20PERCENT:AMLILIA HARMONIZE KOLABO ALIYOMUAHIDI/ZILE MWEMBWE /ANATAFUTA HURUMA YA WATANZANIA/ALIKIBA

Поделиться
HTML-код

Комментарии •

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 года назад +12

    Kwenye press 20 alizinguaga

  • @zou7470
    @zou7470 2 года назад +11

    Kwenye press ulizingua sana bro mana ata mim moyo wakufanya colabo nisengekuwa nao tena

  • @anxyamiss908
    @anxyamiss908 2 года назад +2

    Uko sawa kaka watoto awa wanajiskia Sana kisa wanaela na ndio maana kila wanacho ongea wanasikilizwa swana kwa 7babu boss anuniwi

  • @godriverkipande6299
    @godriverkipande6299 Год назад

    Umeish Kwenye moyo wangu sana 20 nakupenda sana

  • @kachalemielias3683
    @kachalemielias3683 2 года назад +5

    Nmekukubali 20 percent unajua kujisimamia

  • @kingbyaro6016
    @kingbyaro6016 2 года назад +6

    Sasa huyu naye masani wakizazi Chetu 😂😂😂

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 2 года назад +10

    Unaongea sana Kaka, mwenye busara huwa kimya…

  • @uredipetro9799
    @uredipetro9799 2 года назад +2

    That's Truth

  • @majutosanaelias4307
    @majutosanaelias4307 2 года назад +4

    Unahongea sana mpaka unamkera harmony ndomana kimya

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +4

    Point 👉

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 года назад +6

    Dharau zitakuponza

  • @kamanzicrouch3881
    @kamanzicrouch3881 2 года назад +8

    Huu jamaa akifanyiwa interview amevuta bangi hua anaropoka bangii zikiisha anarirekebisha

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 2 года назад +12

    Hujui kuongea Harmonize kakufanya tukukumbuke halafu unazingua kujiona wamaana.kwenda uko.HATA MIMI NINGEKUWA HARMONIZE NISINGEJALI.

  • @gracetanyungu4727
    @gracetanyungu4727 2 года назад +1

    U spoke well

  • @alimarezi3613
    @alimarezi3613 2 года назад +1

    Bangi ni mbaya sana

  • @ndelesalum7708
    @ndelesalum7708 2 года назад +4

    Duu lijamaa linamsimamo

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 2 года назад +3

    20percent kaka umezinguwa sana mdogowa katagaza mutafanyakazi naye akutagazakwa ubaya akisha weye umezinguwa bado hata hamujahogeya maneno ulihazakuta muka ndo yali mushituwa harmonize siyo vizuri mbona mbele alikuwa ajatagaza kama muta fanyakazi mbona ulikuwa ujahitisha wahandishi wa habari acha unafi ukahaza kutowa mashati marefu na bado ujamusikiya ujahogeya harmonize ukahanza mashati marefu hositaki remix kwanini ayoyote mulihanza kuyazugumuziya acha unafiki 20percent

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 года назад +3

    We umekataaa kumkubalia remix;utajuta yule anatakaga remix

    • @lichilasalumu7983
      @lichilasalumu7983 2 года назад

      😅

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 2 года назад +1

      Sio remix tu.....harmo anaandika mistar ...so 20per angekuwa kimya hangemuudhi harmo na hizo interview alizofanya......wangefanya kazi mpya na sio remix

    • @monikakimath3810
      @monikakimath3810 2 года назад +1

      @@impactoelectrical5814 nikweli anajimwambafy sana;katika maisha kujishusha ni muhimu;ila yasitokee kama ya q chief!

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад +2

    Mimi nilifikiri umekataa

  • @yonicdontah6392
    @yonicdontah6392 2 года назад +4

    Mbna anaficha simu kwa nyuma
    Tecno werevaa😂

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 года назад

    unaongea kweli mdogo wangu 20.maana malezi yana anzia nyumbani ima mazuri au mabaya inategemea wazazi malezi yao

  • @stanybigirimana8994
    @stanybigirimana8994 2 года назад

    Tuna kubali sana chura ngoma nikali

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 года назад +2

    ila bro ungeacha bangi,,ww ni wamuhimu sana.

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 года назад +1

    Ss hao wanamziki fanya nao tuu sbb ww ndio uliongea vibaya mtu antka musaidie mwenyewe unaongea ujinga afu tharau harmonize ajasema ww n chawa alitaka mfanye kazi ww naye hukutulia na mdomo yko

  • @nilomastory
    @nilomastory 2 года назад +2

    UK powh

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 2 года назад +1

      Ulizingua sana mkuu. Jifunze kujishusha. Mdogo wako alikuthamini sana ila ulimkatisha moyo Harmonize.

  • @maryamsaid3297
    @maryamsaid3297 2 года назад +1

    Uliongea ujingasana ukajiona mwanamuziki borasana

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 2 года назад +2

    Kwani wewe 20 ulisema una mda wa kufanya kolabo na harmonize ulisema kupitiya wasafi au umesahau

  • @ngayaimkwe5175
    @ngayaimkwe5175 2 года назад +1

    Huyu jamaa akili zishamruka kidodo

  • @ahadibaruani3669
    @ahadibaruani3669 2 года назад +3

    😂😂😂😅

  • @colestmakoloo1500
    @colestmakoloo1500 2 года назад +2

    Tatizo unaongea Sana

  • @mwanahamisiabuu5875
    @mwanahamisiabuu5875 Год назад

    Nimeokoka

  • @muftimikuli3223
    @muftimikuli3223 2 года назад +1

    Konde .. Ni muongo sana

  • @drdavidomuswahiliofficiel8645
    @drdavidomuswahiliofficiel8645 2 года назад +4

    😂😂😂Diamond platnumz acheka sana baada yakuona iyo video ebu bonyeza apachini na wewe ujioneye👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/WbGSs1CFdeQ/видео.html

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 года назад

    miongoni wawashabiki wako waliorudi mimi niwakwanza kurudi

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 2 года назад +5

    😂😭😭Diamond platnumz ka lia sana leo ume wahi ku muona aki lia?
    Ebu jionee apaa kilicho mlizaa Simba 😭😭👀
    👇👇👇👇👇👇😅
    ruclips.net/video/XTUsVzD7xKY/видео.html