NIKO KAMA PICHA DUNIANI BY DANIEL SIFUNA. || MASHAKA MASHAKA TWAYAONA || HAPA DUNIANI SIO KWETU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 548

  • @FibiNanjala
    @FibiNanjala 4 дня назад

    Yenyewe ni mungu tuu,nijapo anguka,ni mungu tuu aniongozae,utukufu kwa mungu❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BossWanyitikha
    @BossWanyitikha 12 дней назад +1

    MayGodbless you❤

  • @centynafula7080
    @centynafula7080 8 месяцев назад +55

    Nijapo anguka, najua nitasimama tena ,kimbilio langu n kwa Yesu 🙏

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 месяцев назад +8

      Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤

    • @BrendaBrendaTete
      @BrendaBrendaTete 7 месяцев назад +3

      Amen God bless you man of God kuwa na hiyo moyo wa kutusongesha mbele za bwana kuwa na imani brother yangu usikate tamaa mbingu itakapo funguka utakuwa wa kwanza kuingia mbinguni ❤❤❤you my brother tank you ❤❤❤❤❤❤🎉

    • @DavidMusyoki-rb3nu
      @DavidMusyoki-rb3nu 7 месяцев назад +1

      Amen

    • @DavidMusyoki-rb3nu
      @DavidMusyoki-rb3nu 7 месяцев назад

      ​@@danielsifuna7377Man of God can I get your number

    • @EuniceWanza-j7d
      @EuniceWanza-j7d 5 месяцев назад

      Amen

  • @LOYCEOMINI
    @LOYCEOMINI 7 месяцев назад +5

    Amen 🙏 🙏 🙏, ninaposikiza huu wimbo huwa unanipa faraway na amani moyoni mwangu barikiwa sana ndugu yetu na Mungu akaweze kupanuwa huduma yako.

  • @jacquie329
    @jacquie329 6 месяцев назад

    Hallelujah. Kimbilio langu ni kwa Yesu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @mariemwende9751
    @mariemwende9751 8 месяцев назад +3

    Sijui Mungu ametutolea wewe wapii nice songz akiee keep up 😫

  • @JacklynAliviza
    @JacklynAliviza 15 дней назад +1

    My favorite song, umenikumbusha mbali tukiwa wadogo

  • @BrianOmbaba
    @BrianOmbaba Месяц назад +2

    kweli wimbo huu umenikumbusha mbali sana naomba mungu alinde familia yangu siku zote

  • @chelseasweetie4134
    @chelseasweetie4134 7 месяцев назад +3

    Amen,your a blessing to me ,Yesu ndiye kimbilio langu🙏

  • @GloriaBlessed-f8n
    @GloriaBlessed-f8n 26 дней назад

    Nishike mukono mungu wangu nakupeanda sana ohh my God this song is very nice my follow uganda

  • @JosephMahu-o3d
    @JosephMahu-o3d 7 дней назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @EliyaNajem6
    @EliyaNajem6 3 месяца назад +1

    Kwetu ni mbinguni,very true

  • @faithkalondu3053
    @faithkalondu3053 7 месяцев назад +1

    That song weeeee n kali, inakufanya utafakari mbinguni😢😢😢😢😢, mungu nisaidie kusimama

  • @MercyCheptoo-fx8nl
    @MercyCheptoo-fx8nl 8 месяцев назад +1

    Amen🙏🙏🙏🙏 sikujui but nimependa wimbo yako,so touching 😊

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 месяцев назад +2

    Amen amen amen Mtumishi wa Baba yetu aliye Mbinguni. Amen.

  • @nifavihenda564
    @nifavihenda564 8 месяцев назад +2

    Amen hii wimbo inanifanya nijue hii Dunia tumerent saa yeyote tunaeza acha na kueda yes

