YESU NI MUNGU WA KWELI HAPINGIKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 63

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 лет назад +8

    Mungu hawabariki na kuwafanyia wepesi ktk kufundisha neno lake takatifu mbarikuwe sana.

  • @Wpatrickwafula3432
    @Wpatrickwafula3432 4 года назад +1

    Mwalimu wa huyo jamaa alipata shida sana pongezi umekutana na mwalimu ndacha akufunze AMEN

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 5 лет назад +1

    Poleni sana watumishi mnafanya kazi kubwa sana ona uyu myahudi anavyo wasumbua alafu yy kakaa ndasha amesimama daah poleni sana kwa kumpigania Yesu natumai tutakutana mbinguni na wale wazee 24 tukisujudu na kuimba p1❤❤❤❤❤

  • @thxzbst49cnh80
    @thxzbst49cnh80 6 лет назад +1

    Amen,Mungu awabariki sana watumishi

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 3 года назад

    Kila akiriye ya kwamba Yesu n mwana was Mungu amekwisha kuokolewa. Yesu alikuja kwa ajli ya wanadamu c mapepo. Ndomana aliwakataza sana mapepo kumuita yeye mwana wa Mungu. Kwa mana hakuja kuokoa mapepo

  • @danieldanijatv1830
    @danieldanijatv1830 5 лет назад +8

    nimeelewa hapo YESU NDIYE MUNGU WA KWELI

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад +9

    Ata aje masheik 100....huyu pastor mmoja tosha tu

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    I personally believe in you Teacher Francis Ndasha MAY GOD whom you are preaching stand on your side

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya1015 5 лет назад

    Amen Mungu ni Yesu Christo,

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 лет назад +4

    Niko Tanzania hila nawafatila sana na kwa kweli hata Mimi mnanifunulia nisio yajua
    Mungu hawape neema,
    haya yote ni maneno yangu mi Mimi maana nimeskia hapo muyaudi hajajua vizuri matumizi ya koma na nukta ni vizuri mkawa pia na Mwalimu wa kiswaili hili muwe mnatambea naye haswa kwa somo kama hili maana nyinyi mnafanya kazi ya Bw. hili watu wasikie na kuokoka ni vyema mnapo tusaidia sisi kutuongzea material mwasaidie na hao mayaudi hili wapate kujua kweli.

  • @myself4128
    @myself4128 5 лет назад +4

    Ukipinga huwezi kufunguliwa kutoka kwenye giza ulilomo, umefungwa na ibilisi....eti koma 😂😂😂😂 kuna watu wanaenda motoni kwa kukataa ukweli

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 5 лет назад +1

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa yan uyu mkristo lkn anakataa kuusu Yesu 😁😁😁😁😁😁😁sasa si bora asome ile kitabu cha nguvu za giza aende kuswali na majini

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    yesu mungu tukueleweje? sio makanisa yote yanaamini yesu mungu. Kama huyu ndiye Mchungaji basi mjiandae na moto. yesu hawezi kuwa mungu John 14:28

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад

    Washirikina wa kikristo wanatatizo moja kuu la kutojua ukuu wa Mungu alie umba mbingu na nchi na ndio maana na ili kuwa somesha waelewe basi lazima wasomeshwe wajue sifa za Mungu ili waone tofauti ya Mungu na Yessu

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI 2 месяца назад

    Kwakweli hawa waisilamu ni wabishi kweli kweli na hata kwenye vitabu vyao zimeandikwa kwamba YESU ni MUNGU mashehe wakubwa duniani wanajua hili ila wamewaficha waisilamu wasipate kujua habafi za YESU poleni sana nunueni misaafu na vitabu vya kuruhani muwe mnajisomea mpate kujua ukweli huu.

  • @fadhilimbwambo6425
    @fadhilimbwambo6425 5 лет назад +2

    Mm nipo Tanzania Dodoma kwahakika pastor huyu anaongozwa na mungu wa kristo yesu sasa napendekeza kama inawezekana kufanyike mdahalo akiwepo mzinge ili apate kujua ukuweli na waisilamu wapate kumuona yesu

    • @tulitulizana7740
      @tulitulizana7740 5 лет назад

      Mchunga asema yeus ni mungu ww unasema mungu wa yesu kiristo

    • @papawaparazi341
      @papawaparazi341 5 лет назад +1

      Hapo ndipo lakini mazinge anatafuta maneno ya kuchkesha tu

  • @amadeuskimey5521
    @amadeuskimey5521 6 лет назад +3

    nipo tz. nawafatilia sana pigeni khazi watu wa mungu ufunuo ::2.-9-12 msikiti ninyumba ya majini kwa mujibu wa andiko

    • @modestamuyonga5616
      @modestamuyonga5616 5 лет назад

      Haha pastor wape injili ya yesu hawajielewi,nafurahia pastor kw kuhubiri kwako God blesd u saidia vipofu

  • @zakayoleonard7040
    @zakayoleonard7040 Год назад

    Hapa ni ndacha kabla hajachanganyikiwa Duh !!.

