Waislam achaneni na huyo Mohamed...mtazamieni Yesu aliye hai...Mohamed Yuko kaburini akingoja hukumu ambayo Yesu ndiye atakaye mhukumu pamoja na kila mtu kwa hii dunia...na Yesu pekee ndiye anaweza samehe dhambi...ikiwa Mohamed atahukumiwa na Yesu, unamfuata Nini..???jooni kwa Yesu waislam bado anawapenda..msifanye mioyo yenu kuwa migumu...Yesu anawaita kwa upole...jooni kwake yeye aliye hai...
Yaaaani we mtoto mdogo unafundisha kinyume na maandiko na unapotisha watuuu uapopetezaa maana ya maandiko mbona umaliziiii maandiko utawapoteshaa ao wasio jua kusoma kama wewe Mungu akusaidie na hakusamehee buree kwasababu sio kwamba ujuii ulilijuii unajua na autaki kuongeyaa ukweli Mungu akusameheee
Paulo si Mtume wa Mungu. Mana mafundisho ya Mungu yanafunfisha tumuabudu yy pekee na tusimshirikishe na Paulo anafundisha tumshirikishe Mungu kwa kumuabudu Mtume wake Yesu.
Qur-an 3:64 imeeka wazi kabisa. "SEMA: ENYI WATU WA KITABU! NJOONI KWENYE NENO LILILO SAWA BAINA YETU NA NYINYI: YAKWAMBA TUSIMUABUDU YEYOTE ILA MWENYEEZI MUNGU, WALA TUSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE; WALA TUSIFANYANE SISI KWA SISI KWA WAOLA WALEZI BADALA YA MWENYEEZI MUNGU. NA WAKIGEUKA BASI SEMENI; SHUHUDIENI YA KWAMBA SISI NI WAISILAM" Hivyo basi hamuezi kudanganya waisilam mtaendelea kudanganyana na kufumbana macho wenyenu kwa wenyenu mnaoitana kondoo.
Endeleeni kusema,lakini mjue ya kuwa,Neno la Mungu Halibadiliki milele,Ambalo Ndilo Neno Takatifu, BIBLIA. biblia inasema makaazi ya wapinga Kristo wote, ni katika moto wa milele. Yesu yuaja. mkubali uepukane na HUO MOTO, AMBAO UTAKUWA MOTO KULIKO MOTO WENYEWE.
@@ngugimungai8510, Mungu wako kachezea kichapo barabara na watu. Na imani yenu mnaamini pia walimuua na wakamtundika juu kwa misumari. Mungu tena au sanamu ndio utakalolifanya vyovyote linakutizama tu. Mtume ni Mtu na ameletwa km kutuongoza. Na yale yanayomfika yy, hua km ni mafundisho kwetu ili tujue yanapotukabili sisi tunaoongozwa tufanye nini? Au ulikua unataka tuje kanisani tugaragare nguo zifunuke uchii, msukumiwa miguu kwa vishindo vyote ukeni ati ndio Shaitwani anatolewa. Poleni.
wewe ziba masikio kabisa, na uufunike ufahamu wako kabisa hata usifahamu msema kweli nani. badilikeni nyinyi waislamu mumujue Bwana Yesu ili Awaokoe. kando na hayo, mutateketezwa nyinyi wapinga Kristo, katika moto wa milele, Bwana yesu Atakaporudi. Hamulazimishwi na hamushurutishwi kumkubali, ni kwa hiari tu. na Tena kumpokea ni burebure haulipii chochote. Amua sasa, na hio ADHABU HAUTAIPATA KAMWE.KUJA KWA YESU. ASANTE.
Hao Jamaa Wana hama hama maada, Sasa huko Jangwani Kuna Kasoro gani? Na Paulo ana kili makosa aliyotenda Zamani, Sasa nyie mnatafsiri Kwamba hafai, Sasa Matendo 18:4-5 Kuna hoja gani Unayopinga hapo? Mbona Sijaona Hoja ya msingi ya wewe kupinga.