  • @harietagesa40
    @harietagesa40 8 месяцев назад +1

    Amen, Amen. Amen. Am really blessed, duniani si kwetu,makao mazuri ni mbinguni

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 6 месяцев назад

    Mungu nishike mkono nizizame wakati huu mgum kwangu 😢😢🙏🏻🙏🏻

  • @GladysWamboi-ne7zb
    @GladysWamboi-ne7zb 6 месяцев назад +1

    Mungu wangu tuzidishiye upendo wa kristo. Moyoni 🙏🙏🙏

  • @stephensadike6119
    @stephensadike6119 7 месяцев назад

    Barikiwa sana ndugu Daniel sifuna ❤❤ wimbo umenibariki🙏🙏🙏

  • @Wambua1-v2r
    @Wambua1-v2r 6 месяцев назад +1

    Amazing song❤❤❤❤❤

  • @PriscahAtieno-cd4pm
    @PriscahAtieno-cd4pm 8 месяцев назад +1

    Aman and Amen Glory to God kweli kimbilio letu ni kwa Yesu

  • @newtonwanyama1846
    @newtonwanyama1846 6 месяцев назад +2

    Amen 🙏🙏, Mungu tushike mkono nchi yetu ya Kenya isizame 😥

  • @AlexNyambane
    @AlexNyambane 7 месяцев назад +3

    Barikiwa mtumishi wa Mungu ,huu wimbo ni mzuri wa kutuliza roho ns kutupea tumaini

  • @GladysOchola
    @GladysOchola 8 месяцев назад +1

    Hakika mwenyezi mungu ndiye kimbilio letu. Ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @Sarahmanasl
    @Sarahmanasl 8 месяцев назад +1

    Amen amen barikiwa sana in Jesus name 🙏🙏🙏🙏💞

  • @MetrineSitati
    @MetrineSitati 6 месяцев назад +1

    Amen man of God ubarikiwe sana qw kwel wimbo huu unanifariji sana

  • @shahlovequeen
    @shahlovequeen 3 месяца назад

    Ukweli ndunia c yetu,,,kama mm sioni mahali naenda wala nimetoka😞🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MargaretMakau-w8o
    @MargaretMakau-w8o 3 месяца назад

    Sote twabiria dereva ni mungu na kimbilio letu ni yesu😊😊

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 8 месяцев назад +2

    Wow, hallelujah 🙏🙏 Kimbilio langu ni kwa Yesu kristo 🙏🙏, Glory be to God

  • @MaryMukite-on3bw
    @MaryMukite-on3bw 8 месяцев назад +2

    Enyewe maisha ya sai bila yesu sioni kitu kabisa keep it up

  • @TrizzahWanjala
    @TrizzahWanjala 8 месяцев назад

    Ameni man of god 🙏🙏🙏 sis ni picha tu

  • @ElizabethStephen-cy4pj
    @ElizabethStephen-cy4pj 7 месяцев назад +1

    Aki hiyo song we Iko poa sana may God bless you

  • @kidawaadam2725
    @kidawaadam2725 8 месяцев назад +1

    Amina mungu nimwema kweri nitajificha kwa yesu amina

  • @teresiawanjiru66
    @teresiawanjiru66 8 месяцев назад +1

    Wow karibu niokoke nafeel if nko heaven nikiimba na malaika

  • @teresiawanjiru66
    @teresiawanjiru66 7 месяцев назад

    Wimbo xmart wantulixa roho 🙏🙏🙏🙏

  • @jacquie329
    @jacquie329 6 месяцев назад

    Jesus is our Fortress we run for Safety. Hallelujah ❤❤❤❤

  • @Terry-hm6gw
    @Terry-hm6gw День назад

    This song makes me feel am nothing ooooh my God help me in this journey ❤❤❤😢

  • @emmanuellisangari3728
    @emmanuellisangari3728 6 месяцев назад +1

    Very nice gospel,it carries a big message.Unatia moto kweli kaka.

  • @SgsgGsgs-zk9ib
    @SgsgGsgs-zk9ib 7 месяцев назад +1

    B blessed, your songs sinanifanya nakarimbia Mungu wangu, mungu hakuinue zaidi

  • @RehemaTserea
    @RehemaTserea 6 месяцев назад +1

    Kweli haya maisha ni safar lakini naamini ntashinda eee mungu nipe nguvu ya kushinda na Amin ushindi❤

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243 8 месяцев назад +3

    AMEN 🙏 Glory Be To God Almighty 🙏 Bwana Akubariki Mtumishi

  • @williammduma5551
    @williammduma5551 6 месяцев назад +2

    Hakika wimbo huu ninapousikiza unanifariki Sana mungu akubari sana

  • @SammyodhiamboOuko
    @SammyodhiamboOuko 6 месяцев назад

    Shukrani kwa Wimbo huu mola azidi kukufunulia mengi

  • @JoscaMwalo
    @JoscaMwalo Месяц назад

    Whenever am down, this song pulls me🙏🙏🙏🙏

  • @geoffreymangera9344
    @geoffreymangera9344 8 месяцев назад +3

    Amen amen kweli kimbilio letu ni Kwa yesu

  • @estherwamalwa3881
    @estherwamalwa3881 8 месяцев назад +1

    Wonderful my lovely brother hii song nilipenda nikiwa young

  • @AAh-ew5ty
    @AAh-ew5ty 8 месяцев назад +1

    Nishike mkono nisisame mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 6 месяцев назад +1

    Barista sana mtumishi wa Mungu kwa kututia moyo.

