Hadithi za Biblia
Hadithi za Biblia
  • Видео 25
  • Просмотров 58 505
Mwana Mpotevu- Luka 15: 11-31; Luke 15: 11-31
Mwana Mpotevu-
Kisa cha mwana mpotevu kinavutia, tunaona matukio matano yaliyopitiwa na Mwana Mdogo wa tajiri fulani.
#mwana mpotevu
#hadithizabiblia
#hadithi za biblia
Просмотров: 13

Видео

Sodoma na Gomora- Mwanzo 19: 1-28
Просмотров 44712 часов назад
Zama za Kale Katika nchi ya Kanaani, karibu na Mto Yordani, kulikuwa na miji miwili ambayo majina yao yalijulikana kwa dhambi na uozo wa kimaadili - nayo miji hiyo ni Sodoma na Gomora." #hadithizabiblia #hadithi za biblia #sodoma na Gomora
Anguko la Wanadamu katika Dhambi- Mwanzo 1-3: Genesis 1-3
Просмотров 2,8 тыс.14 дней назад
Mungu aliwaumba wanadamu wakiwa wa kipekee. Miongoni mwa viumbe vingine vyote, hao tu ndio waliumbwa kwa mfano wa wake. Wako na uwezo wa kumjua na kunena na Muumba wao. Ili kuwapa vyakula, Mungu alipanda bustani upande wa mashariki wa Edeni. Kila mti unaotamanika kwa macho na kuliwa ulikuwa katika bustani lile. Katikati Edeni, palikuwa na mti miwili isiyo ya kawaida. Wa kwanza ulikuwa mti wa uz...
Ayubu
Просмотров 1,7 тыс.21 день назад
Ayubu Kwa nini mtu mwenye haki ateseke na kupoteza kila kitu alicho nacho? Je, ni dhambi ndiyo inayoleta mateso katika maisha yetu, au kuna mambo mengine? Hadithi ya Ayubu inatupa mafunzo kadhaa ya kuvutia ambayo tunaweza kujifunza kuhusu maisha #hadithizabiblia #mateso ya Ayubu #ayubu #hadithi za biblia
Hadithi ya Ruthu- Ruth 1-4
Просмотров 3 тыс.Месяц назад
Hadithi ya Ruthu- Ruth 1-4 Ruthu akashikilia sana mkwewe, alikuwa tayari kuachana na maisha yake ya Moabu, desturi zake, miungu yake na familia ilikukumbatia maisha mapya na Naomi na Mungu wa Israeli. #hadithizabiblia #hadithi za biblia #storytime
Eliya Alibebwa Mbinguni na Gari la Moto
Просмотров 7 тыс.Месяц назад
Eliya - Alibebwa Mbinguni na Gari la Moto Katika nchi kame ya Gileadi, alitokea mtu aliyekusudiwa manabii mkuu katika historia ya wanadamu. Jina lake aliitwa Eliya. #hadithizabiblia #hadithi za biblia #elijah #eliya
Mnara wa Babeli-Mwanzo 11:1-9
Просмотров 3,3 тыс.Месяц назад
Mnara wa Babeli-Mwanzo 11:1-9 Katika kitabu cha Mwanzo sura ya 11, inasimulia hadithi ya watu walioishi baada ya Gharika. Wote walikuwa na lugha moja na walikaa mahali pamoja. Kisha wakapanga kujenga jiji na mnara mrefu sana ufikao mbinguni ili kujitengenezea jina. Walitaka kufanya hivi ili wasisambazwe duniani kote. Lakini Mungu alichanganya lugha zao ili wasiweze kuelewana na ujenzi wa mnara ...
Samsoni- Judges 13-16; Kitabu cha Waamuzi 13-16
Просмотров 7 тыс.2 месяца назад
Samsoni hakuwa mtu wa kawaida tu-alikuwa mtu mwenye nguvu zaidi aliyewahi kuishi! Mungu alimpa nguvu hizo za ajabu kwa sababu alikuwa na mpango maalum naye. #hadithizabiblia #hadithi za biblia #samsonanddelilah
Gideoni - Watu 300 kupigana na Jeshi la watu 135,000, Judges 6-8
Просмотров 7142 месяца назад
Gideoni - Judges 6-8 Ingawa jeshi la Gideoni lilikuwa watu 300, kwa msaada wa Yehova, walifanikisha kuwafurusha adui yao mkubwa. #hadithizabiblia #hadithi za biblia #gideons #gideoni
