Muhammad Ni Nabii wa wongo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 53

  • @chachamwita8350
    @chachamwita8350 6 лет назад +8

    Mungu azidi kuwapa nguvu na kusema yaliyo kweli njooni Tanzania muokoe roho za watu mubarikiwe wote

  • @myself4128
    @myself4128 6 лет назад +2

    Mungu ni mwema! Huyo muislamu aliyeokoka ni muujiza Tosha! Yesu anaweza

    • @ashamasudi9441
      @ashamasudi9441 5 лет назад

      Alirudia dini yake ya haki alichokua yuataka alpata

    • @frankmpembu5299
      @frankmpembu5299 3 года назад

      Alikuwa anawachezeshea tu, unaona anamuhubiri Yesu sasa

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 5 лет назад +1

    Mungu awabariki sana watumishi

  • @mohamdmohamd4842
    @mohamdmohamd4842 3 года назад

    Kipofu kaja kwa Yesu ..akasema Wewe Yesu ni Mtume.. haya Wewe uliye na Macho waona ..wasema Yesu ni Mtoto wa Mungu.. at least kuwa na Akili ya kutumia.

  • @Streetplaces
    @Streetplaces 3 года назад +1

    Kweli Tusone Neno.

  • @mbularose1525
    @mbularose1525 6 лет назад +3

    Ukatoriki, uislamu na zinginezo wote hawajui vyenye wanafanya.kanisa la kweli ni yenye Mungu aliazisha mwenywe.Umbayo ni SABBATH. Mimi nilikuwa mkatoriki na Sunday worship but nilijua njia a kweli

    • @myself4128
      @myself4128 6 лет назад

      Mungu hakuanzisha sabbath kama dini alianzisha sabbath kama siku ya kupumzika ila ibada ni kila siku sio jumamosi tu....exodus 20:8

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 5 лет назад

      Wewe ni kafiri wa mwisho wapi andiko kwenye bibilia iyo sema Sabbath day ni jumamosi, SDA mwanamke ndiye alianzisha, makafiri wa mwisho,kwa mujibu wa bibilia mwanamke hana mamulaka ya kwanzisha kanisa walah kuubiri mshindwe na SDA yenu

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 года назад

      Soma warum 1:5-10

  • @جانيتكينيا
    @جانيتكينيا 6 лет назад +1

    Amen sanamu Wacha

  • @mohamdmohamd4842
    @mohamdmohamd4842 3 года назад

    Sasa Nakuuliza umeanza na (Alhamdullillah) nimeweka vibano kwa Sababu hujui maana yake ..Usingetumia hilo neno.. Sema mmoja kwa mmoja YESU ni Mungu na Paulo ni mtume wake na ubaki na hiyo Imani ..Kiarabu hujui na wala hutojuwa. Nijibu uwone kivumbi.

  • @ninaarmel5250
    @ninaarmel5250 6 лет назад

    2. Mwanzoni, kabla ya kuumbwa kwa mwanadamu, Musa alisimama pembeni ya bahari kuu na aliona Roho wa Mungu pekee akitembea juu ya maji. Na kwa nyakati za mwisho, nilisimama mahali palepale sawa na Musa. Na nafsi yangu ikaenda kusimama pamoja na Mungu juu ya maji. Mungu Muumba wa Mbingu na inchi akaweka mtu moja pembeni yake juu ya maji. Na hiyo iliunda kikundi juu ya maji ambayo ni watu, lugha na mataifa ya dunia kama vile katika Mathayo 17 hapo juu ya mlima wa kubadilishwa sura. Mimi, Malaika na Mwana-Kondoo tukawa mtu moja.
    #Prophetkacouphilippe
    #pkpchanneltv

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 2 года назад

    Ni ajabu mwalimu ndacha unawalaumu wenye kubeba sanamu na wewe unafunza yesu ni Mungu ? Na nyote ni washirikina

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 лет назад

    Meshack , mungu Adam na hawa walipumzika tu hawakuabudu, dini yakiyahudi IPO kabla ya yesu, sabato ni siku sio din

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 6 лет назад +2

    endeleeni na biashara yenu yakupotoshana😀😀😀😀

  • @msafiriminani5454
    @msafiriminani5454 6 лет назад +1

    huu ni ukweli kabisa haupingwi

  • @novismgeni9229
    @novismgeni9229 6 лет назад

    Jamani nahitaji namba ya wahadhili hawa nahitji kubadilika

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 лет назад

    Ark of the Covenant ilikua ni Aina ya sanamu au la?