Mmmmmmmmmmh and we don't give a mmmh about it because Jesus is the lion of judah So Follow 🤷Muhammad at your own risk 😐Muhammad died a sinner and confess
Kurogwa sio ttz kwasababu yeye ni mtume wa mungu kama wengine na mungu aliamua tu kumpa mtihani kama alivowapa mitihani mitume wengine mfano ayubu alipigwa na maradhi mpaka mwili ukaoza shetani akamfata kutaka kumkufurisha ila imani yake ilikuwa kubwa.
@@rammeysrambo887 kwaiyo wewe mpaka uambiwe kuwa ni mtihani kutoka kwa mungu inaonekana habari za unabii huzijui me nakupa mfano kwa mitume waliopita,wa kwanza nabii Ayubu. Unafahamu fika kuwa Ayubu alipata maradhi mpaka mwili wake ukawa unatoka mafunza kwa kukuoza,wakeze wengine wakamkimbia,wanae wakafa,je huo haukuwa mtihani kutoka kwa mungu, pia Ibrahim aliambiwa amchinje mwanae wa pekee ili mungu kumuangalia atatii,yani baada ya miaka mingi huna mtoto halafu umeshampata unaambiwa umchinje huo sio mtihani kutoka kwa mungu
@@rammeysrambo887 Nikweli alilogwa kwa sababu Mtume Mohammad alikuwa ni mwanadamu ni sawa nanyie kwa maneno yenu heti Yesu ni Mungu mara Mtoto wa Mungu na alikufa Musarabani;Kweli Mungu anaweza kufa tena Musabani bora aliyerogwa kwasababu hakuwahi kujihita yy ni Mungu;Kwahiyo sio hajabu Binadamu Mohammad kulogwa!
Sasa waislam siku zote wanachukia mtu anayehubiri injili sawa sawa. Hekima ya paulo haipo popote kwenye quran maana ana hekima ya roho mtakatifu. Sasa muislam anayetawaliwa na mwili atajuaje mambo ya Mungu. Ona tu mistari mirahisi ya biblia hawaelewi mpaka mwalumu wa kikristo awasaidie alafu bado wanadhani wanaelewa. Shida kubwa ya ujinga walionao ni kujidai na kufikiri wanaelewa kumbe hamna lolote
Awa jamaa sio wa kawaida kbs swali la kujiuliza ni ivi.Mohammed akukuta nabii yyte apa duniani mohammed kakuta vitabu vyotee apa duniani kakuta yesu anaitwa ivi ivi jee jina la issa kalitoa wp?swali la pili mohammed kakuta Paul kashakufa na kaandikwa kwenye bible jee Mohammed kapata wp mamlaka ya kumkataa Paul wkt Paul kaandikwa kwenye bible ambayo Mohammed kaikuta.apo ndipo nachoka mimi
Mwalimu ndacha Mungu akubariki
Kweli ndacha umemuweza huyu jamaa kabaki hanahoja ni upuuzi tu
Ndacha Wewe hatari sana. Mwenyezi Mungu kubariki sana.
Ni kweli ndacha hatari kwakuwapeleka motoni.
@@khalfanikishki2646 Kwa kuwaokowa waislamu
Paul ni Mtume WA MUNGU siku ZOTE.
hatuna shaka paulo ni mtume wa mungu wakristo hallelujah
Amen amen...
Alitumwa na nani toa andiko wacha ushabiki
Hallelujah ndio nini au salamu za mashetani izo
Mungu akubariki sana mwalimu NDACHA
Waislam achaneni na huyo Mohamed...mtazamieni Yesu aliye hai...Mohamed Yuko kaburini akingoja hukumu ambayo Yesu ndiye atakaye mhukumu pamoja na kila mtu kwa hii dunia...na Yesu pekee ndiye anaweza samehe dhambi...ikiwa Mohamed atahukumiwa na Yesu, unamfuata Nini..???jooni kwa Yesu waislam bado anawapenda..msifanye mioyo yenu kuwa migumu...Yesu anawaita kwa upole...jooni kwake yeye aliye hai...
We kweli huna akili
Yesu yu hai Mungu hafi yu hai
Wacheni kuongeza maneno kwa bibilia mnapindisha wacheni Yesu ndio yote ndani ya yote
Wakristo akiri mbovu
Hadi hapa nakosa kama huyu mutu anapinduaje maandiko kabisaaaa! , Oooh! , Mungu ! Wasamehe hawa waeslamu wamujuwe yéyé aliye wa kweli.
