WAKILI WA SERIKALI BAADA YA HUKUMU,KESI YA AKINA NYUNDO NA WENZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l Месяц назад

    Asante mungu kama wamefungwa

  • @HashimIssa-j2i
    @HashimIssa-j2i Месяц назад

    Good job🙏🙏

  • @Romana77-m4o
    @Romana77-m4o Месяц назад

    Asante Mungu kwakujibu maombi yangu

  • @ZuhuraSongoro-kc3gi
    @ZuhuraSongoro-kc3gi Месяц назад

    Mmmmh,,,,,,,, Hilo Chang's macho

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Ongela sana uwovu kamauwo atakiwi atakidogo

  • @mrishoamani-tz8qp
    @mrishoamani-tz8qp Месяц назад

    🤝

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Ila wamenisikitisha sanasana inauma maishayao yotejela sizani kama wana watoto ilawalikosea😢

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Месяц назад +3

    Afande wapi?

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Месяц назад +3

    Mbona anaekutwa na mali ya wizi au anayetuma mtu kuiba nae hukusanywa kwenye kundi la wezi.Iweje aliyewarubuni haya vijana kutenda upumbavu awe na kinga kwa nini ?sio sawa kabisa. Kawarubuni wakijua hakuna litalowakuta nae achukuliwe hatua sheria gani hizi za kukingiana maovu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Месяц назад +1

    Aliyewatuma vipi jamani mbona kimya hana kesi

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Lufahaa yangu afande

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb Месяц назад

    Afande yuko wapi jamani.

  • @ludovickmutalemwa4915
    @ludovickmutalemwa4915 Месяц назад

    Watanzania tumerudisha imani kubwa na vyombo vyetu vya sheria.. pia watanzania tunapenda kujua haki ya yule binti aliyekuwa mwanafunzi uko mwanza (TUMSIME MATIASI) Aliyedai kuingiliwa kinyume na maumbile na aliye kuwa mkuu wa mkoa ( Dr. Y. NAWANDA) imefikia wapi na haki ya huyo binti atima yake ni ipi.....

  • @AmedeusMroso
    @AmedeusMroso Месяц назад

    Afande yuko wapi

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Angalia alikowapeleka watoto wawatu wazazi wao wanalia nakuhumia

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ Месяц назад +3

    Hilo ni changa lamacho tu hao wanaenda kuifadhiwa kwasababu ya usalama wao baada ya mwaka wanatolewa na kupelekwa nchi nyingine au mikoa mingine

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 Месяц назад +2

      Wafanyiwe hivyo kwa sababu wana undugu na rais au ni watoto wa waziri mkuu au kitu gan, msipende kudharau vyombo vyenu bhana wangapi wapo jera kwa matukio mabaya na hatujaona wakipelekwa nje ya nchi kuhifadhiwa? Ukitaka kujua kuwa wanafungwa baada ya matukio jitahidi ufungwe kisha uende jera utakutana nao hapo ndio utaamini sasa

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d Месяц назад

      ​watu wengn huwa wanaongea tu bila kujitambua nn anaongea watolewe gerezan kwa misingi ip? Majitu kam haya sio ya kukaa nayo kweny jamii hao wanapopelekwa ndio wanastahili kuishi huko

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      Nahisi hivyo

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 Месяц назад

      Sahihi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад

      Ni kweli change la macho

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi Месяц назад +3

    Afande yuko wap

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Месяц назад +1

    Tunataka kujua afande aliewatuma wahalifu kufanya hayo matokeo machafu yupo wapi? Na kwanini hajachukuliwa hatua?

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Aliewatuma nakuwapeleka awajela yukowapiiiiiiiii uyoafande yukowapi tunataka awajibishwe

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад

    Tunataka afande ajibu shitaka acheni kutuchezea akili zetu

  • @ChrisMwambeje
    @ChrisMwambeje Месяц назад

    Bus la magereza limechoka jamani mmh!!

  • @ZuhuraSongoro-kc3gi
    @ZuhuraSongoro-kc3gi Месяц назад

    Afande name smechukuliwa hatua gani

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Ilambona wakosimati utazani awakojela

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya Месяц назад

    Waende baba. Hawa wabakiji ni malimbukeni.

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela Месяц назад +2

    Afande mumemtoa kwenyekesi kwasababu niafande mbonahajapewa hakiyake yakutuma wabakaji

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Месяц назад

    Mawakili mbona afande hajachukuliwa hatua yoyote?kwa vijana iwe funzo, unapotumwa kufanya ujinga tumia akili kufikili kabla ya kutenda.Ila tupeni mrejesho wa aliyewatuma!

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 Месяц назад

    Haki imetumika ila aliye watuma je?

  • @agustinoandrea6030
    @agustinoandrea6030 Месяц назад

    Vp kuhusu yule Afande???

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 Месяц назад

    Vipi? Kuhusiana na afande mwenyewe yeye anabaki free uraiani si kawalubuni Hawa vijana wa watu

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    Arowatum afande yukowapi

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 Месяц назад +1

    Mbn aliewatuma hajafungwa?

    • @Azikiwe-qi6jd
      @Azikiwe-qi6jd Месяц назад

      Zakuambiwa ongeza na za kwako bro

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 Месяц назад +1

    Dah!! Hawa vijana wametolewa kafara aliye watu eti hata kosa Sheria za wapi? Hiziii