Kuna waimbaji wengu wazuri wa singeli ila dullah amewazidi sana .anaubunifu sana wa mziki wake safi sana kaka Mimi shabiki wako.unatoa jiwe unaweka jiwe
Yaani huyu #dullamakabila ni zaidi ya msanii, anaelimisha na kuburudisha haswaaa, embu waza hili goma anavyokemea mambo mengi anaonya juu ya MAADILI mabaya katika jamii, na ni juzijuzi katoka kutupitisha huku wema na wabaya.MUNGU AKUFIKISHE MBALI BROTHER UNAJUA SANA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII.
Ubunifu wako ni wa hali ya juu sana na ndio Mana upo tofaut sana na artist wengne bnafs nakubali uwezo wako na namna unavyotuletea vitu vya kipekee big up bro Dulla Makabila Mola akusimamie katk Kazi zako 🙏👊❤
Best ever ,huyu jamaa huwa anawaza mbali kuliko tunavyodhani ,kuanzia pita huku,nije nisije na ile aliyoshirikishwa ya peleka gari kituoni ni idea zake ,yaani nyimbo inaelimisha mpaka inaboa na amezungumzia saikolojia ya makuzi ya mtoto akiwa bado yuko tumboni.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
The true meaning of creativity❤, no abuse language, no X videos, nothing bad but full of creativity ❤❤ , If you like it as me please like this comment for our artist Makabila
This singeli hit from Dulla Makabila is on repeat mode! 🔄🎵 Unmatched energy and beats that hit different. Dulla, you've done it again! 🙌💥 #SingeliFever #dullaMagic" gonga like hapa.... love from MARS👽
Haki ya mungu mm sio mpenzi wa singeli lkn kwa dullah kaz zake nazipenda saana mwamba ana ubunifu wa hali ya juuu dullah atabaki kuwa king tumpe maua yake 💐💐💐💐💐💐💐💐💐
Huu ndio unaitwa ubunifu! Kufikiri nje ya box na kufanya tofauti na watu walivyozoea! Hongera Sana Dulla! Keep it up
Exactly
dula umetisha
Ndo Comment nlitaka nseme bas umeniwahi
Dura nakupenda sana
No one like you
Shikamooo dulla makabila narudia Tena shikamooo kaka dulla akuna wa kukuzid kwa ubunifu wa singer upewe tuzo yako brooo🙌🙌🙌
Nataka kuona nguvu ya dulla makabila tunaomkubali king of singeli gonga like hapa
Hhhh
like unazipekeka wapi kenge wewe ?
Wimbo aweke Dullah Makabila like upewe wewe ?
acha ushamba utaolewa mdogo wangu
@@officialkamduduNenda ukafirwe nakuona unanyege sana alaf unalipenda dudu kama jina lako
@@خسنموس ushindwe kufirwa wewe mwanaume unayependa wanaume wenzako waku like nifirwe mimi ?
uwe unakuja magetoni kuchukua likes.
mshamba wa mitandao wewe 😏
Piga basi
Dulla makabila wewe noma kama unamkubali acha like hapa
Hii hizi ndo nyimbo zenye kuelimisha na kuifunza jamii, hongera sana Dulla keep on doing 🎉
Unasitaili like zote
Wakwanza mimi hapa wanangu wa dar es salaam naombeni like zangu
Unakula like
@@godfreychacha7970😂😂😂😂😂 jmn mpe
Na umekimbilia nn wakati mi ndo nafika nimekuta coment mia 400 na 😅😅😅😅😅😅😅
Iv wanao omba like wanazipelekaga wapi
Wa kwanza wa nyoko
Wangapi hii ngoma wameiludia zaidi ya mala 2🎉🎉🎉nyimbo ya mwaka❤
Mzee baba umetishaaaa sasa singeli hii imetoka kwenye uhuni mpaka burudani na elimu ndani yake 🙏🏾🔥🔥 Mungu akusimamie bro 💪🏼🙏🏾
Jamani wanaomkubali dulla kama Mimi tukutane ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hapana, hapana na hapana tena, Dulla Baba umetisha sana, bonge la wazo. Kitu kikubwa sana.