  • @judithmoturi3402
    @judithmoturi3402 3 года назад

    Some people waiting time nawasindwe kabisa

  • @جانيتكينيا
    @جانيتكينيا 5 лет назад

    This man is waiting time

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 лет назад +1

    Mimi nachukia sana waisilamu wanapomwita mkiristo kafir maana yakafiri nimpingaji kati wawaisilamu nawakrsto ninani wapingaji wao ndio wapingaji mawanpinga mpaka mungu wao majini keshayalani wao ndio mabosi wao kiarabu niluha tu kama zilivo luha nyengine

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 6 лет назад +1

    Mchungaji neno haliwezi kumtagulia mnenaji

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад +2

    Huyu jamaa hajui matumizi ya coma.... Hio inamaanisha hio statement inaendelea... Some people sijui kama walienda shule aki

  • @saidisalimu3560
    @saidisalimu3560 4 года назад

    Huyu jamaa ni mkristo lakini anamtoa jasho mchungaji
    Akiwa na maana mama siyo jina bali ni sifa
    Baba nala ni sifa
    Je,?baba jina lake nani,,,,,,,mmmm
    Lazima jasho litoke

  • @tulitulizana7740
    @tulitulizana7740 5 лет назад

    Neno haliwezi kumtangulia mnenaji

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 лет назад

    Nikweli yesu ndie mungu alla subuhana wataala sio mungu mana anawambia wafuasi wake katika Surat lmulku aya 16 je? Mnazani muko salama kwa mwenyezimungu ambae uko mbinguni ufalme wake mkubwa yakuwa yeye hata kudidimizeni ardhini tahamaki hiyo inataharaki nanyinyi inakudidimizen ardhini kama walivyodidimizwa hao wazamani kwahiyo huyo wanae mwita alla subuhana wataala anajuwa kuwa juu yup mwenyezimungu sasa waisamu mtafuteni huy subuhana wataala yeye ninani

  • @rosenyambura16
    @rosenyambura16 5 лет назад

    Hahaha huyu hamjui(,)inamanisha nini hakuenda shule.

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 лет назад

    Napia katika Surat jini majini wameisika kuruani wakaona yaajabu nawakaimani wakasema inaongoza kwenye njia iliyonyooka waisilamu tumieni akili jini waimani kuruani waisilamu waamini kuruani hivi jini anaweza kumtakia mwanadamu uongovu nakumuelekeza njia nzuri haitowezekana waisilama hameni kwa muhamad waachieni majini njia yao

  • @wanjerijoseph6223
    @wanjerijoseph6223 5 лет назад

    huyo ni mpinga kristo muaje akae

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 лет назад

    Hapo kuna koma muinjilisti kabanwa unatumi uongo

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    cheki wazimu huo John 1:1 inasema hapo mwanzo kulikuwa na neno na Hilo neno lilikuwa kwa mungu na Hilo neno ni mungu. huu ni msiba
    Genesis 1:1
    hapo mwanzo kulikuwa na mungu na Huyo mungu AKAUMBA mbingu na ardhi .
    wakristo muogopeni mungu John anawachanganya hakuna vile mungu anaweza kuzaliwa na binadamu kwa kuwa si binadamu kitabu cha hesabu 23:19

    • @yonamagile5528
      @yonamagile5528 6 лет назад

      hamisi kulola Msiba kwann nawe huelewi kama yeye et

    • @myself4128
      @myself4128 5 лет назад +1

      Nyie wapinga Kristo subirini moto tu
      Mtume wenu alisema hajui litakalomkuta quraan 46:9

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 5 лет назад

      @@myself4128 tell them again

  • @carloswise473
    @carloswise473 2 года назад +1

    Remember this Jesus is not God but Jesus is the Son of God and Messiah as it is written in the holy Scriptures.Even Jesus never called himself God,during peter declaration.For God is not the author of contradiction that is why it written their is only one true God and one Mediator between God and man.this is the man Jesus Christ.Judge for yourself can a kingdom be ruled by two kings or can a son be greater than his father.

