UPI MUNGU WA KWELI KATI YA ALLAH NA BWANA YESU . NEXT PART WITH QUESTIONS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 175

  • @joemose1990
    @joemose1990 5 лет назад +2

    Pastor Andacha na Onyango mmeiva maandiko i love your explanation vile mnafafanua maandiko Roho wa Mungu na awazidi amina

  • @janek9103
    @janek9103 6 лет назад +13

    Am proud being born again Christian.i don't regart .hallelujah

    • @issackabdi7001
      @issackabdi7001 3 года назад +1

      Where is the word christianity from .. bibile

    • @issackabdi7001
      @issackabdi7001 3 года назад

      Very simple .quran 5.3

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 2 года назад

      @@issackabdi7001 is that word faith or are you here to just comment or spectate religion.

  • @nancynafula5477
    @nancynafula5477 6 лет назад +7

    wakristo tuko sawa mungu alimtuma yesu kuna kutuokoa hapa duniani

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Nancy Nafula KWA HIVYO MASHOGA NA WACHAWI WAKIMUAMINI YESU NA WAKIENDELEA NA UPOTOVU WAO, YESU ANAOKOA TU??? 😁😁😁

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 лет назад +1

      Nancy Nafula, naona km mnajizonga sasa Mungu kamtuma Mungu (Yesu) kuja kuwaokoeni? Hahahhaaa hatari. Sasa huyo Mungu alomtuma Yesu ndio Allah. Na ndio anaestahili kuabudiwa kwa hakk na sio aliyetumwa kuja kuwaokoa.
      Sisi waisilam tunawakubali na tunawaamini wote waliotumwa kuja kutuokoa, kutuongoza na kutukataza, lkn hatuwaabudu. Hata Nabii Issa alayhi ssalaam sisi waisilam tunaamini km atakuja kutuokoa kutokana na dhulma na mauaji tunayofanyiwa ktk dunia. Lkn hatutomuabudu. Na wala hatokuja kushika nafasi ya utume. Mana Mtume wa mwisho ni Muhammad (S.A.W). Na si Nabii Issa tu atakaekuja hata Imam Mahdi pia atakuja. Msome Imam Mahdi ni nan na atakuja kwann pia.

    • @tumainimayengela9637
      @tumainimayengela9637 6 лет назад

      wwe love mummy,unafahamu chanzo cha neno allah munayemusema mungu wenu? chanzo cha mungu nallah ni upagani,munaabudu tu pasipo kujua,kasome historia ya jiwe la alkaba ndo utayapata yote hayo ili uelimike.kweli nimuache yesu aliye njia na kweli na uzima halafu nimfuate muhamad anayeadhibiwa hadi leo huko kaburini? la hasha yesu wasaidie hawa waislamu wakujue na wakufuate wwe wapate kuurithi uzima wa milele pia maana ni watu wako pia ila hawajijui.

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 года назад

      Hahaaaa ati yesu alitumwa na Allah , hahaaa Allah ni kafili tu

  • @myself4128
    @myself4128 5 лет назад +3

    Allah sio mungu ila ni sanamu iliyopo macca pale al'qaaba wanaiita al hijjiru al answal pale ndipo waislamu woote duniani wanasali wakielekeza nyuso zao huko kama sisi tunavyofanya soma zaburi 121(psalms) nayainua macho yangu juu msaadawangu watoka kwa bwana......ukiomba lazima moyo wako na macho yako vielekee kule Mungu wako alipo....waislamu wanaenda maccakuzunguka mpaka makaburi huu ni upagani wa hali ya juusana

  • @everlynekaiga1784
    @everlynekaiga1784 5 лет назад

    Mungu ako ndani ya Yesu na Yesu yuko ndani mwat Mungu.kwa hivyo Mungu ni Yesu.God bless you pastor,hard job

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 5 лет назад

      So Mungu wenu alikufa kwa mjibu ya bibilia yenu???