Msanii mzur ni yule anaefikirisha zaid kwenye uandishi wake na hii kaka dulla umetisha sana tuliza akil zaidi...big up kaka✍🏻
Tumeshapata mwimbaji bora wa singeri wa mwaka yaani wimbo mzuri,ujumbe mzuri,mpaka video nzuri ❤️❤️❤️
Ila jamani huyu jamaa anatumia akili nyingi saaana dah hongera saaana kaka umezaliwa kwaajili ya mzk 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mkili like mje na kwangu masheyn 🎶
Kilichobora tukipe heshima yake, dullah hana tofauti na 20 per cent, anajua japo ukweli mchungu💥💥💥💥
Kaka nakubali kazi zako yani una ubunifu wakipekea nakilasiku unakuja nakitu kipya.
Wa Kwanzaa toka Kenya 🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za dulla nije ama nisije weka like hapa zote ❤❤❤
Sijawah kutoa saport ya nyimbo ila hiii imeenda dula mungu akuweke sana n uzid kufunuwa vichwa vya wapungufu wa fikra huuu ndo usanii🎉
Daah nyieee naombeni like Huyu jamaaaa noma na watu wake wako vizuri yaaan hiii lazimaaaa hiiii ifikishe iwe one so muda au Kesho asbh 🔥🔥🔥🔥📌📌📌
Huu ni ubunifu wa kiwango Cha reli, excellent!!!!
Dulla Makabila we ni fundi hizi ndo tungo sasa
Huyu mdada anajua sana kuigiza we dula muongeze hela❤❤❤
Tuchangeni tu
Tena namkubali
Ni nouuma 🎉🎉🎉 jaman tudondoshe mauwa kwa like zenu wadau kama mnamkubali dulla
Oyaa kama unaamini Mwenyezimungu anabariki kila mmoja kupitia jitihada zake usipite bila like kwnye comment hii
Kihukwel Funga Mwaka Hii
Nikwer hatamalaa anabalikiwa 😂😂
@@manirambonajeanne3876 Naye c anaomba Mungu apate Danga
Duuh dulla Nini umefanya kaka
Nic
Dulla ndo mond wa singeli❤
Dulla unaweza ata wakisainisha akina d voice Mia wewe utaki king of singeli
Msaga Sumu ndo king wa singeli bwan.
Kuna waimbaji wengu wazuri wa singeli ila dullah amewazidi sana .anaubunifu sana wa mziki wake safi sana kaka Mimi shabiki wako.unatoa jiwe unaweka jiwe
Nimeirudia hii nyimbo mpaka machozi yamenitoka, hongera sana dullah kwa UJUMBE huu
Sijawahi kumkataa Dalla linapokuja swala la Ubunifu kwenye ngoma zake
Dullah umewazidi wengi kwenye eneo la ubunifu. Wewe ni singeli Icon
Jamaa kafkria nje ya box sana,ngoma n hit sana..... ujumbe pia ✅✅
Tufungie mwaka Dullah hii nayo ikawe kali zaidi ya pita huku. 🙏🏾
Kaka nakukubali sana good music bro
@@SaidyJummakizazi bro
Yaani huyu #dullamakabila ni zaidi ya msanii, anaelimisha na kuburudisha haswaaa, embu waza hili goma anavyokemea mambo mengi anaonya juu ya MAADILI mabaya katika jamii, na ni juzijuzi katoka kutupitisha huku wema na wabaya.MUNGU AKUFIKISHE MBALI BROTHER UNAJUA SANA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII.