Ndacha unajua sana kufundisha watakuumiza kichwa hao wasio na elimu ya kiroho
WAISLAM NI MIZOGA INAYOTEMBEA
We kichwa maji kwel nyiny nd marobot kwel man mnasubir muongozw 2 aka
Huna hoja Bali Ni chuki sijui tulikukosea nini kusema yesu Ni muisilamu
Waah mjandala mtamu sana hata nauliza kwa mini mnamaliza haraka
Wafundishe kwa vitendo hao
Have respect my confused friend with beards,Yesu sio, ( Mr, ) ,HE’S a MIGHTY GOD.
Yesu sio mungu bro , yesu alilala , yesu alitairiwa , yesu alikufa , mungu halali , mungu hafi ....
Wafunze bro wamepotea na bibilia yao
patia ndacha ushukani please
Yaaaani we mtoto mdogo unafundisha kinyume na maandiko na unapotisha watuuu uapopetezaa maana ya maandiko mbona umaliziiii maandiko utawapoteshaa ao wasio jua kusoma kama wewe Mungu akusaidie na hakusamehee buree kwasababu sio kwamba ujuii ulilijuii unajua na autaki kuongeyaa ukweli Mungu akusameheee
Uislam ndio dini ya haki mupende musipede bas ni LA ILAHA ILA LLAH MuHAMMAD RASUL LLAh
Kama dajali ana jicho moja Naye alah ana macho mawili na katikati ya macho yake pameandikwa neno kafiri heee alafu niifwate
Paulo mtume wa mungu.amen
Nashukuru mungu aliyenifanya muislamu ...
Paulo si Mtume wa Mungu. Mana mafundisho ya Mungu yanafunfisha tumuabudu yy pekee na tusimshirikishe na Paulo anafundisha tumshirikishe Mungu kwa kumuabudu Mtume wake Yesu.
Qur-an 3:64 imeeka wazi kabisa.
"SEMA: ENYI WATU WA KITABU! NJOONI KWENYE NENO LILILO SAWA BAINA YETU NA NYINYI: YAKWAMBA TUSIMUABUDU YEYOTE ILA MWENYEEZI MUNGU, WALA TUSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE; WALA TUSIFANYANE SISI KWA SISI KWA WAOLA WALEZI BADALA YA MWENYEEZI MUNGU. NA WAKIGEUKA BASI SEMENI; SHUHUDIENI YA KWAMBA SISI NI WAISILAM"
Hivyo basi hamuezi kudanganya waisilam mtaendelea kudanganyana na kufumbana macho wenyenu kwa wenyenu mnaoitana kondoo.
Paulo sio mtume wa mungu
Allah Akbar. Sheikh umemnyorosha
Huyu baraza Jo.. he is very slw
We ndacha ni hatari ila achana sasa na midahalo na hao jamaa nenda ukahubiri injili watu waokoke rafki yangu. Mi niko arusha Tanzania
Huyu mzee hajui lolote yani huyu mzee ndio shee. Dah! Wewe toa ushaidi kuwa paulo sio mtume, sio unababaisha tu
Toa na wewe kuwa ni mtume,kama ni mtume alitumwa na nan
pingeni Lakin ukweli utabakia kuwa ukweli
Ndio utabaki kuwa ukweli kuwa hamna dini
@@muslihmohd9420 ww hata hujielewi unachozema
@@ashamasudi9441 ila wewe umezidi kwababu unashabikia kitu ambacho hikijui,mtu mwenye akili timamu hawezi kuita kiumbe cha mungu kuwa mungu.
@@muslihmohd9420 sijakuelewa
@@ashamasudi9441 nmesema mtu mweye akili timamu hawezi kumuita yesu mungu kwasababu ni kiumbe wa mungu tu umeelewa sasa
Ustadh Mohammad nisilimishiye kamoja kawe no.2
Popote pale haki itakuwa juu tu.
Yaaaani we mwislamu ata ujiurumiiiii ata nafsi yako uioneii aibuuu jamani kabisa ulivyo mdogo Nawahurumia jamani
hallelujah
Yeremia 50:6
Paulo anmpinga sana yesu ndio mana tuna sema sio mtume
Paulo hakurogwa kama Muhammad.
