Это видео недоступно.
Сожалеем об этом.

Maswali ya Biblia kwa Watoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 май 2024
  • Maswali ya Bibilia kwa watoto
    1. Kulingana na Kitabu cha Mwanzo, Mungu alichukua siku ngapi kuumba ulimwengu?
    a) 4
    b) 2
    c) 6
    d) 7
    2. Baada ya mafuriko wakati wa Nuhu, Mungu aliweka ishara gani angani kuwakumbusha watu kuwa angefanya mafuriko tena?
    a) Nyota
    b) Mwezi
    c) Upinde wa mvua
    (d) Moto
    3. Mungu alipumzika siku gani baada ya kuumba mbingu na ardhi?
    a) 4
    b) 1
    c) 7
    d) 6
    4. Mungu alituma mapigo mangapi kwa Wamisri?
    a) 12
    b) 10
    (c) 8
    d) 5
    5. Mungu alimwita na kumtuma nani kuwaokoa Waisraeli kutoka Misri?
    a) Samweli
    b) Paulo
    c) Isaya
    d) Musa
    6. Mke wa Ibrahimu alijulikana kama?
    a} Sara
    b) Hawa
    c) Rebeka
    d) Hana
    7. Ni nani aliyetupwa baharini na kumezwa na samaki baada ya kukataa kwenda Ninawi?
    a) Yakobo
    b) Adamu
    c) Yona
    d) Petro
    8. Mtoto wa Ibrahimu na Sara aliitwa?
    a) Daudi
    b) Yusufu
    c) Isaka
    d) Sulemani
    9. Yesu alibatizwa na nani?
    a) Yohana
    b) Gabrieli
    c) Zakaria
    d) Anania
    10. Watu wangapi waliingia katika Safina wakati Mungu aliimaliza dunia na gharika?
    a) 7
    b) 6
    c) 8
    d) 4
    Roundi 2
    1. Maneno ya kwanza Mungu aliyosema katika kitabu cha mwanzo ni yapi?
    a) “Iwe nuru”
    b) “Hapo mwanzo”
    c) “Inapendeza”
    d) “na iwe Jua”
    2. Mfalme Solomon alimwomba Mungu ampe nini?
    a) Utajiri
    b) Hekima
    c) Ufalme Mkuu
    d) Umaruufu
    3. Wageni wangapi walimtembelea Ibrahimu na Sara nakuwapea ujumbe kuwa wangepate mwana mwaka uliofuatia?
    a) 5
    b) 4
    c) 2
    d) 3
    4. Mji wa kwanza katika Biblia uliitwa?
    a) Babeli
    b) Henoko
    c) Yerusalemu
    d) Sodoma
    5. Kama Mkiristo unafaa kufanya nini kuwa na uzima wa milele?
    a) Kuenda Kanisani
    b) Kufanya matendo mema tu
    c) Kumkubali Yesu kama mwokozi wetu.
    d) Kuwa mzuri kwa watu wote
    6. Nani alikuwa mwanafunzi wa kwanza wa Yesu kuuawa?
    a) Yakobo
    b) Judas
    c) Stephen
    d) John
    7. Yuda alipewa vipande vingapi vya fedha kumsaliti Yesu?
    a) 30
    b) 35
    c) 50
    d) 40
    d) Hana
    8. Yesu alisema mara ngapi tunapaswa kusamehe mtu aliyetukosea?
    a) Mara saba
    b) saba mara sabini
    c) mara mia nne
    d) mara sabini
    9. Baada ya Yesu kufufuka alikaa siku ngapi duniani kabla ya kwenda mbinguni?
    a) 40
    b) 7
    c) 21
    d) 14

Комментарии •