Bwana wee sisi tunacho amini ni kwamba mama Dangote hajawahi kumpenda mwanamke yeyote wa Diamond,kipindi cha Zari alishona hadi sare na Hamisa wakati anajua Zari yupo ndani tena na mtoto baada ya Zari kuondoka Hamisa nae akachukiwa akaja Tanasha na yy yale yale hadi akaondoka mama Dangote anawapenda wanawake wa mwanae wakiwa hawaishi na mwanae tunalijua hilo ndiyo mana Zuchu hana pressure na hilo
Sarah nae ni mzuri basi tu yaliopita yamepita, Nasibu inavyoonekana bado anampenda huyu Dada 💕💕
Mama daimond haijawahi kumpenda mwanamke yoyote nadaimond haowi kabisa nahatakija kuoa mtu anamludi mamake sasa unafikili ataoaje
Ongera sanaaa sara
Uchumba gubu Wa 4yrs😅but napenda zuchu
akupendi wewe inatosha kwani wewe ni mungu ndowa huwandikwa mbiguni ishalla atalipa palipomajaliwa yake mungu
Mbona unamuandama Sana zuchu shida nn wacheni maneno Amna kazi za kufanya Kila mtu na bahati yake uhu ni wa
Kama na muelewa sarah 😂
Bwana wee sisi tunacho amini ni kwamba mama Dangote hajawahi kumpenda mwanamke yeyote wa Diamond,kipindi cha Zari alishona hadi sare na Hamisa wakati anajua Zari yupo ndani tena na mtoto baada ya Zari kuondoka Hamisa nae akachukiwa akaja Tanasha na yy yale yale hadi akaondoka mama Dangote anawapenda wanawake wa mwanae wakiwa hawaishi na mwanae tunalijua hilo ndiyo mana Zuchu hana pressure na hilo
Wema alipendwa vibaya mno.... Na nahisi alimpenda kwasabu wema alimpenda mwanae wakati hana kitu na Wema wakati huo ndo ana kitu