Endeleeni kusema,lakini mjue ya kuwa,Neno la Mungu Halibadiliki milele,Ambalo Ndilo Neno Takatifu, BIBLIA. biblia inasema makaazi ya wapinga Kristo wote, ni katika moto wa milele. Yesu yuaja. mkubali uepukane na HUO MOTO, AMBAO UTAKUWA MOTO KULIKO MOTO WENYEWE.
@@ngugimungai8510, Mungu wako kachezea kichapo barabara na watu. Na imani yenu mnaamini pia walimuua na wakamtundika juu kwa misumari.
Mungu tena au sanamu ndio utakalolifanya vyovyote linakutizama tu.
Mtume ni Mtu na ameletwa km kutuongoza. Na yale yanayomfika yy, hua km ni mafundisho kwetu ili tujue yanapotukabili sisi tunaoongozwa tufanye nini? Au ulikua unataka tuje kanisani tugaragare nguo zifunuke uchii, msukumiwa miguu kwa vishindo vyote ukeni ati ndio Shaitwani anatolewa. Poleni.
@@anthonyminjire8490, Kila siku mnabadilisha. Kaanza Paulo kafuatia king James n.k
@@ngugimungai8510 hakurogwa kwababu sio mtume maana mitume wote wamepewa mitihani ya kujaribiwa na mungu
Itakuwaje uamini kitu huna maandishi wewe wacha uongo na kuwapotosa watu...walimu waislamu hawajielewi kabisa...setani amewaingia akawapoteza...
Kupulizwa matako
hao waliokua wakisema hivo niwale makafiri waliokua hawataki uislamu ndo wakasema hivo
Hawa wanapulizwa kupulizwa😂😂😂..Tena kwenye matako...aaiiibu waislam
Jenga bada na usimame kwenye mada.. wacheni kulazimisha .
Pelekeni upotevu na propaganda zenu mbali
Mimi nabarikiwa nikiwa Bahrain. Lakini hua nahurumia waislamu namuomba Mungu awahurumie kwa maana ni shetani aliwandanganya
Paulo ni mtume wa mungu.
Rose mutinda. Jiurimie mwenyewe na family yako waislamu hawakuhusu.
@@emmanuelmataba5997 kama paulo ni mutum wa mung yes ni nan?
@@minaminaa1669 swadakt
Uongo mtupu
Pole ndugu, mungu aweze kufungua macho yako uyaone mambo yake.
huyu ndacha ni mrongo kabisa
Ndacha ni mtume
wewe ziba masikio kabisa, na uufunike ufahamu wako kabisa hata usifahamu msema kweli nani. badilikeni nyinyi waislamu mumujue Bwana Yesu ili Awaokoe. kando na hayo, mutateketezwa nyinyi wapinga Kristo, katika moto wa milele, Bwana yesu Atakaporudi. Hamulazimishwi na hamushurutishwi kumkubali, ni kwa hiari tu. na Tena kumpokea ni burebure haulipii chochote. Amua sasa, na hio ADHABU HAUTAIPATA KAMWE.KUJA KWA YESU. ASANTE.
Paul was choose by God when he was agast the word of n God diceded to use him to preach the gospel of Jesus christ
Amechaguliwa na Shaitwani mana hata Yesu anathibitisha kua muongo.
Kubali usikubali paulo mungu wenyewe alimchagua.
Mnasema uislam ni dini ya kweli wakati shetani ni muislam. Nomana majina ya walimu wao yanaanzia na she.
Na shetani petro n mkiristo ama hujui
🙏👏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇦🇪
Wewe Ni ushabiki tu nna hakika hujasoma Biblia vile inahitajika kusoma
Hao Jamaa Wana hama hama maada, Sasa huko Jangwani Kuna Kasoro gani? Na Paulo ana kili makosa aliyotenda Zamani, Sasa nyie mnatafsiri Kwamba hafai, Sasa Matendo 18:4-5 Kuna hoja gani Unayopinga hapo? Mbona Sijaona Hoja ya msingi ya wewe kupinga.
