya kuyosha na njia pana zitakazowawezesha kupita kwa urahisi kuliko kuvibana viti ili kulazimisha uwanja kuchukua watu wengi sana.

  • @AmourMohammed-r8j
    @AmourMohammed-r8j 6 дней назад

    Katika viwanja hivo sio viwanja mnadangaya washaba waliokua hajui kitu