  • @annahwayuaken6738
    @annahwayuaken6738 8 месяцев назад +1

    Amen ilove your songs it blessed me me so much 🙏

  • @gloriachepkorir784
    @gloriachepkorir784 7 месяцев назад +1

    Amen..Makao yetu ni mbinguni..

  • @MajorApollo-f3h
    @MajorApollo-f3h 6 месяцев назад +1

    Nimependa hi wimbo Sana mungu wa amani akujaze

  • @nellyjepchumba
    @nellyjepchumba 8 месяцев назад +1

    Amen 🙌🙏,this song rimains me about my late beloved mom Alikuwa ananipenda kweli😭😭😭,RIP murm

  • @EstherToroyi
    @EstherToroyi 6 месяцев назад

    Barikiwa sana mungu akuinue sana ni ufunguo mkubwa

  • @AndreMkd-ky8lm
    @AndreMkd-ky8lm 8 месяцев назад +2

    truly glory to him who lives for centuries and who is our refuge.. God bless you man of God

  • @VayoReuben
    @VayoReuben 6 месяцев назад +1

    Amen mwimbo unaguza moyo kimbilio ni mungu

  • @mamaleah646
    @mamaleah646 8 месяцев назад +1

    AMEEEN huu Wimbo umenikumbusha mambo mingi😢😢

  • @IreneTirienda
    @IreneTirienda 5 месяцев назад

    Amen and amen thanks for God bless you Lord 🙏🙏🙏

  • @JacintaKamene-i1m
    @JacintaKamene-i1m 7 месяцев назад

    🙏🙏🙏hakika niko kama picha duniani

  • @wilycksterwere1921
    @wilycksterwere1921 7 месяцев назад +3

    Amen Amen
    May Daddy,brothers, grandparents and son continue resting in peace ✌ 🙏..hapa duniani sisi ni wapitaji tu😢😢

  • @VailethRafel
    @VailethRafel 4 месяца назад

    Barikwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @GraceCosmas-wq6eg
    @GraceCosmas-wq6eg 2 месяца назад

    Mmmmh kwel dunian tunapita, makao mazuri ni mbinguni tujitahidi ndugu zangu

  • @sparnoffjetkey1749
    @sparnoffjetkey1749 7 месяцев назад

    Barikiwa sana danieli sifuna🎉wimbo mzuri

  • @VirginiaK-cz7mn
    @VirginiaK-cz7mn 7 месяцев назад +1

    Barikiwa xana mtumishi wa mungu Kwa wimbo wa kutukumbusha tuko safarini

  • @ElizabethNgani
    @ElizabethNgani 8 месяцев назад +2

    Amen Amen 🙏🙏 be blessed man of God

  • @MercyFrancis-us9nx
    @MercyFrancis-us9nx 4 месяца назад

    Amen amen 🙌🙌🙌🙌 naendelea kubarikiwa wakati ninaishiwa nguvu mungu akubariki sana

  • @RehemaTserea
    @RehemaTserea 6 месяцев назад

    Kweli haya maisha ni safar lakini naamini ntashinda eee mungu nipe nguvu ya kushinda na Amin ushindi

  • @YvonneVetelo-ll9ef
    @YvonneVetelo-ll9ef 8 месяцев назад +2

    Safi sana broo,wimbo mzuri sana hunanipa faraja wakati Nina huzuni,mungu hakuongezee nehema yake huishi miaka mingi❤

  • @JeritaMunala
    @JeritaMunala 8 месяцев назад +2

    Waah leo umeniweza hii wimbo imenihubiria Asante Amen amen ubatiwe

  • @bonfacemutembei5936
    @bonfacemutembei5936 3 месяца назад

    Maombi yetu sisiwote Kenya ❤️❤️

  • @Faith-tu1mn
    @Faith-tu1mn 8 месяцев назад +1

    Hiyo nyimbo imeniguza Sana hata kweli mm nikamini tuko Kama picha duniani

  • @abigaellinet4865
    @abigaellinet4865 8 месяцев назад +1

    Napenda nyimbo zako zanitia nguvu 😢😢

  • @DerickMaweu
    @DerickMaweu 8 месяцев назад

    Daniel mungu akuinue talanta yako ni ya ukweli ❤

  • @winfredmwikali7001
    @winfredmwikali7001 7 месяцев назад

    Kweli Niko Kama picha duniani🙏be blessed brother Mungu anakupeleka mbali kwa huu ufunuo