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    Iam so proud of Teacher Francis Ndasha You always inspire me SIR. May God bless you Exceedingly

  • @orangiwiky2629
    @orangiwiky2629 6 лет назад +5

    Jamani mtumishi njoo sirari Kuria watu waokoke waislamu wanatuibia Wakristo sana

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    Praise God Teacher Francis Ndasha I love your madness keep uploading you never know who you are inspiring Nothing comes easy in life guys people never learn till they drop dead

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    Iam a new subscribe here. .I confirmed You are untouched SOUL Teacher Francis Ndasha MAY GOD Almighty bless you Exceedingly am moved, unbelievably. .I regret being a Muslim guy

  • @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
    @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 6 лет назад +6

    Nikweli waislam Niwabishi sana ila Mungu awasamehe

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana KWA SABABU MUNAABUDU MTU ANAYEKUNYA? KUNA TOFAUTI GANI NA BANIANI WANAOABUDU NG'OMBE?

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 лет назад

      Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana, kila kitu kipo dhahir, Allah akuongozeni. Mana bila muongozo msamaha hamna.

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 4 года назад

      Huyu ndacha nikichaa Anafaa Aplkwe terapii...Achunguzwe akili.....huyu shetan Amemnyea kichwa ..mavi yashetan imeharibu kichwa yake ..

  • @abdullahabdul7968
    @abdullahabdul7968 6 лет назад

    Oh! Poleni Sana wakristo ni Mara ya kwanza kuskia mungu anaongopa...

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 лет назад

      Sasa utajua nn ww upo gizani maandiko yapo wazi waislam wachawi na Mungu wenu fake maana Mungu wa kweli ni yesu kwa mujibu wa maandiko na vitabu vya kale so waislam majini waganga wotee ndugu ndio maana amna jini mkristo wala mganga mkristo

  • @nancynafula5477
    @nancynafula5477 6 лет назад +6

    aliyeniokoa ni yesu ilinipate kuokoka

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 6 лет назад +2

    Allah ameshusha uchawi unafananisha andiko la nyajati. Wacha ujinga. Huyo Allah sijaona sehemu amefanya hata muujiza wa paulo tu badala yake analaumu wakristo na wayahudi. Mie nilitegemea utuambie uweza wa Allah ili tujue kafanyaje. Allah amelia, anatia guu jehanam, ameshusha uchawi, anaapa kwa aliyeumba, mtume kalogwa, mtume hajui yatakayompata,

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Rapa Fata PAOLO ANA MWIBA WA SHETANI AMBAO MUNGU AMESHINDWA KUUTOA. HILI ANDIKO WALIJUA? 😁😁😁

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 лет назад

      Rapa Fata, Allah kawapa miujiza Mitume yake yote aliyoileta. Na Nabii Issa ( Yesu) naye ni miongoni mwa mitume iliyoletwa na Allah, Na sio Mungu

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 4 года назад

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu

  • @rubbenndege4379
    @rubbenndege4379 5 лет назад +2

    Acheni uyu yesu aitwe mungu

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 лет назад +1

    waislamu hawana roho mtakatifu!!

  • @nancynafula5477
    @nancynafula5477 6 лет назад +3

    hiyo ni yako na wengine Mimi ni mkristo aliyeniumba ni mungu.na kupitia kwa njia ya yesu Kristo nitauona ufalme wa mbinguni.kumbuka mungu ni mmoja,aliye kuumba ndie nani,na alimtuma yesu hapa duniani ili nisipotea kwa hivo yusu ndie njia ya uzima wa milele kupitia kwa yesu,my messages understand tat Tusibishane kwa neno LA MUNGU, ur behavior na mienendo ya imani yako ndio itakufanya uone ufalme wa mbingu[Amen]

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 6 лет назад +11

    waislamu nyinyi ndio wagalatia mlio rogwa msifahamu lolote kwakua hamyajui yakiroho

  • @myself4128
    @myself4128 5 лет назад +4

    Mohammad alipokufa ndio mwisho wa mafunuo na ndio mwisho wa allah
    Kqribuni kwa Mungu aliye hai

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    I just subscribe because of Teacher Francis Ndasha 's arguments with this confused element