Yesu Amponya Mtu Aliyezaliwa Kipofu- Yohana 9
Просмотров 4732 месяца назад
Yesu Amponya Mtu Aliyezaliwa Kipofu- Yohana 9 Kisa hiki kutoka Kitabu cha Yohana 9 kinaonyesha jinsi Yesu alivyo mponya mtu aliye zaliwa kipofu. Tunapata funzo kwamba hakuna jambo lolote ngumu kwa Mungu na wakati mwingine mema anayotundea hayawafurahishi watu wote. #hadithizabiblia #hadithi za biblia #Miraclesofjesus #miujiza ya yesu
Kuzaliwa kwa Samweli- 1 Samweli 1
Просмотров 1 тыс.3 месяца назад
Kuzaliwa kwa Samweli: Hannah alienda katika nyumba ya Mungu kuomba. Ndani ya nyumba ya Mungu aliishi kuhani aliyeitwa Eli. Hannah alikuwa na uchungu mwingi ndani yake. Aliomba huku akilia kwa uchungu. Aliweka nadhiri, akisema, "Bwana Mwenyezi, ikiwa utaiangalia shida ya mtumishi wako na unikumbuke. Unipe mwana, basi nitakupa huyo mwana siku zote za maisha yake. Wembe hautapita kichwani mwake ka...
Miujiza ya Yesu Kristo Kuwalisha Watu 5000 {Mathayo 14:13-21; Yohana 6:1-13}
Просмотров 4,8 тыс.3 месяца назад
Miujiza ya Yesu Kristo Kuwalisha Watu 5000-Mathayo 14:13-21; Yohana 6:1-13; Yesu alikuwa amechoka na alitaka kutumia muda na wanafunzi wake. "Hakuna hadithi nyingine kwa sasa," Yesu akasema. Walipanda mashua wakavuka ziwa la Galilee. Walipofika ng'ambo ya pili, umati mkubwa wa watu ulimmfuata kwa sababu waliona miugiza aliyokuwa amefanya kwa kuwaponya wagonjwa. Ndipo Yesu akapanda mlimani na ku...
Maswali ya Biblia kwa Watoto
Просмотров 7274 месяца назад
Maswali ya Bibilia kwa watoto 1. Kulingana na Kitabu cha Mwanzo, Mungu alichukua siku ngapi kuumba ulimwengu? a) 4 b) 2 c) 6 d) 7 2. Baada ya mafuriko wakati wa Nuhu, Mungu aliweka ishara gani angani kuwakumbusha watu kuwa angefanya mafuriko tena? a) Nyota b) Mwezi c) Upinde wa mvua (d) Moto 3. Mungu alipumzika siku gani baada ya kuumba mbingu na ardhi? a) 4 b) 1 c) 7 d) 6 4. Mungu alituma mapi...
Yona kumezwa na Samaki- (Book of Jonah 1-4)
Просмотров 14 тыс.4 месяца назад
Yona kumezwa na Samaki Yona alikuwa nabii, ina maana aliwapelekea watu ujumbe kutoka kwa mungu. "Siku moja, mungu mwamuru Yona na kumwambia “ Nenda Ninawi, ukawaambie watu huko waache kuwa wabaya’. Lakini yona hakutaka kwenda ninawi. Yona aliamua kukimbia maagizo ya mungu.
Ibrahimu na Sara - Mwanzo 18: 1-15
Просмотров 1,2 тыс.4 месяца назад
Ibrahimu na Sara - Mwanzo 18: 1-15
Danieli Akataa Chakula cha Mfalme- Danieli 1: 1-21
Просмотров 1704 месяца назад
Danieli Akataa Chakula cha Mfalme- Danieli 1: 1-21
Kifo cha Yesu
Просмотров 3625 месяцев назад
Kifo cha Yesu
Zakayo Shuka Chini-Luka 19:1-11
Просмотров 2,8 тыс.5 месяцев назад
Zakayo Shuka Chini-Luka 19:1-11
Ukilala Sana Utakuwa Maskini- Mithali 6: 9-11
Просмотров 665 месяцев назад
Ukilala Sana Utakuwa Maskini- Mithali 6: 9-11
Yoashi Arithi Ufalme na Umri wa Miaka 7 - 2 Wafalme 11: 1-12:21
Просмотров 1076 месяцев назад
Yoashi Arithi Ufalme na Umri wa Miaka 7 - 2 Wafalme 11: 1-12:21
Wanafunzi wa Yesu Washusha Nyavu
Просмотров 7 тыс.6 месяцев назад
Wanafunzi wa Yesu Washusha Nyavu
Nuhu na Safina
Просмотров 2626 месяцев назад
Nuhu na Safina
Daudi na Goliathi
Просмотров 2116 месяцев назад
Daudi na Goliathi

Комментарии