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 лет назад

    Hapo hakuna muinjilisti, huwezi kutoa Isaya 9:6 alafu ukasema et yesu nimungu, niwazi maandiko haielewi kabisaa

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад +1

    This person is only here to argue... He will never accept even when something is plain on his sight... Jst a waste of time

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    katika mapastor wote nimefanya nao debate huyu ni mbumbumbu wa mwisho anatafsiri aya anavyotaka yeye. yakobo 1:17 mungu habadiliki wacha kupotosha wakristo

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 5 лет назад

      He is preaching the truth anatufunza wakisristo God bless him.

  • @sergeolivierbaba6243
    @sergeolivierbaba6243 6 лет назад +1

    leo kuokolewa sio suala la kufunga, kuomba, kuimba, kutoa sadaka, kuwa waabudu. lakini ni kutambua Mtume pekee wa kweli ambaye Yesu Kristo alimtuma Kacou Philippe. wwwphilippekacou. org

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 6 лет назад +1

    Tatixo lamakafir wanaamini aloyafanya yesu aliyafanya kwauwezo wake wkt mungu ndie alompa huo uwezo

    • @DavisWangodi
      @DavisWangodi 6 лет назад

      Said poleni kwa msba Kinidi yesu ni mungu.... Fuatilia mjadala vzri boss.. Usirukie maneno tu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 6 лет назад

      😂😂😂😂😂😂😂kumbe mmekubali kama yesu kapewa na mungu sasa Mohammed Alifanya nn tangia aje duniani na nani alimchagua Mohammed kua mtume

    • @rubbenndege4379
      @rubbenndege4379 5 лет назад

      Muhammed alifanya nin pamoja na kuwa mtume wa shetani lakin hakufanya muujiza wowote

  • @papawaparazi341
    @papawaparazi341 5 лет назад

    Myahudi mkenya mbona unapata shida

  • @paulmaganda5922
    @paulmaganda5922 7 лет назад

    je, in kweli au, nipe uhalisia hiyo ni story ya

    • @sergeolivierbaba6243
      @sergeolivierbaba6243 6 лет назад

      Paul Maganda leo kuokolewa sio suala la kufunga, kuomba, kuimba, kutoa sadaka, kuwa waabudu. lakini ni kutambua Mtume pekee wa kweli ambaye Yesu Kristo alimtuma Kacou Philippe. wwwphilippekacou. org

  • @raphaelkimaro1753
    @raphaelkimaro1753 6 лет назад

    Shekh anaelimu ya msilitini ameivaa hadi anaongeza biblia eti "neno alifanyika mwili kwaajili ya mwana". Sasa hilo abdiko ametoa wapi au amedanganywa na walimu wake

    • @myself4128
      @myself4128 5 лет назад

      Wanadanganywa sana msikitini ...wamefunikwa akili zao na ni vigumu sana kuwaelimisha hawa wapinga Kristo sababu hawana neema ya Mungu kabisa sababu wanampinga Kristo....angalia anapinga kwa kuleta maneno ambayo hayapo....shetani anamtumia huyu jamaa asiye na nywele kupinga ukweli.....akipewa hili andiko analeta lile ilimradi asielewe ukweli.....
      Huyu mtu arudi msikitini akaulize maswali kuhusu mtume wake aliyeoa mtoto wa miaka sita je alitumwa nanani??? Muislamu mpaka kiama kitashuka hatoielewa biblia sababu hili sio likitabu la kukariri kama quraan ni maneno ya Mungu haya unahitaji roho mtakatifu

    • @raphaelkimaro1753
      @raphaelkimaro1753 5 лет назад

      @@myself4128 ona tuu mtu mzima amevaa gauni, sando, midevu na kisufuri kichwani anadhani huo ndio utakatifu. Mfano sura 4:79 hata kama unaakili za punda hiyo haya inaonesha watu wanaoitwa nasi ndio wamemtuma muhammad na mungu akiwa shahidi. Mungu hahusiki ila ameshuhudia "nasi" wakimtuma muhammad. Na ndio ukiangalia quran nzima imeandikwa na akina nasi wakimrejea Mungu. Soma utakuta wanaandika mtindo wakurejea Mungu mwingine.
      Lakini pia waulize nani alimtokea muhammad pangoni. Mtu mzima anaongopa kuwa ni gabriel wakati muhammad mwenyewe amekiri ni mashetani na yalimuharibu akili. Sasa uongo huo ni msikitini wanasema na wanajipa moyo kwa takbiri.
      Pia jiulize kila andiko lihusulo mwanamke ni muhammad kajiletea aya ili zilinde na kubariki tabia ya kupenda wanawake. Na huwa nikisoma sur ahzab nakufa kicheko. Na hii inamanisha waandishi wamelewa.
      Na niliomba ushahidi kuanzia sura ya kwanza mpaka ya mwisho nioneshwe wapi allah anaishi au yupo. Hakuna aliyeleta ushahidi wanalalama tuu