Unajua kuandika na kushoot hizi kazi. big up dulla makabila
Una pepo wako mbinguni bro, aisee unajua sana sana another level niggah
Mungu akuzidishie kipaji na akuongoze na madili mema
Nimeona vijana wengi wakiimba singeli hila dulla anajua sana❤❤
Kijana kabarikiwa singeli zinaujumbe kama hizi ni next level
Dullah mbona lawama hebu punguza kulia mwana 🎉🎉🎉
Ubunifu wako ni wa hali ya juu sana na ndio Mana upo tofaut sana na artist wengne bnafs nakubali uwezo wako na namna unavyotuletea vitu vya kipekee big up bro Dulla Makabila Mola akusimamie katk Kazi zako 🙏👊❤
Wewe kiboko huna bayaa kubwa rama duii wa singeli hantariii kibokoyaooo 🔥🔥🔥🔥🙏💪💪💪💪💪
Msanii mbunifu mno kila nafasi goli congrats nipen like zangu Kama. Unakubal ubunifu wa Dulla
Hakuna mpinzani katika hili dude la kufungia mwaka oya nasemaje nasemaje ikae one otrendng miezi Saba isitoke♥️💥💥💥💥💥💥
HUYU MTU MKALI...
1) JINI GANI?
2) WAONGO HAOO
3) PITA KULE
4) NIME GHAILI KUFA
5) NIJE AMA NISIJE?
MAONI: by bin simba sultan LET'S GO 🎉
@@HUZZAMSUZNAKISIMBA❤ or
Best ever ,huyu jamaa huwa anawaza mbali kuliko tunavyodhani ,kuanzia pita huku,nije nisije na ile aliyoshirikishwa ya peleka gari kituoni ni idea zake ,yaani nyimbo inaelimisha mpaka inaboa na amezungumzia saikolojia ya makuzi ya mtoto akiwa bado yuko tumboni.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa maneno mepesi dulla Hana mpinzani kwenye singeli🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Makabila uuuje...utupe burudani...mana kwa ubunifu bongo hauna mpinzani...nakushauri njoo..wala usiogope..
Makabila ndo wasanii wanaojua maana ya sanaa, hongera sana kaka👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Dulla unafikiriaga sana big up...na director hajaikosea idea yako mmeua sana wakuuuu
The true meaning of creativity❤, no abuse language, no X videos, nothing bad but full of creativity ❤❤ , If you like it as me please like this comment for our artist Makabila
Dullah makabila ndo mwanasingeli wangu bora wa muda wote❤❤❤
Ujuee dula ana ki2 cha kipekee sana kwenye mziki wake me ni msanii ilaa kk nakupa mauwa yako🎉🎉🎉
Dah mamae Dula wa makabila... hapa umeua aisee. Wimbo wa kufungia mwaka na kufungulia mwaka. Wimbo huu unasajili mtoto shule hata kama ada imepelea😂😂
A king himself. Singeli ipo mikono salama kabisa
Dullah mungu azidi kukujalia nyimbo nzur sanaa yenye uhalisia ktk maisha
Sasa mbona hii ngoma haingii trending ilivyo ya moto...wapi likes za dulla makabila wanangu wakenya..❤❤
Kila kwenye kufunga mwaka Dulla amekua mtu hatar naona kama inakuwa zawad Kwa watu tuliozaliwa December Keep Up Bro Kila hatua Dua
Mwamba niseme moja Tu hakuna king of singeli zaidi yako big up nyamazisha mji hakuna nasema hakuna
Safi sana dullah nakubali kazi zako singeli wewe ndio the most artist bongo ila njoo bro tuu yote uamepita msamehe mama ❤🎉
Hii nyimbo inafikirisha sana,,,hongera Dulla kwa masterpiece 🎉
Hapa kenya tunaita creativity ila Tanzania mnaita ubunifu niwa Hali ya njuu,jamani mimi mkenya lakini nependa dulla makambila❤❤❤
Nakukubali sana mwanangu dulla
So creative, Jamaa nakuelewaga sana wewe ndio umenifanya nisikilize singeli napenda ubunifu wako wakipekee
King of singeliii na mafunzo ndani yake kwenye huu wimbo
Nakubali sana kaka dula big up sana kwako tuko pamoja🎉🎉❤
Nimesoma comments zote Amna negative comment 4real u did it bro🔥
Dullaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeh mwanangu umeuwa sana ❤
Mfalme wa singeli🔥🔥Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakutambua dulla
This singeli hit from Dulla Makabila is on repeat mode! 🔄🎵 Unmatched energy and beats that hit different. Dulla, you've done it again! 🙌💥 #SingeliFever #dullaMagic" gonga like hapa.... love from MARS👽
Safi sana ukweli umewaambia mama wa kizazi hiki cha sasa
Song Kali sana Big up from 254🎉🎉🎉🎉🎉
Makini Sana mwamba Yuko vizuri apewe maua yake ubunifu wa Hali yajuuu wenye ujumbe muhimu kwa dada zetu na mama zetu.safi Sana dulah dua nene
Aisee dulla we ni king wa hiyo kitu full creativity nani kaangalia mara kumi kama mimi tujuane hapa.