  • @EstherBanda-p9j
    @EstherBanda-p9j 4 месяца назад +2

    Napenda uimbaji

  • @MaureenAteya
    @MaureenAteya 6 месяцев назад +1

    Huu wimbo umeninguza katika jina la yesu

  • @kennedymaingi8538
    @kennedymaingi8538 8 месяцев назад +1

    Niko picha man mungu akulinde🎉

  • @MaryBiyaki
    @MaryBiyaki 8 месяцев назад +1

    Kwa huu wimbo naomba mungu anionekanie na kuponya moyo wangu 😢😢

  • @CarolyneMwikali-tp3sj
    @CarolyneMwikali-tp3sj 7 месяцев назад +1

    Ninapolia Kwa shida kimbilio langu ni Kwa yesu🙏🙏

  • @Caroline-ry4bn
    @Caroline-ry4bn 8 месяцев назад +1

    Alleluyiah🙌to God be the glory barikiwa mno mtumishi wa mungu

  • @AnnSudi-bw7ue
    @AnnSudi-bw7ue 8 месяцев назад +1

    Kweli mungu asikuwache kwa kazi unayo Fanya barikiwa kuingia kwako na kutoka

  • @murithimurithi4908
    @murithimurithi4908 8 месяцев назад +1

    much blessed brother Daniel🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @EuniceMutua-n5m
    @EuniceMutua-n5m 2 месяца назад

    Wonderful songs,barikiwa mtumishi

  • @HellenWafula-q6r
    @HellenWafula-q6r 8 месяцев назад +1

    Hakika makao mazuri ni binguni,barikiwa sana mtumishi.

  • @nantamubetty4928
    @nantamubetty4928 4 месяца назад +1

    Am from uganda but I love thise music❤😂🎉😢😮😅😊😊😊

  • @ruthomundi253
    @ruthomundi253 8 месяцев назад +2

    Kimbilio la pekee ni yesu,nijapopitia kipindi kigumu maishani

  • @benkoech-se3rz
    @benkoech-se3rz 8 месяцев назад +3

    Be blessed Dan, spread the gospel of the lord.

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 3 месяца назад

    Ee MUNGU wangu nisaidie mimi, nimalize mwedo wangu salama.

  • @zeddykoech96
    @zeddykoech96 7 месяцев назад +1

    Inanibariki sana, be blessed bro

  • @EuniceAdhiambo-d5p
    @EuniceAdhiambo-d5p Месяц назад

    Have shade tears nikikumbuka what am going through and nikikumbuka siko na watoto wangu juu ya maisha ewe mungu naomba nifungulie njia nipate venye naweza kaa na watoto wangu

  • @AnnCelestine
    @AnnCelestine 6 месяцев назад

    Amen amen.atujui siku wala saa.ubarikiwe sana bro

  • @loicewambul3836
    @loicewambul3836 8 месяцев назад +2

    Mungu akupe nguvu uzidi kutubariki na nyimbo nzuri kama hizi

  • @felixkipkosgei-uy2gc
    @felixkipkosgei-uy2gc 7 месяцев назад +1

    Wonderful song mtumishi barikiwa sana ,,

  • @christinemutheu5791
    @christinemutheu5791 8 месяцев назад +6

    Barikiwa sana ndugu kwa wimbo wakutukumbusha tuko safari

  • @evangelistsangathomas828
    @evangelistsangathomas828 8 месяцев назад +4

    Mtumishi bwana awe nawekila wakati.i love your message through your songs .

  • @clarenaliaka7573
    @clarenaliaka7573 7 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭 Ewe Mungu Baba niokowe na unikinge na maovu ya ulimwengu nikutumikie siku zote🙏

  • @EuniceBungei-p6j
    @EuniceBungei-p6j 5 месяцев назад

    Asnte sana Daniel napenda wimbo zako zote,najisikia nikibarikiwa na nyimbo zako Wacha mungu akujaze nguvu unapoendelea

  • @nancysamaria
    @nancysamaria 8 месяцев назад +2

    Hallelujah glory to God🙏🙏 more grace

  • @jacquie329
    @jacquie329 6 месяцев назад

    May God Almighty bless this wonderful ministry. ❤❤❤❤❤

  • @Nadutuemilly
    @Nadutuemilly 8 месяцев назад +9

    Amen 🙏 🙏 🙏 Nice song God revile more