  • @jorammarushwa1533
    @jorammarushwa1533 6 лет назад +5

    Mungu akubalik sana mch ungaji ndacha kwa kuwaelimisha waislam ingawa niwabish kama jiwe lakin watalainika kama mkate kwenye chai kwanza huyo wanae mwita mtume wao hajui kusoma wala kuandika wala mambo ya roho hawqyajui sasa wataelewa kwel tumuombe Mungu awafungue macho na roho mtakatifu awaongoze nanyie wachungaji msikate tamaa mwaka mmoja wataelewa nakumpokea Yesu kristo maana majini yame wafunga kwaiyo siokazi mdogo kuwaokoa

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Joram Marushwa WEWE NDIYE MBISHI KAMA MAWE. YESU ALIKUNYA KAMA WEWE, ATAKUWAJE MUNGU? HISTORIA YA YESU IMEFICHWA-YESU ALIKUWA WAPI KUANZIA MIAKA 12-30?

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Joram Marushwa SHETANI NI MALAIKA SI JINI KULINGANA NA BIBILIA.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 лет назад

      Joram Marushwa, Yesu na yy hakusoma hakua ni mwenye elm, soma biblia lako vzr utaona hayo

  • @janek9103
    @janek9103 6 лет назад +4

    Asiyekua na roho ndani ndani yake haya huwezi kuelewa.

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 5 лет назад

      Sasa wewe umeelewa nini hebu nkuulize wewe mwenye uko na roho Mungu huwa anakufa??

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад

    NDACHA huwezi kumfanyia Yessu kuwa Mungu kwa maana Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.
    Yakobo 1:17

  • @dodysngl4428
    @dodysngl4428 5 лет назад

    Mungu aruhumiye awa watu kwa kumtaja bwan yesu ivoooo

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад +2

    mbona usisome quran
    4:171
    5:116
    5:72-73
    aya inasema wanakuuliza kuhusu iyo roho Inalillah wainallah rajiun

  • @barackemanuely3906
    @barackemanuely3906 5 лет назад +3

    Mohammed alikuwa n monster aliyetoka kwa ibilis mjue hilo msisumbuke tubun mpate ondoleo la dhambi

  • @nangiromeshack8837
    @nangiromeshack8837 4 года назад

    Interesting

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 лет назад +2

    Hata mupiga kegele hawakumueliwa YESU Christo sasa wayawasikiya nyinyi tendeni yale alisema mwenda kwa kondoo waliyepotea sio waisilamu

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 года назад

    Yesu ni mungu wa kweli bila yeye hakuna mbingu

  • @thxzbst49cnh80
    @thxzbst49cnh80 6 лет назад +1

    Amen & Amen

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 5 лет назад +1

    Wakristo jameni kuweni na msimamo dhabiti Mara yesu nabil Mara mwana wa Mungu Mara Mungu mwenyewe sasa tutaamini gani???njooni kwa uisilamu, nyinyi wakristo mnajuwa sifa za Mungu? Yani Leo Mungu wenu alikufa na akakaa siku tatu?? Inalilah wa inalilah rajuni, Mungu wenu akazaliwa na kuvalishwa pambasi tena Mungu wenu ni mchafu kwa maana bibilia inasema aliye zaliwa na mwanamke yoyote ni mchafu, mshindwe

  • @alexwanjiku9569
    @alexwanjiku9569 2 года назад

    😇😇😇

  • @myself4128
    @myself4128 6 лет назад +5

    Sasa huyu ustaadhi au muhadhiri wa kiislamu anatukana eti blood fucking atakuwa na roho wa Mungu huyu au mapepo?? Hii sio dini ya Mungu ni wamepotea wote vipofu