Mmmmmmmmmmh and we don't give a mmmh about it because Jesus is the lion of judah So Follow 🤷Muhammad at your own risk 😐Muhammad died a sinner and confess
Ushakubali Muhammad karogwa jmn mtume wa mungu karogwa hyo haezi kua mtume
Kurogwa sio ttz kwasababu yeye ni mtume wa mungu kama wengine na mungu aliamua tu kumpa mtihani kama alivowapa mitihani mitume wengine mfano ayubu alipigwa na maradhi mpaka mwili ukaoza shetani akamfata kutaka kumkufurisha ila imani yake ilikuwa kubwa.
Aya gani inasema ilkua mtihani
@@rammeysrambo887 kwaiyo wewe mpaka uambiwe kuwa ni mtihani kutoka kwa mungu inaonekana habari za unabii huzijui me nakupa mfano kwa mitume waliopita,wa kwanza nabii Ayubu.
Unafahamu fika kuwa Ayubu alipata maradhi mpaka mwili wake ukawa unatoka mafunza kwa kukuoza,wakeze wengine wakamkimbia,wanae wakafa,je huo haukuwa mtihani kutoka kwa mungu, pia Ibrahim aliambiwa amchinje mwanae wa pekee ili mungu kumuangalia atatii,yani baada ya miaka mingi huna mtoto halafu umeshampata unaambiwa umchinje huo sio mtihani kutoka kwa mungu
@@rammeysrambo887 Nikweli alilogwa kwa sababu Mtume Mohammad alikuwa ni mwanadamu ni sawa nanyie kwa maneno yenu heti Yesu ni Mungu mara Mtoto wa Mungu na alikufa Musarabani;Kweli Mungu anaweza kufa tena Musabani bora aliyerogwa kwasababu hakuwahi kujihita yy ni Mungu;Kwahiyo sio hajabu Binadamu Mohammad kulogwa!
Muhammad alirogwa hatuoni ajabu kwa sababu ni binaadamu
Ajabu kwa yesu mungu kala kibano akauliwa na akasulubiwa
Shida ya wahubiri wa kikristo hawawezi kukaa kwenye mada , lakini kawaida ya mfa maji hawachi kutapatapa.
Muhammad nabii wa waislamu alirogwa akafa na bado waislamu wanamfuta kwa shimo
Anti Christ n was katoloki for ur information waislamu
Sasa waislam siku zote wanachukia mtu anayehubiri injili sawa sawa. Hekima ya paulo haipo popote kwenye quran maana ana hekima ya roho mtakatifu. Sasa muislam anayetawaliwa na mwili atajuaje mambo ya Mungu. Ona tu mistari mirahisi ya biblia hawaelewi mpaka mwalumu wa kikristo awasaidie alafu bado wanadhani wanaelewa. Shida kubwa ya ujinga walionao ni kujidai na kufikiri wanaelewa kumbe hamna lolote
Awa jamaa sio wa kawaida kbs swali la kujiuliza ni ivi.Mohammed akukuta nabii yyte apa duniani mohammed kakuta vitabu vyotee apa duniani kakuta yesu anaitwa ivi ivi jee jina la issa kalitoa wp?swali la pili mohammed kakuta Paul kashakufa na kaandikwa kwenye bible jee Mohammed kapata wp mamlaka ya kumkataa Paul wkt Paul kaandikwa kwenye bible ambayo Mohammed kaikuta.apo ndipo nachoka mimi
Quran inasema ukiua lazima uhuawe pia mshindwe kabisa
Ebu nikuulize hivi wewe wataka uue mwenzako Kisha uwache jamaa zake wasilipize kisasai
Waislamu Kama wanamkataa ndacha uislamu wao hauwezi ukatimilika kwa maana wameamuriwa kuwakubali mitume wote, na Yesu ni Mungu
kwani ndacha ni mtume ama ni mtu wakawaida urongo mwingi wa kanisani hivo ndivo mnavodanganya .huyo yuko kazi analipwa kwa kupoteza umati upooo
tumieni akili acheni kudanganywa bibilia ziko Tele baada yakusoma nyinyi mwasomewa hao wachungaji wenu wanawapoteza
Kubisha na haya mbumbumbu wa biblia ni kupoteza muda
Yan huy ndacha simpend wallah allah tu anisameh man anadanganya wat hadharan
Ongea uongo wake ni gani
Ata yesu akupendwa.
Hama Stien imeingia hiyo Njio kwa yesu
Haupendi ukweli wake