Amina mtumishi.nina swali tofauti na SoMo eti mtu akikuambia anataka kumwombea mtu ni kazima atoe sadaka ya kujiungamanisha na madhabahu ili iweze kunena
Marko 5:25 na kuendelea Utaona yule mwanamke alimwendea Yesu kwa IMANI baada ya kusikia habari zake japo alitumia vitu vyake vyote bila Mafanikio huko kwengine
Kabisa Rabbi. Na mstari wa 34 BWANA WETU KRISTO YESU anapigilia msumari anasema.. "Imani yako imekuponya, uwe na amani na uwe mzima, enenda zako usiwe na msiba wako tena"....asome pia 1petro1:18... Sadaka ni sehemu ya shukran na Kwa MUNGU wetu tunaitoa Kwa moyo wa furaha na Upendo.
Mungu akubariki sana mtumishi
Ubarikiwe sana mtumewa MUNGU nikokigoma najufatia nileteehudumahio unipe tawi natanani ameni
Asante Yesu, kwa hekima hii, nijalie Yesu kukupendeza
Time is not on our side. He is coming back soon. I am ready
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwangu umekuwa baraka sana natamani siku moja niwe baraka nyumbani mwako hata sadaka
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
Ubarikiwe baba, nabarikiwa sana kila ninapokusikiliza
Amen 🙌
Amina Papa Be blessed man of God.
Sendbj hivi
Nami Niko tayari kunyakuliwa Yesu akirudi
Amen Amen
Is true Nabii
Asante,kwa ujumbe wa siku za mwisho
Ubarikiwe kwamafudisho julieth Emmanuel
Amina mtumishi.nina swali tofauti na SoMo eti mtu akikuambia anataka kumwombea mtu ni kazima atoe sadaka ya kujiungamanisha na madhabahu ili iweze kunena
Marko 5:25 na kuendelea Utaona yule mwanamke alimwendea Yesu kwa IMANI baada ya kusikia habari zake japo alitumia vitu vyake vyote bila Mafanikio huko kwengine
Kabisa Rabbi. Na mstari wa 34 BWANA WETU KRISTO YESU anapigilia msumari anasema.. "Imani yako imekuponya, uwe na amani na uwe mzima, enenda zako usiwe na msiba wako tena"....asome pia 1petro1:18... Sadaka ni sehemu ya shukran na Kwa MUNGU wetu tunaitoa Kwa moyo wa furaha na Upendo.
Ameen
Hhhhhhmmmm Ee Bwana nisaidie kuyafahamu majira haya! Siku zimeisha!
Mafundisho mazuri baba, hubiri kabisa.
Swali lingine mtu anapokuombea akiwa mbali nilazima utaje majina yote matatu
Amen Amen