Yaan haka kajamaa sikuwahi kujua kama kanamadini kiasi hichi big up Mr pimbi kwenye fact weka fact uko sawa kabisa watake diamond ni moja wasitake diamond ni moja ❤❤
Nimeamini pesa ndo kila kitu diamond mjanja sana tayar umeshaingia kwny mfumo wake yan we pimbi ulivyokuwa mkimtukana diamond et leo hii diamont mtu kwel mond watu wengi wanataman wawe chawa wake mwna anagawa pesa yan leo pimbi anajikataa kuwa alikuwa amelewa et hukuwa unamtukana diamond leo hii harmonize na rayvyan cyo k2 bc inaonekana hawakup hella ndo mana sasaiv unamkingia mond kifua
Yaan haka kajamaa sikuwahi kujua kama kanamadini kiasi hichi big up Mr pimbi kwenye fact weka fact uko sawa kabisa watake diamond ni moja wasitake diamond ni moja ❤❤
Mr pimbi😊leo nimekupenda
Akili ya Mr Pimbi imerudi, well said.
Mr Pimbi for president 🌹
Kwani ilikua imehama 😂😂😂😂😂
Big up diamond❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pimbi nakubali sana Mimi nikiongozi wa selekali mkuu wa mkoa wahapa dar hakika umezungumza akili tupu hongela kalibu ofisini kwangu,
Iyo ni kweli ata uku kwetu Congo diamond ni niveau nyingine
Like nyingi kwa Mr pimbi
Pimbi unafurahisha pia unachekesha kaka🎉
Simba ni mmoja tu Hapa Africa Diamond platnumz number
Mr Pimbi sio tena mzee wa facts
Huyu katoka kwenye uongo anasema ukweli wanafki kama nyie mnapata tabu maana mmezoea amseme diamond mfurahi sasa katoka kwenye uongo uongo
Mzeee wafact kbsaa
Eu confio da sua opiniões from Mozambique
Mzee wa facttt
Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nimemic kukunwa vizuri jamni
unyama pimbi
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤
Mbona kama watusaliti team konde gang ..dogo usije pande zetu tutakushenyenta
Hizi case za harmonize alikiba rayvan hazijaisha tuu😂😂
Huyu anatafuta huruma Kwa harmonize na rayvany kwakuwa wamelikataa fara hili
@naswiruidrisa inaonekana shule ilikuwa changamoto saana kwako fara ndio nini? tueleweshe ukiandika fara matmshi sasa si utachekesha saana
Untak asemej ww?
@@Anthonyzombie-d2s fara ni nini?
Leo umeongea fact
leo umeongea mr pimbi kwakusema huwezikucheka maendeleo kamanimesema ntakuwa nimelewa 😅😅😅
Nilikuambia pimbi ukianza kuwazungumzia wasafi ubalozi kilabm uchao
Akir yako ime rud ssa😅😅😅
Oi🎉🎉
😂😂😂😂nakukubali Mr pimbi😂😂😂😂😂
🔥🔥
Pimbi sema ndg
❤
Nimeamini pesa ndo kila kitu diamond mjanja sana tayar umeshaingia kwny mfumo wake yan we pimbi ulivyokuwa mkimtukana diamond et leo hii diamont mtu kwel mond watu wengi wanataman wawe chawa wake mwna anagawa pesa yan leo pimbi anajikataa kuwa alikuwa amelewa et hukuwa unamtukana diamond leo hii harmonize na rayvyan cyo k2 bc inaonekana hawakup hella ndo mana sasaiv unamkingia mond kifua
Wambie ukweli
Pimbi nipo na ww kama juzi tarehe 25 harmonize kaja chunya tena uku polini makongolosi amna ata ukumbi vumbi tu
Chawa kazini kabadili msimamo kisicho madila nineno la mungu😂😂
Kigeugeu uyu fupi
Saiv pimbi ndo nakuelewa unaongea ukweli mtupu mondi habar nyingine bongobongo hayupo wa kushindana nae
Mabonde kuinama😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hahahahah ila we PIMBI 😅😅😅😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Saivi umekuwa na akili
Umerudi ki akili sasa
Acheni ufofa pimbi ni Mzee wa ukweli marofa nyie kenge wakike nyie
😂😂 kweelii hakuna support.
😂😂😂
😂😂😂😂
Mtu mfupi na akali yake fupi tuu
Stop hurting each other and trying to be famous by using lies ffs
Diamond ni kama MAJI usipoyaoga utayanywa..mtamkubal tuu
Wambie ukweli