SABABU ILIYOMFANYA SAIDO AWAAGE CHAMA & MIQUISSONE, KIBU DENIS TAJIRI NAMBA 2 BAADA YA MO DEWJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024

Комментарии • 71

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 14 дней назад +6

    Inatakiwa muachane na watafuta wachezaji kwanza hao ndio tatizo na mwiba mkuu

  • @user-ty5pm2nl3y
    @user-ty5pm2nl3y 14 дней назад +2

    Ili simba ile iweze kurudi, inabidi kwanza viongoz (wajuu) waliopo wasafishwe wote na waanze Moja. La sivyo tusubiri hadi 2025/2026.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 11 дней назад +2

    Ukitaka timu ifanikiwe kwanza ni kuacha POROJO

  • @user-xs1jq9xd9r
    @user-xs1jq9xd9r 13 дней назад +1

    Duuuh, saido kang'are uendakooo❤

  • @user-lp4xk7qw3t
    @user-lp4xk7qw3t 13 дней назад +1

    ila msimuache kapombe sifaya kapombe Simba anacheza nafasi mbili kwamda umoja anacheza kama winga piaana cheza kama beki

  • @dicksonnyamsana2261
    @dicksonnyamsana2261 8 дней назад

    Sasa wa kupumzika hapo ni Try again mangungu si mlimchagua ninyi?

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 14 дней назад +4

    Nawewe umeanza mbwembwe maneno mengi

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 8 дней назад

    Simba sio timu mbovu Kama mnavyofikiria,mpaka sasa tuna Mataji MAWILI Ngao ya Jamii na Muungano,mbona hayo hamuyasemi nyinyi waandishi wa habari hebu semeni ukweli

  • @user-sj8pe6hi9n
    @user-sj8pe6hi9n 9 дней назад

    Sio maneno ya Amed kweri ?

  • @brownkihanga688
    @brownkihanga688 8 дней назад

    Ukweli unauma?

  • @Franccoz
    @Franccoz 14 дней назад +1

    Simba inachojua ni kucheza mdomoni,uwanjanii tunawaachia azam na utopolo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 13 дней назад

    Hahahahaha Schoool bus, Mzee Ahmed Ally !!!!

  • @user-hv7pw6ih5v
    @user-hv7pw6ih5v 12 дней назад

    Siyo kweli huo ni ubingwa wa mdomo siyo ubingwa wa uwanjani mbona watanzania tunapenda kucheza kwa kutumia mdomo tujaribu kuiga kutoka nchi za wenzetu, hivi unaweza kusema eti tarehe hii tutakuwa tunaongea tukiwa na ubingwa, hizo ni ndoto za kimweri

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 11 дней назад

    Mbona kubyeedaaa🤣🤣🤣umenikumbsha mbaal😄

  • @user-bh4my7my3n
    @user-bh4my7my3n 11 дней назад

    Kwa kauli hii saidoo ayupo msimu ujao

  • @ibrahamessiah360
    @ibrahamessiah360 14 дней назад

    Iyo ehehehehe,,,,,, inanipa raha Sana sijui aliitoa wapi ally jmn

  • @musashija3471
    @musashija3471 13 дней назад

    Si ungesema tu io school bus inamilikiwa na mzize 😊😂

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 12 дней назад

    Apo kwa kibu wamekomeshwa sana mpaka tu release player ndy wamchukuee

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 14 дней назад +1

    Huyu msemaji kadri siku zinapoenda mbele anazidi kuchanganyikiwa aiseee.....Sijui timu🤣🤣

  • @davicekombe4932
    @davicekombe4932 12 дней назад

    Ety watu wanatembelea school bus 😂😂😂😂😂

  • @SaidiKingwande
    @SaidiKingwande 13 дней назад

    Nawew auwezi kukjmbuka ulikotoka Wala unakoenda ila unapajua katikati kwasababu unapajua kwy tuliza mshono

  • @user-hh4us7kb5q
    @user-hh4us7kb5q 12 дней назад

    Simba ikiendelea kuwaamin hawa jamaa wanaopga mdomo, ttashindwa kshrk kkombe chochote cha maana, timu haina kikombe ata kimoja arafu hyu jamaa anapga maneno utafkr mna klab bingwa

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 13 дней назад

    Vp viongozi ma CIO kujiuzulu kwa maslahi ya simba??

  • @RamadhanNgoma
    @RamadhanNgoma 12 дней назад

    Mnatuchosha sasa. Vitendo sasa. Na viongozi wakae pembeni waje wengine

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 12 дней назад

    Waongea kifaransa wanaoanda school bus wanapitiana 😂😂😂😂😂😂

  • @shaabanramadhan2045
    @shaabanramadhan2045 13 дней назад

    Tatizo pesa kaka, Simba sc tunayoifahamu cyo hiyo ya wachezaji wa mia mia kweli! Hapana tajiri aweke pesa aache longo longo.

  • @petrojacob6070
    @petrojacob6070 12 дней назад

    Kichwa tenge

  • @medardjustinemakonge9900
    @medardjustinemakonge9900 11 дней назад

    Kimsingi hata ww unapashwa kupisha,,,Huna uwezo wa kuwa msemaje wa simba,,,Uogo umekuwa mwingi sana kwako,,,hunatofauti na viogozi wako:::

  • @ScolaMasanja-fg7hi
    @ScolaMasanja-fg7hi 13 дней назад

    Huyu Ahmed Aly ni msukuma et amebyeda ndo nni

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 13 дней назад +2

    😂😂😂 "wewe mbona umebieda"😂😂 haukubali?"