Ahhhkhhh dula ananikosha sana na singeli zake tulio rudia zaidi ya mara moja gonga like ❤
uwakika hii imeenda na inachukua tena tunzo amini dulla ✅💫🙌🔥🔥🔥🦅✊
Zucchini and squash soup and
Mie hata hainichoshi kuiangalia nakuisiliza hii nyimbo 🥰🥰🥰🥰🥰tuaompenda dullah king of Singeli gongeni like zenu hapaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Salute kaka dulla, top creativity 👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
Hongera sana Dulla kwa kaz nzur na inafundisha pia
❤❤❤❤❤
Hiii ngoma bro umeua sikutegeme big up brooo hujawai kuniangusha unastaili jina la king of singeli
Masterpiece... The real definition of talent and creativity is this guy. Dulla de makabila..⚡⚡⚡⚡⚡⚡
Pure creativity! Ingekuwa ndefu kidogo
Umeshindikana dulla asee we ni 👑 of singeri 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Dulla unawezaaa 🎉🎉❤❤❤
Mkome kumfananisha dullah na vikolokolo vya ajabu kwenye mziki wa singeli👊👊
Not only king of singeli but also king of creativity 🙌
King Of singeli 👑 hongera makabila
Uuunyama ni mwingii mzee uuliouufanya humuu..hit song on fire 🔥🔥❤️
Hongera bro kazi nzuri sana nasubili basata wakuite Tena wakupongeze Kwa kufundisha jamaii
Yaan kwenye singeli hakuna kama wewe jiamini na uzidishe maalifa nakukubali sana bro❤❤❤
Bonge la Funzo kwa Dadazetu. Your Genius Bro 🔥🔥
Makabila é muito criativo e assim é bom, Força aí.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Once you talking about creativity in singeli.. you're talking about dullah makabila 🔥
Mwambia anajua sana.
Mbunifu sana, hongera sana
Haki ya mungu mm sio mpenzi wa singeli lkn kwa dullah kaz zake nazipenda saana mwamba ana ubunifu wa hali ya juuu dullah atabaki kuwa king tumpe maua yake 💐💐💐💐💐💐💐💐💐
Kiukweli kabisa kaka Mimi skupingi wewe ni mwandishi mzuri kweli wewe King of singeli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
KING OF SINGELI ,IGWEEEEEEEE unajua ,unajua ,unajua tenaa❤❤❤❤❤
waoooh nimependa kiukweli Dullah umejua kunipa rhaaa khaa bi ugwa 😂😂😂😂❤❤❤❤
huyu jamaa ni mbunifu sana aisee
Dullah Makabila the King of Singeli especially in the matter of Creativity
Safi sana ❤ nyimbo inaujumbe mzuri mno
King of singeli from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Bonge la ngomaaaaaaaaa wajina umetishaaaaaa ww ni ataliiiiii
Kwenye suala la ubunifu we ni bora sana kwa sasa❤❤❤
Dullah and D Voice wakifanya moja itatisha Sana they all have good creativity...they deserve the best trophies in singeli
We Wejamaa nae fala kweli sasa uyo D voice nae ni msanii wa singeli sasa king ni Mmoja Dulla makabila
❤abdala kaweza 🎉