  • @RajabKAMIS
    @RajabKAMIS 6 лет назад +1

    Ubishi mwingi usioleta faida. Wanapoteza watu njia ya kweli kuanziya kwenye mada yenyewe. Kwanza wangekubaliyana Allah ni nani, na Allah anapatikana wapi? Haina maana kufanya mijadala tu bila mpango wa imani.
    Anyway, ndugu zangu waisilamu watambuwe tu kwamba Yoshua Mesaiah hakuja hapa Duniyani ili ashindane na mitume akina Muhamad pamoja na kabla ya Muhamad😊
    Wanapoteza muda bure badala ya kumpokeya aliyekuja duniyani kwa ajili ya walimwengu wote. Wao ni kuzidi kupiganiya tu haki za mila na utamaduni vya waarabu, badala ya kushukuru na kupokeya kazi aliyofanya kupiganiya haki ya kila kiumbe alipo duniyani.
    Yoshua hakuja ulinwenguni ili awe kiongozi aina fulani; hakuja hapa duniyani ili afanye siasa; hakuja hapa duniyani ili aweke mbele masilahi ya kabila fulani au nnchi fulani.
    Hao watu wanajifanya wana imani ya kweli wanitiya huruma sana.
    Akini nina imana kubwa kuwa Roho wa Mungu atawaelekeza kwenye haki siku ni siku 😊
    Kama wanaamini kuwa Allah ndiye Mungu wa kweli, basi wape habari hii njema kuwa huyo huyo Yoshua wanaemchezeya ndiye Allah mwenyewe ambae aliwatembeleya hapa duniyani ndani ya mwili wa mtu, akaishi nao, akawafundisha mwenyewe ana kwa ana, akatibu walemavu, wapovu na akafufuwa wafu mbele zao. 😊😊
    Habari njema leo ni kuwa waisilamu wengi wamekuwa wakiamini na kumpokeya moyoni mwao Yoshua 😘 Roho Mtakatifu anatutembeleya kila siku kwa wingi. Ukweli tumeisha ujuwa sasa. Yoshua hakuwa mtume wa kawaida! Bali Mungu ndani ya watu!😍

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 3 года назад

    Plz waislamu msifanye kanisa sifungwe plz ndacha hatapata sadaka yake

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 6 лет назад +4

    Sasa shekh mbona nimesikiza kwa makini sioni allah akisaidia

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Rapa Fata YESU ALIKUNYA KWANZIA MIAKA 12-30.WAPINGA?

    • @janek9103
      @janek9103 6 лет назад +1

      Rapa Fata fuata Yesu nahutapoteya

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Jane K ULEVI,UMALAYA,KUDHULUMIWA(KUPANDA MBEGU) UNAFANYWA KANISANI😁

    • @janek9103
      @janek9103 6 лет назад +2

      salim harun mie nimesema afuate yesu basi.za umalaya na ulevi sijui zinakujia wapi

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      MAKANISA YOTE NI KAMA YA KANYARI. HAKUNA TOFAUTI. ENDELEA KUPANDA MBEGU😁😁😁.MAPASTORS WANANUNUA NDEGE NA MAJUMBA YA KIFAHARI.

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 3 года назад

    Hiyo suali ni ngumu ...ati jesus saying am God worship me ....maybe new bibble written in kinyanga ....or in the daily nation

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 года назад

    Ndacha Amedungwa mwiba washetsn.
    .Shetan mkuu.Amefanya haja kuu kwakichwa yake.mavi yashetan iko kwakichwa yake...Hana Akili wala faham shetan Ameharibu Akili yake...huyu nikichwa koko chizi sana huyu...wenzake wengi wamslim lkn yeye bado Yuko kwashetan kanisani
    ..

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 6 лет назад

    Mmmmmhhh waislam nawaambia motoni lzm mfike Mohammed kawaalibu

  • @Streetplaces
    @Streetplaces 3 года назад

    CHRIST is our God .

  • @alimussa5560
    @alimussa5560 4 года назад

    It is just striking that a humbeing can be Educated but still be blinded by a Faith in put by doctrine. Each and Everyone will Carry his or her Own Cross. Jesus never claimed to God or Son of God. That is clear in the Bible in both the Old testament and even in these other versions that have been written recently.

  • @alimajamo4848
    @alimajamo4848 5 лет назад

    Yesu nimuisilamu alingia sinangongi msikitini Allah awaongoze wakristo poleni sana

    • @lucybenjamini4925
      @lucybenjamini4925 5 лет назад +1

      aliingia katika sinagogi kwa sababu ya kutokuamin kwaoo lakin aliingiaa katika hekalu ambalo ni kanisaa kwendaa kusali hahahahaahhaahah polee sana dada

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      ali majamo 😂 Ali silimishwa na nani Kama ni mwisilamu. Na Nani alikwambia sinagogi ni mskiti.