    • @silveryb
      @silveryb 12 дней назад +1

      Kwni jamaa ni msukuma?😅😅😅

    • @boeihongoa1436
      @boeihongoa1436 12 дней назад +1

      @@silveryb hicho ni Kisukuma ee, sijui kubieda ni Nini😂, tuambie.

    • @silveryb
      @silveryb 11 дней назад +2

      ⁠​⁠@@boeihongoa1436eeeh kubieda ni kam kudharau.. huyo dada amemdharau semaji baada ya kudanganywa 😅😅😅

    • @boeihongoa1436
      @boeihongoa1436 11 дней назад +1

      @@silveryb 😂😂😂 dada kaona semaji anaongea vitu sio.

    • @silveryb
      @silveryb 11 дней назад +2

      @@boeihongoa1436 eeeh ndio maana kabieda 😆😆😆 kakataa kudanganywa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +1

    MKIACHA WACHEZAJI MNASAJILI TENA AMBAO CY BORA MFANO MLIMWACHA PHILI BALEKE SASA YAKO WAPI?

  • @elvinemmanuel610
    @elvinemmanuel610 13 дней назад

    hii ndo Tanzania. Kila sehemu siasa hahaha

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 14 дней назад +1

    You need to get rid of those looking for players first, that is the problem and the main thorn

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 14 дней назад

    Duuu ndotooo mbayaaa unawezaaa ukaotaaa umejengaa anganiii mwakani anakujaaa nakombeee wakatii. Mukimuojiii eti

  • @peterkapel5332
    @peterkapel5332 14 дней назад

    Mamae Siku Simba ikiwa vizuri hatutakaa Tanzania 😂😂😂 Eti Ki Vitz kimoja wanapitiana

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 13 дней назад

    Ahmedi ally kauli zake zinatusaliti anaongea kama karidhika kashinda makombe yote

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 12 дней назад

    Leo ame kiri kuwa wachezaji wakiwa Simba ni kuwabania kipaji ila wakienda team nyingine wanafanya vizuri kuliko 😂

  • @Savage_The_Wizard
    @Savage_The_Wizard 12 дней назад

    Semajiiiiiii😅😅😅

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 12 дней назад

    Wenzio wanawekeza kwenye mijengo wewe unasema magari,kumaagazine

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 14 дней назад

    😂😂😂😂😂kibu dengaaa

  • @mwanaidimussa
    @mwanaidimussa 13 дней назад

    Umebyedaaa 😂😂😢😢!!!!!!

    • @petrojacob6070
      @petrojacob6070 12 дней назад

      Nimecheka mno, kumbe ni msukuma

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 12 дней назад

      @@petrojacob6070hunishindiii mm nimebakii natamani nijue kabila lake maan hiyo kubyeda kaipataa wapiii neno adimu kabisa

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 13 дней назад

    NIKWELI KABISA AKUNA OFA MTAPATA KWA MCHEZAJI YOYOTE WA SIMBA WOTE WABOVU

  • @ZakayoZakayo-xe6uq
    @ZakayoZakayo-xe6uq 12 дней назад

    Sijajuwa simba anamuwacha man ila chama

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 14 дней назад +1

    Aziz key na Aucho mbona mlimshindwaa , Mudathiri pia acha kuwapa moyo wenzako muimba tarabu

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 14 дней назад

      Mdathiri tulimdharau japokuwa yupo kwenye kiwango sasa hv

    • @jitabojilala6162
      @jitabojilala6162 14 дней назад

      Unatafuta mme?

    • @basumaadam2686
      @basumaadam2686 12 дней назад

      Sio tumewashindwa tatizo wamezowea school bus 😂😂😂😂😂

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 12 дней назад

      @@basumaadam2686 hamna hela njaa tupu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад

    HUWA MNASEMA HVYHVY MNASAJILI KWA MAJINA CY VITENDO

  • @JastinAlphonce
    @JastinAlphonce 13 дней назад

    Acha wasajili afu tuone mwisho wa msimu 🤣🤣🤣

  • @lucasmkalawa8166
    @lucasmkalawa8166 14 дней назад +1

    Huyu ndiyo semaji bana

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 14 дней назад

    Da balaa sana acha tujitafute

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +1

    WARUDIHENIPHILI NA BALEKE

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 14 дней назад +1

      Kweli kabisa , Phiri aliathiriwa tu kisaikolojia, hata Miquisone ni bora sana ila alirudi wakati simba imepigwa mshale inachechemea, kelele zikawaathiri.

  • @farajanasoni2176
    @farajanasoni2176 14 дней назад

    Noma sana 😂😂😂

  • @lyamcyjunior2812
    @lyamcyjunior2812 14 дней назад

    😂😂

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 14 дней назад

    Saido mbona anagoli kuliko kb

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 14 дней назад

      Saido juz Dodoma Jiji ilikula chuma saido ucpime

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 14 дней назад +1

    Anazungumza ujinga mtupu, pumbafu

    • @hamdunslimofficail4150
      @hamdunslimofficail4150 13 дней назад +1

      😅😅😂😂😂😂mjinga ni wewe unaepoteza bando lako kwa ajiri yake kweli we mjinga😂😂😂

    • @SaidiKingwande
      @SaidiKingwande 13 дней назад

      Sawa acha azungumze ujinga vipi wewe timu yAko inafanya vizuri?

  • @KokoloLambinguni
    @KokoloLambinguni 9 дней назад

    Saido ni mchezaji msumbufu anayechosha timu pinzani na anauwezo mkubwa msimguse