Ni vizur ila kwanini msijenge kwanza sehemu ambazo zinauhitaji kuliko kuvunja nyumba za watu na kujenga za kisasa za serikari na watu kama sehemu ambazo mafuriko huwa yanatokea
Na pia mwembie Rais atoke hadharani atowe kauli ya kufanya uchaguzi utakaosimamiwa na time huru,na kuhusu Rais Mwinyi kutokuhama na MAJENGO Hilo hata Wakoloni kwani walihama na waliyoyafanya?
kuna mtu juzi tu nilimsikia katika pitapita yangu akisema anatafuta pk anasema kakosa bs kubwa nn anasema nchi yote inajengwa mm nikatabasu tu nikasema hili ata wasio ona pia wanaona
Ww ccm a kama hakuna malaka kamili tusi danganye watu unguja Pemba sijayona mandele uwongo musingopeye watu kama ccm ni kibaraka bara mchigani huna malaka huna uwezo kopa panado kama hujenda bara acheni kuwingopeya watu atajenga nini mwinyi
Mwinyi ndio hana mvuto ndio maana hajachahuliwa hayo majengo yenu pelekeni huko sodoma na gomola sio zbar sisi tunataka nchi yetu majengo yenu bakieni nayo
raha raha
Safi sana
leo umeongea vizur
Dr mwinyi oyyee
Kumbe ataondoka baada ya miaka 10 🤔🤔🤔🤔
Ni vizur ila kwanini msijenge kwanza sehemu ambazo zinauhitaji kuliko kuvunja nyumba za watu na kujenga za kisasa za serikari na watu kama sehemu ambazo mafuriko huwa yanatokea
Kuna maeneo Tele pori mungejenga izo nyumba za kisasa fuoni kitongani barabara hawana kuna sehemu kubwa
Hamuwezi mukaifanya zanzibar kua singapor chini ya mfumo kandamizi wa ccm na ufisadi huu
Kwanza tungane pamoja kuidai Zanzibari kamili km Zanzibar haitokuwa huru bc itakuwa kuzishishana umaskini tu
kama si katiba tulio jiwekea ningesubutu kusema awe wa maisha yy mazuri yote haya ni kwa ajili yetu na vizazi vyetu
Nyie sifiyaneni TU kuifisidi zanzibs
Majengo yatusubiri kwanza, tuongee suala la mamlaka kamili
Nusu Upendo...kaona masiku yanakaribia...
kama niataandika sifa za rais wetu kitubu kurasa zitaisha na sito maliza
husein wamkuranga hakuchaguliwa nawala hatochaguliwa nawazanzibar musidanganyane maccm majizi mashez
Na pia mwembie Rais atoke hadharani atowe kauli ya kufanya uchaguzi utakaosimamiwa na time huru,na kuhusu Rais Mwinyi kutokuhama na MAJENGO Hilo hata Wakoloni kwani walihama na waliyoyafanya?
nakukubadi nakukubali % 111 sina siku itapta bila ya kumtaja rais kwa wema wake aliyo tufanyia sisi na watakao kuja
Comments zote hongera
Kwanza chakula
Tunaweza kulala hata chini ya miti ila sio kuwa na njaa namna hii
kuna mtu juzi tu nilimsikia katika pitapita yangu akisema anatafuta pk anasema kakosa bs kubwa nn anasema nchi yote inajengwa mm nikatabasu tu nikasema hili ata wasio ona pia wanaona
Lkn ww ni mpinzani kama omo tangu lini ss kupongeza wspinzani
Tujenge mji mpya
Unajenga mji mpya kwa ukubwa gani uliopoo vizur lakini kwa udogo wa visiwa vyetu kuvunja ni vyema
Maendeleo ni pesa mana ukienda dukani kununua bizaa huambiwi Barabara ulete😅😅😅kazikudanganya wezenu maendeleo Barabara na Wala hizo Barabara
Ww ccm a kama hakuna malaka kamili tusi danganye watu unguja Pemba sijayona mandele uwongo musingopeye watu kama ccm ni kibaraka bara mchigani huna malaka huna uwezo kopa panado kama hujenda bara acheni kuwingopeya watu atajenga nini mwinyi
Huyu ni mnafiki na fisadi mara anamdharau hana mvuto wewe una mvuto hao CCM wenzio hawakupendi hata kidogo
Acha ujinga mntuibiaaaaaaa.
Kwanini musijenge maeneo mengine!
Mwinyi ndio hana mvuto ndio maana hajachahuliwa hayo majengo yenu pelekeni huko sodoma na gomola sio zbar sisi tunataka nchi yetu majengo yenu bakieni nayo