This lady talks with a lot of maturity and stands with the truth, dada naomba uendelee kuongea ukweli mbila kuogopa. Zuchu Mungu anakupenda na anakupigania, wanaokuharibia jina waachie Mungu na usitake kutupia mawe kila jimbwa linabwika. Utamaliza salama na doto zako will come to fruition.
Mi nashangaa nani anatoa habari za ndani ya nyumba kama sio ao waliokuwa karibu nao .mama dangote anampenda zuchu waache kumsingizia uyu mama jamani.jana walikuwa wote simba kapost ig yake

Maimatha ni mkweli
mim Sion kinachofanya mmchambe da Martha anaongea k2 Cha ukweli
Jaman acheni kufatilia maisha ya watu ..mbna jana tuliona post mama Dangote yuko na zuchu
Mi nashangaa nani anatoa habari za ndani ya nyumba kama sio ao waliokuwa karibu nao .mama dangote anampenda zuchu waache kumsingizia uyu mama jamani.jana walikuwa wote simba kapost ig yake
Ata mm nliona post zuchu akiwa Na mama Dangote Na Yule mtoto Wa esma ..pembeni Kuna sauti ya mond..watu wapenda umbea sana
Hamjui watu wa biashara ?
Matha umbea utakuponza wewe👉
😂😂😂