    • @Cynthiaachieng293
      @Cynthiaachieng293 4 года назад

      La?

    • @MrMbeva
      @MrMbeva 4 года назад

      @@Cynthiaachieng293 zile mchongo za malaika wadongo zilizoekelewa juu ya sanduku la agano utaziita aje?

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 3 года назад

      @@MrMbeva Nani aliagiza zichongwe?

    • @MrMbeva
      @MrMbeva 3 года назад

      @@yesunialamayakiama.9013 Mungu ndiye alieangiza zichongwe

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 3 года назад

      @@MrMbeva Na sanamu za Maria, Yesu, Petro, sakramenti, n.k. nani aliagiza zichongwe?

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 лет назад

    Mbula rose sabato ni siku ya kuabudu din ya wayahudi soma kutoka 12.15_16

  • @zachariabin5400
    @zachariabin5400 5 лет назад +1

    SDA kanisa la queen elizabeth Hamna kitu ,yani sijui Hamna akili nyny manaa hata huwa siwaelew mwamjadili mtume Muhammad s.a.w, akili hamda nyny mtume wa Allah mwakaa chini na kujadili wakrsto dini hamna?hamna mtume?mungu hamumjui?nyny wenywe mmepotea,kama hamtaacha uzushi wenu huo njaa zenu ztakupelekeni motoni,

    • @regankasusu2015
      @regankasusu2015 3 года назад

      Quran 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
      Hebu niambie hao waliomtuma Muhammad kuwa mtume na mungu akiwa shahidi ni kina nani ? Usiongee porojo toa andiko.

    • @regankasusu2015
      @regankasusu2015 3 года назад

      Pia toa andiko la kuthibitisha SDA ni kanisani la queen Elizabeth, sio kuongea porojo zisizokua na maana, kwa kutetea dini ya shetani, hakika siku ya kiama inakuja ndipo utajua kweli yote .

  • @rosepotohoua9548
    @rosepotohoua9548 6 лет назад

    6. Jua kwamba kama Mungu alikuwa mkuu wa makanisa haya, hawangesali pamoja na Wabuddha, mahikari, Waislamu, wachawi, masks, wakiwa na vinywaji na ngoma za michezo za kiasili...
    7. Na zaidi ya yote, makanisa za Kiafrika ndizo zingeweza kuhamakia mambo ya televisheni mbovu na yenye kuoza kuhusu huu uchafu ya wasichana na wavulana mitaani, magazeti zioneshazo wanawake uchi, kasi na michezo chafu, usambazaji wa kondomu, kupanga uzazi, na kadhalika. Mnaona ? Ambapo dhambi imehalalishwa, Kanisa linapaswa kuamua. Ikiwa kondomu zinasambazwa kwa wanafunzi, askari na wengine, na makanisa hayasemi chochote, hawapaswi pia kuomba kama sivyo wao ndio maadui waovu zaidi ya Afrika na ndicho walicho !
    8. Kwa nini hivyo ? Kwani dhambi ya mtu anayetumia kondomu na dawa za kupanga uzazi ni sawa na dhambi ya yule anaye toa mimba.
    9. Wakati adhabu inakuja juu ya inchi, ni hasa dhidi ya makanisa ndipo hiyo adhabu ina anguka kama vile zamani juu ya miungu ya Misri. Mnaona ? Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu Kristo, siwakate tamaa lakini ni kwa bure munaomba. Mungu amejifanyia watumishi kwa kutimiza hukumu kama vile alivyo fanya mtumishi wake Nebukadreza dhidi ya Israeli katika siku za kale. Je ! Sio Mungu anayeamuru yote yanayotokea duniani ? [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "].
    www.philippekacou.org

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 лет назад +2

    Muhammad ndie ukwely

  • @samuelmuiruri4405
    @samuelmuiruri4405 6 лет назад +2

    SDA dio kanisa ya ukweli....

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 лет назад

    ukiristo c dini hla n ukafiri tu