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      @@قاسمابنماءالسماء wewe rudi shule Kwanza synagogue ilikwa ya jews si waisiliamu. Toa angiko wapi jews walikwa wana soma Quran. Synagogue ni mbili kwa bibilia moja ya jews na moja ya shetani. Sasa wewe una kuja na hoja dhaifu.

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 года назад

      Yesu mwislamje , unausingizi wewe

    • @pippipa920
      @pippipa920 4 года назад

      Tafuta na pambana ujue kuna sinagogi na msikiti

  • @athumanijuma6553
    @athumanijuma6553 3 года назад

    enyi makafiri.....msishabikie hawa wayageuzayo maandiko namna wapendavyo ili kupindisha ukweli bali tafuteni quran mjisomee mpate okoka na moto wa milele

  • @barackemanuely3906
    @barackemanuely3906 5 лет назад

    Jaman yesu sio isa muelewe hilo....isa huyo alizaliwa chin ya mtende wakat yesu alizaliwa bethelehemu ya uyahud kwenye hori la kulia ng'ombe... Isa huyo alikuwa n jin jaman...na mtume wao alikuja dunian na majin kuja kuharibu njia maana shetan huwa anapenda sana watu wasiende mbingun

  • @dodysngl4428
    @dodysngl4428 5 лет назад

    Hakika kweli ndio hiii kuusu sa kristu

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад

    Am hoping the Muslims who are truly seeking the truth wanaskia vile hawa masheikh wanaongea.....Muslims please fungueni macho

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад +4

    Don't argue with a muslim...its jst pointless anyway....ata uwaelezee bado hawataelewa

    • @issackabdi7001
      @issackabdi7001 3 года назад

      Bring verse from bibile ukristo ni dini tu

  • @juariaswabrina4549
    @juariaswabrina4549 4 года назад

    Hakika wakristo mna macho lkn hamuoni lkn ipo siku mtaona na hiyo time itakua too late

  • @abdallahtsuma5610
    @abdallahtsuma5610 3 года назад

    Pastor ww hakuna kitu kabisa coz hauna hoja

  • @puritykagendo1640
    @puritykagendo1640 5 лет назад

    Jameni mkubalini yesu mpone.

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 лет назад

    Ninajivunia kuwa muislam wakristo tumewajua uongo went mnao danganya watu kanisani poleni sana huyu mtu anawadanganya

  • @mwalimumhunzi6694
    @mwalimumhunzi6694 6 лет назад +1

    Nye mwapotezaga tu muda, mine wake midahalo mabao watu ambayo hawana dini! Etii wanajiitaga Wakristo wakati hakunaga dini inauoitwa UKRISTO no c maneno yangu Ila Bibli ndo kunaandiko Ukristo nijina la kupanga tu limepangwa na Wapagani wa Antokiaaa (Matendo ya mitume 11;18-20).Hivyo hao/hawa wanaojiita Wakristo kwa mujibu wa Biblia hawana dini maana UKRISTO ni jina la kupanga tuu! Sasa watuabie hawa ni dini gani kama si Makafiri/Wapagani ?

    • @dodysngl4428
      @dodysngl4428 5 лет назад

      Ni kweli sisi atuna dini lakini sisi ni njia ambayo tunaifata niya kweli na uzima kwamaana akuna dini unaweza kufikisha mtu mbinguni kwa baba ila iyo injiya y'a kweli iko inasema ivi mimi ndimi njia y'a kweli na uzima

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 6 лет назад

    Muombeni mwenyezi mungu..kwa kina la Allah....hapo naona watu wawili hapo

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 6 лет назад +2

    Mtume kaoa katoto kadogo, mtume anaswaliwa, allah ana jicho moja na kati ya macho yake pameandikwa neno kafir, Quran imeandikwa walevi, mbingun Luna ulevi.

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад

      Rapa Fata MFALME DAUDI ALIKUWA NA MABIBI 100.MFALME SOLOMON ALIKUWA NA MABIBI 1000.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 лет назад

      Rapa Fata, mwenye jicho moja ni Dajjal, Quran haijaandikwa na walevi. Na kwa taarifa yako ukisikia peponi kuna vilevi. Sio vilevi hv unavyokunywa ww na wenzio. Mkaumiza mapafu na vibofu vya mikojo. Na km kaoa katoto kadogo, fuatilia bibi yako kaolewa ana umr gani? Mama ako bb yako kampeleka kwa mume hata hajakuwa mwari, hahahaaa. Ww lala tuu. Ati kafa kafufuka, na tunakula na kunya sote

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 4 года назад

      Kaoa katoto kadogo kwa ni mwanao au Allah anajicho moja kwanza ww kafiri mkubwa wa kubwabwajika hovyo hovyo chunga maneno yako yasiyo kuwa na ushahidi andiko gani lilithibitisha Allah anajicho moja?

  • @aidarusabubakar5776
    @aidarusabubakar5776 6 лет назад +1

    Mungu kazaliwa kisha katahiriwa baada ya siku nane.loh wakiristo muna shida..

    • @maryrosa4995
      @maryrosa4995 6 лет назад +2

      Aidarus Abubakar sikiza na uelewe maandiko alikuja Kwa mfano wa mwanadamu.lakini juu nyinyi mnaelewa kibinandamu,kama q'oran

    • @aidarusabubakar5776
      @aidarusabubakar5776 6 лет назад

      Mary Rosa..enhe kisha Mukaamua Kumsulubisha ili musamewe dhambi zenu?..mumemua Mungu mwili..lol..it doesnt make sense..ushirikina tuu huo kunfanya Mtume Mungu.

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 лет назад +1

      Wakristo hawana akili ata kdg

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 лет назад +1

      KISHA MUNGU ANAKUNYA? 😁😁😁

    • @mbularose1525
      @mbularose1525 6 лет назад

      Aidarus Abubakar wewe unakaa tu huyu musa haelewi lolote.Elimu ya msikiti haitakusaidia kuelewa bibilia

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 лет назад

    wakristo Someni biblia vizuri Alafu hizi video zenu mbona mwaondoa waislamu mwajiachilia wenyewe. yesu si mungu wala si mwana wa mungu.

    • @evalineakuku590
      @evalineakuku590 5 лет назад

      hamisi kulola yesu ni mungu ndiye atarudi siku ya mwisho

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 3 года назад

    Umesahau ya kuwamba one of the jesua student was devil why do you forget such

  • @lucymwega784
    @lucymwega784 6 лет назад

    waislamu niwaulize ni wapi Mungu amesema ati Muislamu pekee ndo atapata wokofu pateni kushindwa kabisa nendeni mkaoulizwe matako na Muhammed kwenye mskiti waacheni wakiristo

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад +1

      sasa wewe Unamchukia Muhammad kwa sababu gani? ata uelewi mada yazungungumzia nini 😏

    • @lucymwega784
      @lucymwega784 5 лет назад

      @@minaminaa1669 simjui simpendi niache mtu alikufa na akazikwa

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 5 лет назад +1

      @@lucymwega784 wewe hutakufa? Utafwata nani??

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 года назад

      @@lucymwega784 hahaaaaa mhamedi alikuwa mwehu mwizi wa aya za bibilia

    • @janualjulias7348
      @janualjulias7348 3 года назад

      @@lucymwega784 dada punguza ukari wa maneno

  • @firstlady8893
    @firstlady8893 6 лет назад

    Proud to be Muslim

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 5 лет назад

    waislam wajinga sana hawana lolote ukiambiwa kusoma 1 Timothy 3:16 soma yote usikie kuna maji moto mnakimbia bila kumaliza kusoma verse hahahha

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад

      nzambimana merthusjose yani yesu alikufunza uambie waislamu ni wajinga? ????

    • @ashamasudi9441
      @ashamasudi9441 5 лет назад

      mjinga ni yy anae danganya na ndacha wala hajielewi kazi ni kila mavi ya yesu kanisani

  • @rskiabdala4868
    @rskiabdala4868 6 лет назад

    Pumba tupu zinoongelew apo